Lava Lava - Niuwe (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025
  • NIUWE Available On:
    iTunes: itunes.apple.co...
    For Bookings: Contact +255652427989 Email:ricardomomo70@gmail.com
    Follow Lava Lava On:
    Instagram:www.instagram....
    Facebook: / iamlavalavapage
    Twitter: ia...
    #wasafi #lavalava #niuwe

ความคิดเห็น • 3.9K

  • @jonesdegrandson9261
    @jonesdegrandson9261 6 ปีที่แล้ว +164

    Wimbo mzuri sanaaaa.....acha nijipe like sababu sipatagiii

  • @TabarakElectronics
    @TabarakElectronics 6 ปีที่แล้ว +8

    I’m on my way to Tanzania 🇹🇿 all the way from Nairobi, Kenya 🇰🇪 can’t wait to see wasafi stars musinipite ka likes tafadhali gonga tu na like mpka nifike mwanza nyege nyege

  • @CarabHassan-t9p
    @CarabHassan-t9p 9 หลายเดือนก่อน +2

    iam from the ustari 🇦🇹🎉

  • @silawsang2565
    @silawsang2565 6 ปีที่แล้ว +70

    Nipeeni like nmeview wa kwanza 🤭😂😂lavalava this is a hit kanatosha kufunga nayo mwaka 🔥🔥🔥🔥🇰🇪

    • @tanzania25ss52
      @tanzania25ss52 6 ปีที่แล้ว +1

      Mmm mmm🙌🙌🙌🙌🙌

    • @silawsang2565
      @silawsang2565 6 ปีที่แล้ว

      @@tanzania25ss52 ✌️🔥🔥

  • @kamatasangija383
    @kamatasangija383 6 ปีที่แล้ว +133

    nyimbo nzur sana kama unaamini lava lava amebadilika na anaenda kuwa moto mkali nipe like yako sijawahi pata like nyng

  • @killymgaya7375
    @killymgaya7375 29 วันที่ผ่านมา +1

    its fire poppin up lavalava

  • @ar-shadihashimu6729
    @ar-shadihashimu6729 6 ปีที่แล้ว +10

    Bhn eeeh,,,,,WCB wote tumewashindwaaaaaa mnajua mpk mnakelaaaaa like kma zote jmn#Niuweeeeeeee

    • @munirysaidy8087
      @munirysaidy8087 6 ปีที่แล้ว

      Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii uwiiiii umeuwaaaaa

    • @abdulsalumu634
      @abdulsalumu634 6 ปีที่แล้ว

      jmni nku kubal sna

  • @issadinhussein5066
    @issadinhussein5066 6 ปีที่แล้ว +7

    Mtoto mdogo anaowapa wazee shida,kitu safi ja pamba. 🔥 🔥 🔥

  • @ashurajuma7934
    @ashurajuma7934 2 ปีที่แล้ว +1

    Honger zao jaman

  • @upendogervas7540
    @upendogervas7540 6 ปีที่แล้ว +19

    Kuimba umeimba wewe Raha Napata mimi. THANK YOU LAVALAVA HUU WIMBO KWANGU TIBA BABA

  • @SelestineLoya
    @SelestineLoya 3 หลายเดือนก่อน +17

    Jaman mbono kama imetoka Leo ,kama unaamin hiii ngoma ni Kali mpka 2090 gonga like ❤❤❤❤

  • @billuathman4318
    @billuathman4318 2 ปีที่แล้ว +3

    Hata ukae kmy ma bro kuimba mm Bado nimshabik wako frm the ❤️

  • @princenewton
    @princenewton 6 ปีที่แล้ว +776

    Kama unamkubali lavalava Gonga like .Kusema ukweli huu mwaka umekua wa Harmonize kwenye (WCB) lavalava kanyanza kiplani Gonga like kama tunakubaliana🙏asaaa Go gaga Fanya kama unatagaa that one was a massive .Kenyaaa +254

    • @bobbypicasso6505
      @bobbypicasso6505 6 ปีที่แล้ว +8

      Hatari mjombaaa.... Hapa kenya tuko tuned babaaa

    • @abeliwilliam2467
      @abeliwilliam2467 6 ปีที่แล้ว +5

      Namkubali sana kijana huyu, wimbo mzuri ila video ya wimbo huu kabuki ikombali sana na wimbo

    • @bobbypicasso6505
      @bobbypicasso6505 6 ปีที่แล้ว +4

      Kama waikubali hii kazi wapi likes za mkali...

