Kaanza vizuri huku Kati anaharibu tayariyuko upande mmojaanatafuta Viji maneno Fulani kuwekea comment Una piece off my brother tushakuekewa unamuhitaji mbowe kaapembeni shida yako watu wachukuliwe polisi ana subiri walichukuliwe Hilo kabila lako na watu wasiojulikana
Huyu jamaa kinachomtesa ni hofu ya Freeman Mbowe kupoteza uenyekiti Umma haumtaki Mbowe si kwa ubaya bhali uwezo na upeo wake umefika mwisho.. Mungekuwa waungwana mngemshauri asisubiri fedheha.. Kama uchaguzi utakuwa fair hata misa ya kwanza haitaisha keshapoteza!
Hii ni akili za ya walio la la darasani saa hii mbowe ni A tundu B kwahiyo kama mnapigana wenyewe alafu tuwapee nchi apa mmepea ccm uchaguzi wa 2025 bila kuchoka
Malisa unahubiri umoja wa nini wakati kila mara uchaguzi unaporwa,,sa kunahaja gani kwenda kwa umoja kwenye uchaguzi wakati miaka yote mnaenda wamoja na hakuna mnachoambulia na kutuletea malalamiko wanaichi kua kura zimeibiwa,,hyo sio cha maana,,chamaana hapo ni mboe achie kazi wengine basi
Ninachoona uchaguzi huu ukiachwa ndiyo maumivu yatakuwa mkubwa sana maana mioyo ya wanachadema haitakuwa kwenye chama kwasababu wameshajiandaa kumpata mwenyekiti wako Ili washirikiane nae katika uchaguzi ujao,ukiachwa ndiyo mpasuko utakuwa mkubwa
tokea dunia iumbwe si tunaendaga kwenye uchaguzi mkuu tukiwa wamoja bila makovu?? huko kupona na umoja imezaa nn? tunapigwa za uso kila uchaguzi kwaio hakuna cha nn wala nn acha ngoma ichezwe kwanza umu umu ndani 😂
Kweli brother uko vema sana mawazo mapya na mazuri sana. Kachukue tom ya uwenyekiti. Tunataka mawazo mapya
Mungu hachaguliwi muda wa kufanya jambo iwe katika vurugu iwe katika utulivu mungu atafanya tu
Nakubaliana na wewe 100%
Malisa umetoa ushauri safi kabisa, hasa hasa no 4
Unamawazo mazuri sana unafaa kuwa katibu mkuu unamaono makubwa sana
Mawazo mazuri sana, ila umechelewa kuutoa.
Kaanza vizuri huku Kati anaharibu tayariyuko upande mmojaanatafuta Viji maneno Fulani kuwekea comment Una piece off my brother tushakuekewa unamuhitaji mbowe kaapembeni shida yako watu wachukuliwe polisi ana subiri walichukuliwe Hilo kabila lako na watu wasiojulikana
Uko sahihi kamanda
Uposahihi kabisa
Ninachoona ni upepo kuelekea Kwa lisu ndiyo shida,ikihairishwa utaleta majeraha zaidi na unaweza kupelekea chadema kushindwa sana kwenye maeneo mengi
Jamaa kaongea point sana ni mtu mbumbumbu na kilaza ndo anaweza kumpinga
Huyu jamaa kinachomtesa ni hofu ya Freeman Mbowe kupoteza uenyekiti
Umma haumtaki Mbowe si kwa ubaya bhali uwezo na upeo wake umefika mwisho..
Mungekuwa waungwana mngemshauri asisubiri fedheha.. Kama uchaguzi utakuwa fair hata misa ya kwanza haitaisha keshapoteza!
Hii ni akili za ya walio la la darasani saa hii mbowe ni A tundu B kwahiyo kama mnapigana wenyewe alafu tuwapee nchi apa mmepea ccm uchaguzi wa 2025 bila kuchoka
Umeongea pointi sana mwanzo mwisho
Ushauli mzuri ila ushauli huu akipita tundu lissu ataufanyia kazi
Anahofu na Mbowe kuanguka uwenyekiti anaokoteza hoja wakati anampigia kampeni Mbowe.
Ní BORA kupata makovu YA sasa hivi, kuliko kuwa na watu MAMLUKI ktk chama!
Malisa unahubiri umoja wa nini wakati kila mara uchaguzi unaporwa,,sa kunahaja gani kwenda kwa umoja kwenye uchaguzi wakati miaka yote mnaenda wamoja na hakuna mnachoambulia na kutuletea malalamiko wanaichi kua kura zimeibiwa,,hyo sio cha maana,,chamaana hapo ni mboe achie kazi wengine basi
Huo ushauri mpe mchaga mwenzio mbowe
Ninachoona uchaguzi huu ukiachwa ndiyo maumivu yatakuwa mkubwa sana maana mioyo ya wanachadema haitakuwa kwenye chama kwasababu wameshajiandaa kumpata mwenyekiti wako Ili washirikiane nae katika uchaguzi ujao,ukiachwa ndiyo mpasuko utakuwa mkubwa
Wewe Unaingiaga kwenye VIKAO VYA Chama ??
Wachochezi wapambe wakamatwe tumechoka sana kila uchao kusikia kelele ugomvi matusi n.k.
Uchaga unamsumbua😮
Wagonbea ngazi za juu na za chini waechafuana na kutukanana, hadharani, sasa nani atatoa adha u kwako ,?
Mbowe pumzika inatoshaaa. Achia nguvu mpya!
Kwani Huyu ndugu haya mawazo yake si angeyatoa kwenye vikao kwani vikao chadema havipo jamani?