Kigogo Said Lugumi amuonesha Chief Godlove parking ya magari yake! Ni balaa, watu wana mkwanja!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 114

  • @drhenry4362
    @drhenry4362 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +32

    Kama unaamini sky in the best presenter in East Africa likee ziwe za kutosha

    • @nelsonmrutu371
      @nelsonmrutu371 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Hana mpinzani 🙌

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mkali sijaona

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Heee utaatuuwaa baba ,kwa hayoo magar tusameehe baba tumekosaa 🙌🙌🙌🙌

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Lungumi namkumbuka sana nyumba zake zilipigwa mnada ila akamset Doct shika akaalibu mnada yule wa mia tisa itapendeza 😂😂 jamaa nilimkubali

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kumbe ndiye huyu jamaa ATOE MSAADA KWA WATOTO YATIMA SIYO KUJITAPA HAYA NI MAISHA HELP ME TODAY FADHILA NI KWA MUNGU AKITEMBELEA YATIMA NA KUWA SAIDIA ATA TAMANI KU UZA KILAKI2 ILI WANYONGE WAFURAHI NA KUMUOMBEA HUKO BAA HAPANA FADHILA YEYOTE BHALI KUONGEZA ZAMBI PEKEE

    • @vincej9275
      @vincej9275 48 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@OnesmoEphrata kutoa ama kusaidia ni moyo na sio utajiri. Not all rich people like to give.

    • @MM-pb7fw
      @MM-pb7fw 30 นาทีที่ผ่านมา +1

      @@OnesmoEphrata unajuaje kama hatoi wewe kiazi??masikini bana..hela za watu unaanza kuzipangia matumizi..hao wanatoa wanasaidia masikini kila siku,ukiona mtu ana hela piga kimya katafute zako,ache mentality za kimasikini ukiona mtu ana hela mnaanza ooh akasaidie watu who told you hasaidii watu?

  • @Zenny89
    @Zenny89 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kesho..Mwijaku na BabaLevo na viherehere vyao wataanza kumsumbua😂😂

  • @CANIVATZ
    @CANIVATZ 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    sky Your The Best

  • @jamesmarumbo6820
    @jamesmarumbo6820 42 วินาทีที่ผ่านมา

    Fisadi lugumi kula maisha baba

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mwijaku asimuone huyu😂

  • @joe_mziwanda
    @joe_mziwanda ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pow hamna noma asee

  • @BurterDreezy
    @BurterDreezy 27 นาทีที่ผ่านมา +1

    Kajala asimuone huyu baba😂

    • @benhanclove5997
      @benhanclove5997 8 นาทีที่ผ่านมา

      Na akimuona amekwisha etii😂😂

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 35 นาทีที่ผ่านมา

    Said Lugumi Mungu akuepushe na UTI. Ila Mi naomba niazime million 3 nikanunue boda ntakurudishia kidogo kidogo

  • @OmaryHabibu-gs7ld
    @OmaryHabibu-gs7ld ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Braza saidi hongera huna baya mzee wangu

  • @bonifaceraphael9084
    @bonifaceraphael9084 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mzee mungu akupe maisha marefu pia akuepushe na husuda za walimwengu bado tunakuhitaji sana,ikikupendeza ndoto yangu kubwa ni kupata fursa japo ya kukuona lakini hadi sasa ni miaka kumi imefika but sikati tamaa naimani ipo siku nitafanikiwa kukuona panapo majariwa mzee wangu.

