MUSIDANGANYE WATU NYINYI NDIO MNACHELEWESHA MJADALA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 229

  • @omarmuhamud3302
    @omarmuhamud3302 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah kazi njema sheikh Abu Ahmed

    • @rukiaabubakar1257
      @rukiaabubakar1257 ปีที่แล้ว +3

      Allah awape ushujaa na nguvu kuitetea sunna y bwana mtume

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +8

    Hapa ınaonesha
    Ustadh Said Allah amuhifadh
    Anaonekana hana mawasılıano mazur na watu wake.

  • @othmanabeidy4460
    @othmanabeidy4460 ปีที่แล้ว +5

    Kwani mpaka Arudi safari hana Msaidizi wake Amuwakilishe je huko alikoenda Akipatwa na Mauti Au awe mgojwa Munakasha Hauendelei ..aaaaaah wacheni izo

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว +1

    Mashekhe wa Ahlissunnati wal-athar Allaah awalinde na kila shari, na awazidishie maarifa na Elimu yenye manfaa.....

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 ปีที่แล้ว +5

    mie nakwambieni yule mpiga kinanda atawafedhehesha masufi. Batil haiwezi kusimama mbele ya Haqi abadan

  • @SimbaSimba-fo9pd
    @SimbaSimba-fo9pd ปีที่แล้ว +7

    Sema imekuja haqi na ukatoeka uwongo na uwongo ni wenye kutoeka,twatarajia utakuwa munaqash wa amani inshallah

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 ปีที่แล้ว +7

    Masheikh wa twariqa tunaomba musicheleweshe sana sababu waislam tunasubir kuona na kufahamu ukweli kuhusu hichi kitabu cha barzanje sababu tusije tukacha kufata quran na suna za mtume swalallahu aleihi wasalam kwa kufata barzanje twaomba muje wazi mbele ya umma na tusicheleweshe hii sio biashara ya mtu hii ni dini ya Allah tusifanye ni mambo ya ushabiki bila dalili wala hoja ikiwa sheikh umekosa hoja ambia tu umma wakislam ukweli hi ibaada haimo ndani quran wala suna na barzanje kina shaka mingi kuliko kupoteza umma kwa sababu ya ushabiki tu

  • @alawisoud665
    @alawisoud665 ปีที่แล้ว +4

    Tumswalie Mtume Muhammad (swalallahu alayhi wa alihi wasallam)

    • @MohamedAli-lj2zl
      @MohamedAli-lj2zl ปีที่แล้ว +1

      اللهم صل وسلم وبارك عليه

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u ปีที่แล้ว +4

    Niko Bujumbura nafurahi sana Alla akurahisishieni masheikh zetu wakisuna hao watu wa bida ni mafeki tu wanakuwa kupiga kelele tu hawana lolote

  • @muktazimbuyu6569
    @muktazimbuyu6569 ปีที่แล้ว +3

    Shekh Muhammad kung'uta sana hiyo mijisufi inayoharibu dini
    Allah akupe Afya tuendelee kufaidika kupitia wewe

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 ปีที่แล้ว +6

    Fanya kazi sheikh muhammad bachu maadui ni wengi juu yako kuhusu kupinga machafu ya maulid maana palikuwa pametulia sana wakahisi watu wa sunna hawaijui lugha ya kiarabu na Elimu zake

  • @generalabdize3647
    @generalabdize3647 ปีที่แล้ว +17

    masufi wame tusumbua na mwaulidi safarihi lazima wakome Isha Allah

    • @omarmwabege
      @omarmwabege ปีที่แล้ว

      In Shaa Allah

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว +1

      We ndo boya kabisa

    • @alimasiga8422
      @alimasiga8422 ปีที่แล้ว

      In Shaa Allah. Sio Sunnah ni bid'aa. Lakini nimepewa kipawa mbele hata kushinda Fardh na Sunnah.