    • @DJSPARKVEVOs
      @DJSPARKVEVOs 6 ปีที่แล้ว +2

      th-cam.com/video/h86Zq9mqMCw/w-d-xo.html

    • @annieann0012
      @annieann0012 6 ปีที่แล้ว +3

      nakuona ushafika😂🤣🤣🤣

  • @dassykhamis3030
    @dassykhamis3030 6 ปีที่แล้ว +63

    Kama unaamini or unakubali hii ngoma nikali kuliko, kadogo ya alikiba, like hapa

    • @mariamuhamisi3048
      @mariamuhamisi3048 5 ปีที่แล้ว

      nan kakwambia

    • @prriya507
      @prriya507 2 ปีที่แล้ว

      @@mariamuhamisi3048 😂😂😂😂Afadhal ata umemjibu

  • @CorneliusMudy
    @CorneliusMudy หลายเดือนก่อน +1

    Nani ako hapa 2024 Nov tujuane

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 ปีที่แล้ว +44

    Nadhani huu ndio wimbo wangu bora kwa upande wa LAVALAVA hadi ata staafu kuimba !

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 6 ปีที่แล้ว +89

    Mzee baba hii fungaaaa mwaka hatar 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Mokham_8813
    @Mokham_8813 23 วันที่ผ่านมา +3

    2025 still amazing 👏

  • @modycruz2298
    @modycruz2298 6 ปีที่แล้ว +24

    aaaah olaaa chama la wana nyengine tenaaa..kali saana Mr Lava Lava...eeh..umetufungia mwaka vizuri...ngoma zengine hatuskizi tenaa😂😂

  • @silawsang2565
    @silawsang2565 6 ปีที่แล้ว +42

    No1 from kenya 🇰🇪🔥🔥🔥🔥

  • @marshialmarshah9032
    @marshialmarshah9032 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaasafy for real all day all time

  • @mtetezihassani2285
    @mtetezihassani2285 6 ปีที่แล้ว +11

    Wow! It's very nicely song. Very congratulations to u Mr LAVA LAVA and WCB. Mhmm!!!!!! imekaa vizuri sana . Hujawahi kuniangusha 👏👏👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @maxmilianmariceli6708
    @maxmilianmariceli6708 6 ปีที่แล้ว +23

    Mapema sana nawakilisha pande za Arusha Tz 🗻 wapi like za WCB
    Kitu Konk💪

  • @onesphorendayizigiye1442
    @onesphorendayizigiye1442 2 ปีที่แล้ว +13

    Respect to you Lava Lava.
    Warundi🇧🇮 tunakupenda sana tena sana✌️

  • @sumuyaodawayao2592
    @sumuyaodawayao2592 6 ปีที่แล้ว +41

    From+260 Zambia naomba tufahamiane kwa like jamani nataka niona wanaomuelewa lavalava huku Zambia naomba aliopo bong asi like

  • @stanydizzy480
    @stanydizzy480 6 ปีที่แล้ว +10

    ukisikiaa goma la kufungia mwaka ndo hili goood job

  • @d.m.tforextraders2951
    @d.m.tforextraders2951 9 หลายเดือนก่อน +90

    Team 2024 mark your register hapa

  • @myfriends289
    @myfriends289 6 ปีที่แล้ว +113

    Tanzania muko na vipaji katika Africa yote... lakini kuna ugonjwa ambao umeingia sasa kwajina....Basata....

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 6 ปีที่แล้ว +136

    Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz... Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 🔥 👐

    • @arsenalic23
      @arsenalic23 6 ปีที่แล้ว

      😆😆😆

    • @twentyfours3652
      @twentyfours3652 6 ปีที่แล้ว

      Kinje Athuman Hahahahahahahahhaahahahahahahahah, nakubali Ndugu Mkaguzi. Hapo ripoti yako hijadanganya kabisa.

