EXCLUSIVE: MENINA - AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA/ NASHANGAA WANAONIHUKUMU/ HAIKUWA MATAKWA YANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • ameongelea na mengi yanayomuhusu ikiwemo jinsi alivyoweza kuovercome na maisha yanavyoendelea, kazi zake, mtoto wake, na mengi yanayomuhusu

ความคิดเห็น • 577

  • @K25795
    @K25795 4 ปีที่แล้ว +194

    UYU MTOTO MENINA KAMA MZURI NAMPENDA KBX KAMA NAWE UNAMPENDA GONGA LIKE HAPAA

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 4 ปีที่แล้ว +3

      Huyo alietoa hiyo video alitaka tu kumharibia huyu dada kwa makusudi na huyo jamaa amefeli sababu huyo demu ni mzuri sana na maisha yake bado yanaendelea vizuri sana na maisha yake yatazidi kuendelea kwa kasi kubwa

    • @husnakezakimana3944
      @husnakezakimana3944 4 ปีที่แล้ว

      4 2

    • @linahsemindu9575
      @linahsemindu9575 4 ปีที่แล้ว

      @@happynelson1136 limwijaku hilo cjui nae menina alimpendea nn lile dume khaa😂

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 4 ปีที่แล้ว

      @@linahsemindu9575 mimi pia nashangaa kwa nini Meninah alilala na mwijaku yaani nashangaa sana sababu Meninah ni mtoto mrembo sana

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 4 ปีที่แล้ว

      @@linahsemindu9575 tatizo Meninah alijekodi mwenyewe

  • @genovivakaijage8336
    @genovivakaijage8336 4 ปีที่แล้ว +50

    Mrembo,makosa kila mtu hufanya tusipende kuhukumu

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +33

    Kila mwanamke anatakiwa kujipenda yeye kwanza,kujithamini na kuimarika katika ujasiri ...usikate tamaa juu ya vitu vidogo

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukishajitambua tu wewe ni Nani .itakutoa sehemu moja kwenda nuingine. .shida wamama wengi hawajitambui...woga na hofu na stereotype za kijinga

  • @liliannamwatikha1140
    @liliannamwatikha1140 4 ปีที่แล้ว +17

    This interview was conducted respectful and professionally, alot of lessons learnt. Thank you

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 4 ปีที่แล้ว +19

    Naomba kushauri kitu.
    Jaman tunaona weng wasaniii na baadhi ya watu maarufu kuona tendo la ndoa ni jambo la kawaida kabla ya ndoa na ukiabika unazan ni kosa la mtoaji tu jaman sometimes muwe na akili na fikra sio kila unachopewa ni kupimwa iman tu bali ni adhabu kutokana na kumkosea Allah bali wanawake punguzeni kufanya zinaa na zinaa sio halali kam hujaolewa tusiseme tu ni makosa ya kawaida bali ni makosa makubwa na ya kipumbavu sana unatijistiri ndio na Allah anakuepushia kuaibika na PIA ni adhabu ya Allah
    NB: wasanii wa binaadamu wenzang zinaa ni haramu na ni zambi kubwa mno na tusijisifie dhambi ni ujinga kmnuna uwezo ooa sio kufanya zinaa tusisme unapenda kufanya mapnz wakat ni haramu na unajua
    Ila wao vioo vya jamii ndio wanaoeneza uchafu

    • @mariangoi2569
      @mariangoi2569 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kaka nmejifunza

    • @mercydeo4040
      @mercydeo4040 4 ปีที่แล้ว

      Umesema kweli kaka jamii imehalalisha zinaa inaonekana ni kitu Cha kawaida kabisa, Mungu aturehemu jamani

    • @hafidhmohd8696
      @hafidhmohd8696 4 ปีที่แล้ว

      @@mercydeo4040 true Allah atusamehe makosa yetu

    • @chocolatebby68
      @chocolatebby68 4 ปีที่แล้ว

      shukran kwa ujumbe wako

    • @hafidhmohd8696
      @hafidhmohd8696 4 ปีที่แล้ว

      @@chocolatebby68 afwan

  • @zaynabhassan3619
    @zaynabhassan3619 4 ปีที่แล้ว +34

    Nakupenda menina ur so beautiful no matter what

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +22

    Am glad unasema ni kikombe chako ulitakiwa kukinywa mama...usijali,maisha yanaendelea,naendelea kukusifu kuvuka daraja hilo...

