Amina wimbo uko na upako Mungu naomba univute machozi yangu msaada wangu unatoka kwako bila wewe siwezi nimeguzwa na huu wimbo sifa na utukufu zimrudie Bwana 👏👏👏
Natamani hii nyimbo na biti hii hii uirudie kwenye studio yako yako ya siria record na uingize sauti upya kwa sababu kwa sasa umeimalika sana kiuimbaji
Amina wimbo uko na upako Mungu naomba univute machozi yangu msaada wangu unatoka kwako bila wewe siwezi nimeguzwa na huu wimbo sifa na utukufu zimrudie Bwana 👏👏👏
Jikase imba ya ukamee. mungu anyeche ongeya na yesu
Congrats bro
Paulo uko vizur mungu said katk uimbaji wako nimebarikiwa na nyimbo zak
God bless you. Man of God
Be blessed my brother paulo
Be blessed my brother
I can't stop listening to this song
God bless you man of God❤❤❤
Amina Sana Mtumishi wa MUNGU songa mbele MUNGU awe taa ya miguu yako
Nice song be blessed I love it 🎉❤
Asante sana Wimbo umenibariki
Awowww...so amazing 😍 songs
Mungu akuinue
Mungu akubaligkiwe
Good job
Hongera sana mtumishi
Aki hiyu ndugu Ako na kibaili. Keep it up
uko vizuri olalashe mungu akuinue
Very song
Mungu akubarki
True a good advice kaka
Hongera Sana mtumishi ubarikiwe Sana
Hongera Sana song it's nice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏❤️❤️❤️
Barikiwa kwa huduma nzuri mungu akuinue
Dahh tuko nyuma yako my brother
Aaaw. Tusiwe ukute wa Kuzuiaa wengine.
Kwel inabamba
Hongera Sana kamanda
Hongera Sana lalahe ubarikiwe Sana 🙏🙏
Ukweli taa piii,,may God expand you territorials
I like your songs god bless you so much....
Good bless you and expand you territories
Amin mtumishiii Mungu Akubarik Kaz yako
Vp
Kwel ndugu yanguuu
Mbona dungu unavanya watu waliye kwa maana hayo ndio tumeyapitia, endeleya na huo wito kabisa, na balikiwa sana na nyimbo zako
Vipa
Wimbo mtamu ulio na funzo.
big up brother
Wowww❤❤❤❤❤
Imagine tusiwe ukuta ukuta kuzuia
Nice song God bless you man of God
The message is wow🎉🎉
Nice. 🎉 This is good in kiswahili ndiyo non Maasai waelewe🎉🎉
Kazi nzuri kaka
Asante
True,be blessed
Very inspiring, God blessing
Be blessed my brother 🙏
Tusiwe ukuta wakuzuia
Good sana lalashe
Natamani hii nyimbo na biti hii hii uirudie kwenye studio yako yako ya siria record na uingize sauti upya kwa sababu kwa sasa umeimalika sana kiuimbaji
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Your songs is very nice to my heart
Rose mhando
𝐖𝐢𝐦𝐛𝐨 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐮𝐣𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐦𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐤𝐮𝐛𝐚𝐫𝐢𝐤𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚
Iko sawa kaka
Good
Mungu akubarki