    • @HajiJuma-dc2ev
      @HajiJuma-dc2ev ปีที่แล้ว

      Katika mwaka utakaosomwamaulidi kwawingi nimarahii walamusijisumbue wapeniwatu elimu nasiomijadala haisaidie

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว +3

      @@HajiJuma-dc2evUsijidanganye Maulid kila kukicha yafifia miaka ishirini na tano iliopita maulid ya Lamu ilikuwa ikifurika watu ajabu, mji wa lamu ulikuwa ukibeba watu ukitembea njiani wapigana vikumbo na watu, sasa hivi enda lamu siku ya maulid hakuna watu ispokuwa watu kidogo sana, watu sasa hivi wameilimika waneona maulid sio dini bali ni jambo la uzushi.

  • @omarishaq6183
    @omarishaq6183 ปีที่แล้ว +4

    Mbona hayuko wazi huyo wakilishi wao, asema yuko safarini mara yuko na safari.. Hayo ni maneno yakutoa watu kwenye dira.

  • @KGONLINETV-i7z
    @KGONLINETV-i7z ปีที่แล้ว +1

    Uyo ostadh fadhil wanamjua vizur mawahabi aliwatengeneza vyema

  • @muhsinimohammad58
    @muhsinimohammad58 ปีที่แล้ว +10

    إن الحق لا يعرف بكثرة الفاعلين وإنما يعرف بالادلة الشرعية من الكتاب والسنة

  • @shaabanm.ashrak2623
    @shaabanm.ashrak2623 ปีที่แล้ว +4

    Naona tayar ameanza kuogop shekh said makelele ndio anayo yaweza

  • @FarahJey
    @FarahJey ปีที่แล้ว +10

    Hoyo mtoto said ,yaonesha bado atafuta majibu ya zile hoja kumi na tisa, akioata majibu yake yote ndio mutapigiwa simu,basi mimi naonelea mwambieni bachu zile hoja kumi na tisa asizitaje atoe nyengine mpya kumi na tisa zisokua zile za sabasil kubra .alafu baada hizo hoja mpya kumi na tisa zitakspo tokewa,na shehe abdulqadir ahdali,atakuja mkaana

    • @swalehjamal4867
      @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว +1

      Tulia munaqash ufanyike …acha presure za soda

    • @FarahJey
      @FarahJey หลายเดือนก่อน

      @@HemedSerious
      Ulikua useless sikuzote hizo,
      Usingizi wa Ashgabat alkahf

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 ปีที่แล้ว +3

    A,alykum sheikh musifanye mpka siku walete sheikh wawo wasije kuruka hawo na hizo njia za unjanja wawo

  • @khalidmziwanda9024
    @khalidmziwanda9024 ปีที่แล้ว +3

    Shekh abu ahmed Sema mawahabi eti ahlu sunna waljamaa😂mawahabii

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 ปีที่แล้ว +2

    MASUFI WASHAONA HAWAWEZI KWA BACHU SASA WAMEKUA WAOGA
    MANAKE SABAS ALIANZ HIVYO HIVYO MWISHO AKAFILIA MBALI BADO WW UTAPOTEA TU KWA SABAB UNAIKUMBATIA BATIL

  • @azizkinyama279
    @azizkinyama279 ปีที่แล้ว +2

    Waislam hawagombani wenyewe kwa wenyewe, Wala hawakhitalifiani,huko ndiyo kuporomoka kwetu, mtwiini mola na mtume wake na mola Yuko na wanaosubiri...mola awawie radhi mashekhe wetu..amiin

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 ปีที่แล้ว +2

      unamaanisha nn kusema hawahitilafiAni , na allah kasema mkihitilafiana rudini kwa allah yani kuran na kwa mtume na hii ndio maana watu wa sunna tunatAka tuoneshwe wp maulid yametajwa,

    • @azizkinyama279
      @azizkinyama279 ปีที่แล้ว +1

      @@medimisi6930 tufanyeni munakasha na ahlulkitab yahud na nasara hao ndio mushrik wamtukana mola na mtume wanam'aasi usiku na mchana sio waislam kw waislam ..ww hupendi maulid...basi wachie wenyewe nyinyi hamna kasoro (ahlu Sunna) mnakufurisha waislam na kutafuta kasoro zao ujue kua mola ndio mwenye malipo sio ww ... Mola awe radhi na mashekhe wetu

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 ปีที่แล้ว

      @@azizkinyama279 mlango wa bidaa alifundisha mtume sio sisi na pia huyo allah amesema watu wakihitilafiana warudi kwenye kuran na suuna. ili ajulikane yupi yuko sahihi na pia mtume amesema Halali iko wazi na haramu iko wazi Acha kukwepa ndugu. hao watu wa kitabu kila cku tunawaeleza haki ilA na sisi wAislam lazima tuwekane sawa kupitiA kuran na sunna. usipende kumsingizia allah na mtume wake uongo. halafu unategemea huyo huyo allah akulipe pepo.BIDAA ni katika madhambi makubwa lazima yakemewe vikali.

