CHADEMA YAIBUKA NA OPERESHENI ONDOA MSALITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza operesheni maalumu ijulikanayo kama Ondoa Msaliti Buguruni (OMB) kwa lengo la kutatua mgogoro unaokikabili Chama cha Wananchi (CUF).
    Operesheni hiyo ya kidemokrasia imeanza rasmi leo Julai 10, ambapo vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimelenga kumuunga mkono Katibu wa CUF, Maalim Seif.
    Akizungumza leo wakati wa kutangaza operesheni hiyo, Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani, Saed Kubenea amesema kuwa mgogoro huo una athari kubwa kwa vyama vya upinzani hivyo wameamua kuungana pamoja ili kuimarisha vyama vya upinzani chini ya mwavuli wa Ukawa.
    Kubenea ambaye pia ni Mbunge wa Ubungo, ameeleza kuwa baada ya kukaa na viongozi wa CUF ili kujua kiini cha mgogoro huo wamebaini kuwa siyo mgogoro ndani ya chama, bali unachochewa na CCM wanaomtumia Profesa Lipumba ambaye wamemuita ni msaliti.
    “Sisi kama Chadema tumeamua kuwasaidia viongozi na wanachama wa CUF kumuondoa msaliti Lipumba Buguruni na kutupa nguo zake na viongozi halali wa CUF watarudi Buguruni, “amesema Kubenea.
    Kadhalika amesema pamoja na mambo mengine, chama kimeazimia kuwa mameya wa Manispaa zote za Jiji la Dar es Salaam wasitoe ushirikiano kwa viongozi wenye ushirikiano na Profesa Lipumba.

ความคิดเห็น • 79

  • @beatricehenry7101
    @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว

    Asante Frank, Bwana amenipa Hekima, Ufahamu,na Maharifa tuchape kazi haya yametuchosha

  • @saidpolenikwamsbakinidi6232
    @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana wamechukizwa ukawa kushikilia miji mikubwa roho zinawauma maccm kibaraka wao lipumba hafanikiwi kutuvuruga

  • @masungamnganya8678
    @masungamnganya8678 7 ปีที่แล้ว +7

    Upinzani nimhimu lakin co huu wa Tanzania

    • @beatricehenry7101
      @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว +1

      Nganya Masunga wtz tunadunda hatujui hawa kama wapo wezi tu hawa

    • @kfastak
      @kfastak 7 ปีที่แล้ว

      Nganya Masunga je, niupnzani wawap unaofaa?

    • @ramadhanimambya6569
      @ramadhanimambya6569 7 ปีที่แล้ว +4

      upinzani ni muhimu lakini sio huu

  • @idrissaramadhani2872
    @idrissaramadhani2872 7 ปีที่แล้ว +2

    Mhe. Riziki Shahali ni mtalaam mbobezi katika fani ya conflicts and conflicts resolution, Lipumba anataka negotiation lakini seif hataki. kwa nini mama usitumie fani yakon kuwaleta pamoja seif na lipumba. nadhani conflict imeshafikia stalemate-hapa hakuna aneyeweza kushinda. zungumzeni kama CUF, mkimaliza CUF iongee na Chadema na NCCR.

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 7 ปีที่แล้ว

      Unaropoka tuuuu wewe inamana hujui kwamba lipunba alijiuzulu

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 7 ปีที่แล้ว +3

    Hata kipofu anaona kwa hili.Uchaguzi wa 2015 umewashtuwa .

  • @beatricehenry7101
    @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว +10

    Mfa Maji aishi kutapatapa kwisha habari yenu

    • @frankbella4170
      @frankbella4170 7 ปีที่แล้ว

      beatrice haujitambui

    • @yesgood3491
      @yesgood3491 7 ปีที่แล้ว

      kumsaidia maskini Wa Akili ni kazi kuliko kuhamisha mlima Kilimanjaro.Wengi wenu hatujui kaz na umuhimu Wa oposistion,mnadhan ni kwa ajili ya Mbowe,kubenea kumbe ni kwa ajili yako.

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 7 ปีที่แล้ว +1

    Lipumba must fall.

  • @philipomakanamabilikaathum6394
    @philipomakanamabilikaathum6394 7 ปีที่แล้ว +3

    Mimi siku zote hua naamini mti wenye matunda haukosi kupondwa mawe hivyo chadema kazeni kamba nipo nanyi daima

    • @beatricehenry7101
      @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว +2

      Philipo Makana Mabilika Athuman mti umekauka matunda yameoza

    • @thaddeojude7511
      @thaddeojude7511 7 ปีที่แล้ว +1

      Philipo Makana Mabilika Athuman mmmh cdm...mti wa matunda kweli???