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 ปีที่แล้ว +20

    Kabla cjaendelea naomba nikupongeze da Zama umependeza sana

  • @luluadam3086
    @luluadam3086 4 ปีที่แล้ว +23

    Menina nakupenda sana dah hadi nmetoa mchozii😭😭

  • @islandgirl4578
    @islandgirl4578 4 ปีที่แล้ว +13

    Mwijaku sio mtu mzuri hamissa nakupa pole kwa yajayo

  • @OmanOman-cl7kv
    @OmanOman-cl7kv 4 ปีที่แล้ว +15

    😭haki umeniliza Roho inauma Sana mambo mfanye faragha mwezako ayatoe nje yanaumiza sana sema ishatokea songambele

  • @chumatyres7586
    @chumatyres7586 ปีที่แล้ว +1

    Hapa hyu dada alifanyiwa kitu mbaya Sana

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว +12

    Zama kumbe kichen part cha wananzengo kukueleza kuwa na tissues kimekuingia hongera sn 👏👏

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว +26

    Maisha haya nyie tunatoka mbali Dah aiseeeee pole Minnah
    #Zamaradi tunakupenda mama kwa interview zako mzuri

    • @mytelecom2019
      @mytelecom2019 4 ปีที่แล้ว

      fikisha pole yangu kwa menina

    • @zennakailo8106
      @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว

      @@mytelecom2019 inshaAllah 😄

  • @salmanyangasa1171
    @salmanyangasa1171 4 ปีที่แล้ว +14

    Dah! Aiseh umenifanya nimelia Menina. Tumekuelewa mumy...pole Sana mpenzi wangu

  • @mariamkilama2266
    @mariamkilama2266 4 ปีที่แล้ว +8

    Yani watu jamani kwa kukuza ya wenzao utafikiri wao hawafanyagi chochote

  • @albs1448
    @albs1448 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kifupi limetokea ila hujasema wewe kulala na mume wa mtu, unasema umelelewa kwenye dini, then why you slept with a married man? Na tuache kumsingizia Mungu jamani, Mungu hakuambii uende kulala na mume wa mtu na zaidi urekodi then unataka haki pale unaumbuka. Labda Mungu alitaka uumbuke ili ubadilishe tabia ya kutaka kuvunja ndoa za watu. Inaoneka sio mara yako ya kwanza.Hilo ndio jibu la kweli so umekosea, wewe omba msamaha then move on. Hapo ndio jambo la maana

  • @queentz8314
    @queentz8314 4 ปีที่แล้ว +38

    Zama tuletee Chidibez I think we need to know him more nilimkuta mahali juzi kanenepa anawapa wapa watu somo la maisha na anayoendelea kupita hakiyamungu sikumjua zaidi ya sauti ila anaonekana anamachungu mengi na majuto mengi ya umaarufu please mtafute. Nahongera now sauti everything is good. And Menina pole we Love you no matter......yr young and strong bby

    • @jackjudy9182
      @jackjudy9182 4 ปีที่แล้ว +2

      fact

    • @mostyhodari2145
      @mostyhodari2145 4 ปีที่แล้ว

      Zamaradi jitahi kuongeza sauti unanong'ona sana wakati mwingine.

  • @tiagolichuchu8349
    @tiagolichuchu8349 4 ปีที่แล้ว +15

    Both of you girls are looking gorgeous.

