EXCLUSIVE: MTANZANIA ALIYEFANYIWA UKATILI OMAN ASIMULIA MAZITO ALIYOKUTANA NAYO,AWATAJA GIGY NA TID.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 103

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 วันที่ผ่านมา +5

    ❤uko sawa sana sanaaa unetusaidia Sana ❤Allah atakusitiri..ni funzo kubwaaa sana.

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 วันที่ผ่านมา +4

    Aslkm Wana comnments.huyu Dada nikivyomfahamu mie kuwa anashtua wenziwe wasiingie kwenye mtego aloingia wewe mitihani aloyomkutta sasa kwanini mna comments mambo sio mazuri kwake dada mzuri tuuuu ana heshima zake kachukuwa hatua hiiii ili kuwanusuru wenziwe wasiinende huko ikiwa Kwa maudhuo hayo anatowa tahadhari waxiiiii na anajitolea Kwa kweliiiii ili kukuoneni onyo yaliyopooo huko .yaani wenziwe wawe na hadhari .Kwa kwelii haifai ..tumuogope Alllah.wewe sio wa huku .Alllah ndio hakimu.wachenonhaya mambo kutusi watu kitu hamkijui.dada mwanaharusi Yuko sawa sana.shukran sana mwanaharusi Kwa taarifa Alllah atakuhifadhi sana Kwa kweli unetusaidia sana sanaaa Allah atatufanyia wepesi Amin muhimu uko salama umerud nyumbani Salama .❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 วันที่ผ่านมา

      Huyo anatoa onyo baada ya tangazo lilitolewa la kutafuta wasanii Oman ndy huyo katuma bonge la voice kuelezea km huyo Jokha hafai msikubali kwenda lkn wa Bongo tulivyowabishi tunamuonea muongo wakati jambo la kweli kabisa

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 วันที่ผ่านมา

      Hao wanaocomment ujinga hawajasikiliza hata video inahusu nini

  • @RayaAbdalla-h2c
    @RayaAbdalla-h2c วันที่ผ่านมา +13

    Mimi nipo Oman huu mwaka wa 14 sijaona kukatiliwa hawa watu wanakuja kujiuza vipi atembee na kaptula na singlendi hapa sio nchi ya kudanga watakulia temingi cku moja utaingia tu kwenye 18 zao🎉

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 วันที่ผ่านมา +2

      Umeonaee wapumbavu kwanza oman kuna sheria zake

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 วันที่ผ่านมา +7

      Kama wewe hayajakukuta usijaribu kuita wenzako waongo sio siri hata watu wengi wananyanyasika sana kwenye hizo nchi za waarabu

    • @ummohamed4404
      @ummohamed4404 วันที่ผ่านมา +2

      Unashangaa watu wazima na familia zetu
      Nikufanya Ibada sasa
      Hampendezi hayo mnayo yafanya hamuogopi hata Mungu
      Mnaitia aibu Tanzania
      Mnaleta chuki Tz na omn
      Kuweni wastarabu
      Ikiwa wewe mama upo ivyo mtt atakuwaje
      Allhau Akbar

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 วันที่ผ่านมา

      Ckiza vzr ndo utoe hukumu maana hakuja kwa nia unayosema ww

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 วันที่ผ่านมา

      Rudi nyumbani pesa haina mwisho ,miaka yote hiyo au wamakuloga na miguu ishakufa ganzi😂

  • @MariaThomas-wm9iq
    @MariaThomas-wm9iq วันที่ผ่านมา +8

    Hyu alienda kujiuza wakikamtwa wanajifanya wananyanyaswa😅

    • @MonaMbalike
      @MonaMbalike วันที่ผ่านมา

      Msiseme watu vibaya...watu wanaojiuza wapo lkn sio Huyo na huy Joha kweli n mshenzi jaman

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yes ndio hivyo halafu wakishashikwa wanaanza kujitetea

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa hapo kuna ukatili gani jamani? Amejikatili mwenye, kwenda kufanya ya dunia mwezi wa ramadhini.

  • @mohamedkhalifa5764
    @mohamedkhalifa5764 วันที่ผ่านมา +3

    Laana Tullah Nyie Washenzi wakubwa mutapata laana hapa hapa Duniani Inshallah

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 วันที่ผ่านมา +1

      Hata mie nilikuw nataka nisem nchi zakiarabu waje waimbe kweli wapuuz san wallah wasituhatibie huku oman hakun shida tunapata kujenga kuzur tuy na wallaniw kabsa

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 วันที่ผ่านมา

      ​@@omanoman2044jaman tangu enz za melody walikuwa wanaenda oman kuimba ht band pia zilikuwa zinaenda oman kupiga muziki

  • @AnthonyDcosta-f3q
    @AnthonyDcosta-f3q วันที่ผ่านมา +3

    Wewe mama mtu mzima sema kweli tu mziki gani unawapeleka huko

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 วันที่ผ่านมา

      Bi kidude alikua kijana au bi khadija kopa ni kijana wewe vipi?