  • @jumamkwanda187
    @jumamkwanda187 7 ปีที่แล้ว +4

    Ukawa mnatuchanganya kwa ujumla,Upi mwelekeo wenu?

    • @saidpolenikwamsbakinidi6232
      @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 ปีที่แล้ว +2

      Juma Mkwanda tume huru yauchaguzi tunataka katiba mpya nakibaraka lipumba atoke buguruni

    • @beatricehenry7101
      @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว +2

      Juma Mkwanda wanajichanganya wenyewe ss wtz wanatuboa tu, tuna kz nyingi za kufanya

  • @thomaspascal9641
    @thomaspascal9641 7 ปีที่แล้ว +1

    watangulie viongozi siyo mkae nyuma wakaumizwe vijana wetu tu

  • @samsonmwijage5301
    @samsonmwijage5301 7 ปีที่แล้ว +3

    acheni kuhadaa WaTz, yote haya yametokea baada ya Chdm kuwakaribisha lowasa na sumaye UKAWA na kumpitisha lowasa kugombea urais harakaharaka na nyie mlomtangaza nchi nzima kuwa ni fisadi. Dr Slaa yuko wapi? Je lipumba ndiye aliyemleta lowasa?

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 7 ปีที่แล้ว

    duuuuh!!!2020 itawakuta hivi hiviii.maskini ukawa yetu..

  • @shafiikaorata1264
    @shafiikaorata1264 7 ปีที่แล้ว +2

    Hapa nchi kwanza hizo porojo baadae, na chadema mumuache lipumba na badala yake tuangalie maslahi ya nchi

  • @adammsham3753
    @adammsham3753 7 ปีที่แล้ว

    kwan msemaji WA cuf

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 7 ปีที่แล้ว +4

    ya kwenu yanawashinda mnataka watu wengine tengenezeni ndoa yenu kwanza ndani. mnatafuta kiki waulizeni madereva bodaboda watawaonyesha.

  • @joshuawwalwa3533
    @joshuawwalwa3533 7 ปีที่แล้ว

    kwahiyo naccm watasafisha wasaliti bunguluni sasa wataazia maalim self na nguo zake

  • @habibomary7444
    @habibomary7444 7 ปีที่แล้ว

    mnanimalizia bando langu kwa v2 visivokua na direction

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 7 ปีที่แล้ว +2

    vyama ruzuku

  • @lusajoyuda6145
    @lusajoyuda6145 7 ปีที่แล้ว +2

    Ya CUF waachieni Wana CUF pambaneni na hali yenu. Hamna agenda yoyote mpya sasa mmebaki kutapatapa tu. Dead CDM

  • @idrissaramadhani2872
    @idrissaramadhani2872 7 ปีที่แล้ว

    bila kujali all ,,,,,,,,,,,

  • @saidiathumani7440
    @saidiathumani7440 7 ปีที่แล้ว +2

    nyoooo nendeni mkapige na mabom

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 ปีที่แล้ว

    Okay

  • @marthasilas4304
    @marthasilas4304 7 ปีที่แล้ว

    mnahangaikaga sana ndo maana mnaboa

  • @farajimrutu2212
    @farajimrutu2212 7 ปีที่แล้ว +1

    hizi ni njia za kupata ofisi maana chadema hata choo hawana sasa wa nataka kufanya ofisi za buguruni za cuf yawe ya ukawa na hapa ni kiki mnatafuta na hamtaenda mahali na hui OMB kwani kibano mtakula

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 7 ปีที่แล้ว

    Upinzani Wa Tanzania, ni upiga deal na usaka tonge tu.Zamani niliwapenda,lakini mulipochukua wapiga deal Wa ccm,kuwa mtaji Hamna jipya ni longolongo tu!

  • @beatricehenry7101
    @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว

    Thaddeus, hapo chacha, cdm kuwa mti wa matunda.