  • @mcrithawaukweli4885
    @mcrithawaukweli4885 4 ปีที่แล้ว +14

    Mungu akutie nguvu mwanamke mwenzangu

  • @diana_james9269
    @diana_james9269 4 ปีที่แล้ว +49

    So true the person who did this to her it is very evil, let us respect women , the person who removed that video out know that you really tortured this lady, you really killed her, the shame she went through oh my God just help her please, the person who did it you don't deserve to be with any woman in your life. 😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @davidone1313
      @davidone1313 4 ปีที่แล้ว

      Unasema sio kweli.....ebu tuambie ww

    • @davidone1313
      @davidone1313 4 ปีที่แล้ว

      Ebu tuambie ww ukweli

    • @diana_james9269
      @diana_james9269 4 ปีที่แล้ว

      @@davidone1313 unamanisha nini tafadhali, what do you mean with your comment i don't get you

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/XkGLz7jr1vw/w-d-xo.html
      AFRICAN FASHION||

    • @witnessmbilinyi3281
      @witnessmbilinyi3281 4 ปีที่แล้ว +3

      Diana Obondo hajaelewa ulichoongea na alichoelewa ni vitu viwili tofauti

  • @dmajumbu2000
    @dmajumbu2000 4 ปีที่แล้ว +31

    sasa Mungu alikuchagua wewe vipi hapo jaman mbona Mungu mnamshishikiri kwenye kitu ambacho si sahihi???? Mungu muache kwanza we tafuta njia ya kupooza uchungu ila Mungu muache. Kwan ulibakwa???? Maana kwenye video naona unaangalia kabisa camera na utam kuusikilizia jaman. Afu unasema sababu we mwanamke...Wanawake bwana tunapenda kutumia jinsia yetu kutia huruma pindi tunapofanya mambo tofauti...si sawa.

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 ปีที่แล้ว +6

      We naye acha kujifanya mjuaji...usipende kuhukumu...! Unakera

    • @davidmasasi5497
      @davidmasasi5497 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha na utamu aliusikilizia... ila kiukweli hakuna aliyemuonea ila yeye mwenyewe alifanya upuuzi kwa kukubali kurekodi wakati akifanywa...

    • @aishachambo3293
      @aishachambo3293 4 ปีที่แล้ว +3

      Doreen majumbu Wanatetea ujinga ndo kazi zao kipiga picha za uchi zikivuja hooo namwachia Mungu

    • @klystry1234
      @klystry1234 4 ปีที่แล้ว

      Mdomo wako nauonea huruma

    • @kisskiss2766
      @kisskiss2766 4 ปีที่แล้ว

      🥴🥴🥴

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 4 ปีที่แล้ว +35

    Umenifanya nilieeee😭😭..pole babygirl🥰

    • @nasrajuma136
      @nasrajuma136 4 ปีที่แล้ว

      💣😓😓😓nimelia mpk nimejisikia viby

    • @nasrajuma136
      @nasrajuma136 4 ปีที่แล้ว

      @@Shayy97 kuna muda maisha yakuzalilishwa tunapitia wengi hata wew yakikufika ndipo utajua uchungu wake

  • @sumecute2513
    @sumecute2513 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimepitia kama hicho menina ,nililia yangu yote kwakweli,so nakufeel na niuchungu mno

  • @bakariomar6156
    @bakariomar6156 4 ปีที่แล้ว

    Hi Zamaradi from Kenya bt Niko Qatar kibiashara nimemsikia Menina naomba umtafute plz na umwambiye nahitaji mazungumzo na yy my Number ya WhatsApp hii +254790001605 plz plz anitafute

  • @jovinacbkan7785
    @jovinacbkan7785 4 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana,mdogo wangu,wala atukuhukumu dia,nakuelewa sana Menina,pole dia.

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 ปีที่แล้ว +11

    Dah! pole sana umenifanya nilie na mi dah menina pole wng nakupenda sana hayo yote ni mapito tu pole sana Mungu atakulipia tu kwa wakati wake inshaallah

  • @WORDOFMYCREATOR
    @WORDOFMYCREATOR 4 ปีที่แล้ว +12

    Interview poa sana.Sama you so smart and your Interviews are very interesting. You can't skip you need all the details in your Interviews. Bravo

