Prof. Lipumba azungumzia ishu ya Lowassa kurudi CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 97

  • @cainewilliam5236
    @cainewilliam5236 5 ปีที่แล้ว +1

    You have spoken wisely professor, kumbe kulikuwa na siri nyingi sana.

  • @lothmadauda3653
    @lothmadauda3653 5 ปีที่แล้ว

    Prof.unazingua sana, nyinyi mmefeli vibaya bet yenu imekuwa tatizo, wote ukawa ni wazee wakubeti tu hasa kwny maisha yenu binafsi

  • @dionizkipanya2355
    @dionizkipanya2355 5 ปีที่แล้ว

    Ni Fundisho Na Tusirudie Makosa,Asante Lipumba

  • @mussaremigius2818
    @mussaremigius2818 5 ปีที่แล้ว

    Professor umeongea vizuri sana chadema tatizo ukanda ndio unawakosti

  • @kitoinambala7480
    @kitoinambala7480 5 ปีที่แล้ว

    kwa kweli ktk siku zote, leo proffesor nimekuelewa

  • @ramadhankhalfancm1484
    @ramadhankhalfancm1484 5 ปีที่แล้ว

    Uko sawa profesa

  • @amanibenjamini9637
    @amanibenjamini9637 5 ปีที่แล้ว

    Safi prof lipumba Leo tunakukumbuka mkuu

  • @respiceseth1451
    @respiceseth1451 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo si Professor. Na kama uprofesa ndio huo kama alivyo huyo ndugu, basi uprofesa hauna mashiko yoyote.

    • @shamteally3888
      @shamteally3888 5 ปีที่แล้ว

      Pumbavu unaongea nn uprofesa hauna lolote we unaelimu gan hata LA saba ulifeli

  • @salumahmeid5382
    @salumahmeid5382 5 ปีที่แล้ว +2

    Umeongea point zote muhimu leo! Sijawahi kukusapoti lakini leo seif hana nafasi!.

  • @hajinampungila2962
    @hajinampungila2962 5 ปีที่แล้ว +1

    Inaonekana bora ya Lipumba kuliko Lowasa au

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 5 ปีที่แล้ว +7

    Nilitabiri na natabiri tena mbatia James anakwwnda CCM

  • @selemanimdabwa1967
    @selemanimdabwa1967 5 ปีที่แล้ว

    Maalimu seefu mbabe

  • @ronaldmbao618
    @ronaldmbao618 5 ปีที่แล้ว

    Hivi mzee Lowasa upande wa CCM atapewa nafasi gani? Kugombea urais au kitu gani?

  • @vincentmaya8817
    @vincentmaya8817 5 ปีที่แล้ว

    Tuna print T-shirt na vikombe kwa bei nafuu.kwa wale wanaohitaji tuwasiliane.

  • @henry1933
    @henry1933 5 ปีที่แล้ว

    DR.Slaa aombwe msamaha

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 5 ปีที่แล้ว +4

    Tumeelewa prof kumbe sultani Seif no m,binafsi sana atakufa na ubinafsi wake atuachie chama chetu.

  • @mgavinyimsilulwibako4277
    @mgavinyimsilulwibako4277 5 ปีที่แล้ว

    lipumba una nini nawewe kwenye chama? kwanza unakiporomosha chama

  • @abdulwalidali4567
    @abdulwalidali4567 5 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe bifu loote hilo umekosa kupewa nafasi ya kugombea uraisi na 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 5 ปีที่แล้ว

    Sema profesaaaa

  • @frankfrank1054
    @frankfrank1054 5 ปีที่แล้ว

    Unataka utwambie we we sio ccm?

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Hilo maalim alikosea kusema hayo Lowasa Hana hizo sifa lkn sifa ya LOWASA ni km alivyotangazwa na wana mbwa Koko CCM wenzake nchi nzima kwamba yeye ni Mzee wa kujinyea na mgeja ni Mzee kubeba pampasi za mavi.Kwa hiyo wamerudi watawazwe nyumbani chadema hakuna wakuwatawaza tuko bize kupambanana kutetea haki.

  • @medardjustinian5223
    @medardjustinian5223 5 ปีที่แล้ว +8

    Hizo zote ni hadithi,nchi kwenye mikono.salama chini ya JPM

    • @fademoonlinetv
      @fademoonlinetv 5 ปีที่แล้ว

      Siku utakapoguswa kwa namna moja au nyingine utajua kuwa ni salama

    • @leonelleo4425
      @leonelleo4425 5 ปีที่แล้ว +2

      @@fademoonlinetv kuguswa kivipi.hebu tuelezee..acha kuishi kwa kufuata propaganda za wanasiasa

    • @phastoryjumbe1964
      @phastoryjumbe1964 5 ปีที่แล้ว

      medard justinian
      bab kubwa!