    • @qoma1002
      @qoma1002 5 ปีที่แล้ว

      Somti

    • @noerajonson4436
      @noerajonson4436 5 ปีที่แล้ว

      Mbaso

    • @richardyusuphmsongolomakat2049
      @richardyusuphmsongolomakat2049 5 ปีที่แล้ว

      Kinje Athuman Sawa sawa CAG Wa ngoma za bongo

  • @sholdaniemmanuel8684
    @sholdaniemmanuel8684 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesikiliza wimbo wa kariakoo ulivyo mbaya nikakumbka hz ngoma zako

  • @middlejay7519
    @middlejay7519 6 ปีที่แล้ว +6

    Yan mambo pambe kama una mkubari #Bunju boy #Love bite gonga like yako twende sawa

  • @abdulrazacksangama280
    @abdulrazacksangama280 6 ปีที่แล้ว +56

    Ayah jamani mm cjawahiii pata hata like mojaa..... EBWANEEEEE GONGA LIKEE HAPA KM UNAKUBALIII KAZII ZOTE ZA WCB........ hata iwejee cc sio saiziii yaooo.... DSM BAHATI MBAYA....

  • @faithcabuah629
    @faithcabuah629 5 ปีที่แล้ว +6

    loved the song,,,,,niuwe mama niuwe,,Kali sana,,,,I support you lavalava

  • @anthonykashuma737
    @anthonykashuma737 6 ปีที่แล้ว +19

    This is fire 🔥 broda!!!! Nimeangalia mpaka 1GB imeishaaaa

  • @officialmpbaraka2999
    @officialmpbaraka2999 6 ปีที่แล้ว +10

    Daaah,,,lava lava umeuaaaa
    Unatafutwa na police

  • @marshialmarshah3854
    @marshialmarshah3854 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks thank,,uyu kijana anadeserve nafasi yake

  • @americancharz5499
    @americancharz5499 6 ปีที่แล้ว +34

    Kila mtu anaombea angekua wa kwanza Kukoment hili apate like nyingi kama Mim, ala like hapa tukisongeshe Hiki Kichupa cha Wine kali

  • @kubweshnaibesh3110
    @kubweshnaibesh3110 6 ปีที่แล้ว +7

    Wazi mzee baba dude kali

  • @sudymwamba6222
    @sudymwamba6222 3 ปีที่แล้ว +1

    wao. fund. namkubali xana lavalav hatar

  • @realking3056
    @realking3056 6 ปีที่แล้ว +8

    Mamaeeeeeeeee!!! Kumbee we boyaaaa n motooooo hviiii

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 ปีที่แล้ว +17

    Nilikuwa naona wanapiga kelele mala ooih funga waka
    Hiii ngoma ndio funga mwaka hizo zingine sikilizenu magetoni kwenu

  • @neigepiranha9320
    @neigepiranha9320 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh lavalava ❤❤❤

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 6 ปีที่แล้ว +15

    Kituuuu yechu yechuuuuu mwakani #Lavalava twenzetu Africa .................sokoni coz #Tz tumesha fikaaah

  • @browningibrahim866
    @browningibrahim866 6 ปีที่แล้ว +14

    Kazi nzuri sana Lavalava💯💯💯
    Lots of love from 🇰🇪

  • @ephantusvictorwanjere4060
    @ephantusvictorwanjere4060 ปีที่แล้ว

    I love you lavalava ❤😢

  • @AAOMAR-gb8cg
    @AAOMAR-gb8cg 6 ปีที่แล้ว +27

    wonderdul🎋 I like it and all Tanzanian songs 👉from SOMALIA🇸🇴

  • @upendogervas7540
    @upendogervas7540 6 ปีที่แล้ว +9

    Hatare baba Funga mwaka ya X mass na mwaka mpya mpaka Pasaka mzee baba. Daaa lavalava umekuja kumaliza mchezo. Siamini yani.... Huyu ni wewe mzee wa Vilio.?? Hii ndio kitu tulikua tunataka mzee baba. Bhasi poaa acha tuokote 😘😘🔥🔥🔥🔥

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu wakenya wanataka kushindana na TZ 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abubakaribakari7941
    @abubakaribakari7941 6 ปีที่แล้ว +33

    Kuanzia Leo nilitaka nisijihusishe na kusikiliza muziki wa bongo kwa muda usiojulikana ila lavalava unanipa imani nirudirudi kidogo