  • @kerryhoza6173
    @kerryhoza6173 4 ปีที่แล้ว +5

    Nywele yako nimeilewa sana..! Alokutengeneza kakunogesha sana

    • @sitisule6812
      @sitisule6812 2 ปีที่แล้ว

      Jamani watanzania acheni ujinga!mfanye uchafu wenu Kisha mtie mungu ndani, astaghafirullah

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole mama hajna haja ya kulia,maisga yanasonga...kuteleza sio kuanguka,nakusifu ulipata ujasiri wa kunyanyuka na kuendelea na maisha ...wanaume ni mbwa usilie juu yao.
    Mwijaku ni fala mstari wa mbele,haistahili chozi lako..usimpe nafasi iyo

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 ปีที่แล้ว

      Nashangaa clouds wameamuajiri..pumbafu sana yule

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu kakuchagua ww kwenye zinaaa ili uwe mwalim 😂😂 naweza sema pole tu ujifunze tu kua makini na aina ya mwanaume wa kushare nae hayo

  • @aishajumanne2698
    @aishajumanne2698 3 ปีที่แล้ว

    Kila nikiangalia hii interview huwa nalia du Allah tulindie wanetu.ikisha don't trust anybody.usikubali kuchukuliwa video in any case.pole menina ww ni mrembo na mzuri sana

  • @spreadlove2119
    @spreadlove2119 4 ปีที่แล้ว +6

    Ibilisi wa mtu ni mtu mdogo wangu, life goes on 😋.

  • @sikapendinakapenda4170
    @sikapendinakapenda4170 3 ปีที่แล้ว

    Hii aliitengeneza mwenyewe ,Kichefuchefu hata kumsikiliza, anatafuta kiki.

  • @estherelias5609
    @estherelias5609 4 ปีที่แล้ว +19

    Jaman Pole kwa yote,ki ukwel tumekuwa na tabia ya kuhukumu kana kwamba sie ni wakamilifu

    • @dr.madevualcantara4775
      @dr.madevualcantara4775 4 ปีที่แล้ว

      Yaani nyinyi munachekesha san mufanye xxx video mutume than mujidai mumekosea kumbe mumekusudia..aendelee tu tumemis mzigo mpya

    • @dorislema1814
      @dorislema1814 4 ปีที่แล้ว

      @@dr.madevualcantara4775 ila kwel kwanin wajirekodi wanafanya ivo ili nini

    • @aishaiddi8326
      @aishaiddi8326 4 ปีที่แล้ว

      Pole daa unaniliza bure move on menina

  • @nyimbonizipendazo
    @nyimbonizipendazo 4 ปีที่แล้ว +5

    Zamaradi umependeza, make up on point ❤️

  • @rizikiabdalla3308
    @rizikiabdalla3308 4 ปีที่แล้ว +1

    Thamani umejishusha mwenyewe kwanini ukubali kurikodiwa Kwanini sote tunafanya ila haturikodi tena fanya kila tunacho kiweza ila haturikodi bb na tena usimsingizieee mungu upoo bb ufanye zinaa tena jirikodi utuoneshe halafu umsingiziee mungu weeeee🤔🤔🤔

    • @briella6899
      @briella6899 4 ปีที่แล้ว

      Tunapofanya dhambi huwa tunamsahau Mungu lakini dhambi ikigeuka tunamkumbuka Mungu, kwasababu ni Mungu Wa Rehema na mwenye kusamehe kwanini umuhukumu huyu dada wewe ujawahi Fanya dhambi? Wewe umekamilika? Acha hizo mambo utakuja pata mtoto na atafanyiwa kama alivyofanyiwa huyu dada chunga ulimi wako