  • @arafatabubakar001
    @arafatabubakar001 ปีที่แล้ว +7

    Hata waeza pata yupo humu humu,lakini we dont judge,mkisha pata yale majibu kumi na tisa njooni tena.lakini ole wenu twaja na mengine..Skh wangu BHACHU,naomba tuje na hoja ambazo hawakutarajia

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka ปีที่แล้ว +1

    Au mwasoma na kusomeshana sirini halafu mkipanda kwenye mimbari zenu mwakataza watu kusoma mazazi ya mtume kwakisingizio eti ni bidaaaa hali yakuwa na nyinyi mwasoma

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf ปีที่แล้ว +3

    Mm nasema hao twarika wogasana hawana jibu hata yanukta moja nahuyo fadhil kakimbia kusudi hawawezihao maneno mengitu lkn wanamuogopa bachu kwelikweli nakama wakotayari wengefanya haraka lkn wapii nukta hazijibiki eeeh haki itashindatu nabatili itaanguka

  • @muhsinimohammad58
    @muhsinimohammad58 ปีที่แล้ว +3

    Tusiwe na haraka haki inawafika watu kila kukicha Alhamdulillah wengi wanaelewa na kuongia kwenye sunnah.

  • @ismailbakhresaiin33
    @ismailbakhresaiin33 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi ni mawahabi bana mbon mnakwep shekhe wenu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +2

    Malizeni la maulidi alafu mrudi tena mjadili kupiga kura ni sawa kuwapigia makafiri watuongoze au demokrasia itawale ni sawa japo hata watakuwa waislamu tafadhali kama mnataka haki isimame na watu wafate haki muendelee na mhadala kuna mambo mengi sana tunayosoma ni tofauti na tunavoishi

    • @thefoodshaikh811
      @thefoodshaikh811 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa maneno mazuri, na mimi nakuunga mkono.

  • @abeidomar1008
    @abeidomar1008 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alaykum, Barzanji ni lugha ya kiarabu, na mjadala uko katika kuifahamu. Ni wengi twasubiri mjadala. Na bi idhni llah, Allah atupe fahamu tuweze kufaidika sote. hatuombi vita wala chuki. Tuombacho ni ufahamu. Kisha kila mtu ataangalia mwenyewe. Shukran.

  • @ABDULFATTAAHNASSIR
    @ABDULFATTAAHNASSIR ปีที่แล้ว +6

    wanakimbia hao wanakwepa elimu wenye hawana

  • @babayaoyega2540
    @babayaoyega2540 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulillah thuma Alhamdulillah hawa watu wenyewe wameogopa maana maulid mombasa haitasomwa

  • @Captainome
    @Captainome ปีที่แล้ว +1

    In shaa Allah atufaye subra Allah atuafikie kwenye jambo letu.

  • @mohd39789
    @mohd39789 ปีที่แล้ว +3

    Masufi wameshazoea kusema uongo

  • @swalehjamal4867
    @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว +1

    Asema hajui atarudi lini🤣😂si safari hio

  • @nasarsulaiman9549
    @nasarsulaiman9549 ปีที่แล้ว +2

    masufi washakula bomba hao

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว +2

    Kwani lazma awe huyu aletwe mwingine ust said kazi unayo lete mwingine akuwakilishe wapange huo mjadala Rudi tena ust said na porojo nyingine ss

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 ปีที่แล้ว +1

    Juzi Ostazi said amelalamika kwa kusema sheikh muhamed bachu anauchelewesha munakasha kumbe wao ndio wanauchelewesha.ikiwa kweli ostazi anautaka munakasha kwa hamu basi amteuwe mtu mwengine ili jambo lifanyike kwa haraka zaid

  • @bigruwas81
    @bigruwas81 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo nimajaz

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 ปีที่แล้ว

    Allah stufanyie wepes I shallah tushinde Kwa mara nyengine .

