Allaah awalipe kila la kheri kwa kazi yenu nzuri.katika lile suali la kuchinja katika dakika ya 18:36 pale aliposema kuleni na mulishe makafiri Alii aliteleza kibinadamu ila ni mulishe MAFAKIRI badala ya makafiri .Sote binadamu huteleza hasa maneno kama yafanana ndio kabisaa.Allaah awape afya na nguvu ya kuendeleza daawah hii.
MashaAlah ustadh salim leo umependeza.. Allah awalipe kazi zenu na ustadh Ali pia tunakupenda tena unavowachemsha tunafurai.. Allah awape hekma na uvumilivu kw da'wah
TabarakAllah Team. Mada Nzuri sana Na Swali la UCHINJO wa WaNyaama, ime jibiwa POA kabisa na Ustad Sal8m! Well done! Huyu WAMBuA ni time Waster sana, na HATAKI, kabisa, ku ELEWA chochote!
MCHUNGAJI BAKIA HUKO HUKO MFUTEA SHITANI WAPO WENGI IN SHAA ALLAH WATAKAO SILIMU NAWENGI WANASALIMU MCHUNGAJI KAA HIVYO HIVYO NA UBISHI WAKO NA USHINDANI LAKINI VIZURI SANA SHEIKH SALIM KUMPA MCHUNGAJI USHINDI MCHUNGAJI UMESHINDA KIKOMBE CHA SHABAA
@@salimdaawah123 VIZURI SANA ULIVYO FANYA NAKUMPA USHINDI WAKIKUMBE CHA SHABAA ATACHOKUNYEA MAJI MOTONI MADAMU ANAPINGA MWENYEWENZI MUNGU ALLAH MCHUNGAJI AJIJUWE MOTONI TU ULIBASHIRIWA WASHIRIKINA KAMA MCHUNGAJI
Jazzaqallaaah Khair... Shekh wangu nakupend sana kwaajili ya Allaah, sina uwezo lakni mchango wangu kwako ni dua njema, allaah akunusuru, akujaalie mwisho mwema ww na familia yako kwa huruma na mapenzi yake.
Insha Allah Naomba Allah awalinde nawatu wawovu namashetani wabaya naawalinde namarazi ili Muendelee kutufikishia maneno ya Allah Mumewaelemisha wengi kwakutufunza ginzi yakuwajibu makafiri asante
Hao wakristo maradhi yesu tu, wanahisi wanampenda na wanamfata kuliko watu wote...kumbee maskini wanatia huruma sana...ikisha wana imani kuwa mitume na manabii wote sio njia, njia ni yesu tu...
Nawashukuru sana kwa yale ambayo mnafanya,mimi nilisilimu juzi nikaitwa Riziki,natafuta kusoma dini lakini sijuhi nisomee wapi na kama nitaenda kusoma bali na familia itaishi namna gani
Bin Wanyoike, umemueleza na kumjibu kwa ufasaha kabisa. Jaribuni mumtembelee kwake ili mufikishie jamaa Zake pia, maana ni wazi uzito kwake ni mahaba kwao. #jeshiLielekeePalestine #FanyiaKaziMabadiliko #FanyiaKaziAmani #FanyiaKaziKhilafah
Nimefuatilia mihadhara mingi,ile kitu nimegundua ni Kua Wakristo lugha inawasumbua sana,pia they dont give much attention to the language of revelations in the Bible...yani ni lugha tu imewachukua percentage kubwa katika kuelewa maandiko.
Tunawapenda mashekhe zetu kwa ajili ya Allah ❤ Allah awahifadhi nyote Ameen
Aamiin amiin amiin tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Sheikh salim kwa mkiristo ambae anataka kusoma basi atakuelewa ila kama yupo kiubishiubishi kamwe hatoelewa....njia ya Mungu inaisomesha vizuri.
