Hili mtanga jinga kweli aisee limeenda mbio na mmasai kapigwa mtama na bambo yaan nimecheka mpaka roho inauma kwanza sijala toka jana ilimradi balaa tu nitaingalia tena baadae kidogo.
Yani huyo dada Kwa kigezo kile Cha Ray kigosi enzi zile kuwa "mwanamke ni lazima awe na mvuto mbele ya camera"Anacho.ILA KIPAJI CHA KUIGIZA HANA.Anaigiza uko aibu naona mm uku ..tafuteni mtu mwenye kipaji kama Sikitu. #MapovuSitakiNimaoniTu
Kazi babkubwa asante sana Matanga comedy muko juu kama dereva wa ndege
Big up Mtango, Massao,.....,Bambo. Kazi nzuru
Dah mmasaia bhana eti kavaa msikiti
Big up mtanga comedy
.marembe marembe mboli mboli
Kavaa msikiti😀😀😀
Hili mtanga jinga kweli aisee limeenda mbio na mmasai kapigwa mtama na bambo yaan nimecheka mpaka roho inauma kwanza sijala toka jana ilimradi balaa tu nitaingalia tena baadae kidogo.
Imevaa msikiti 😁😁😁😁
We mmasai Akili una kweli kavaa msikiti 🤣🤣🤣🤣
nice one guys😜
Bambo dah eti ishaloo🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣nimecheka kifala yani🤣🤣🤣
Kwakweli masai kainamishwa
Leo mtu WA 90 kuupokea na kuutazama mzigo huu mkubwa kwa hisani kuu ya Mtanga Comedy
Hii mmefanikiwa. Asanteni.
Long life to you guys
U are the best people
Acha nicheke ety ishaaalo ety atadanga mpaka lini
UYU MJINGA SANA
ALIE ANDIKA IKI KICHWA
CHA HABARI -MASAI OSTAZI
Zina andikwa ivyo
Ni usanii kaka
😀😀😀😀😀😀
Wakogwe .mtaani bna
😂😂😂 Masai kaharibu ndoa ya wenyewe
Mkwe mwezo namtoboi na spoko kama tundu la neto. Masai unakunywa damo ya mkwe tapeloo. Bamboo
mtanga mashkio yako yana sensor nini🤣🤣🤣🤣
Huyo dada bado
Et imevaa msikiti😂
masai naye bwana! eti amevaa msikiti!
Kadada kazuri haka nipeni hata mawasiliano wadau nioe
Poti uko vizuri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bambi unazingua Eti Wewiii
Yani huyo dada Kwa kigezo kile Cha Ray kigosi enzi zile kuwa "mwanamke ni lazima awe na mvuto mbele ya camera"Anacho.ILA KIPAJI CHA KUIGIZA HANA.Anaigiza uko aibu naona mm uku ..tafuteni mtu mwenye kipaji kama Sikitu.
#MapovuSitakiNimaoniTu
Ni kweli
hatare sana ni bandika bandua
Hehehe...kumbe supu ni maji tu 🇰🇪🇰🇪
nimeingia chakike! hhhhhhh.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