Ninaweza kuamin kwa sababu jasusi huwezi mtambua! Maaana kila sehemu kuna jasusi na kila kitengo kina jasusi wa nchi fulani!! Nimechangia tu😅... sijui lolote mimi😮
Kazi ngumu kwako husiocheza mpira ila kwasisi tuliocheza uwezekano wa kumtoa Jasusi ni mkubwa kuliko muziki au maigizo that's wy kumatimu za jeshi na zinawachezaji wazuri weengi kulilo hao unaowajua wewe.
@@bongotvonline4883 mm c kama wew unaezoom google ,toa wew vithibitisho ulimuona wap? Mbona uliambiwa kuwa makonda kafa mala katekwa na kuamini uliamini
Yaani umewekewa hadi chanzo cha habari na una smartphone unayotumia kuandika comment hapa lakini huwezi kutafuta ukweli unaishia kusema tu ni uongo,wabongo kwa ujinga siwawezi😅
@@lucasmhagama8166 Ujinga ni kubisha mambo bila facts. Kama ukiona kuna upotoshaji ukiwa mwerevu unaeleza ukweli ulivyo kwa kutoa chanzo cha taarifa unazoamini ni sahihi na kumrekebisha mpotoshaji. Hakuna mtu anayekuzuia kuangalia chochote hapa YT kiwe ukweli au uongo,unaangalia na kufuatilia usahihi au taarifa zaidi kama ni kitu kipya kwako na kimekuvutia kujua zaidi. Umeelewa bwana mjinga?
Hii issue sio watanzania wanaosema inasemekana chief wa ujasusi Russia akiitwa Sergei Rachmaninoff ndiye aliyemfunza kama footballer Kisha kumuingiza Zenit St Petersburg kwa kazi maalum ya serikali. Kisha baada ya hapo majukumu yake yakajamishiwa uingereza. Inasemekana hata habari za kuwa alikuwa anataka kuhama Arsenal na kujiunga na Barcelona ilikuwa ni probaganda za Russia. Zaidi ya hayo inasemekana kuwa hata Roman Pavlyuchenko na Pavel Pogrebnyak ni walienda uingereza Kwa kazi maalum ya kumsaidia Andrey Ashavin. Kimsingi sio Kila habari hata kama chanzo chake ni mataifa ya nje ukaamini ila kwenye maisha yako usiipuuze taarifa.
Unabishana na habari iliyoandikwa na jarida la kimataifa DIGITAL SPY FORUM. Jitahidini kufuatilia kabla ya kupinga. Habari imeripotiwa na shirika la ujasusi la Marekani, ila wewe unapinga.
Hao Waingereza wanazingua, sa Wenger anawezaje kuwa sehemu ya ujasusi wakati ye kasajili tu mchezaji, haya na hao kina Palvyuchenko ambao walikuwa timu zingine ila walikuwa wanamsaidia Arshavin? Basi na wao makocha wao wachunguzwe Sasa!
Karibu Bongo TV Online. Kwa habari za MICHEZO na BURUDANI, ungana nasi kila siku. Tafadhali, usisahau ku SUBSCRIBE.
Mujifunze sio kila mtu munamuamini tu.
Ninaweza kuamin kwa sababu jasusi huwezi mtambua! Maaana kila sehemu kuna jasusi na kila kitengo kina jasusi wa nchi fulani!! Nimechangia tu😅... sijui lolote mimi😮
Hivi unashangaa mchezaji na wale waokota makopo mtaani
Ila majasusi Yana akili Sana kucheza karata zao
Hatali sana lakini salama
Sio mchezo
Waongoo sana....nyinyi
Da! Umenikumbusha mbali Liverpool wanamjua huyoo kuna gem moja hiloo alitokea sub akawagonga goli4
Asa C Ilikuwa 4/4 Au Unasahau,
Af Hakutokea Bench muongo Mkubwa😂
Alafu baada ya kuwatia chuma 4 akasema amecheza chini ya kiwango😂😂
Huyu ndio mchezaji wangu bora, fabregac, na nasri
Hao watu acha tu walikuwa wanagusa wanaachia wanakuja wanatembea kama maji kwenye bakuli yakichezeshwa !Arsenal ilikuwa na mpira wa starehe sana!
Ni balaaa ukiongeza rosisky na bandogo kazolaaa
Foot ball nikazi ngumu xana huwezi fanya upelelezi football is a busy game
Kazi ngumu kwako husiocheza mpira ila kwasisi tuliocheza uwezekano wa kumtoa Jasusi ni mkubwa kuliko muziki au maigizo that's wy kumatimu za jeshi na zinawachezaji wazuri weengi kulilo hao unaowajua wewe.
Mmmh, nina mashaka na hii stori, sidhan kama ina ukwel wowote
😂😂😂😂
NI UONGO NA JUZI ALIKUWA EMIRATES STADIUM
Kinachonishangaza ni watu wengi kuhisi hii habari ni uongo, means ndo mnaosikia kwa mara ya kwanza?
Acheni kuiga porojo bila kuchunguza vizuri!
Duh nimechoka maan nilikuwa namkubar atr
Kwa hiyo we kwa akili Yako umesikiliza na umeamini hata kufikilia umeshindwa kweli nimeamini wa bongo ni manyumbu
unabishana na taarifa iliyo wazi... una smartphone, unahindwa hata ku google kuthibitisha taarifa.?!@@hassanrashid-l3u
@@bongotvonline4883 mm c kama wew unaezoom google ,toa wew vithibitisho ulimuona wap? Mbona uliambiwa kuwa makonda kafa mala katekwa na kuamini uliamini
@@hassanrashid-l3u😂😂😂 Bora umemchana maana mi niliishia kuchekaa kimoyo moyo
Wazushi
Duuuh
Uwezo wake ukoje
Watanzania ni waongo sana wanaanzisha kimada ya uongo uongo ili wapate viewers kwenye mitandao na vi tv vyao
Kawaulize DIGITAL SPY FORUM.