Allah awaongoze waione haki na waifuate
Kazi safi walimu 👏 Ali wanifurahisha
Masha Allah
Pole shekhe Salim huyu mchungaji hajielewi
Wonderful job brother Salim. Unatumia hikma kubwa na stahamala ya hali ya juu kufikisha ujumbe kwa ndugu zetu hawa. Allah akulipe
Aamiin amiin amiin sote
ALLAHUMA BARIK, ALLAH awazidishie hikma mashekh yetu
Allaah awalipe kila la kheri kwa kazi yenu nzuri.katika lile suali la kuchinja katika dakika ya 18:36 pale aliposema kuleni na mulishe makafiri Alii aliteleza kibinadamu ila ni mulishe MAFAKIRI badala ya makafiri .Sote binadamu huteleza hasa maneno kama yafanana ndio kabisaa.Allaah awape afya na nguvu ya kuendeleza daawah hii.
ALLAH awape umri mrefu vipenzi vyetu.Tunawapenda sana hatuchoki kuwaombea duwaa.
Aamiin amiin amiin tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Ameeen.
Masha Allah Masheikh .. Mchungaji Kashaelewa Lakn Kupotezamdatu
MashaAlah ustadh salim leo umependeza.. Allah awalipe kazi zenu na ustadh Ali pia tunakupenda tena unavowachemsha tunafurai.. Allah awape hekma na uvumilivu kw da'wah
Aamiin amiin amiin tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
Masha allah umependeza sheikh wetu
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Ma sha Allah sheikh kapendeza na kanzu
Alhamdulillah tunashukuru tunakupenda kwa ajili ya Allah
MashAllah MashAllah Mashekhe zetu kazi imekubali ikatii kikamilifu BARRAQALLAHUFIQUM
Kazi nzuri sana walimu wangu
TabarakAllah Team.
Mada Nzuri sana
Na Swali la UCHINJO wa WaNyaama, ime jibiwa POA kabisa na Ustad Sal8m!
Well done!
Huyu WAMBuA ni time Waster sana, na HATAKI, kabisa, ku ELEWA chochote!
Tumemjua ni time waster
Masha allah ❤❤❤❤❤❤
MashaaAllah,Allah awalipe Pepo Kwa kazi nzuri munayo ifanya.
Asalam alaykum sheh nawapenda Sana Allah awazidishie kila laheri inshaallah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Allah atulinde na akuhifadhi kakangu Salim
Mashallah tunawafutilia vizur sana kutoka zanzibar ❤❤❤❤
Allah amzidishie hekma n elimu n afya mzidi kuwatoa taka maskio y nyoyo zao
Masha Allah salim mungu akuzidishia
Eleza sh Ali achani na wenye wanauliza maswali akwa tu msomaji tu please
MCHUNGAJI BAKIA HUKO HUKO MFUTEA SHITANI WAPO WENGI IN SHAA ALLAH WATAKAO SILIMU NAWENGI WANASALIMU MCHUNGAJI KAA HIVYO HIVYO NA UBISHI WAKO NA USHINDANI LAKINI VIZURI SANA SHEIKH SALIM KUMPA MCHUNGAJI USHINDI MCHUNGAJI UMESHINDA KIKOMBE CHA SHABAA
Huyu mchungaji anaelewa ila ni ubishi tu ako nayo
@@salimdaawah123 VIZURI SANA ULIVYO FANYA NAKUMPA USHINDI WAKIKUMBE CHA SHABAA ATACHOKUNYEA MAJI MOTONI MADAMU ANAPINGA MWENYEWENZI MUNGU ALLAH MCHUNGAJI AJIJUWE MOTONI TU ULIBASHIRIWA WASHIRIKINA KAMA MCHUNGAJI
@@salimdaawah123 alikuwa ataka kupoteza wakati tu
Umesahau fungu 10
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
MashaAllah mungu Awalipe janah haswa ustadh salim nakupenda sana.