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 7 ปีที่แล้ว

    chadema kuingilia uongoz wa cuf c salama kwenu acheni wamalize mgogoro wao wenyewe,maandiko yanasema auaye kwa upanga naye atauawa kwa upanga tumieni b usara ktk hili

  • @joshuawwalwa3533
    @joshuawwalwa3533 7 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo ccm nalipumba chedema nasefu shwali tu hapo poa msilalamike sasa maana mmegawana

  • @samsonmwijage5301
    @samsonmwijage5301 7 ปีที่แล้ว +3

    hata wao wanaamini mbowe alipewa bahasha na lowasa. Wamenukuliwa wakisema ukawa imeletwa kuwajenga chdm na kudhoofisha vyama vingine. tumuamini nani?

    • @saidpolenikwamsbakinidi6232
      @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 ปีที่แล้ว

      Samson Mwijage tuna viti kumi chini ya ukawa maccm muchukizwa wapinzan kushikilia majiji makubwa chini yaukawa kibaraka wenu hafanikiwi kuvuruga ukawa

    • @saidpolenikwamsbakinidi6232
      @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 ปีที่แล้ว +1

      Samson Mwijage Maccm munaumwa naukawa kushika majiji makubwa nacuf kupata viti 10 bara kibaraka lipumba anatumika kuvuruga ukawa

    • @beatricehenry7101
      @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว +2

      Said poleni kwa msba Kinidi msishindwe mpira mkasingizia kiwanja Maji yk shingoni ukawa

    • @annacarlos7925
      @annacarlos7925 7 ปีที่แล้ว

      Beatrice Henry mimi naona wewe hujielewi ungejua haya anayofanya magu nikwa ajili yaukawa wala usingesema hayo ungejua wzi waliofilisi nchi

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 7 ปีที่แล้ว

      Anna Carlos una ithibitisho?

  • @josephmbeya5973
    @josephmbeya5973 7 ปีที่แล้ว +1

    Ukawa imara sanaaaaaa,Serikali ya ccm porojo nyingi

  • @vancesolomon6298
    @vancesolomon6298 7 ปีที่แล้ว

    acheni unafiki mnajifanya mnaipenda cuf na kuipigania wakati inapoanza mchakato wa kampeni na kupendekeza viongozi mnawapiga game na kupendekeza upande wenu

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว

    Mnazingua tuachieni chama chetu tutatatua mambo yetu wenyewe

  • @joachimerass389
    @joachimerass389 7 ปีที่แล้ว

    Ondoa msaliti cuf

  • @vancesolomon6298
    @vancesolomon6298 7 ปีที่แล้ว

    huo mgogoro utasoviwa na wenyewe sababu hata lipumba nae anakubalika na wananchi wake

  • @emmanuelmedukenya6572
    @emmanuelmedukenya6572 7 ปีที่แล้ว

    Nawao cuf tangu lipumba ajiudhuru kwanini hawakuchagua mwenyekiti mwingine?? kumbe walikuwa wanamsubiria lipumba arudi?? mingogoro hiii wameileta wenyewe kwa kuchelewa kujaza nafasi ya mwenyekiti

  • @emmanuelmedukenya6572
    @emmanuelmedukenya6572 7 ปีที่แล้ว

    ukiangaria mdomo wa kubenea unakuonyesha kitu.... kwa mwendo huuu Ccm watatawala miaka miingi saaana maana wapinzani wengi viroba

  • @simonliduke8570
    @simonliduke8570 7 ปีที่แล้ว

    uongozi ni utashi wa mtu sio chama na kama ungekuwa chama nchi hii ingekuwa mbali sana kwa sasa ndio tumepata kiongozi mwenye uchungu na nchi hii na watu wake

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 7 ปีที่แล้ว

    Kubania, NYOKA kafa! tupa gongo ilo.

  • @johnmatiku1567
    @johnmatiku1567 7 ปีที่แล้ว

    tulishachoka na nyie kila siku migogoro

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว

    Mgogoro unamwaka sasa leo mmekosa kick mnaibuka nakuanza kuutatua mlikua wapi sikuzote

  • @franktibikunda6252
    @franktibikunda6252 7 ปีที่แล้ว

    kweli Simba akizeeka hula majani,
    mmeshindwa kupambana Na agenda za chama, sasa mmehamia kwenye suala la chama kingine, pambaneni na agenda za chama, suala la Cuf liachieni viongozi wake wapo.
    sasa mnaibuka na agenda ya ondoa, kwani ya ukuta iliishia wap,
    nimeamin kuwa lipumba anaposema kuwa maalim seif analengo la kukiuza chama cha cuf kwa chadema kwa bei poa kumbe kweliii

    • @zakiamusa6789
      @zakiamusa6789 7 ปีที่แล้ว

      Frank Tibikunda safisana

  • @chazyjuma7353
    @chazyjuma7353 7 ปีที่แล้ว

    betrice ww ni kilaza kwa mawazo yako mgando unadhani upumbavu wako peleka huko chadema ndo tumaini jipya

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 7 ปีที่แล้ว +1

    msajiri ana mamlaka ya kusajiri na kufuta vayama, unampaje taarifa msajiri Kama kazi yake ni kusajiri tu? ambaye hana kumbukumbu atazani Mkweli. mafisadi walikumwagia tundu kili au! umebadil gia tena, ondoa FISADI kwanza.

