Fimbo ya Musa haya mageni sana inaonekana ukweli umefika ki sawa sawa eneo hili kitaeleweka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 55

  • @JamilaMussa-y2z
    @JamilaMussa-y2z 4 หลายเดือนก่อน +24

    Nimepanda gali ya abilia juzi, dereva akaweka salim daawah, ktk tv ya gali abilia wote tukawa tunatazama, tulifurahi sana, from Zanzibar

    • @zuenahassan8882
      @zuenahassan8882 4 หลายเดือนก่อน +5

      Mashaallah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน +3

      Masha Allah tunawapenda sana kwa ajili ya Allah

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r 4 หลายเดือนก่อน +4

    Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu... Maa Shaa Allah... Allah awalipe Jannatul Firdaus

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @adanyssuf250
    @adanyssuf250 4 หลายเดือนก่อน +4

    Asalaam aleikum.,, MashaaAllah masheikh wetu Allah awalinde sana na awape nguvu kwa kazi ya daawah na umri mrefu yenye baraka tele...Ameen Ameen Ameen Ameen

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote

  • @HisMajesty64
    @HisMajesty64 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allahumma lakal hamd hamdan katheeran twayyiban mubarak. Allahumma Barik ayyuhal ikhwanil qiram

  • @faridbashuu
    @faridbashuu 4 หลายเดือนก่อน +3

    Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
    Doze ina ingia Mpolaa mpolaa
    Maashallah
    Barakallahu feekum

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 4 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah mafundisho mazuri shekhe MUNGU awajaalie kila heri duniani na kesho akhera

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Aameen ameen ameen sote

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 4 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah sheikh salim kitaeleweka tuu ishallah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Mpaka kieleweke inn shaa Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 4 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah Masheikh Kwa Mafundisho Ya mungu Kwakika Kila moja Anajivunza Nakujua Mengi Mambo Ya Mungu Allah Azidi Kuwapa Nguvu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Aameen ameen ameen sote tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @JeyjeyOkocha-vj2ht
    @JeyjeyOkocha-vj2ht 4 หลายเดือนก่อน +2

    Assalamualaikum mungu awape uryi mrefu ili mupate kumtangaza mungu wakwel na wajue din yahak

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote

  • @halsamnur4553
    @halsamnur4553 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asc sheikh Salim . Vile kijana ameuliza Sahaba wangapi imetajwa kwa quran . Ni Moja zaid binu Harris ni suratul ahzab . Mungu akubariki sheikh wetu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh shukuran kwa ukumbusho huo

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 4 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdulillah kwa neema ya uislamu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulillah tunashukuru

  • @JamilaJumanne-u7q
    @JamilaJumanne-u7q 4 หลายเดือนก่อน +1

    😊😊😊😊 huyu kijana anavoshangaa mbona nimefurahi 😂 Kaelewa!! MASHALLAH

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 4 หลายเดือนก่อน +5

    Alhamdulilah Leo nimewahi Allah awalinde nyote inshaAllah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Aameen ameen ameen sote

  • @zuenahassan8882
    @zuenahassan8882 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah baarakallah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @asl6295
    @asl6295 4 หลายเดือนก่อน +6

    MWANAFUNZI : Haya swali ya Mwisho?
    MWALIMU : Lete hiyo ya mwisho Usilimu.🙌

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน +4

      Mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 4 หลายเดือนก่อน +3

    Walaikum salam warhmatillah wabarakat

  • @samxx411
    @samxx411 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu salim unajuwa mashallah

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah shekhe kwa mafundisho mazuri Allah awalipe jannatu firidaus

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Aameen ameen ameen sote

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah

  • @saidikobero
    @saidikobero 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awabariki

  • @fazahauzi5382
    @fazahauzi5382 4 หลายเดือนก่อน +2

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @adanyssuf250
    @adanyssuf250 4 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atupe Imani dhabiti katika dini ya Allah na atuongoze sote

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Aameen ameen ameen sote

  • @josemu870
    @josemu870 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nabii Suleman alikuwaa Ana wakea elfu moja Nabii akase Leo nitawangilia wakea zangu Sabin kila mmoja atapataa mimba zulkar neni akamwambia Suleman mbona huku Sema inshaallah hawakupataa mimba kwa sababu hakusema inshaallah mmoja tu akazaa tairaa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน +1

      Masha Allah shukuran kwa ukumbusho huo

  • @hassanpadi
    @hassanpadi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asaalam Aleikum, Masha Allah, ALLAH awalipe malipo makubwa mno

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen

  • @AishaMohamud-k7d
    @AishaMohamud-k7d 4 หลายเดือนก่อน +3

    A alaikum sijaona bado yote but najua hii combination NI firee naree

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 4 หลายเดือนก่อน +2

    Funny guy 😅😅😅

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Wataelewa tu inn shaa Allah

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa Allah. Wakristo tafadhalini muulize swali inayofaa kwenu ili mupate uzima wa milele. kuuliza kama suleyman ameoa huyu queen wa Sheba itakusaidia na nini?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Ndio hatujawaelewa hawa wakristo lakini wataelewa tu

  • @AllyIdd-f6o
    @AllyIdd-f6o หลายเดือนก่อน +1

    Allahu Akbar

  • @HajjiVuai
    @HajjiVuai 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hii tamu.