Aamiin amiin amiin sote tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
Jazzaqallaaah Khair... Shekh wangu nakupend sana kwaajili ya Allaah, sina uwezo lakni mchango wangu kwako ni dua njema, allaah akunusuru, akujaalie mwisho mwema ww na familia yako kwa huruma na mapenzi yake.
Aameen ameen ameen sote
Akhui salim somo yangu ndugi yangu jibu lako safi sana.maashaallah
Kazi yetu nikufikisha tu Allah awaongoze waione haki na waifuate
mashaAllah mashaAllah mashaAllah.. Allah awazidishie elimu na hekma,awape na afya njema ya rabbi
Aamiin amiin amiin sote
Insha Allah
Naomba Allah awalinde nawatu wawovu namashetani wabaya naawalinde namarazi ili Muendelee kutufikishia maneno ya Allah Mumewaelemisha wengi kwakutufunza ginzi yakuwajibu makafiri asante
Aamiin amiin amiin
Wananzengo wameona Salim tu kupendeza 😅😅😅. Kwani sikuzingine huwa anachusha ? Acheni kuleta mambo ya nje ya nia na malengo ya daawa❤❤❤
MashaAllah Tabarak Allah Masheikh wetu, asanteni sana kwa mafundisho bora kabisa. Na twashukuru kwa kuwatoa hao wakristo katika giza.
Kazi yetu nikufikisha ujumbe wa Allah
MashaAllah Allah awape Jannah
Aamiin amiin sote
Kweli binaadamu, akili za kutu hazi safiki.😂😂
Allah hakupeni hafya njema mashrkhewetu kwa kuitetea dini ya kweli
Aamiin amiin amiin sote
Barikiweni
UCHALAMA ALEYKU ALEYKUM CHALAM VP HALI ZENU HAMJAMBO WAZIMA ACHANTENI BAARAQA ALLAH FIIYKUM ♥️
It's Asalam not achalam
Mwacheni huyo msumbufu musimjibu chochote anafanya kusudi kila anavyolekezwa hasikii. Nashuku kama ni mwislamu
Kwa hvyo ni kusudi @@HisMajesty64
Kabsa @@HisMajesty64
@@sheemaryam
Correct.
Mashallaha
Kuna jamaa kateleza apo ,nimeirudia rudia 😁😁
Kuteleza ni kawaida ya mwanadamu
Unakosaje kuanguka tope hizi ?😊
Hao wakristo maradhi yesu tu, wanahisi wanampenda na wanamfata kuliko watu wote...kumbee maskini wanatia huruma sana...ikisha wana imani kuwa mitume na manabii wote sio njia, njia ni yesu tu...
Hawajui na hawajui kama hawajui
@@salimdaawah123 na hawataki kujuwa
Allah awape subra katika kuwalinganiya wasiyo kuwa wa islam
Aamiin amiin amiin sote
مشأ الله تبارك الرحمن
Ndugu nafikiri ume maanisha hii
ماشاء الله تبارك الرحمن
Masha'allah tabarakallah ❤
Nawashukuru sana kwa yale ambayo mnafanya,mimi nilisilimu juzi nikaitwa Riziki,natafuta kusoma dini lakini sijuhi nisomee wapi na kama nitaenda kusoma bali na familia itaishi namna gani
Uko area gani Kenya
Karibu ndugu katika imani
Asalam aleikum watazamaji na masheikh mwenye akona na nafasi ya kazi ya dereva , ( TRUCK DRIVER) Naomba TAFADHALINI
Utapata inshaallah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah nitauliza baadhi ya watu
@@salimdaawah123 in sha Allah nitafurahia sanaa imekuwa ngumu na maisha sanaa
Huyo mchungaji fukuza hana mpya 😅😅😅
Inn shaa Allah
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu Ustadh Ali. ❤ MashaAllah Ustadh Salim umependeza na io Kanzu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
بارك الله فيكم على هذا العمل
يوفقكم الله و الى الجنة الفردوس الأعلى
Asante nuru uwisilamu
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
Ukosa kidogo yahudi kapewa ruhusa.
