#TAZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Na Abela Msikula, Mwanza
    MELI ya MV Mwanza Hapa Kazi tu imeanza jaribio la awali katika ziwa Victoria leo Machi 25, 2024, zoezi linalohusisha wataalam wa ndani na takribani 20 kutoka pande mbalimbali za dunia.
    Baadhi yao ni kutoka nchi za Ujerumani, Ureno, Uholanzi, Ufilipino, Denmark na Korea ya Kusini.
    Mwandishi wa habari hii ameshuhudia meli hiyo ikizunguka katika maeneo kadhaa ya mkoa wa Mwanza.
    Siku chache zilizopita wakati wa ziara za kamati mbalimbali za kudumu za bunge katika bandari ya Mwanza Kusini inapojengewa meli hiyo, Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Huduma za meli (MSCL), Eric Hamiss, amesema, Jaribio la awali litafanyika kwa siku mbili, Machi 25 na 26 na litahusisha wataalam tu, kwa sababu za kiusalama.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 3

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk 6 หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU wangu ibariki mwanza ibariki Tanzania

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 6 หลายเดือนก่อน

    Hiyo meli itapaki wapi? Kwenye ile terminal ya kikoloni iliyozungukwa na magugu maji... 😮

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 6 หลายเดือนก่อน

      Mpaka ikikamilika bandar ya mwanza itakuwa isha kamilika