  • @feintmwashikumbulu8097
    @feintmwashikumbulu8097 5 ปีที่แล้ว

    Katiba asingewaruhusu kumapata waziri. Mkuu

  • @mussagiriba4335
    @mussagiriba4335 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi professor

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 5 ปีที่แล้ว

    Alipoondoka nyumbni aliaga wapi

  • @samsonmwijage1602
    @samsonmwijage1602 5 ปีที่แล้ว

    Nassor Saif: hujui history, cuf ilianzishwa na shaaban mloo na James mapalala baada ya kuunganisha chama cha Kamahuru na chama cha wananchi na kupata cuf. Hivyo maalim seif cuf aliikuta

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 5 ปีที่แล้ว +3

    Fichueni tu uovuwenu mlioupanga kuwafanyia Watanzania wanafiki wakubwa

  • @alexandermholya5827
    @alexandermholya5827 5 ปีที่แล้ว

    Ni kawaida ya siasa ukikosa unachokihitaji unakitafuta kwingine LOWASA yuko sahihi kabisa kurudi nyumbani maana ameona hawezi kuzeekea kwingine ila nyumbani

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 5 ปีที่แล้ว

    Wana siasa hata akikwambia USIKU MWEMA inabidi utoke nje uone je kweli ni usiku. Maana msije mkaamini na kwenda kulala kumbe mwenzenu anaenda zake kupiga mishe

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 5 ปีที่แล้ว +3

    Sasa wanafiki walikuwa kina Nani hapo kamasio waliompokea lowasa

  • @vitussimon9696
    @vitussimon9696 5 ปีที่แล้ว

    Ni kweli upinzani hamna nia ya kuwasaidia wananchi hayo unayoyasema ni kisaikologia tu inaonesha mmegawanyika Kila mmoja analengo lake.

  • @wannawanna9126
    @wannawanna9126 5 ปีที่แล้ว

    Prof Lipumba akili yako kubwa sanaa hawawezi kukuelewa akili ndogo....waache waendelee kuangamia kwa kushupaza shingo zao mwishowe zitakatwa kwa upanga.

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 ปีที่แล้ว

    Lipumba ulikuwepo wkt Lowassa anakuja ukawa halafu baadae ukapewa mihela ili kuzoofisha ukawa lkn Watu wakasimama na ukawa

  • @leonardsimon2148
    @leonardsimon2148 5 ปีที่แล้ว +2

    Najaribu kukuelewa mzee

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 5 ปีที่แล้ว

    Baba mnafiki huyu. Wakati ndiye alimtetea Lowasa akisema tangia aachie uwaziri Mkuu ufisadi umeisha? Lakini Leo anaongea hata bila ya chembe ya aibu mkavu-mkavu

  • @julysusa5998
    @julysusa5998 5 ปีที่แล้ว

    Prof gani huyuuu sijawahi kuona wanafki kama huyu jamaa Heri Lowassa aliyejitangaza hadharani kuliko wewe unaekiuwa chama chako kimya kimya...

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 5 ปีที่แล้ว

    Nyuma ya rowassa kuna watakao mfuata wengi upinzani umekosa hoja za msingi

  • @samsonmwijage1602
    @samsonmwijage1602 5 ปีที่แล้ว

    Kama maelezo ndo haya, kweli upinzani walijichanganya sana: Thobias Marandu mshauri wa mbowe upo hapo??

  • @magrethjames6811
    @magrethjames6811 5 ปีที่แล้ว +5

    Hamjielewi ukawa unanichosha tu

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 5 ปีที่แล้ว

    Right walipewa pesa hao

  • @peterlema1604
    @peterlema1604 5 ปีที่แล้ว

    Hata Wewe una uroho wa madaraka kwa nini ulitangaza kugombea uraisi wakati ulitakiwa ufuate utaratibu wa ukawa.