  • @BinmuhamadSuwayd
    @BinmuhamadSuwayd ปีที่แล้ว +3

    Huyu said Atakua majaz Asugraaa😅

  • @yahyaibrahim4731
    @yahyaibrahim4731 ปีที่แล้ว +1

    Makhurafy hawawezi kufanya jambo hadi wa cheki nyota

  • @yahyajuma9353
    @yahyajuma9353 ปีที่แล้ว +1

    Mm hofu yangu nikucheleweshwa munaqasha huu hadi mfunguo sita kupita kwasababu wanajua ukifanyika saiv mfunguo sita watamzinga wakuenda nao maulidini

  • @mullestv2680
    @mullestv2680 ปีที่แล้ว +4

    Wanaogpa Hao masufi hahaaaaaaa

  • @JK-um6op
    @JK-um6op ปีที่แล้ว +1

    Hiyo safari ni kukimbiya munaqasha.. hawa makhurafi wako na vitimbi kama mayahudi.. haina neno tutawasubiri hata baada ya mwezi.. Wabillahi tawfiq

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 ปีที่แล้ว +2

    Nyie mtafanya niqaash mpaka dunia itamaliza na hakuna atakae mfuata mwenzake hata kukawa na hoja!

  • @jumashechambo5412
    @jumashechambo5412 ปีที่แล้ว

    Assalaamu alaykum warahma tullahi wabarakatuhu shekh muhamdi bachu uko powa ? Ndg yangu waaalahi Allah akuhifadhi pamoja na mashekh wengine halafu natamani Sana nikuone humu unalizungumza hili . Jambo la Hawa jamaa mbona hawaeleweki why?

  • @yussufmahbub7032
    @yussufmahbub7032 ปีที่แล้ว +9

    Asalamu aleykum sasa upande wa sheikh wetu Muhammad bachu wako tayari lakini tunashangaa sana safari ambayo haikuwa kisha haina mda wa kurudi...
    "وقل جاء الحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوقا "

    • @abuidifundi2016
      @abuidifundi2016 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo nikawaida kuna Safari hazina team maalum
      Enyi majaahili

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 ngoja nicheke maana ni muda sana ,sijacheka hivi

    • @alimasiga8422
      @alimasiga8422 ปีที่แล้ว +1

      Safari za ghafla na bila kipimo

    • @saydouside9468
      @saydouside9468 ปีที่แล้ว +1

      mmmmmh assallam allaykum..labda sisi maamuma..tunataka majawabu ya zile hoja 19..kayla hazijaongezwa..nyengine..maulidi..maulid...mnatumalizia mb..

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh wao na msimamizi wao ni kama hawajuani, mtu aenda safari mwingine asema anawakilisha😂😂😂😂 Masufi mtihani kweli

  • @TalibMsham
    @TalibMsham ปีที่แล้ว +2

    Allah anawatakabalia wachamungu. Ulsoma maulid hukusoma acheni ujinga. Kuna watu walisom maulid wamekufa na shahada na wameshuhudiwa na walowatusi wameadhirika Tafuteni Taqwa tu. Jee taqwa imo moyoni? AU domo kaya tu. Akhera nzto jamani tunamengi tunayo jamii yafa kwa liwati na ushoga na usagaji. HAMULII NYIE?

  • @muhsinimohammad58
    @muhsinimohammad58 ปีที่แล้ว +2

    Huyo majazi mdogo kama majazi mkubwa kanyamaza huyo ni mda wa dhuhaa tu tunaondoka

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 ปีที่แล้ว +3

    Sisi tu najua watu watwarika wanakimbiaga munawasha

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka ปีที่แล้ว +1

    Mimi naomba niseme hivi hata Mawahabi nao wasoma maulid anaekataaa kuwa hasomi aniambie alipata wapi kujua tarehe ya kuzaliwa mtume ,wazazi wa mtume na mahali alipozaliwa mtu bila kusoma

