RIPOTI YA LO ESSAU VOLUME 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @ANITHAGALOLA-u7y
    @ANITHAGALOLA-u7y ปีที่แล้ว +3

    Jaman mpnz wang anaota sana ndoto za shule mpka namuonea huruma😢ila mm zimekata nw ila zaman nilikuwa naota sana

  • @Celinesolomon
    @Celinesolomon ปีที่แล้ว +4

    Nilikua nasubir sana
    😊

  • @marthapeter-e8m
    @marthapeter-e8m ปีที่แล้ว +8

    Nilikuwa nachungulia kila dakika... Tunashukuru kwa kutuwekea simulizi

  • @VeronikaJerome-wr8yz
    @VeronikaJerome-wr8yz ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana wa jina wangu Veronika

  • @blessgift7797
    @blessgift7797 ปีที่แล้ว +4

    Wa kwanza leo, nilikua nasubir kwa hamu, ahsante da vero

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว +7

    Veronica mbona unanitafutia ugonjwa wapresha😢 nini shida sikuiz mahan nakesha namawazo baada yakutokuona simulizi kwawakati😢

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว +1

    Dah.shida inaanza kwa essau.pole sana.

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +3

    Ndoto ya shule inakurudisha nyuma kiuchumi yaani unaweza kuwa maskini

  • @tumpeernest9690
    @tumpeernest9690 ปีที่แล้ว +2

    Sio sawa vero jamani

  • @KasangaLeonia
    @KasangaLeonia 4 หลายเดือนก่อน

    Simulizi ya essau

  • @IbrahimMohamed-eq4ek
    @IbrahimMohamed-eq4ek ปีที่แล้ว +2

    👊💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @CatherineDaud
    @CatherineDaud ปีที่แล้ว +1

    Vero mm sina no yko naomba

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu!!
    Hizi ndoto za shule mimi mbona ninaziota sana,mara nko primary mara chuo,mara sec na kufeli sana kwenye mitihan 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @ireneaurelian907
      @ireneaurelian907 ปีที่แล้ว

      Tuko wengi sana but hii inamaanisha Kuna sehemu hapapo sawa...Mimi Nilikuw naona kila mwez yaan hata mara2 kwa mwez1

  • @josephinankotya2301
    @josephinankotya2301 ปีที่แล้ว +1

    Unatuone da Vero, unachelewa sana

  • @lugendodaudi5510
    @lugendodaudi5510 ปีที่แล้ว +3

    Naomba uwe unatuweka mapema mno kabla ya redioni

    • @mozahsalum8882
      @mozahsalum8882 ปีที่แล้ว

      Mmh kabla ya redioni haitawezekana,,labda baada ya redion isichelewe sana

    • @zaituniabdallah1948
      @zaituniabdallah1948 ปีที่แล้ว

      😂umetisha hutaki ujinga

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว +1

    Dadayatu unatuchalewesheya sana neda namda

  • @christinamolell943
    @christinamolell943 ปีที่แล้ว +1

    Tunasubir kama pilau jmn lakn asanteee 😂😂❤tumezoea jmn simuliz

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 ปีที่แล้ว +4

    🙏🏾

  • @katotokazuri7412
    @katotokazuri7412 ปีที่แล้ว +3

    Kama kawaida yangu,,, Niko pale 👉 nimekaa mpk tumalize pamoja kupitwa simlizi nahisi kuugua

  • @MbundaTv
    @MbundaTv ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza Leo 😂😂😂

  • @NeemaKatoto-un6ic
    @NeemaKatoto-un6ic ปีที่แล้ว +1

    Asante dada vero

  • @graceisaac4388
    @graceisaac4388 ปีที่แล้ว +3

    Mmh mbona ndoto za shule kuwa mwanafunzi na kufanya mtihani afu unashindwa nimezoota saana zimejirudia sanaa. Mpaka naogopa😢

    • @glammummy
      @glammummy ปีที่แล้ว +1

      mimi pia natagaaa jamanii yani naskiliza simulizi naogopaaaaa😅😢😢

    • @vumi8371
      @vumi8371 ปีที่แล้ว

      ​@@glammummyhata mm naotaga jamani 😢

  • @farajamsigwa4002
    @farajamsigwa4002 ปีที่แล้ว +1

    Dada vero unajua kutunyoosha jaman

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 ปีที่แล้ว +4

    Tuned 🇰🇪

  • @happyyohana9881
    @happyyohana9881 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤

  • @salmaasaidi9343
    @salmaasaidi9343 ปีที่แล้ว +1

    Unachelewa sana
    Kama vipi usiwe unaweka kabisa tujue kam tunasikiliza kwenye radio au vipi

  • @latifamiluko-gr9iw
    @latifamiluko-gr9iw ปีที่แล้ว +3

    Mmechelewa jmn kidogo nilie😢😂

  • @lisakessy1795
    @lisakessy1795 ปีที่แล้ว +1

    Tujfunze ktu kuptia hili

  • @williammushi4674
    @williammushi4674 ปีที่แล้ว +1

    Mc safari the BIGGER mc