  • @anniejojo9126
    @anniejojo9126 4 ปีที่แล้ว +25

    Nani mwingine ameona sura ya bahati bukuku kwa menina?gonga like

  • @AsnathSeveline
    @AsnathSeveline ปีที่แล้ว

    Hata sie tunapitia mumy sema hatujulikan video zinaishia mtaan kwetu 😢😢😢

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 ปีที่แล้ว +10

    Don cry menina we love you 😭😭

  • @rosemofuga6313
    @rosemofuga6313 4 ปีที่แล้ว +5

    Interview iko vizuri na imetulia sana

  • @shadiayunus9859
    @shadiayunus9859 4 ปีที่แล้ว +6

    Wallah nimelia ila aliyefany hivo atakuj kulipwa, sio vzur na ni udharirishaj

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 ปีที่แล้ว +9

    Kapole maskini...I love you❤❤❤

  • @Lifestylek2l
    @Lifestylek2l 4 ปีที่แล้ว +10

    Nataminig Zamarad siku ajihoj mwenyew 😂😂😂

    • @abiahsteven7345
      @abiahsteven7345 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @ashazubere3837
      @ashazubere3837 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @dottnatt7110
      @dottnatt7110 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapo chacha kunoga hatariii

    • @شيخةصالحاليعربي
      @شيخةصالحاليعربي 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣muone vile nimecheka😂

    • @Lifestylek2l
      @Lifestylek2l 4 ปีที่แล้ว +1

      @@شيخةصالحاليعربي kweli tena mana sijaona mtangazaj mpk sasa anaeweza kumuhoj akatoa machozi kama anavowatoa wenzie😂😂😂😂huyu mdada yuko level nyingine jaman😢

  • @chibesalalata1468
    @chibesalalata1468 4 ปีที่แล้ว +6

    For real you make me cry may God bless you

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna watu wanajua kuumiza wenzao jm..! Sasa huyu mwanaume hapo anaona rahaa ...sio vzr mtu kukulilia..

  • @azizaaziza9113
    @azizaaziza9113 3 ปีที่แล้ว

    Nikwa nnwasanii wa kwetu wakishaharibu wanamhusisha mungu kwenye upumbavu?

  • @kerryhoza6173
    @kerryhoza6173 4 ปีที่แล้ว +4

    Zamaradi umependeza sana...u look so gorgeous...!👌😍😘

  • @mgishajohn9610
    @mgishajohn9610 ปีที่แล้ว

    Ulitakiwa uolewe na ufunge ndoa ndo tuone mumeo ametoa hiyo video.Huna maadili yoyote ya dini.

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 ปีที่แล้ว

    Unaanzaje kufanya tendo la ndowa ukarikodiwa na mwanamme ambae leo nakesho mnagombana

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha ujinga wewe sio kila mtu anajirecord kama upumbavu uliofanya..kubali ulifanya ujinga. Yaishe na liwe fundisho. Mnalia ili muonewe huruma na usimuingize Mungu kwa ujinga wenu ..muacheni Mungu pembeni kwa ujinga unaofanya.

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 ปีที่แล้ว

    you talked emosional menina wng😥😥umefany ad nmelia......

  • @assoumnassor2930
    @assoumnassor2930 4 ปีที่แล้ว +21

    Pole sana dada, lkn usiseme ni kitendo cha kawaida kila mtu anakifanya, au kama mungu alikuchagua ww ili uwe sauti ya wengine, ni kweli watu wanafanya lakini jiulize wanfanya kwa njia gani? especially ww ni Muislamu, zinaa haifai, tena naamini hii zinaa si kma haifai ktk dini ya uislamu tu bali ni ktk dini zote, siku zote Allah humpa mtihan mja wake ambae anamkera ili na yy ajiskie maumivu kwa vile anaenda kinyume na matakwa na ridhaa yake.

  • @judiehance1736
    @judiehance1736 4 ปีที่แล้ว +13

    Da zama umewaka ❤️❤️❤️

  • @fatmann6341
    @fatmann6341 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu dada kichwa chake bado hakijakaa sawa masikini anajikaza tuu yaani akihojiwa unamuona kabisa anawaza Ile Hali iliyomtokea kabla hajuulizwa pole Sana dadà mungu atazidi kukupa amanii akuna atakae maumivu yako

  • @cpasalma1532
    @cpasalma1532 4 ปีที่แล้ว +4

    Afadhali mara hii Zama umekuwa na tissue Pole menina pole sana mamy

  • @getmad9908
    @getmad9908 4 ปีที่แล้ว +2

    Loma usimtiye mungu kwenye zina, ww !!!sema Shaitan Ndo kakupitiya hapo na mungu ndo Kwa kkumbuwa, pili hilo liwe fundisho Kwa mwwnmke yy atakaye kubali kurekodiwa hata kama ni mume wako, juwa huweza akawa adui wako siku mmoja 🙏🙏🙏

