USIYOYAJUA KUHUSU NYAKATI ZA MWISHO | With Mch. Abihud Misholi | SEMINA |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2024
  • KWA MSAADA WA MAOMBI | MASWALI
    NA USHAURI-0767 379737

ความคิดเห็น • 60

  • @geitandelwa299

    Aaaaaa naomba MUNGU WA MBINGU NA NCHI AKULINDE WW NA FAMILIA YAKO HAYA MAHUBILI NI YA MHIMU MNO

  • @rahabnkya8276

    Nimefurahi kukusikiliza mafundisho ya leo yananitoa mahali, naomba MUNGU anipe macho ya rohoni, nitoke niwe niwe na mali. Fundishana mafanikio tutokenwote utajiri ni hazina kwa wstoto.

  • @DanielJohn-o9c
    @DanielJohn-o9c 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unasema kweli ya neno la mungu wa mbingu na Dunia na muunba vote ubarikewe na barikiwa mafundisho Yako amina❤

  • @jmeliasshanelle4303

    Wamebaki wachache katika ulimwengu wahubiri kama huyu ambaye anaye hubiri katika Roho na kweli. Muenyezi Mungu akubariki na akutunze.

  • @festinamwakipale3919

    Kweli mtumishi makanisani shetani amepanda magugu makanisani leo mikopo ya liba imejaa inamana wapo wengi sana wa giza ndani ya kanisa

  • @user-fm4hb8ug3o
    @user-fm4hb8ug3o 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba.munguakulinde...unyakuo..usikuache..namimi.tuuone.nakuurithi.ufalumewa..MUNGU.Amen

  • @marymgeji

    Mchungaji hii Roho niambukize na Mimi in Jesus name 💪

  • @wasongaedina7952

    Kweli mchungaji kulola Aliacha Alama haya mahubiri ni yake kabisa

  • @TumainSalum

    Naomba maombi baba napenda sana ibada kila nikitaka kwenda kusali napata homa jumapili kila ikifika naumwa ikipita tu mzima naomba msaada maana najua mungu atanisaidia kupitia maombi yako mtumishi

  • @user-nt1ug6jz8p

    Mwenye namba ya mchungaji Abihudi misholi naomba anisaidie

  • @Bridgetshieni
    @Bridgetshieni 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I love your teaching man of God

  • @LylianeBaumaLyly

    Amen Mutumishi wa Mungu

  • @NathaliMartha
    @NathaliMartha 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen mutumishi

  • @esta372

    Barikiwa sana mtumishi

  • @JosephMwandu-hg1vj

    Amina mtumishi

  • @veronicasaimon1600

    Mungu akutunze shuhuda na mafundisho yako yananijenga

  • @kalalambuyumadeleine5050

    Nabarikiwa sana n'a maubiri ya mutumishi amen

  • @jafetjafet1943

    amen pasta

  • @StellaWanja-kj4gb

    Funzo nzuri sana hio pastor,be blessed so much na mungu azidi kukuongezea nguvu.

  • @midosix2567

    Barikiwe