    • @deodathsilayo3639
      @deodathsilayo3639 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂ach uchawa wa mtandaon hatakuona nenda nyumban kwakwe

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Saidia yatima baba siyo kujikosha kwa wenye nazo haya ni maisha kaka

  • @yomapavijadinu1804
    @yomapavijadinu1804 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MursalLusinde
    @MursalLusinde ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Saidi lugumi tupo nae kijiji kimoja wilaya ya magu mwanza... haijalishi mali itakuja ktk njia ipi kikubwa ni kupambana bila kuchoka huwezi jua ipi itakua sabb ya kutoboa😢 kila mt ana siri ya mafanikio yake ambayo kamwe hawezi kuitoa kwa yeyote... kikubwa ni mapambano kama ni bahati au mengineyo yatakuja huko mbele kwa mbele

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lugumi 🙌

  • @mgendijr7380
    @mgendijr7380 5 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu lugumi aliwah kua na scendo,juu ya mkataba na jeshi la police kununua fingerprints machine na 2016 aliripotiwa ametoroka nchini baada ya issue kupigiwa kelele sana bungeni,.

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mia tisa itapendeza si ndo huyu nyumba zake zilipigwa mnada😂

    • @MITOBO
      @MITOBO 48 นาทีที่ผ่านมา

      Ndio uyu
      Ilikuwa mambo ya kuwapambaza watu tu

  • @wizdady4727
    @wizdady4727 51 นาทีที่ผ่านมา

    Daaah atarii vyuma vya hatarii

  • @shafee9128
    @shafee9128 36 นาทีที่ผ่านมา

    Ukiangalia vizur utajifunza kitu wanataka kutumia mamaa kufanya mambo yao ya ujinga kwenye mazungumzo yao wanamtaja bi mkubwa mwisho wasiku inaletaga shida

  • @BARAKA-ns3jv
    @BARAKA-ns3jv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nashangaa harmonize anayelinga za range Rover wakati bakhresa Lori likiharibika kipuli kinaaagizwa ulaya ,Bora uyo kamuonyesha Kuna watu wanazo pesa na wapo.kimya
    Kimya kingi kina mshindo mkuu

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwanadamu anajisahau Sana,Kuna siku atalala kimya hawezi kuinua hata ukucha,Mungu awasamehe😭

    • @NdituTV
      @NdituTV 55 นาทีที่ผ่านมา +1

      Kwan Mungu anataka watu masikini?

    • @mugishalaurian3311
      @mugishalaurian3311 45 นาทีที่ผ่านมา +1

      Kwann masikini tunajiliwaza na kifo?😅

    • @amandomwamanda9000
      @amandomwamanda9000 45 นาทีที่ผ่านมา

      Sasa kajisahau nini?kwani kuwa tajiri kuna tatizo?

    • @ZainaboKarunga
      @ZainaboKarunga 19 นาทีที่ผ่านมา

      Acha kujifariji na umasikin

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukijua maana ya hilo jina lugume.maana yake ni kiburi kwa jamaa ni noma

  • @hundredcopies2719
    @hundredcopies2719 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Alafu Utasikia Diamond anapesa hivi Unamjua LUGUMI vizuri ? Wasanii Wote unao wajua Ww wanamsujudia SAIDI LUGUMI 🙌

    • @davidpaschal778
      @davidpaschal778 40 นาทีที่ผ่านมา

      Umeiyo scared apo😂😂😂

  • @AdamCheze
    @AdamCheze ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu alikuwa tu CHAWA wa Ridhiwan Sasa Jiulize Huyo Ridhiwan Yupo Vipi

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Wala msibabaike kuna Siri nzito mno nyuma ya utajiri… uyaone tu kwa mcho wala usitamani kuwa kwenye viatu vyao…

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Umasikini utakuua we pimbi

    • @RATELFX
      @RATELFX ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@JeanMalilo aisee

    • @bagumandongwe8566
      @bagumandongwe8566 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@JeanMalilosijawahi sikia umasikini umeua mtu…. Ndio kusikia kutoka kwako

    • @bagumandongwe8566
      @bagumandongwe8566 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@JeanMalilona kwani hao matajiri hawafi au… au aliye tajiri huwa hafi?