    • @maabadiabdalla7896
      @maabadiabdalla7896 ปีที่แล้ว +2

      Usifanye talbisi wala ta,awili nyinyi mnafanya bidaa ambayo mnaitakidi kua ni ibada mche Allah ndugu yangu

  • @omarmwabege
    @omarmwabege ปีที่แล้ว +2

    Allah ataleta wepesi

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 ปีที่แล้ว +2

    Ni kawaida ya wanafiki wanakwepa haki wallai,Allah ashaeka bayana ,wajueni hao ,nyoyo zao zinamaradhi Allah aliongeza maradhi ,amewatia hofu ,haya ni yale kabila la bani nadhir (suratul hashr)Allah aliwatia khofu wakahama madina

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 ปีที่แล้ว +2

    Sasa amewaambia yupo safarini mpaka mutake mda wenu hivi nyny mna akili kweli!! Akah!!!,,,,,,

  • @Kan332
    @Kan332 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 Ila Masufi bhana

  • @mutumwinkaashura1897
    @mutumwinkaashura1897 ปีที่แล้ว

    In Sha Allah, Na yule alie Katika haki lazima kuishinda batil vovote vile atakavo kuwa.

  • @salehemohamed2937
    @salehemohamed2937 ปีที่แล้ว

    MashAllah, hakki itaonekana tu

  • @ismailisoloka-he4wb
    @ismailisoloka-he4wb ปีที่แล้ว +1

    Umetumwa na ulimwingu?

  • @UstadhBilal
    @UstadhBilal ปีที่แล้ว +1

    Shekh Abu ahamad afwan ilikua nauliza tuu chutapikiwa nini pilaau ama biriaani ama dhichu dhangano chwataka kujua hilo pia Abu ahmad

    • @maryamsalim3233
      @maryamsalim3233 ปีที่แล้ว

      Bure yenu ketini munwe mai matumbo yayae gasi kisha mkadhengee dawa

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 ปีที่แล้ว +1

    Hawa kina Sabas Al kubra wa mombasa yule alikua safari congo 😂😂😂😂

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 ปีที่แล้ว +1

    @الجميع
    JIITANE ANSARI SUNNATIL WAHHABIY AU MAWAHABI MSIJIITE AHLUSUNNAT WALJAMAA NYINYI HAMMO KABISAA

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 ปีที่แล้ว

    Yaingia wiki ya tatu sahii kutoka simu ipigwe.....yaani twangoja kwa hamu sana

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 ปีที่แล้ว +3

    Hiv nikwa nn upande wa bachu mnapenda kuwaona wenzenu niwaongo

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +2

      We hujaona walivyo laumiwa jana kuwa wanachelewesha au

    • @alajamiyonlinetv3526
      @alajamiyonlinetv3526 ปีที่แล้ว

      Hawa ni majuha achana nao

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 ปีที่แล้ว +1

      Ukisema kuna wengine wanachelewesha munaqasha ilhali ni wewe bila shaka wewe ni mwongo

  • @zuheirtammam5532
    @zuheirtammam5532 ปีที่แล้ว

    Ikhwan huu munaqasha, vile unavyopelekwa huenda ikapoteza ikhlas.
    Haya mambo yapelekwa kimirengo kama mpira au kisiasa.
    Pande zote mbili zajipiga vifua na kuonesha umimi.

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว

    BACHU UKO WAPI MBONA KIMYA SANA

  • @abuidifundi2016
    @abuidifundi2016 ปีที่แล้ว

    Nyinyi mawahabi mna uelewa mdogo Sana hamuelewagi maneno mafupi
    Mwataka kufushiwa Kama sjui watoto wa chekechea
    Hamna mjuwacho

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 ปีที่แล้ว +2

      Ninyi mnajua 😂😅.. tuñawasubiri kwenye NIQAASH in Shaa Allah..

