MASWALI YA WAANDISHI YAMPA KIGUGUMIZI KADA CHADEMA /SAKATA LA UKOMO WA MADARAKA /AKOSA MAJIBU...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 35

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Akiitisha tena Press ingine waandishi hawaendi

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii Press angeachana nayo maana inamshushia hadhi

  • @mrmixedtopics1240
    @mrmixedtopics1240 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ukimwangalia malisa ni kama anahofu anajuta hata kuita hii press,, dah ni msomi mwenye hofu asiye na msimamo

  • @Laluma2023
    @Laluma2023 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mbowe akishindwa hakuna mpasuko ww chawa kaa kwa kutulia

  • @tam5262
    @tam5262 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu ni wale wale wa "kupima upepo" Hana msimamo

  • @BonyMayunga
    @BonyMayunga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa maswali ni magum kuliko uwezo wake

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Malisa ameshindwa kuzuia mahaba yake Kwa mwamba na anaongea Kwa kuzunguka sana

  • @godssevant
    @godssevant 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi kabisa , Kama kiongozi kushindwa kueleza msimamo wako wazi juu ya UKOMO ni kiashiria kikubwa cha WOGA, UNAFKI, UONGO,UDHAIFU, UBINAFSI, UKOSEFU WA UZALENDO, KUPENDELEA UPANDE, KUTOJITAMBUA, UWEZO MDOGO WA KUANISHA NA KUCHANGANUA MAMBO.

  • @Yusuphrevocatus-g3v
    @Yusuphrevocatus-g3v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    msukule wa mbowe

  • @hajimjaja1163
    @hajimjaja1163 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kumbe huyu katumwa na Mbowe, Mbowe anatarajia chadema itakuwa imara ili aendelee kuvuta mkwanja kwa mama 😂😂😂

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hujachambua hoja zake kwa 7bu ya upumbavu uliyonayo. Kasema wazi wajumbe wamchague mgombea watakemwona sera zake zinafaa.

  • @JuliusKesanta
    @JuliusKesanta 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Malisa kazunguuuka kujibu swali la ukomo wa madaraka. Inaonekana Ana Unga mkono Sera za mbowe lkn hakubaliani na mbowe ktk hilo la ukomo

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona mnang'ang'ania kuuita uongozi madaraka? Madaraka wanakuwa nao watawala; bali vyama vinakuwa na uongozi.

    • @NeemaMasala-o7c
      @NeemaMasala-o7c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yuko team Mbowe

    • @contempo_builders
      @contempo_builders 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ChalesLukumai Kiongozi wa chama yeye anatawala maandazi?

    • @alexjohn7361
      @alexjohn7361 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@ChalesLukumaikwahiyo uongozi haunaga ukomo eti?

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 42 นาทีที่ผ่านมา

    Malisa chama kimeoza sana kimefikia hatua kinabariki rushwa, hakitetei wanyonge na wanaodhulumiwa. Kibaya zaidi kinalamba viatu vya ccm kupitia Mwenyekiti na kundi lake. Chama kimepoteza dira. Hakifai kuwa chama cha upinzani.

  • @michaelmakenji855
    @michaelmakenji855 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchaga hawez kujibu swali la ukomo maana anamuwekea mangi mwenzake kitanzi shingoni

  • @BeniMwengo
    @BeniMwengo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uchawa ni kitu kibaya sana.

  • @octaviantito
    @octaviantito 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Udhaifu mkubwa sana kuwahi onesha tangu nipate kukujua miaka 10 na zaidi iliyopita....anyway kila mtu apambanie mkate wake siku zisonge.

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mbona anaonekana katumwa 😂😂😂

  • @uswegemwakalobo6220
    @uswegemwakalobo6220 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ila waandishi nao, huyu ndiye aliyewakusanya Ili aongee nao hii hatari Sana.

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora hata mie😂😂😂😂

  • @Gerald-v6h5i
    @Gerald-v6h5i 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchaga muhaya ni wapenda pesa tu hawafai ktk uongozi

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Malisaaa wachaga tuachieni chadema akirudi mbowe mtabaki na chama cheni yani kitakuwa chademachaga kama mnavyoita policcm

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Changanua hoja zake; siyo kabila lake. Yeye anazungumzia malumbano ya siasa, hajazungimzia ukabila. Acha upumbavu.

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 42 นาทีที่ผ่านมา

      @@ChalesLukumai pumbavu ni wewe usie fatilia historia ya chadema na viongozi wake ni kabila gani unalipuka km ushuzi wa nyongo

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 40 นาทีที่ผ่านมา

      @@ChalesLukumai sema hakunaga mwarusha mjanja wote maboya ndo mana mmeuzia wachaga viwanja nyie mkawa walinzi hata ww na mashaka ni mlinzi mahali

  • @mrmixedtopics1240
    @mrmixedtopics1240 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa ndio naona doa kwenye elimu yetu,,Yani demokrasia wanataka ila hawajui hiyo demokrasia n nn

  • @nestor384
    @nestor384 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawa chawa wa Mbowe mbona kama wamepanga kuharibu uchaguzi Etii kila mmoja akisimama anasema hakuna kuhama chama, kwanini mtu asihame chama kama uchaguzi utafanyika kihuni?!
    Huyu mpuuzi nmesikiliza press nzima sijaona hata cha maana alichoongea! Kifupi ni mtu ambaye hana tangible view kama ambavyo Freeman Mbowe hana hoja.. etii amegombea ili aacomplish jambo, Jambo ambalo halijulikani mpaka sasa!

    • @Laluma2023
      @Laluma2023 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbowe akishindwa hakuna mpasuko ww chawa kaa kwa kutulia

    • @NeemaMasala-o7c
      @NeemaMasala-o7c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbowe atulie tu

  • @MashallaShimbi-pw7ix
    @MashallaShimbi-pw7ix 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mpasuko unatoka wapi??? someni alama za nyakati, kama propaganda za kichawa hazitasaidia kitu, na mkipuuza sauti ya wenye chama yaani wananchi, mtakaa msisahau kamwe

  • @Gerald-v6h5i
    @Gerald-v6h5i 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumbavu kabisa

  • @JamesSitta-b9s
    @JamesSitta-b9s 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachaga amna lolote