Inafundisha, hatari ya kukataa ushauri wa mzazi, chagua marafiki kulingana na mazoea yao, ushauri wao, Pia mlinzi aliona mapema hatari iliyopo mbele mke wa musa alivyo na marafiki wa hovywo, tamaa ya mkwe, pia jambo zuri sana kuacha mambo mikononi mwa Mungu ZAIDI KATIKA STORY HII HAKUNA USHIRIKINA NIMEFURAHI SIPENDI STORY USHIRIKINA
Kumbe mimi niko very strong enhee Binafsi kimuonekana ninaonekana mtu mwenye watu wengi sana kwenye mzunguko wangu but in reality inapokuja mambo ya matatizo yangu huwa nayamaliza kimyakimya pasi kushirikisha wengine na huwa ninapitia ktk magumu yote kiujasiri kabisa. Kikubwa ninachokilinda ni moyo wangu kutokuumia na kusababisha ugonjwa wa akili hivyo nimekuwa mtu wa kupuuzia vitu sana na naamini kuwa hakuna kipya chini ya jua na zaidi sana kuna expire date ya kila jambo. Hata hivyo nimpe pole na hongera Musa kwa hayo aliyoyapitia.
ume pitia mateso makubwa sana bwana Mussa.hukustaili abadan kufanyiwa unyama kama uyo.Popote ulipo upate faraja na umpate atakae kua mkee wa ukweli akupende kwa dhati.Dunia duara..
HASANTEE Hasante sana dada Veronica hasante pia kwa kijana muusa kwa ushuhuda na mapito aliyoyapitia hii ni kweli huwa yanawatokea vijana wengi lkn Kuna baazi huwa wanashindwa uvumilivu name kuchukua maamuzi magumu mwisho wa siku wanajikia pabaya
Mussa mungu amlinde kabisa
Pole sana kakangu Mussa, nimeumia sana sana juu ya mates uliyo ipataga. Your mummy was right all along, how I wish you listened to her for a moment
Mussa alijaaliwa moyo wa kipekee sana
Nimejifunza kitu kwenye hii simulizi Mungu akubariki dada vero
Duh mafunzo makubwa sana tunajifunza pole sana musa nimeamini malipo duniani
Tujifunze kuwa tukiwatenda ubaya watu wema ni moja kwa moja tunakuwa tumemgusa Mungu. Hivyo tuwatendee wema watu wote na kuto kulipa kisasi.
Wanawake ndio chanzo Kikubwa Cha matatizo hapa Duniani..... WANAUME wenzangu Tuendelee kuamini Mungu ndio Kila kitu
Kila muwamba ngoma uvutia kwake
@@asiasaid-y4hkabisa aiseee
Pole kaka mussa lakini wanawake wema wapo kaka
Inafundisha, hatari ya kukataa ushauri wa mzazi, chagua marafiki kulingana na mazoea yao, ushauri wao, Pia mlinzi aliona mapema hatari iliyopo mbele mke wa musa alivyo na marafiki wa hovywo, tamaa ya mkwe, pia jambo zuri sana kuacha mambo mikononi mwa Mungu ZAIDI KATIKA STORY HII HAKUNA USHIRIKINA NIMEFURAHI SIPENDI STORY USHIRIKINA
Yamenikuta hayo ya Mussa ila mimi Mama ndo alinionganisha kwa binti yake 😢. Mwaka wa nne sasa naishi mwenyewe yaliyonikuta mungu ndo anajua.
pole sana Mussa, dunia tunayo dhiki ila tumtumaini Mungu muumba wa mbingu na nchi ni yeye pekee atatushindia.
Kumbe mimi niko very strong enhee
Binafsi kimuonekana ninaonekana mtu mwenye watu wengi sana kwenye mzunguko wangu but in reality inapokuja mambo ya matatizo yangu huwa nayamaliza kimyakimya pasi kushirikisha wengine na huwa ninapitia ktk magumu yote kiujasiri kabisa.
Kikubwa ninachokilinda ni moyo wangu kutokuumia na kusababisha ugonjwa wa akili hivyo nimekuwa mtu wa kupuuzia vitu sana na naamini kuwa hakuna kipya chini ya jua na zaidi sana kuna expire date ya kila jambo.
Hata hivyo nimpe pole na hongera Musa kwa hayo aliyoyapitia.
Nyie mungu hutupa njia pasipo njia
Pole na hongera kwa maamuzi Mussa
Nimejifunza Kitu Kikubwa Sana Kupitia Hii Simulizi Ya Mussa Na Wala Sijutiii Kujifunza Kupitia Hii Simulizi
Nimejifunz kikubwa sana
Kumbe had bar kuna Mke mwema,,,,,Mungu wa ajabu
Popote mungu anakukutanisha nae
Mungu ni mwema jamani mama mzizi mungu a barikiwe Sana pole ndugu Kwa mapito masito
Mnipe like jaman😂😂😂😂
Like za nn?
Ndivyo ilivyo watu wema na wastaarabu huandamwa sana na changamoto
Rafiki mchezi sana
Wa kwanz leo
ume pitia mateso makubwa sana bwana Mussa.hukustaili abadan kufanyiwa unyama kama uyo.Popote ulipo upate faraja na umpate atakae kua mkee wa ukweli akupende kwa dhati.Dunia duara..
HASANTEE
Hasante sana dada Veronica hasante pia kwa kijana muusa kwa ushuhuda na mapito aliyoyapitia hii ni kweli huwa yanawatokea vijana wengi lkn Kuna baazi huwa wanashindwa uvumilivu name kuchukua maamuzi magumu mwisho wa siku wanajikia pabaya
Hivi kupenda kubaya
Tunajifinza mengi sana kupitia simulizi. Pole Musa
Musa mie sijaolewa kama hujaoa em tuoane. Am very kind 😊😊😊😊
😅😅 ameshaowa ila mimi nipo bado sijaowa
@@farajaholota4950😅😅😅😅
@@farajaholota4950 😜😂
Aki malipo nihapahapa duniani nimeamini
Napataje namba ya Mussa jamaniiii 😭😭😭
Mmmh mapito uliopitia Ni makubwa pole Sana Mussa
Hii story mwisho inachekeshaaa, eti tunafumaniana🙌😂😂😂
Mussa kama utasoma hapa Naomba nijibu kwa e-mail pls Sitaki unioe ila nitafute tuu 😂😂😂
Hi story imenifundish kitu jamn
Duh inahuzunish
Pole sanaa mussa😭
Pole sana kaka
Rip Mrs Musa
Da vero jamani
Pole Musa
dada Vero nakusikiliza nikiwa Saudi Arabia musa pole San
❤❤❤❤❤❤
Mbona namba 9 hakuna
😅
Ipooooo
Hakika Ni funzo kubwa kwetu vijana,!