  • @Mapyatv
    @Mapyatv 5 หลายเดือนก่อน +6

    Naitwa Dogo khery oyaeeee hakuna ngoma kali ya lavalava nilioikubali kama Niuwe Nomaaaa sana

  • @emmanueljuma3402
    @emmanueljuma3402 หลายเดือนก่อน +1

    Ati anashepu buffalo 😂😂😂... Kali sana

  • @stephenmwangi605
    @stephenmwangi605 3 ปีที่แล้ว +11

    LavaLava is my CHAMPION 🏆🏆🏆🏆🏆. This guy is a top singer. They say Diamond is the Lion but Tanzania has many Lions. Simba Wangu ni LavaLava

  • @jailethjosephales2322
    @jailethjosephales2322 6 ปีที่แล้ว +10

    Namkubali Sana Lavalava ngoma kalii mungu akupe uzima Ufanye zaid ya hapa💞🙌

  • @htx1873
    @htx1873 5 ปีที่แล้ว +6

    Twendeeeeeeee beat & song vyote kitu konky Konky... 🔥🔥🔥🇹🇿

  • @sharonandande4820
    @sharonandande4820 6 ปีที่แล้ว +7

    Mtoto wa simbaaaaa💪💪💪💪love it❤❤❤

  • @allystandardtz8017
    @allystandardtz8017 6 ปีที่แล้ว +45

    Kawaida yangu kusoma comment wote ila leo nimecheka kwani comment nyingi sana Aiseeee lava lava ninoma sana

  • @BoB-w3y
    @BoB-w3y ปีที่แล้ว

    Sudan ❤❤❤🇸🇩🇸🇩🇸🇩

  • @ubwabwa1790
    @ubwabwa1790 6 ปีที่แล้ว +47

    konki master kama umeangalia hii ngoma uku ukiwa unasama comment gonga like yako hapa

  • @jumannemfaume
    @jumannemfaume 6 ปีที่แล้ว +30

    Oooooh first one dondosha comment ngoma moja la mbeleeee

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว +3

    we ni zaid ya... hatr nakukubali san..., Ana guu la bia kifuan dodo.. heee okote usiogope okote,, inamainam🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @salumabdallah5529
    @salumabdallah5529 6 ปีที่แล้ว +75

    hii ngoma kari sana wcb atal sjutii kua shabiki wa wcb daima

  • @himaathmanshaffi6705
    @himaathmanshaffi6705 6 ปีที่แล้ว +6

    Umechange vocals..... Imeweza boss kijana @lavalava

  • @AllyWillison
    @AllyWillison 11 วันที่ผ่านมา

    Wanaoamini MWAKA huu utakua wamafanikio piga like apa 🎉

  • @hamisomarykumba5877
    @hamisomarykumba5877 6 ปีที่แล้ว +6

    Guu la bia tende, goma kali na nusu Lava

  • @ommyathumani7264
    @ommyathumani7264 6 ปีที่แล้ว +16

    Hili goma kanyangio nyingine kabisa nimesikiliza zaidi ya mara kumi yaan hoti sana

  • @youssoufcamara4510
    @youssoufcamara4510 ปีที่แล้ว

    Je comprends rien à qu'il dit mais une chose est sûre j'aime ce musique ❤❤❤

  • @DbashTV
    @DbashTV 6 ปีที่แล้ว +91

    Asee nimejikuta na i-replay mara tano ...... kama umefanya kama mimi GONGA KI LIKE KIKUBWA HAPA

  • @reymakessy213
    @reymakessy213 6 ปีที่แล้ว +47

    ngoma Kali hatariiiiiiii,,,,,,,,,💋❤ team lavalava em gonga like hapo twende zetu 2019🙌🙌🙌

  • @noorkaofficial8210
    @noorkaofficial8210 2 ปีที่แล้ว +33

    From somalia 🇸🇴 I ❤️ this song

  • @last.marley
    @last.marley 6 ปีที่แล้ว +5

    Ohooooooo wali Nazi kinyoko sana lidamu langu nakubali sana kazi brother piga LIKE kubwa babaa akooo ni kwerekwecheeee kwa afya za ndugu zetu. 😂😂😂Watashi ndio tunaelewa apooo