  • @asanteellycharles1353
    @asanteellycharles1353 7 ปีที่แล้ว

    naipenda cdm lkn kwahili kubeneo ckuungi mkono
    vita ya cuf inakuhusu nn ww chadema?
    unaanzisha matatizo yasiokua ya lazima cjui kwnn viongozi wa cdm wamemruhusu kubenea afanye upuuzi huu chadema hatutaki mgogoro na cuf wawaachie mambo yao wamalize wenyewe labda washiriki ktk upatanishi lkn sio ktk malumbano hii inaondoa imani kwa wananchi na itakua faida kubwa kwa ccm

  • @zablonsumuni3255
    @zablonsumuni3255 7 ปีที่แล้ว +6

    ninyi msiojielewa, hata kwa mafisadi si mlisema ushahidi mnao!!!? mbona tena mlirudi kwetu mnatuambia kama tuna ushahidi juu ya mafisadi tupeleke mahakamani, shame on you. Leo tena mnatuambia lipumba kapokea pesa na ushahidi mnao, kesho akirudi kwenu tena mtuulize kama tunaushahidi!!!!!!!!??????? muone aibu bana....................

    • @gideons5265
      @gideons5265 7 ปีที่แล้ว

      Zablon Sumuni siasa mchezo mchafu...
      kama hujui basi utauma kichwa

    • @beatricehenry7101
      @beatricehenry7101 7 ปีที่แล้ว +1

      Zablon Sumuni shikamoo zablon

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 7 ปีที่แล้ว

    too much wala wala,, we are tired with cheap politics....

  • @petermgendwa155
    @petermgendwa155 7 ปีที่แล้ว

    Mpaka leo sijajua nini ni dira ya upinzani Tanzania a maana kila Mara mnaanzisha operations ambayo haina mwisho sasa tuambiwe dira yenu ni nini

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 7 ปีที่แล้ว

    Ni nyie mlio tuita sisi CCM B leo mmeanzanje kuwa marafiki zetu mrudishieni Lowasa pesa zake sisi hatumtaki

  • @georgendossy7927
    @georgendossy7927 7 ปีที่แล้ว

    Tangu lini Kubenea ukawa msemaji wa CUF? Kama Mutungi hana mamlaka ya kukiamulia CUF viongozi na wewe kama Chadema huna mamlaka ya kukisemea chama cha CUF. Au wewe ni double agent? Una kadi ya CUF?