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว +1

    Tatizo WEENGI hatujuwi maana hata hao Mawahabbi waliambiwa zamaani watowe muda lakini walichelewa kutoa majibu

  • @Shining195
    @Shining195 ปีที่แล้ว +1

    Huyo harudi tena.🤣

  • @Abubakrahelali
    @Abubakrahelali ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi mawahabi KIARABU hamuelewi na kiswahili pia hamuelewi? Tumewasubiri mwezi mzima mwashindwa kusubiri wiki ustadh Yuko safarini hata mm niliongea nae Jana sikupata nafasi ameniahidi AKIRUDI fanyeni subra Kama tulivo wasubiri

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว +1

      @user-cv8sn7yg8y waambia watu hawajui kiswahili mm naona ww ndie huskii kiswahili ust amesema mwenyewe nko safarini akasema sijui naja lini lkni nikija ntakupigia tuonane Mombasa ww wasema wiki kwani katika maneno ya ust wenu Pana majazi nn

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +7

    😂Hapo ndo ninapokupendeaga hutaki ubabaishaji. Wamelalamika jana tu leo washapata safari zisizo na muda wakurud

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว +1

      Safari hii watakipata😂😂😂😂

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +2

      wanasur mpka mfungo sita upite maana wakifanya haraka watu watajua maulid sıo sawsswa hawatakuja maulidin😅😅😅😅😅

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 ปีที่แล้ว +2

      Jana wao walia na leo ndio hao, they are sick people

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 ปีที่แล้ว +1

      Shekhe wao ameona dogo amekurupuka😂

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว

    Mulicheleweaha sanaaa ila useme tu kua saivi ndio mukotayari lakini kucheleweshaaaa....aaaaaaa...mboni mulicheleweaha mnooo

  • @NadiaNadiaMohammad-yp4zm
    @NadiaNadiaMohammad-yp4zm ปีที่แล้ว +1

    Insha Allah tutasubiri 🙏

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 ปีที่แล้ว

    Nyny mawahabi mtakufa vibaya mbwa nynyi,,,,,,,

  • @hishambakar5785
    @hishambakar5785 ปีที่แล้ว

    ❤طويب

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka ปีที่แล้ว

    Nyie ni Mawahabi mcjiite ahl suna waljamaaaaa

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi mukiwa tayari huwa hamutaki mda cz ulipijiwa ukadai uko kwamkutano

  • @SwaumuBuhare-zj8kk
    @SwaumuBuhare-zj8kk ปีที่แล้ว

    Tatizo mawahabi adabu ndo hamna hata kidogo siku zote hamna adabu

  • @khamisali5942
    @khamisali5942 ปีที่แล้ว

    Nashkur ALLAH mimi niko upande wa haq hata mambo yetu yanaenda kihaq hatupindish pindishi kila kitu kinawekwa wazi

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka ปีที่แล้ว +1

    Mnasema maulid ni bidaa hivyo haifai kusomwa naomba ni waulize swali nyie Kama hamsomi maulid mme pata wapi kujua kuwa mtume alizaliwa cku fulani na wazazi wake ni akina fulani na amezaliwa mahala fulani

  • @saidyusuf9245
    @saidyusuf9245 ปีที่แล้ว +1

    ولاتلبس الحق با الباطل وتكتمو الحق وأنتم تعلمون ndgu yangu usiwe nikataka wale walo sifiwa nasifa kama hini وإن فريقا منهم ليكتمون الحق وهم يعلمون

  • @Abdallah-i1d
    @Abdallah-i1d ปีที่แล้ว

    Nyinyi mawahabi mulipokua mwasubiriwa mulichelewesha majibu na sasa mumefanya mutakayo mpaka mukamaliza yale mutakayo, musitafute sababu fanye subra watu wanashughili za kufanya kama vile nyinyi mawahabi C watu wasuna nyinyi ni mawahabi, fanye subra Kama mwajua Sunna kweli

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +2

    watu sunna hawasem kitu hawafanyi kitu ila tu kwa dalili ya wadh kabsaa!
    Sıo watu wa majaz bra braaaa nyıngiiiiiiii

  • @YahyaSaid-g4y
    @YahyaSaid-g4y ปีที่แล้ว

    Mushambiwa mujiandae akirudi musomeshwe

  • @hafidhsalim9237
    @hafidhsalim9237 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Mohammad Bachu tunakupenda sana. Lakini bahari unayotaka kupita ni ya kina kirefu , hutoweza kuivuka.
    Ni bora ukatulia ukaendesha darsa zako na wsnanafunzi wako raha mustarehe.