  • @MohammedAli-vq2dk
    @MohammedAli-vq2dk 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole Sana many ila mashaa Allah nywele

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania hata ufanye uchafu Vp bado utaoneekana star shujaaaa

  • @leahmnkeni7466
    @leahmnkeni7466 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakati anarecord hukujua

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 4 ปีที่แล้ว +4

    Mzuri menina MaashaAllah

  • @sol-ql1kt
    @sol-ql1kt 4 ปีที่แล้ว +5

  • @jumason142
    @jumason142 4 ปีที่แล้ว +1

    Kawaida but beautiful.. KARIBUNI KUANGALIA FILAM MPYA INAITWA ASHA CHAUDELE pamoja na TAMTHILIA MPYA INAITWA NANI MKAMILIFU SUBSCRIBE TH-cam ACCOUNT NI 3focus media..

  • @beatriceantapa5940
    @beatriceantapa5940 4 ปีที่แล้ว +2

    Don't cry darling .....keep moving darling

  • @iipeaxhyixy4528
    @iipeaxhyixy4528 4 ปีที่แล้ว +1

    Hana uzuri wowote ana sura mbaya umbile nzuri but sura wapi kbs mapuwa makubwa sana

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 ปีที่แล้ว +7

    Pole Sana menina kuna wanaume wengine hawana akili kabisaaa nilipoonaga niliumia Sana aiseee pole Dada

  • @sureiamboo
    @sureiamboo 4 ปีที่แล้ว +2

    Mh ok.... leave God out this please

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 4 ปีที่แล้ว +10

    Menina mzur jamani Mashaalah

  • @elizabethlameck4829
    @elizabethlameck4829 4 ปีที่แล้ว +2

    Katika yote,,pole Dada ila MUNGU ni mwema wakati wote nakupenda Tamthilia ya Tand umecheza vizuri sana napenda kuifatilia wewe ukiwa mshawishi mkubwa❤️umependeza

  • @alutoolifestyle9319
    @alutoolifestyle9319 4 ปีที่แล้ว +4

    Sio kosa kufanya kile kitendo,kosa kujirekodi menina,kwann ulikubali kujirekodi?kosa lako kubwa ni kukubali kujirekodi.pole Sana na uwe makin na wanaume wengine usikubali tena kujirekodi

    • @barakaalecnathaniel3716
      @barakaalecnathaniel3716 4 ปีที่แล้ว

      Ila chumbani watu hufanya mengi sana..as long as wote mnatunza faraga huwa yanaishia huko huko

  • @umkulthummohammed9713
    @umkulthummohammed9713 3 ปีที่แล้ว

    Yani mwijaku namchukia yule baba mxyuu zake

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu hakubariki unekana mkarimu sana sauti yako fanya kazi usikate tamaa

  • @omegatesha1227
    @omegatesha1227 4 ปีที่แล้ว +5

    Malipo ni hapa hapa duniani. Pole Dada, ila aliyekufanyia hivo na alaaniwe na mbingu na ardhi imeniuma sana aki!

    • @mutwalesylvie7443
      @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo nima pombe kisha mtu unaefanya nae ana mapenzi na ww

  • @umkulthummohammed9713
    @umkulthummohammed9713 3 ปีที่แล้ว

    Menina uzuri wote uwo umeenda tembea na dudu chungu

  • @chany9950
    @chany9950 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimeria saana jamani 😭😭😭pore sana menina love youuu 😘😘

  • @aloycemasele7236
    @aloycemasele7236 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaa, Abigael hata mm nilianza kukuchukia niiidhani unaringa sana kumbe ilitakiwa iwe hivyo? 😀😀😀 pole now nitakufuatilia bila kuchukia

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 4 ปีที่แล้ว +12

    I have totally changed my attitude toward you this interview has changed everything.... Keep going Menina