  • @maklinakasomo6311
    @maklinakasomo6311 5 ปีที่แล้ว

    Muda flan huwa unapoint mzee, sasa elewana na maalim,

  • @geofreymgeni2668
    @geofreymgeni2668 5 ปีที่แล้ว +2

    kakosa urais karudi nyumbani hii kauli kweli kabisa

  • @mayungamaduka6136
    @mayungamaduka6136 5 ปีที่แล้ว

    Silaa alijua hili mapema na watanzania wengi tulijua hili maana hakukipenda chama na mabadiliko ,,,,,

  • @khalidricco3907
    @khalidricco3907 5 ปีที่แล้ว

    prof bwana hhhhhhhh kumbe tb joshua ni mganga?..

  • @barikielisulle9300
    @barikielisulle9300 5 ปีที่แล้ว +1

    Hatutowaelewa nyinyi ni wasaliti wote mliokimbia na kusumbu wengine wasifanye kazi yao ya kichaama.

    • @omaryhabibu8725
      @omaryhabibu8725 5 ปีที่แล้ว

      Daa ila iblahhim leo umenifulasha sana yani daa wewe kiboko umechambua vizuli sana

  • @edgeredson9691
    @edgeredson9691 5 ปีที่แล้ว

    saizi mnakanyagana hahahah

  • @selemanimdabwa1967
    @selemanimdabwa1967 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndio maana ulijiuzuru ulimkimbia lowassa

  • @mariacharles7469
    @mariacharles7469 5 ปีที่แล้ว

    fadhira mnajifanyiana wenyewe au mlitaka kutuongoza wananchi kumbe wote mlikua walafi wa madaraka tu mshindwe na mlegee.

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 5 ปีที่แล้ว

    Hakuna la kuamini kutoka kwenye kinywa cha huyu mvurugaji wa kokodiswa

  • @sadih5333
    @sadih5333 5 ปีที่แล้ว

    PHD Holder msahaulifu hakumbuki hata Maalim ilianzaje akawa ndani ya CUF. Wewe kwavile Mahakama ishakupa copy ya maamuzi yatakayo tolewa kwa niaba yako na msajili wa vyama, sema unavyo penda lakini tushakuelewa

  • @williamjohn2217
    @williamjohn2217 5 ปีที่แล้ว

    Wapinzani hamnainshu tuachieni chama chetu tusongembele

  • @myeraji
    @myeraji 5 ปีที่แล้ว

    PROF. IBRAHIM HARUNA LIPUMBA

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว

    Kaongea vzr

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 ปีที่แล้ว

    Mbona lipumba nasikia wewe ndie uliye mpokea Lowassa? mbona unaleta polojo ili kuwadanganya watu?

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 5 ปีที่แล้ว

    Hata wewe si mpinzani ni staili tu ya maisha

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 ปีที่แล้ว

    neema inakuja chadema ✌✌✌✌

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 5 ปีที่แล้ว

    Makabuli yana anza kufukuliwa.

  • @libisramadhani4757
    @libisramadhani4757 5 ปีที่แล้ว

    mbona umejikita zaid kwa maalim na wakati Ukawa ni vyama 4 au ndoo mwendelezo wa msuguaono wa madaraka

    • @swalehmudhihir6612
      @swalehmudhihir6612 5 ปีที่แล้ว

      ndio alifanya avuliwe nguo na watoto wadogo kama akina mdee...........halafu lazima umuongelee yeye maana ndio katibu wake aliuza chama kwa Lowasa

  • @mohamedabdulkadir2634
    @mohamedabdulkadir2634 5 ปีที่แล้ว

    Nawe usishangae ukarudi kikamilifu ccm simuamini mwana siasa yoyote hamna itikadi wala siasa safi mihemko tu matukio ndio siasa zenu Ona Kagame nae kawaweka kizuizini mageral 3 Rwanda

    • @jumaomar2439
      @jumaomar2439 5 ปีที่แล้ว +1

      mohamed abdulkadir Kheri ya Lowasa ambae karudi CCM bila ya kificho. Kuliko wewe kibaraka unayetumiwa kuhujumu wapizani.

  • @KASOLEKA
    @KASOLEKA 5 ปีที่แล้ว

    Du Kumbe tatizo ni Madalaka. Sasa angalau tunaupata ukweli.