  • @SalomeFrank713
    @SalomeFrank713 วันที่ผ่านมา +5

    Ebu akwende uko mie nipo oman mwaka wa 7 hakuna vitendo vyvyte vya kikatili km alikuja kwa yk 😅

    • @eliudmwampamba7346
      @eliudmwampamba7346 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🎉nifanyie bc mpango nije nifany kaz huko dear Hali ngumu

  • @BonfaceCharles-n8h
    @BonfaceCharles-n8h วันที่ผ่านมา +3

    Halafu mnaposema mnanyanyasika kwenye nchi za watu mseme ukweli usichafue nchi za watu

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 วันที่ผ่านมา +5

    Watangazaji mnaboa. Kichwa cha habari ni tofauti na mazungumzo. Mnapenda kuchafua watu. Yani km vile huyo mdada alipata mateso. Kumbe sio kweli. Na kwa umri wake huyu mdada sio wa kwenda kuimba mwezi wa ramadhani kuacha kufunga. Na kuacha kutulia kwake akampikia mumewe na wanawe ftari. Anaenda kuhangaika na ya dunia.

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f วันที่ผ่านมา +2

      Hatari

    • @dicksonordination5653
      @dicksonordination5653 วันที่ผ่านมา +2

      Sikiliza hadi mwisho part 1 na part 2 usikurupuke kucomment

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 วันที่ผ่านมา +1

      Tulia ww alikwambia kafanya show Ramadhan au alienda huo mwezi ? Mtu kawekwa jela unasema hajapata shida ulitaka arudi kilema ndy ujue katapa shida😂😂

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 วันที่ผ่านมา

      @@OfficialA83640 shangaa na wewe

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@OfficialA83640walimweka jela bila sababu?

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hizo nikab mnazivunjia hishma zake. Hazivaliwi na waimbaji

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu วันที่ผ่านมา +4

    Kujiuza tu kufanya kazi aaahaaa😂😂😂😂😂😂😊

  • @samsunggalax8258
    @samsunggalax8258 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mami yule mama nijambazi sana anajulikana uko oman

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona stori ndefu mengine hata hayana maana inachosha. Mtangazaji huna sifa mpe muongozo aelezee point. Hiyo alifu leila U leila yote hayana maana fanya ufupisho eleze points. Eti nilijaza form ya ppt, nikasubiri nikaenda kuichukua yooote yanini. Nyie wa habari hamjitambui na hao mnaowahoji hawana moja Awewa na Ali Omari.

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 วันที่ผ่านมา +2

    Kwanza wakome kuchafuwa nchi za watu amyjaitwa uku

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi kelele ndio maana nchi zinafungiwa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา +1

    Yani wanamuziki maisha yao yamezungukwa naushetani

  • @binthamoudshariff5492
    @binthamoudshariff5492 วันที่ผ่านมา

    Huo ni mtihani kwa ajili ya ramadhani Allah hajapenda pigo hilo

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th วันที่ผ่านมา +1

    Weee muislam kwaiyo ilikua hufungi myihan huu jaman

  • @FrankieFrank-e4e
    @FrankieFrank-e4e วันที่ผ่านมา

    Hatali sana lakini salama

  • @Chiko1179
    @Chiko1179 วันที่ผ่านมา

    Allha atakulipia jasho lako shoga angu najua jinsi gani umeteseka

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike วันที่ผ่านมา

    Kumbe we ndio MWANAHARUSI habari zako nnazo umekuwa MTU mzima sasa ila nilikuwa nakubali Sana KAZI zako

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 วันที่ผ่านมา

    Aya acha nikae kitako nimsikilize huyu mama

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 วันที่ผ่านมา

    Kuuliza tu oman iko pande zipi,ulaya ama arabuni?

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 วันที่ผ่านมา +2

    Vunja jungu mwezi wa Ramadhani karibu na Eid, Oman 😮😮uhuni na kuambukizana ukimwi aaahhh. Mtihani mkubwa na ushungi huo mbona haijapendeza jamani ?

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา +1

    Vunja junguna waislam wapi nawapi achane ushetani

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Mziki sio kazi acheni ulanifu

  • @RadhiaAlliey-l6u
    @RadhiaAlliey-l6u วันที่ผ่านมา

    Joha akuwahi kuwachukua bali yeye alikuwa anatoa viza za watu

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 42 นาทีที่ผ่านมา

    Yaani waislam ni watumwa wa fikra kwa waarabu yaani yaani hamtaki mwarabu akosolewe hata kama anafanya uovu

  • @abdullahabdul9246
    @abdullahabdul9246 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu muongo tu malaya tu

  • @RadhiaAlliey-l6u
    @RadhiaAlliey-l6u วันที่ผ่านมา

    Oman nimekaa ila nikirudi kutoka dubai nitakutafuta mtangazaji

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Nchi yakislam oman ila vitendo vya kifarauni kuigiza wananuziki

  • @Nijuzetzdigital
    @Nijuzetzdigital 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu sio binti ni mama mtu mzima nyie Gen Z

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th วันที่ผ่านมา

    Km kuna mtu alisiliza mapita mzee sele alisema kuna watzania wanatafutwa warud kwao kwa tabia zao miogoni mwao ni hawa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา +1

    Oman kunaufirauni wachini chini

    • @MonaMbalike
      @MonaMbalike วันที่ผ่านมา

      Tena huku kuna ushenzi ht shetani anausubili.