  • @fairuznahar7928
    @fairuznahar7928 6 ปีที่แล้ว +12

    Best song of Lava Lava so far recorded in South Africa 🇿🇦 greeting from Mayfair Johannesburg 🔥🔥🔥🔥

  • @saleehamza2738
    @saleehamza2738 6 ปีที่แล้ว +1

    Ww mwenyewe uko poa ila ujumbe wa nyimbo yako sio poa fnya kaz ila tambua kuna maisha baada ya hapa ulimwenguni

  • @ragymussa9397
    @ragymussa9397 6 ปีที่แล้ว +8

    Kudadek lavalava hii ngoma imemeza ngoma zako zote na umechange umekuja style mpya

  • @glorylema9844
    @glorylema9844 6 ปีที่แล้ว +5

    Jmn tamu sana hii ngoma kama umekubali like twende sawa big up lavalava hap umeuwaa

  • @feliximala5325
    @feliximala5325 3 ปีที่แล้ว

    Top music bro #Gistoff music

  • @shawnnjuguna8855
    @shawnnjuguna8855 6 ปีที่แล้ว +58

    NO.1 VIEWER WAPI LIKES ZA LAVALAVA

  • @iddimohamedi6328
    @iddimohamedi6328 6 ปีที่แล้ว +31

    Lavalava most popular artist in our country 🇰🇪🇳🇫🇳🇬🇵🇷🇹🇿🇺🇸🇿🇦🇿🇼

  • @AmirAli-uv5fp
    @AmirAli-uv5fp ปีที่แล้ว +2

    Fabulous 🤩 I like lava lava song and all Tanzanian songs from Sudan 🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩

  • @philo4936
    @philo4936 6 ปีที่แล้ว +131

    Wapi like, ata kumi pekee nipate kama shabiki wa lavalava

  • @bonnieboy4729
    @bonnieboy4729 6 ปีที่แล้ว +83

    1:32 Kiuono sakata.. nizame topeni nisafishe mbwi mbwi mbwi.. mtoto
    kakata kiuno shanga chini kishundu mbwi mbwi mbwi... cheza nikuonge
    verosi.. aahh verosi ..shaku shaku sha korosi ....cha korosi Uganda
    maria rossa aaah rosa
    ______eeh okote usiogope okote eeh okote inama inama
    eeh okote usiogope okote eeh okoteeee fanya unachutama.....
    niuwe niuwe.. niuwe mama niuwe......*3

    • @kiulatzby4578
      @kiulatzby4578 6 ปีที่แล้ว

      Bonnie Boy 🔥🔥🔥

    • @israelivan3623
      @israelivan3623 6 ปีที่แล้ว +1

      Bonnie Boy ahahah

    • @justinanicolous3822
      @justinanicolous3822 6 ปีที่แล้ว

      Maneno yanajirudia haya mbn khaaa

    • @bonnieboy4729
      @bonnieboy4729 6 ปีที่แล้ว

      @@kliktv1533 ata ivo nimejaribu, hawa wasee wanaongea kiswahili mingi sana

    • @bonnieboy4729
      @bonnieboy4729 6 ปีที่แล้ว

      @@israelivan3623 nakwambia it took me some hours to write it down

  • @chizzyblack95
    @chizzyblack95 4 ปีที่แล้ว +4

    🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬 representing show a million love

  • @amazingnatureisbeauty6667
    @amazingnatureisbeauty6667 6 ปีที่แล้ว +6

    Kadogo hakuna kitu hii ndio more fire🔥🔥🔥🔥

  • @GodopeTZA
    @GodopeTZA 6 ปีที่แล้ว +50

    Hii ndo level ya WCB INTL ARTIST 🤙🏽🤙🏽

    • @iddymohamedy2621
      @iddymohamedy2621 6 ปีที่แล้ว +1

      Umekua sasa kulalamika mapenzi tupa kule

  • @jayndossi3479
    @jayndossi3479 6 ปีที่แล้ว

    Hiii poa sana dogo anafanya vyema kabisa.....@tukutameZanzibar🔥🔥🔥🔥🔥

  • @faxmusic8567
    @faxmusic8567 6 ปีที่แล้ว +128

    Like ,like,like,like
    jaman kwangu like hata moja inanitosha msinfanyie hvy kazi kali