  • @abbasnalengwe4551
    @abbasnalengwe4551 5 ปีที่แล้ว

    maneno yaofisini hayo moyo unamajibu yaliyojificha

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 5 ปีที่แล้ว

    Ongeaaaaaa lkn upinzani Tanzania 3-0

  • @julysusa5998
    @julysusa5998 5 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mwenyekiti wa cuf??? Siyo wewe ulie andika barua ya kujiuzulu??? Unavuruga chama

  • @geophreydamson6936
    @geophreydamson6936 5 ปีที่แล้ว

    isikilize na hii
    th-cam.com/video/5f9QNvKJgMY/w-d-xo.html

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 5 ปีที่แล้ว +1

    hahahaa watu wenye ndoto za kwenda ikulu mbona watakufa bila ya kutimia ndoto zao.. Ila wale wasiojiotea ndoto za kwenda ikulu Mungu uzifanya ndoto zao kuwa kweli.

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 5 ปีที่แล้ว

    YAJAYO YANAFURAHISHA WATANZANIA TUNAPATA PICHA YA MAWAZO YA VIONGOZI WETU ASANTE MUNGU

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 5 ปีที่แล้ว +1

    Maalim hakujiunga cuf aliianzisha cuf wewe ndio ulojiunga na cuf sasa km yeye sultan anzisha chama chako na wewe

  • @kiotakibovudaresalaam3632
    @kiotakibovudaresalaam3632 5 ปีที่แล้ว

    Hayo unayotueleza kwa sasa yanatusaidia nn cc watanzania pita hivi bhana alaaaaa!!!!!!!!

    • @swalehmudhihir6612
      @swalehmudhihir6612 5 ปีที่แล้ว

      pole sana utakuja kumuelewa tu ia utakuwa umeshachelewa

  • @samusonibalazingiza3689
    @samusonibalazingiza3689 5 ปีที่แล้ว

    Unaongea sawa tu

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว

    Hivi wewe bado una imani ya kuwa Rais wa Nchi hii?

  • @ebbywilliam4637
    @ebbywilliam4637 5 ปีที่แล้ว

    Mbona mzee unaongea sasa haya. Nguvu ya Lowassa ndio imeongeza idadi ya wabunge wa upinzani. Hiyo ni msaada tosha wa Nguvu ya Lowassa. Wewe muheshimiwa mbona uliondoka dk za mwisho alafu ukirudi tena. Na wewe tukuweke kundi gani? Maalimu kasema nguzo maana ali bust idadi ya wabunge. Upinzani msingefikia hapo!!

  • @stevenmwaiko801
    @stevenmwaiko801 5 ปีที่แล้ว +1

    Yuda Escarioti...

  • @ismailihassan4593
    @ismailihassan4593 5 ปีที่แล้ว

    Loasa ni mnafiki yan hana hutu mm namfaham sana loasa alikua mbunge wetu monduli niwahovyo sana.

  • @edgeredson9691
    @edgeredson9691 5 ปีที่แล้ว

    maalim seif alpojiunga CUF nani alimpokea kama sio wewe??Wajinga hawataelewa...

  • @boriskhalfan753
    @boriskhalfan753 5 ปีที่แล้ว

    Angalia kibanzi chako jichoni kwanza umeivuruga cuf na wewe pia ni ccm hufai hata kuwa raisi WA nchi

  • @sadih5333
    @sadih5333 5 ปีที่แล้ว

    we jamaa kulingana na tulivyo kuelewa sasa hata usemenini huaminiki tena, mfano mdogo wewe ni mchumi na mambo ya kiuchumi unayaona yenavyo endesha nawe umeufyata,.

  • @shadyatom3838
    @shadyatom3838 5 ปีที่แล้ว

    tumekuelewa msomi ni msomi tu kama utaki jeuli

    • @emmanuelstony6811
      @emmanuelstony6811 5 ปีที่แล้ว

      mwenyewe umevuruga caf umegawanya mara2 mwenyewe hueleweki

    • @pangarasfuko2383
      @pangarasfuko2383 5 ปีที่แล้ว

      Mzee unapoteza muda ,kuongea mbona rais tunae nin sasa ,ww ndio mvurugaji Mkubwa sijui ,umesomea nini

  • @kiotakibovudaresalaam3632
    @kiotakibovudaresalaam3632 5 ปีที่แล้ว

    Wewe ni feki

    • @justinpeter453
      @justinpeter453 5 ปีที่แล้ว +1

      chadema sijawahi on a mwenye akili wore akili matopetu

    • @makameabdalla8928
      @makameabdalla8928 5 ปีที่แล้ว

      Lipumba wewe mwenyewe ni Kinyago cha mpapure.
      Huna mbele huna nyuma.
      Nyamaza kimya. Tulio wengi tumeshaelewa kuwa nyinyi wanaharakati uchwara nyote ni wachumia tumbo na waganga njaa tu. hamna lolote la maana.