    • @mohamseyf6243
      @mohamseyf6243 ปีที่แล้ว +2

      Bahari Gani? Ya mapiano au vinanda vya dj Saidi?😂😂😂

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂 hakuna bahari wala maji ya kisima hapa.. Tunawangoja watu wa MAJAAZ😅

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu ปีที่แล้ว +2

      Bahari ya upotofu

    • @ZainabRajab-il9ng
      @ZainabRajab-il9ng ปีที่แล้ว

      Sheykh wako ni wapi mbna huwataji utoe na wewe wa tatu walo nyuma yako .

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli mmeweka ubishi mbele na kutaka fitna,,,,,,

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww ปีที่แล้ว +1

    Bado hawajakimbiya watakiniya mpaka cku hiyo hawo waoga

  • @abuhudhaifa6268
    @abuhudhaifa6268 ปีที่แล้ว

    Mawahabi fanyeni mutwalaa wacheni kelele mbona mlipotea kimya bila taarifa na ust fadhil amekupeni udhru kabisa
    Sai endeleeni kujifariji na mijirongo yenu ila mjue munaqasha upo

  • @yusuphngonyani8964
    @yusuphngonyani8964 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 ปีที่แล้ว

    Hawa mpaka sasa masufi waoga hawana usomi ni ujahil

  • @binaamour318
    @binaamour318 ปีที่แล้ว +2

    Wanauliza haw watu w twarika nyi mnawakilisha Nani ?

    • @AliDaud-si3fg
      @AliDaud-si3fg ปีที่แล้ว +2

      cc hatukumkataa bachu km vile nyinyi mlivyomkataa sabbaas ndio maana yule aliemkataa sabbaas ndio tukamtaka yy au amuidhinishe mtu

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 ปีที่แล้ว +1

      Kwani sisi tumemkataa bachu nyinyi mulimkataa majaz al kubta nna mkasema hamiwwzi kiwakiloshwa mdio mana imekua hivyo

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 ปีที่แล้ว +2

    mnakataa maulid lakini ukifika wakati wa chakula mnakuja kula kwenye maulid acheni unafiq

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 ปีที่แล้ว +1

      umesoma shule gani sasa kula na maulid wapi na wapi.

    • @zafarmohamed9413
      @zafarmohamed9413 ปีที่แล้ว

      @@medimisi6930 najua ushaelewa bac ubishani tumeweka mbele

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 ปีที่แล้ว

    Ngojeeni mbwa nyny msibweke bweke hovyo wapumbavu nyny,,,,,

  • @nassirmohd-j6t
    @nassirmohd-j6t ปีที่แล้ว +2

    Hakki gani majaahil hamna elimu

    • @HaidarOmar-tx7cc
      @HaidarOmar-tx7cc ปีที่แล้ว +3

      Nenda ww mwenye elimu

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 ปีที่แล้ว +2

      Njoo we uwakilishe wao basi, naona uko na elimu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +2

    Misufi popote pale hawawezi kuja na hakki
    Mpaka waache kuwaabudia maiti

  • @shabaniumande
    @shabaniumande ปีที่แล้ว

    Watu wa bidah sio wa Kweli

  • @abdurahmanabdallah2403
    @abdurahmanabdallah2403 ปีที่แล้ว +1

    TUWENI NA DHANA NZURI, KWA ALO PATA SAFARI YA DHARURA, LABDA ISIO EPUKIKA.

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +1

      Kwani mtu ni yeye pekeee ???Abuu hatimy suliyupo lkn

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

    Wanakimbia sasa mwambieni akupeni muakilishi wao kwani yeye nipekeyaketu anakujakujihoja sikunawengine kamati yotesiipo katoka yeyetu. Huyo mkimfata kwake mtamkuta hanahatasafati.

  • @salimuawadhi8043
    @salimuawadhi8043 ปีที่แล้ว

    Kama ustadh anasafari baasi kuchaguliwe mwingine tunamuomba ustadh zaidi achague mwengine ili Mambo yaendelee maana safari yenyewe haijulikani kurudi wasianze kuogopa Hawa jamaa tunataka sana munaakasha

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว

    Kwakua saivi Ustadh Fadhil anasafari kuna watu wenye vihehe wanaanza shobo zao

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 ปีที่แล้ว

    NYINYI WAHABI BWANA