  • @johnstonemwesiga236
    @johnstonemwesiga236 7 ปีที่แล้ว

    haaa

  • @hassanihussein4479
    @hassanihussein4479 7 ปีที่แล้ว

    Dunia inatambua kwamba lipumba ni kibaraka Wa ccm

  • @zakiamusa6789
    @zakiamusa6789 7 ปีที่แล้ว

    Jeri Muro amtolea uvivu Tundu Lissu
    MUUNGWANA BLOG / 2 days ago

    Jerry Muro.
    ALIYEKUWA msemaji wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro amemtolea povu Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu kutaka wanachama wote wa TLS kususia kwenda mahakamani kwa siku mbili.
    Muro ameyaandika haya.
    Tundu Lissu, TUNDUNI
    Na Jerry C. Muro
    Nianze kwa kutoa pole kwa jumuiya nzima ya wanasheria nchini, pole yangu sio ya tukio la IMMA Advocates, bali pole yangu ni ya kuchagua Rais wa TLS chama chenu ‘MAHIRI’ cha wanasheria Tanganyika - TLS Ndugu Tundu Lissu ambae AMEDHIHIRISHA kuwa ameanza rasmi safari ya kuizika TLS, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari kuhusiana na tukio la IMMA Advocates.
    Nianze kwa kuweka msingi wa HOJA yangu kuwa sifurahishwi na kilichotokea kwenye IMMA advocates, ila pia SIFURAHISHWI zaidi na “AKILI NDOGO” za Rais wenu katika hatua za AWALI za kushughulikia suala hili.
    Mimi ni Profesional communicator kama mwandishi wa Habari, na Nyinyi wanasheria ni Profesional kwenye Sheria, ukisoma na Kusikiliza kwa umakini TAARIFA ya Mhe Rais wa TLS utagundua makosa makubwa sana ya KIUFUNDI ambayo yanaifanya taarifa nzima kuwa kama taarifa ya Mfalme “JUHA” na kwa sisi MAFUNDI wa taarifa tunasema taarifa ikikosewa katika UANDAAJI na UWASILISHWAJI inakuwa imekosa MASHIKO, na hivyo taarifa nzima kuwa BATILI.
    KWANINI BATILI
    1. Taarifa iliyowasilishwa na Rais wa TLS tayari kwa kiasi kikubwaa ilishatolewa na Chama cha wananchi CUF #teammaalim, ukisoma taarifa ya cuf ambayo ilitoka siku moja kabla ya hii ya Rais utaona nachosema, ila hii ya Rais imewaka mbwembwe ya Vifungu Vifungu vingi vya SHERIA tu, ila taarifa zote zimeonyesha kuwa IMMA advocate ni WABIA katika kazi mana cuf inatetewa na IMMA advocate na Rais Lissu anatetewa na IMMA advocate hivyo wote WANAOMBELEZA DHORUBA YA MMBIA WAO., japo TLS ni Chama na Lissu ni Rais, na ni mteja wa IMMA katika hoja hii ya kwanza nimalizie kwa kusema tu Hoi taarifa ni BATILI kwa kuwa Imekuwa taarifa ya KISIASA na Imetolewa na wanasiasa wa vyama viwili tofauti, japo Mmoja ni Rais wa TLS, hapa utaona sasa Hatari ya kuwa na Rais wa TLS ambae ni mwanasiasa.
    2. Taarifa ni BATILI kwa kuwa imeanza kwanza kwa KUHUKUMU kuwa Ofisi za IMMA advocate zimepigwa BOMU na POLISI, japo hizi ni taarifa za AWALI lakini kwa maoni yangu TAARIFA haikupaswa kujielekeza kwenye kazi za mamlaka nyingine, mana kama mmeshajua waliolipua ni POLISI basi hamkuitaji kutoa taarifa Bali kufuata SHERIA kuwashtaki POLISI.
    Katika hoja hii MWENDELEZO wake inasema wanavitaka vyombo husika wakiwemo “WATUHUMIWA” Polisi kufanya uchunguzi, mbele zaidi tena wanataka kukutana na “MTUHUMIWA” boss wao IGP, hivi hii ni SAWA WANASHERIA, mnataka kukutana kufanya nini tena na IGP au mkurugenzi wa usalama wa taifa ambae majuzi juzi hapa wakati wa Sakata la Bombadier Rais “WENU “alishema kuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa” ANAMFUATILIA FUATILIA “sasa iweje Leo aombe mwenyewe kukutana na” MTESI ” wake, NDIO MANA NASEMA HAPA KUNA TATIZO YA HIKI CHAMA KUONGOZWA NA MWANASIASA, labda niwakumbushe tu hawa wanasiasa enzi ya Lowassa Walisema” mwizi” alipokwenda kwao wakamuita mfalme wa AMANI hawa ndio wana SIASA.
    3. Taarifa ni BATILI, kwa sababu taarifa inataka WANASHERIA kugoma jumanne na jumatano, huu ni MGOMO ambao katika taarifa yao wanaomba ufanywe UCHUNGUZI, lakini pia kwenye taarifa yao wanaomba kuonana na kaimu Jaji Mkuu ambae mmekuja kusema tena hapo Chini ASUSIWE hamtaki kwenda kwenye mahakama anazoziongoza, JAMANI mnajua mnachofanya?
    Hii ni sawa na KUJITEKENYA MWENYEWE KISHA UKACHEKA MWENYEWE. nadhani Wasomi wana Sheria tukubaliane katika jambo moja MGOMO au KUONANA na “WATESI “wenu huwezi kushika mambo mawili kwa wakati Mmoja lazima MOJA litaponyoka.
    4. Hii taarifa ni BATILI, kwa sababu imemtangaza MGOMO pasipo kusema ADUI ni Nani, hivi Hebu tuambieni mnagoma mkilenga KUMUUMIZA Nani? Kuwaumiza wateja wenu walioko MAGEREZANI au?
    Hivi nyinyi hii kazi ya UANASHERIA ni ya kujitolea katika kazi zenu zote? Hivi hakuna pesa mmechukua za wateja wenu ambazo mnapaswa kuzifanyia kazi, au TUSEME na nyinyi “WEZI” mnachukua hela za wateja wenu kisha mnagoma?
    Hebu mtuambie Nani ADUI YENU basi.
    MASWALI MAGUMU ZAIDI TLS.
    1. Hivi Mbona walipouwawa WANASHERIA na MAWAKILI nguli nchini, tena waliowasomesha na kuwafundisha HAMKUGOMA KUSHINIKIZA HAKI ITENDEKE KAMA HIVI LEO, au mmesahau Vifo vya “UTATA” vya Mawakili Marehemu Kapinga, Marehemu Mvungi, Marehemu Mwaikusa? Kwa kuwa mnasahau ngoja tuwakumbushe tu *HAKUNA NAMNA, Leo hao wazee wamekuwa “LIABILITY” kwenu halafu cuf, Lissu, acaccia zimekuwa “ASSET” kwenu?
    2. Hivi tangu lini mmeanza kushirikiana press releases na vyama vya siasa mfano cuf?
    3. Hivi TLS kimekuwa Chama cha Siasa, au kwakuwa Rais wenu ni mwanasiasa?
    4. Mnawezaje kuitenganisha TLS na siasa?
    5. Katika Sheria kuna neno linaitwa “INNUENDO” hivi mnajua maana ya hilo neno katika Sakata hili la IMMA advocate?
    6. Hivi mnajua IMMA advocate ni kampuni “inayotajwa” KUCHOTA mabilioni ya fedha za EPA kupitia kampuni ya DEEP GREEN kiasi cha BIlioni 8 zilichotwa, mnajua hilo? kama hamjui nendeni Brella kisha mkasome anuani za Kampuni ya DEEP GREEN, kisha mtangaze MGOMO.
    7. Hivi mnajua huyu Rais wenu Lissu akiwa Bungeni mwaka 2012 Aliitaja kampuni ya IMMA advocate kuwa ilizitetea kampuni za TanGold na Deep green microfinances KUCHOTA pesa za EPA, halafu Leo HAWAHAWA imma advocate ndio wanaomtetea Lissu katika kesi zake?
    Hivi mnajua maana ya vita ya KIUCHUMI, adui yako anaweza kutumia MKEO, WATOTO* na hata Ndugu zako ili mradi APATE USHINDI.
    Mwisho, Nawapenda sana WANASHERIA, mana najua mchango wao katika taifa la Tanzania, nawathamini sana Wanasheria wamaotanguliza UZALENDO kwa taifa Lao pamoja na changamoto tunazopitia kama taifa Changa, Nawapenda Wanasheria wanaosem KWELI kwa maslahi ya taifa Lao na Sio MATUMBO yao.
    Sasa Sikilizeni, AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
    LEO TUNDU, TUNDUNI.
    Wasalamu
    Jerry C. Muro
    28/08 /2017