Sio hao ma zayun.
Wa alaykum salaam warahmatullahi wabarakatuhu
Mashaaaaa Allah
Asalaamualaikum warahmatullah wabarakaatuh aki sijaona mtu mshindani kama huyo pastor wa Leo weeeh...😢
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ndio kawaida ya wachungaji
Mash Allah
Huyu mchungaji haelewi hii maneno
WALAI SALIM WEWE NDIO UKO NA HEKMA YA KUFUNZA HAWA WATU
Wote walimu Salim ni mwanafunzi bado
Kweli Kabisa.
Lakuni pia ni Teamwork ya WaAlimu Wa tatu, ambao wana research pam9ja as ONE!
Kiswahili ndio shida ya hawa watu..pastor anajifanya haelewi na yote ako nayo 😂..anajua ukweli lakn. Aibu ya kukubali
Ndio hivyo
Hakika darasa la leo ni Nur
Mpaka kieleweke
Shekh.Salim Hao niwale walio pigwa muhuri hawasiki hawaoni
Tatizo la wakristo bibilia hawaisomi ndio maana maandiko mengi munapowasomea wanaona ni geni kwao. Wamezoea kulishwa na wachungaji wao.
Bin Wanyoike, umemueleza na kumjibu kwa ufasaha kabisa. Jaribuni mumtembelee kwake ili mufikishie jamaa Zake pia, maana ni wazi uzito kwake ni mahaba kwao.
#jeshiLielekeePalestine
#FanyiaKaziMabadiliko
#FanyiaKaziAmani
#FanyiaKaziKhilafah
Inn shaa Allah tutafanya mpaka huyo wa kumtembelea
Dah hii kazi ya daawa inataka subra kubwa yaani mtu kila ukimfahamisha kichwa ngumu
Allah atupe subra
@@salimdaawah123 Aamiin
Huyo nimbishi tu
Tena sana
❤
Waulizeni maswali ili mjue frikra Zao zikoje
سالم ماساءتلله
nyinyi muokoke mjue yesu muhmendi Ni Nani Mimi najua yesu pekee
Hahaaaaaaa wapi andiko kwa bibilia inasema watu waokoke
What happened no video's nowadays
Mwalimu nipe namba yako. Niko na jambo ningependa tuongelelee
+254 727 431 691
Haina sauti
Jaribu kufungua tena sauti iko sawa inn shaa Allah
Sauti inayo ww ingia kwenye app nyengine ya vidmate
Huyo anajiita mchungaji ila ana westing time hana jipya kwanza yuko na jazba t na yupo kiupingani hayupo kujifunza.
❤❤❤❤ 😢 g😢o😢 😢😢 😢
THAT GOD INSIDE JESUS IS THE MOST STUPENDOUS THING EVER.
NIMEONA WAJINGA LAKINI HUYO NI MJINGA WA MWISHO.
😂😂😂😂😂😂😂
Nimefuatilia mihadhara mingi,ile kitu nimegundua ni Kua Wakristo lugha inawasumbua sana,pia they dont give much attention to the language of revelations in the Bible...yani ni lugha tu imewachukua percentage kubwa katika kuelewa maandiko.
Hiyo nayo umesema ukweli
I lost my phone now am back mashallah 🎉
Welcome brother
He is mad man
Hakuna muslim,ashanijibu, ni wapi Allah,alisema Muhammad is my prophet😂
huyu hana chochote.very rigid and not ready to learn
Muslims hamna kiongozi...mnamngoja Imam Mahdi(antichrist) aje awaongoze
Hiyo ayyah umetoa wap?izo n paukwa pakale
@@HNs-px8mz Wewe ni sunni au shia muslim?
Asalaamualaikum warahmatullah wabarakaatuh aki sijaona mtu mshindani kama huyo pastor wa Leo weeeh...😢
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ndio kawaida ya wachungaji
Masha Allah ❤❤