Yaani umewekewa hadi chanzo cha habari na una smartphone unayotumia kuandika comment hapa lakini huwezi kutafuta ukweli unaishia kusema tu ni uongo,wabongo kwa ujinga siwawezi😅
@@bongotvonline4883Nyie waongo tu story zenu za kubumba na juzi alikuwa Emirates kuitazana Arsenal sasa iweje akaribishwe Uingereza msituone maboya
@@Joe-tr2vkWajinga ni nyinyi mnaopenda kuongopewa
@@lucasmhagama8166 Ujinga ni kubisha mambo bila facts. Kama ukiona kuna upotoshaji ukiwa mwerevu unaeleza ukweli ulivyo kwa kutoa chanzo cha taarifa unazoamini ni sahihi na kumrekebisha mpotoshaji. Hakuna mtu anayekuzuia kuangalia chochote hapa YT kiwe ukweli au uongo,unaangalia na kufuatilia usahihi au taarifa zaidi kama ni kitu kipya kwako na kimekuvutia kujua zaidi. Umeelewa bwana mjinga?
Uko uwezekano sababu vita vilivyo anza russia na ukrain amri kutoka ulaya nikua wachezaji wote wakirussia watolewe tafakari hili
KUNA shda sana nikiona mtu anaamini makala nyepesi kama hii
Uongo bwana
Urusi ni hatari kwa ujasusi tena.
Hata yuori zirikov wa Chelsea
@liyakalozeze-hd7kp Daah jamaa wapo high level.
Uongo,uongo,uooooongo mtupu.
Hata cku Moja hatukuwahi kusikia kuwa ni jasusi ila watanzania wamemjuwa duhhhh
Ushaona majajus wanajisema. Principle ya kwanza ya kufanikiwa kwa jasus ni kutomjua identity yake
@victorvancharlz9125 toka bhana watanzania ni manyumbu tu,mkipewa habali mnaanza kujitia mnajua ,mchezaji kacheza mpila asijulikane kama ni jasusi
@victorvancharlz9125 tatzo watanzania ni njaa sana munaanzisha vi tv na vibrog ili mchukuwe vihabali vya kizushi ili mpate vijihela njaa tu
Hii issue sio watanzania wanaosema inasemekana chief wa ujasusi Russia akiitwa Sergei Rachmaninoff ndiye aliyemfunza kama footballer Kisha kumuingiza Zenit St Petersburg kwa kazi maalum ya serikali. Kisha baada ya hapo majukumu yake yakajamishiwa uingereza.
Inasemekana hata habari za kuwa alikuwa anataka kuhama Arsenal na kujiunga na Barcelona ilikuwa ni probaganda za Russia. Zaidi ya hayo inasemekana kuwa hata Roman Pavlyuchenko na Pavel Pogrebnyak ni walienda uingereza Kwa kazi maalum ya kumsaidia Andrey Ashavin.
Kimsingi sio Kila habari hata kama chanzo chake ni mataifa ya nje ukaamini ila kwenye maisha yako usiipuuze taarifa.
Unabishana na habari iliyoandikwa na jarida la kimataifa DIGITAL SPY FORUM.
Jitahidini kufuatilia kabla ya kupinga. Habari imeripotiwa na shirika la ujasusi la Marekani, ila wewe unapinga.
Hao Waingereza wanazingua, sa Wenger anawezaje kuwa sehemu ya ujasusi wakati ye kasajili tu mchezaji, haya na hao kina Palvyuchenko ambao walikuwa timu zingine ila walikuwa wanamsaidia Arshavin? Basi na wao makocha wao wachunguzwe Sasa!
Waongo hao bana mbona hizo habari hatujazisikia playa iweje uwe nazo wewe au wee Manchester
Kwani hilo jarida la DIGITAL SPY ni la wapi?! Sio Ulaya?!
Warongo na warosi niwatu wa kuchoma
Wewe n muongo
Shirika la ujasus la urusi linaiwa KGB na sio vinginevyo
Jina la zamani hilo
@maclaudismail6606 hapana mtangazaji kataja kwa kiingereza na warus hawatumii kiingereza. Tuambie hapa kwa kirus
Urusi kila mtu jasusi basi
Kama ndo hvyo inamaana hata yule Oleksandr Zinchenko naye ni Jasusi maana yupo yupo 2 pale Emirates!!!
Zinchenko anatoka Ukraine sio Urusi
Alikuwa anafanyaje kazi hiyo, wakati muda wote alikuwa mazoezini na kusafiri na timu huku na kule, kila siku jaman au munataks views
Ndio maana ya jasusi
Swal zuri mchangia mada wetu
Utaelewa kesho 😂😂kazi iko hivo undercover
wanatak views tu
Kuwa jasusi unachunguza Mambo mingi Sana,sio iwe ni masuala ya kiusalama pekee
uongoooooo stori ya kutunga tu
*STORY ZA KUOKOTA USHENZI TU HAKUWA NA SIO JASUSI NA JUZI TU ALIKUWA EMIRATES KUITAZAMA TIMU YAKE YA ZAMANI IKICHEZA ACHENI UONGO*
mjomba inaonekana hujui izi kazi
Progaganda. Weka ushahidi hapo.
Muongo