  • @klystry1234
    @klystry1234 4 ปีที่แล้ว +2

    Parents is everything hata mm Nina story yangu but bado nataka nitoke kwenye conclusion niwazime mdomo kabisa

  • @art.ib6
    @art.ib6 4 ปีที่แล้ว +6

    Vizuri Sana zama Leo una tishu

  • @gracemollel7503
    @gracemollel7503 4 ปีที่แล้ว +19

    Half of her cute is her brain luv u menina

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 4 ปีที่แล้ว +4

    Zama u looking beautifull I like ur makeup with dress mashaallah

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 4 ปีที่แล้ว +1

    Menina umefanana Sana na Reila Rashidi.but watu mnaotoa pole hum ndio mlikuwawakwanza kumtukana Sasa hivi mnajifanya mnahuruama 😁😁

  • @mariajohn8965
    @mariajohn8965 4 ปีที่แล้ว +3

    Ila dada Zamaradi i really like interview zako yaan ni za kipekee sana 😘

  • @alinasssor9983
    @alinasssor9983 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwanini ufanye jambo ambalo Allah kakataza

  • @osimundahaule737
    @osimundahaule737 4 ปีที่แล้ว +1

    yanakuja kwa maumivu, fedhea, vikwazo n.k ili uwe mwalimu kwa wengine,, nimekupendabure dada Menina

  • @rehemaiddi6601
    @rehemaiddi6601 4 ปีที่แล้ว

    Harusi ya muhammed na nabila kisauni mombasa

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 ปีที่แล้ว +2

    Umependezaa my loveee Zama +254 Mungu azidi kukupigania 💪❤❤

  • @nambuacassandramlaki3516
    @nambuacassandramlaki3516 4 ปีที่แล้ว +3

    We love you MENINA...I LOVE YOU......YOU ARE A GOOD GIRL..

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 ปีที่แล้ว

    Nani anaekuamini si mpumbavu unastara gani

  • @pikolaizaog7303
    @pikolaizaog7303 4 ปีที่แล้ว +1

    Lakini mwijaku mimi namwona ni yeye ndiye aliyevujisha coz mbona alirecord hiyo movie ya ngono😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @tausimagesa1434
    @tausimagesa1434 4 ปีที่แล้ว +7

    It's ok mamy move on mungu yupo pamoja nawe

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +4

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄pole dear,maisha lazima yatokee..life goes on ..usijali

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 4 ปีที่แล้ว +25

    I love you Menina, Zama interview zako lazma mtu alie unajua Sana kuhoji mtu

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 4 ปีที่แล้ว

      Lkn tunalizwa nass wangaliaji😥😥😥

    • @aichaabdul5844
      @aichaabdul5844 4 ปีที่แล้ว +2

      Kulia kiafya ni jambo zuri, jitahidi uwe unalia mara kwa mara.

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 ปีที่แล้ว

      AFRICAN Fashion
      th-cam.com/video/XkGLz7jr1vw/w-d-xo.html

    • @dorislema1814
      @dorislema1814 4 ปีที่แล้ว

      @@aichaabdul5844 hahahahahahahahahhaha

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 ปีที่แล้ว

    Polesan kipenzi Inauma 😔

  • @baashehassan3923
    @baashehassan3923 4 ปีที่แล้ว +1

    Usijalie

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +6

    Wanaume ni wakatili sana,ila tunapoendelea mambo yatakaa sawa tu..watajinyoosha wao wenyewe sababu vita inayoendelea ni kubwa sana🙏🙏🙏🙏🙏

  • @emmanuelbuyamba5855
    @emmanuelbuyamba5855 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna video yake moja hivi ananyanduliwa, anaonekana anajua

  • @fatmayussuf9980
    @fatmayussuf9980 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atakuhukumia inshallah menina be strong 😘😘

  • @gracemalashi8358
    @gracemalashi8358 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole mamy😭😭

  • @sabahumedia7053
    @sabahumedia7053 4 ปีที่แล้ว +1

    Tujitahid kuepuka zinaa hilo ndo kubwa