  • @zoab2699
    @zoab2699 วันที่ผ่านมา

    Meisha mjua ni utapeli mnafata wa nn

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Kumbe wanamuziki mnapewa kipao mbele mashetani kwa mashetani

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 วันที่ผ่านมา

    Aache uzushi huyo kakutana na wahuni kwenye ma club na muache njaa zenu kujipeleka kuuza ngozi

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Kumbe mnaenda oman kudanga

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl วันที่ผ่านมา

    Utuambie.juha nani .. usi0otaja unawaalibia watu majinayao kunamajoha wengi huku oman

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g วันที่ผ่านมา

    Hata ivo saf san na limekab lako yan unafungua swaum inaend kufungua na laaan bado mpak maji muite may

  • @RadhiaAlliey-l6u
    @RadhiaAlliey-l6u วันที่ผ่านมา

    Upande wa pili Huyu dada kajichanganya

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Kujifunika ninja kumbe mnaficha uhuni

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    MANGE ALISEMA NJAA MBAYA HIYO YOTE NJAAA

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Kumbe mnapangwa mpaka kujibu looh rushwa tupu

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi siwakula niwakufa tu kwaulanifu wenu

  • @SamirahKiango
    @SamirahKiango วันที่ผ่านมา

    Eti vunja jungu😂😂😂😂😂

  • @vaalonedearmy939
    @vaalonedearmy939 วันที่ผ่านมา

    We dada nje kuzuri nishaishi mia nane ila kazi utayoifanya je halali kwa government na dini yako pia?hicho tu ndo kinatufelisha.

  • @hidayasaid555
    @hidayasaid555 วันที่ผ่านมา

    🥺🥺😏😏😏

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Njaa iliwaponza mkome

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Nyooo malaya wamoja nyie

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Mashetani kwa mashetani mlikutana

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Muache ushetani waislam jokha acha ufirauni wakuuza watu nakuigiza wanamuziki

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl วันที่ผ่านมา

    Ndiyo muache laana hizo mtulie. Eti vunjajungu. Wenzenu tunafanyakaziza ndani za halali mambo yanaenda nyiemmezoe kukata mauno amunaaibu mpokama wanyama pesaza haram mnakula. Mmpate uwoukimwimtatulia mkome

  • @mahrooqsuleiman7216
    @mahrooqsuleiman7216 วันที่ผ่านมา

    Band zote naenda sijawaona wakiwepo

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Story yote ulanifu mtupu

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Uso mbaya chungu

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 วันที่ผ่านมา

      Dada umetumwa? naona umeshupaa kutukana watu humu

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

      @@barbiepixie92 wewe je umetumwa naona umejibu dozi imekuigia.utajiju hilooo

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

      @@barbiepixie92 ukiona umejibu ujuwe limekuchoma nyooo

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Acheni ulanifu mkumbuke kifo tu

  • @mamaikram7573
    @mamaikram7573 วันที่ผ่านมา

    jokha yupi wa maabela au jokha yupi

    • @Mwanahamisally-kg8ym
      @Mwanahamisally-kg8ym วันที่ผ่านมา

      Ata mm najifikiria sana

    • @mamaikram7573
      @mamaikram7573 วันที่ผ่านมา

      nitumie namba yako

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 วันที่ผ่านมา

      Sio bi Jokha wa Mabellah huyo firaun mwingine muhuni tu

  • @Naeema-w8y
    @Naeema-w8y 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂

  • @SamirahKiango
    @SamirahKiango วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nmecheka

  • @laizakimalokileli8560
    @laizakimalokileli8560 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AttivorsRoyalstore
    @AttivorsRoyalstore วันที่ผ่านมา

    Kwanini wanaita watu ikiwa hawwjajipanga?😮

  • @mahrooqsuleiman7216
    @mahrooqsuleiman7216 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂

  • @RadhiaAlliey-l6u
    @RadhiaAlliey-l6u วันที่ผ่านมา

    Joha akuwahi kuwachukua bali yeye alikuwa anatoa viza za watu

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 วันที่ผ่านมา

      Machizi mpo wengi Wallah unamjua vizuri huyo Jokha au maana msiseme Bi Jokha ajent wa Ubalozini sio huyo wa Mabella 😂

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Nchi yakislam oman ila vitendo vya kifarauni kuigiza wananuziki

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 วันที่ผ่านมา

    Kujifunika ninja kumbe mnaficha uhuni