KONGA MANO LA MAOMBI ARUSHA DAY 4 MWALIM NA MHUBI RI MCH. ABIUD MISHOLI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana kwa hiyo injili.

  • @TimothLaiza
    @TimothLaiza หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuongezee uwezooo wa kutimiza kusudi lakee.

  • @ImaniMalebeto
    @ImaniMalebeto วันที่ผ่านมา

    Amen Mungu akujanze pale ulipo punguwa na akuongeeze tena ili Uzidi kutubariki

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa mtumishi wa Mungu 🤝🤝

  • @saidcatheline7379
    @saidcatheline7379 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimtu wa muhimu sana tunakutegemea na Mungu anajivunia sana kazi zako

  • @ChristinaKawishe
    @ChristinaKawishe หลายเดือนก่อน

    Mugu ayatimilize maono na malego yako yote katika jina la yesu amen

  • @kahindobashanga1443
    @kahindobashanga1443 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutumie zaidi mchungaji

  • @AgnessNdola
    @AgnessNdola หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik

  • @user-ug4tf5jy9b
    @user-ug4tf5jy9b หลายเดือนก่อน

    Kweli baba Mungu akubaliki

  • @JoaquimdriveMicher
    @JoaquimdriveMicher หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mtumishi Abuid misholi

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 หลายเดือนก่อน

    Sema mtumishi kanisa lipone

  • @MaryMgeji-x9z
    @MaryMgeji-x9z หลายเดือนก่อน

    Uishi maisha marefu mtumishi wa MUNGU 🤝

  • @user-ug4tf5jy9b
    @user-ug4tf5jy9b หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki mtumishi umenigusa sana kuhusu familia kusambaratika maana mm ndoa imekufa inatoa wadudu imevunjika mahakama kuu

    • @manenojemsi
      @manenojemsi หลายเดือนก่อน

      Pole sana

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @anneanji4818
    @anneanji4818 หลายเดือนก่อน

    Thank you servant of God Abuid 🇰🇪🇰🇪 I'm blessed

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @FelistaKisinga
    @FelistaKisinga หลายเดือนก่อน

    Mungu aliye hai azidi kukutumia kwa viwango vya juu, Mchungaji wangu.

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana

  • @kahindobashanga1443
    @kahindobashanga1443 หลายเดือนก่อน

    Inuliwa sana na sana

  • @eneaurio3835
    @eneaurio3835 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akutunze Baba.

  • @YeremiaYohana-o9j
    @YeremiaYohana-o9j หลายเดือนก่อน +1

    Amen moto wa injili usizimike

  • @shaidamrisho9524
    @shaidamrisho9524 27 วันที่ผ่านมา

    Ame baba

  • @ommylax7231
    @ommylax7231 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @ZulehaMyagila
    @ZulehaMyagila หลายเดือนก่อน

    Ameen mtumishu wa Mungu unatufungua

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 หลายเดือนก่อน

    Amiina glory glory hallelujah

  • @SelemanMathias-ol8om
    @SelemanMathias-ol8om หลายเดือนก่อน

    YESU AKUTUNZE KWAAJILI YETU 🙏🧎

  • @user-bk2nd8zo3g
    @user-bk2nd8zo3g หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubarki sana baba kila iitwapo leo

  • @ZephaniaPeter-dh8bz
    @ZephaniaPeter-dh8bz หลายเดือนก่อน

    Hakika baba mungu anakutumia