  • @johnyodundo8749
    @johnyodundo8749 6 ปีที่แล้ว +8

    Kama umekasirishwa na kufungiwa mziki kwa Rayvanny na diamond Nipe like..BASATA ni Adui wa sanaa

  • @mamreennassy7881
    @mamreennassy7881 3 ปีที่แล้ว +1

    I like that nice one one

  • @kashindegado8041
    @kashindegado8041 6 ปีที่แล้ว +6

    Binafsi mwanzo wakti naanza kuuskiliza huu wimbo sikuupenda ila katikati amefanikiwa kunishawishi, kiukweli mwanzo mgumu ila amemalizia vyema sana. Haswa pale asemapo eeeeh aokoteee eewh aokoteee niuwe*3 mama niuwe.Ungana nami kudondosha likes zakutosha kama usemi huu pia umekutokea.

  • @costapoundy8421
    @costapoundy8421 6 ปีที่แล้ว +20

    Wa kwanza ku like

    • @happybonny9935
      @happybonny9935 6 ปีที่แล้ว

      Ngoma Kali, hongera lavalava, kamua baba

  • @thenairobiantraveller
    @thenairobiantraveller 2 ปีที่แล้ว +39

    One of my favorite songs from Lavalava. Love the killer moves💥 and the attire❤‍🔥. Much love from Nairobi, Kenya.

  • @shahilmmasai2989
    @shahilmmasai2989 6 ปีที่แล้ว +6

    Lavalava umondan ungemtia chibu mzee baba mngeuwa KINYAMA

  • @upendogervas7540
    @upendogervas7540 6 ปีที่แล้ว +11

    Niuwe niuwe niuwe Baba NIUWE 🎤🎼🎵🎶 🔥🔥🔥🔥

  • @bernardabedi9972
    @bernardabedi9972 ปีที่แล้ว +1

    Nakubalisana😅😅😅😅

  • @ar-shadihashimu6729
    @ar-shadihashimu6729 6 ปีที่แล้ว +22

    Track of the year somebody like if u agreeeee,,,,,

  • @faasproduction6386
    @faasproduction6386 6 ปีที่แล้ว +13

    Keep going 🇸🇴🗣 legend lava lava

  • @babylonyNgwembe
    @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +1

    INABIDI LAVA LAVA UMSHAURI RICARDO ARUDI KWNY SEHEMU YAKE MANA NDO MLIWEZA KUTENGENEZA TEAM WORK NZURI SANA NA UKASONGA MBELE NA NGOMA KALI KAMA HIZI NIUWE,GO GAGA ,SAULA

  • @richardsolomoney19
    @richardsolomoney19 6 ปีที่แล้ว +10

    Lover lover we ni the best oi ndo naichek TH-cam naomben namimi tulikes tushow love kwa lavalava man@ ametusurplize 2019

  • @nazilshabani4262
    @nazilshabani4262 6 ปีที่แล้ว +10

    Et king music mbna watapata tab sana

  • @husseinallly9681
    @husseinallly9681 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice song lavalava umetishaaaa kinoma ma men 😍

    • @husseinallly9681
      @husseinallly9681 4 ปีที่แล้ว

      Help to like this comment please and please

  • @bintihassan7422
    @bintihassan7422 6 ปีที่แล้ว +41

    WCB mnaujinga kweli yani mkitoa ngoma tunasahau ata kuangalia zawengine....yani ngoma kaliii nmejikuta tu natingisa kichwa uku nikiimba niuwe niuwe niuwe....yani utaimba tuu atakama nyimbo hujaijua WCB bana

    • @lilianmapenzio6385
      @lilianmapenzio6385 6 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @mdingineema7225
      @mdingineema7225 6 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁 kweli kabisa yaani wasafi wametupa dawa gani sijui ah mpka wanakera! Kila wimbo mzuri eeh

    • @mdingineema7225
      @mdingineema7225 6 ปีที่แล้ว +1

      Me nafurahi tuu mwenywe

    • @husnasulyman5633
      @husnasulyman5633 6 ปีที่แล้ว +1

      Furaha Chengo aaaah okote

    • @bintihassan7422
      @bintihassan7422 6 ปีที่แล้ว

      @@husnasulyman5633 😂😂okote sanaaaa