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 ปีที่แล้ว

    Kumbe Lipumba ni puppet wa CCM, na usomi wote huo haaaaaaa

  • @dominicphinias5040
    @dominicphinias5040 7 ปีที่แล้ว

    Upinzani kama huu ni bora nikalime nyanya kuliko upinzani huu ni upinzani hewa majina yale yale maneno yale yale mambo yale yale mfumo uleule tunasindikiza ccm tu upinzani huu sio Leo wameshindwa kupigania mambo ya msingi ya nchi yetu sasa wanapigania cuf imtoe lipumba je upinzani ni Kazi ya kukosoa serikali au kupinga lipumba tena Bila ebu mjue definition ya politics, politics is a question competition of ideas sio ujinga mnao fanya

  • @mahmoudawadhi2520
    @mahmoudawadhi2520 7 ปีที่แล้ว

    muondoweni jamani profesa uchwara sisi uku mtwara asikanyage kabisa

    • @petertinanzila9256
      @petertinanzila9256 7 ปีที่แล้ว

      Nachokijua mm nikuwayumbisha viongozi wenye misimamo na upinzani wadhati sasa kazi lipumba hajafanya wanamdai afanyekazi kama pesa alichukua

  • @adammsham3753
    @adammsham3753 7 ปีที่แล้ว

    kwan msemaji WA cuf