MTANGA ,BAMBO NA MASAI ,SAFARI YA MBUGANI LAZIMA UCHEKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 17

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Kutokea 🇦🇺 hapa, nawapata vizuri

  • @aloycesimwinga5763
    @aloycesimwinga5763 2 ปีที่แล้ว

    Mtanga mi nimeojiwa et mbona nakupenda sana kukusikiliza nilikufahamje nikajib tuka waigiza na wakina marehemu Kanumba. Ilikuwa ikiigiza kama mlinzi walu walu.nakukubali from mbeya tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @anoldishengoma4229
    @anoldishengoma4229 ปีที่แล้ว

    Nime enjoy sana😂😂

  • @omaraboud2115
    @omaraboud2115 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliwaambia Jibaba nikiwa mjini hamna wa kunipiku kabisa hapa Mtanga Comedy Mimi ndie nambar ek wenu

  • @kayandaabwe2976
    @kayandaabwe2976 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo mm ni wa pili, like kwangu

  • @bilid4128
    @bilid4128 2 ปีที่แล้ว

    Ahaaa haaa we ni Kiboko umependeza

  • @devotajaphet7312
    @devotajaphet7312 ปีที่แล้ว

    Weusiweusi na unene nikajua ni kiboko😀

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 ปีที่แล้ว +1

    Mhh huyu mbunge kiboko, ametafuta sababu ya kuwadhulumu haki yao ili waondoke, tena kwa mawe. 😯

  • @danielkasiva2067
    @danielkasiva2067 2 ปีที่แล้ว

    Bamboo

  • @omaraboud2115
    @omaraboud2115 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama kawa kama dawa mzigo nimeupokea hata kabla haujamaliza kuload yaani naload nao sambamba Baba lenu

  • @abdallahkaruwa4319
    @abdallahkaruwa4319 2 ปีที่แล้ว

    Kama Kawa Kama Kawa 🇰🇪

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥❤️💋

  • @jailosibrahim88
    @jailosibrahim88 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kuna sababu ya kuandika hilo neno LAZIMA UCHEKE?

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @adammohd986
    @adammohd986 2 ปีที่แล้ว

    Sauti zinakuwa ndogo

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 10 หลายเดือนก่อน