Maasha Allah..Walahy nawapenda sana Salim na group lako.Huwa nakosa amani kabisa nikiwakosa online.Asilimia 90 naingia mtandaon kwa ajili yenu..ALLAH awape rizki, Na atuondoshee ubahir tuweze kusaidia daa,wa.Nawaombea sana katika swala zangu.
Kwa kweli, aliye leta uongo wa kusema, "Yesu ni Mungu na ni Mtoto wa Mungu" Alipandikiza mbegu ya hatari ya kutia watu motoni Siku ya Kiyama. Du'huu, huyo hana tofauti na Baniani muabudu Ng'ombe. ALLAH TWAKUOMBA TUNUSURU
Mashaallah mungu awazidishiye, jameni wacheni kusema bibilia waliongozwa na Roho takatifu nikua mnamsingizia jibril aliwaongoza, tunajua wao wanaamini hivyo lakini ni makosa kusema kua waandishi wa bibilia waliongozwa na roho takatifu.
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu pambo ambalo Allah ametuambia ni kama nguzo Za KIISLAMU ni Tano na bin Adam anayo vidole vitano Kwa Kila mguu na KWA KILA mkono
Asalam aleykum yule mtu wa pili kusilimu. Ustadh hassan alisahau pengine nimakosa kidini ya kislamu muislamu kuingia ukristo ni dhambi kubwa yaani kuritadi Kuna hukmu zake mtume asema
Assalamu alaik kwanini hamuwambii ukweli hawa vijana kuwa ukristo hi diniya Paulo baada yakuwauwa waislam misikitini hebu wasomee matendo ya mitume 29.9
Mash ALLAH alhamdulilah.Sheikh Salim sijawaona masiku kadaa salamat insh ALLAH ❤️
Mashallah mashekh wetu nawapenda sana Kwa ajili ya Allah mungu awaongoze na awape wepesi duniani na kesho akhera
Salim nawapenda sana Allah awalipe pepo yake aliyoiandaa nawapenda sana
😂😂 A alaikum Sheikh utanimaliza kicheko Masha Allah ati safiri kama sherehani 😅 weweeee 😂😂😂 fireeee
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
MaShaAllah, good job
Assallam aleikum mashekhe wetu leo nafuraha kuwaona tena Allah awatie nguvu dini yake isongee mbele unshaAllah kazi njema❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh amiin amiin amiin
Jazakalaheri Allah awalipe hapa duniani na kesho ahera inshallah
Salim jina langu na team yote ya umati Muhammad salalahu alehiwasalamu. ❤❤
mashaallah karibu brian
Maasha Allah..Walahy nawapenda sana Salim na group lako.Huwa nakosa amani kabisa nikiwakosa online.Asilimia 90 naingia mtandaon kwa ajili yenu..ALLAH awape rizki, Na atuondoshee ubahir tuweze kusaidia daa,wa.Nawaombea sana katika swala zangu.
Masha Allah amiin amiin amiin
Mashallaa mungu awape moyo zaidi na zaidi inshallah
Daawa group mashallah nyinyi nyote ni mfano wa kuigwa na maimamu wote miskitini Allah awalipe dunia na akhira
ALLAHU AKBAR WA LILLAHI LHAMD ❤
Maashaallah baarakallah wallahi mnatupa elmu hata sisi watazamaji kujua vp tunaweza kuwa lingania wakristo mungu awajaze kheri mashekh wetu
Maa Shaa Allah kijana amesalimika kwa moyo safi akajiita Salim
Leo hii kali are mawaidha mazito sana Allah akubariki sheikh salim
Takbirr Allahu Akbar Allah atusamehe makosa yetu yote maashAllah
ALLAHUAKBAR
Allahu Akbar
Kwa kweli, aliye leta uongo wa kusema, "Yesu ni Mungu na ni Mtoto wa Mungu" Alipandikiza mbegu ya hatari ya kutia watu motoni Siku ya Kiyama. Du'huu, huyo hana tofauti na Baniani muabudu Ng'ombe. ALLAH TWAKUOMBA TUNUSURU
Alhamdulilaah the fastest growing religion ni ☪ islam jazakumulah qeyran muna fanya kazi poa kabisa
Masha Allah ❤
Barakallahu Feek
Mashaallah mashaallah
mashaallah mutinda welkm to islam
Wengi wakiulizwa, Wanaukana Ukiristo, eti hawana Dini yeyote. Kumbe,Wanaogopa kibano cha majibu ya Biblia yao😂😂😂😂😂
Mashaallah mungu awazidishiye, jameni wacheni kusema bibilia waliongozwa na Roho takatifu nikua mnamsingizia jibril aliwaongoza, tunajua wao wanaamini hivyo lakini ni makosa kusema kua waandishi wa bibilia waliongozwa na roho takatifu.
Point taken tutarekebisha inn shaa Allah
Shekhe salim huyo jaama haki hameshaiyona hila mbishi sana
Someni bibilia wakristo nyinyi wenyewe ndugu
Mashallah brother shukran
M.Allah❤
Ma sha allah ❤❤❤❤
Anwar ako wpi leo, amechelewa
Alhamdulilaah the fastest growing religion ni ☪️ islam jazakumulah qeyran muna fanya kazi poa kabisa
Masha Allah 🥰
Na mayahudi Mpaka Sasa hivi mtu akifa anazikwa siku hiyo hiyo
Daawah inafaa iende viral..kote kote
Masheikh wetu akitokea mtu anataka kuslimu basi mtamkisheni shahada haraka kwanza halafu tuendelee na hao wakaidi
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu pambo ambalo Allah ametuambia ni kama nguzo Za KIISLAMU ni Tano na bin Adam anayo vidole vitano Kwa Kila mguu na KWA KILA mkono
As'salaam aleikhum masheikh wetu.
Mimi naomba lile andiko la injili ,Yesu aliposema hamjasoma ktk Torati ,Sura ya kijiti ?
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Marko 12:26
Asalam aleykum yule mtu wa pili kusilimu. Ustadh hassan alisahau pengine nimakosa kidini ya kislamu muislamu kuingia ukristo ni dhambi kubwa yaani kuritadi Kuna hukmu zake mtume asema
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kabisa hakuna ruhusha mtu kuritadi
Asalam alekumu mashala ilasauti hakuna she salim
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh angalia tena iko sawa sasa
Assalamu alaik kwanini hamuwambii ukweli hawa vijana kuwa ukristo hi diniya Paulo baada yakuwauwa waislam misikitini hebu wasomee matendo ya mitume 29.9
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah lazima tutawaambia
😂😂.Ali.eti.c.waschana
Mashallah mashekh wetu nawapenda sana Kwa ajili ya Allah mungu awaongoze na awape wepesi duniani na kesho akhera
Salim nawapenda sana Allah awalipe pepo yake aliyoiandaa nawapenda sana
Tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
Salim nawapenda sana Allah awalipe pepo yake aliyoiandaa nawapenda sana