    • @calvinmuhozi785
      @calvinmuhozi785 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Shizo ni chuki zisizo na sababu. Kwa hiy kila mtu akiwa tajiri bac *"kuna siri nzito mno nyuma ya utajiri wake"* furahia mafanikio ya wenzako yakupe challange utafute yako sio unaanza kutafuta kasoroo mbavuu zakoo

  • @FrolenceRogath-fv6ku
    @FrolenceRogath-fv6ku 25 นาทีที่ผ่านมา

    Mzee uyo mfanya biashara ww kalia kulialia

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hayondomaisha manzuli chifu tuamashishe vijana🔥

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Pesa zahekaheka hizo

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂tena hekaheka mpk jasho

  • @emmanuelelisha173
    @emmanuelelisha173 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuga lazima

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Picha linaanza jamaa ameita v8 land cruiser taka taka we huogopi

  • @malundemedia
    @malundemedia 52 นาทีที่ผ่านมา

    😂😂😂chief kanyooshwa leo

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 55 นาทีที่ผ่านมา

    Yani parking ya magari Kuna air condition macho Yako yanaona kama mimi😢😅

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tanzania chini ya ccm ni shamba la Bibi ukipata Chance unajipigia Hela za walipa Kodi,lugumi alipata tenda ya kufunga vifaa vya ukaguzi vituo vyote vya police bilioni 137,akafunga machine nane

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Dah! Ndo nimetoka kutuma 7000 ya boss wangu boda mkataba, anamdomo uyo nisipotuma😂 natamani aione hii video😢

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @redtk2971
      @redtk2971 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio ana mdomo ni haki yake akicheka na binadamu yatamkuta ya mzee makosa

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 50 นาทีที่ผ่านมา

      Ni haki yake ndo 7000 ni kubwa

  • @jebace
    @jebace 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    kweli paka akitoka panya hutawala wakati wa anko magu wote waliufyata mkia saizi ndio hoo mi tajiri pupambavu wizi mtuupu😂

    • @nestor384
      @nestor384 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Well said

    • @RATELFX
      @RATELFX ชั่วโมงที่ผ่านมา

      fanya wizi na ww sasa😁😁

    • @evancemoevt8597
      @evancemoevt8597 14 นาทีที่ผ่านมา

      Kama kuiba Rahisi nawe Kaibe Utajirike !!!😂😂

  • @Angelandjustine
    @Angelandjustine 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    1

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Free mazon wenzake

  • @collinmorgan9992
    @collinmorgan9992 52 นาทีที่ผ่านมา

    Alienda kufirwa na lugumi mtoto wa kiume unapewa marashi na mwanaume mwenzako 😂😂😂

    • @mwakiosalim2914
      @mwakiosalim2914 24 นาทีที่ผ่านมา

      Fkira za kimasikini 😂😂 taduta hela uwache chuki

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mapambo yw dunia aw sio, unfortunately wote hatutofika 2070 tuishi kwa kiasi. Be proud in touching the lives of many less fortunate.....Bakhresa ana gar kma hizo na hawez fanya show off ju once u understand the wisdom of life, u keep t humble

    • @mainaimma1114
      @mainaimma1114 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kaka we unamiliki kingeleza tu

    • @RATELFX
      @RATELFX ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mainaimma1114 mwambie atafute ela aache kijifanya mzungu na kingereza kingi

    • @unjuusalvatory5331
      @unjuusalvatory5331 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mainaimma1114 kiingereza ni lugha tu jomba kila mtu anamiliki, au ulitaka kuelezea nn mkuu. Kuhusu kuwa pesa Iko hapa hapa dunian Kuna njia nying halali na haramu za kutafuta na wote tunazijua ni suala la maamuz tu, haipaswi kujidharau aw kumdharau au kumtukuza mtu yeyote wote tuko kwa jili ya plan za Mungu

    • @alishomar7549
      @alishomar7549 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio lazima kila mtu na jins alivo,, mjuu wa bakheresa #zayed bakhresa ana show off,,, week ilopita alipost yupo na huyu huyu Lugumi🙏 , in case mwache km ana kosea atamalizana na MUNGU

    • @abuykhalifa5727
      @abuykhalifa5727 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@mainaimma1114😂😂😂😂😂😂

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu sio p.didy wa bongooo jamaniiii vijana wataanza kwenda kwake kuangalia movie yuko bongooo hiii hiii au marekaniiii magariiii yanapigwa A/c tu baridi vijana wanapigwa na jua kali linachomaaa

  • @dhireshrajput548
    @dhireshrajput548 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😇

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    UZURI NI KWAMBA WOTE TUTAKIFA😂😂😂😂

    • @moriscollins4494
      @moriscollins4494 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwisho wa mawazo ya masikini

    • @OmyCrez
      @OmyCrez 48 นาทีที่ผ่านมา

      Masikini hakosi la kusema😂😂

  • @nassibkhalid7553
    @nassibkhalid7553 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Matajr wanenepi

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna day atakupa mafuta pia.

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dogo angalia hao wazee wasije waka ku P didy

  • @OmyCrez
    @OmyCrez ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hadi huku inanukia hiyo pafume

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ac ipokwenye pakin ya gali

  • @ShukuruSemwenda
    @ShukuruSemwenda 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu wanamaisha

  • @emmanuelelisha173
    @emmanuelelisha173 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waamke je wakati kuna kashfa za wizara ya mambo ya ndani Kyle?

  • @TryphonRabson
    @TryphonRabson ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu wenye pesa hawana matumbo makubwa a.k.a vitambi wala hawana minyama nyama, ukiona mtu ananenepeana kisa anavisent ujue akili yake ni ndogo haiwaz makubwa 😅😅😅

  • @DicksonKatwiga
    @DicksonKatwiga ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakwetu magu town tz

  • @Darian2550
    @Darian2550 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hv YONO si waliziuza zile nyumba za huyu dingilii?

  • @ManchesterTz
    @ManchesterTz ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alafu awa jamaa hawana WAKE.
    Chief G .....sijawai hona kuwa na demu
    Lugumi......Hana pia
    ......Why or ndo Unafanikiwa...

    • @chacha-255
      @chacha-255 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      matajiri wengi hii aina ya wapiga dili na wajanja wajanja wa town wanakimbia ndoa ili kulinda mali zao, wanaogopa pasu kwa pasu na hofu ya kuuliwa

    • @xseries1662
      @xseries1662 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahahha jmaaa wew nimefulai

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lugumi mtoto wa Magu-Mwanza

  • @calvin6445
    @calvin6445 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lugumi naomba niwe chawa wako

  • @OmariNgurangwa
    @OmariNgurangwa ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unga uwooooooo

    • @chacha-255
      @chacha-255 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ni mfanyabiashara wa silaha

  • @redtk2971
    @redtk2971 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAHA HII DUNIA KUNA MTU ATAJIFANYA KAMA ANAKUONYESHA KITU KIRAFIKI VILE KUMBE ANAKUKEBEI KUWA KIJANA UNAVOPIGA KELELE JUA KWAMBA KUNA WATU TUNAVYO ZAIDI YAKO FATILIA VIDEO HII JINSI LUGUMI ANAVOMUITA NA KUMVUTA DOGO GODY AKAJIONEE MIKEBE ILIVONUNA PARKING😂😂

  • @AdamCheze
    @AdamCheze ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lugumi ni mtu ambaye alipata pesa baada ya ufisadi uliofanyika wakat wa JK kwa kupewa tenda ya kufunga kamera ndani ya vituo vya polisi

    • @FrolenceRogath-fv6ku
      @FrolenceRogath-fv6ku 22 นาทีที่ผ่านมา

      We uyo mzee humjui kaakimya

    • @mgendijr7380
      @mgendijr7380 2 นาทีที่ผ่านมา

      Ndio ivo hajakosea labda kama wew ndo humjui​@@FrolenceRogath-fv6ku

  • @emmanuelelisha173
    @emmanuelelisha173 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuga lazima