TUMEJIFUNZA NINI KUTOKA KENYA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Tulinganishe nguvu ya umma na majibu na hatua ya serikali

ความคิดเห็น • 58

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 หลายเดือนก่อน +6

    VIJANA WATANZANIA TUJIANDAENI KUFANYA TANZANIA KAMA YALIYIJIRI KENYA, CCM WANATUMALIZA KWA UNASIKINI

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 หลายเดือนก่อน +7

    Uchambuzi wa huyo mtoto, elimu yake na ufahamu wake 🤔🤔🤔 Amakweli elimu sahihi ni msingi wa maisha. Kuna watoto wetu wanaimba miziki mpaka unazania ni watu wazima 😢 Kuna watu wazima ukisikiliza vitu vinavyowapa ubize utachoka....

    • @MjuniLaulian
      @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

      Sijaelewa kama nimeona gari ya jeshi kama ni gari la jeshi basi Kenya ni taifa la binadamu kamili

    • @MjuniLaulian
      @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน +2

      Viongozi wawili wa zamani wakenya na watanzania rais Tanzania alimwambia rais wa Kenya kuwa unaongoza wagonjwa na rais wa Kenya akamjibu hivi wewe rais Tanzania unaongoza maiti na Sasa tumeona wagonjwa wanapona na kwani nikazi ya waganga kuponyesha mgonjwa bari swala la kufufua wafu ni la mungu kumbe tz tusubili ufufuo wa wafu

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 หลายเดือนก่อน

      @@MjuniLaulian 😁

  • @louisnyaki1936
    @louisnyaki1936 3 หลายเดือนก่อน +1

    1: Elimu ya kujitambua kwa raia ni muhimu ,na haitatokewa na walio madarakani
    2. Kutambua vyema umuhimu wa vijana kujiendeleza katika sekta zote ,na kuondoka katika uchawa
    3. Mipango ya muda mrefu ya Miaka mingi kwa kufuata dira na ilani watakayoweka raia ,ambayo itafuatwa na yoyote bila kupunguza au kuongeza ambacho si mpango au dira ya nchi.
    4. Viongozi kuwajibishwa kwa matatizo waliyosababisha wakiwa madarakani.

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakenya wababe sana tz watu wanaogopa sana wakiona askar tu mavi yanawatoka

    • @maryamsaid1307
      @maryamsaid1307 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @kenedyrocky4641
    @kenedyrocky4641 3 หลายเดือนก่อน +1

    NIMEJIFUNZA NAMNA YA KUWAKABILI HAWA WETU.

  • @MaulidiMkima-f2f
    @MaulidiMkima-f2f 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio maana CCM wameua elimu kwa njia mbali mbali TZ iwe ya mazuzu ili wafanye wanavyotaka. Watoto wao wanapeleka shule bora za mafidadi wanaoweza kulipa milioni 10 na zaidi kwa mwaka shule za msingi, hivi hakuna mtu hata wa kuuliza tu nini kinaendelea hapa TZ? Warioba uko wapi?

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 3 หลายเดือนก่อน

    Hata Tanzania Kuna gen z wengi wamesoma hawana ajira 😂😂😂

    • @maryamsaid1307
      @maryamsaid1307 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂🎉

  • @lupefiascojr.1896
    @lupefiascojr.1896 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mi naona kimbunga kinajikusanya Tanzania

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sisi huku Bongo --- kutwa kucha , tunajadili Yanga na Simba " Mungu tu atusaidie "

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 หลายเดือนก่อน +2

      Siyo simba na yanga tu bali hela tunayolipia kodi ikirejeshwa kwwtu etu tunamshukuru Samia kwa kutoa hela!! Kivipi tena wakati mamlaka ya kuidhinisha na kutoa hela kwa citizens ni ya Bunge nao wamekasimu kazi hiyo kwa CAG? Ni elimu tena ambayo hawapendi kuitoa ili watu wasiww na uwelewa wa masuala yanayozunguka hatima yao. Siku zinakuja ambapo kishindo cha wakoma kitadhihiri

    • @MaulidiMkima-f2f
      @MaulidiMkima-f2f 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli,tumekuwa ‘programmed’ tuwe hivyo na haohao ccm tuwehivyo ‘

  • @ogossygassayachacha6988
    @ogossygassayachacha6988 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi ya ikulu ni ngumu sana inahitaji kipaji na Neema ya Mungu kosa ukingia ikulu kwa wizi wa kura wananchi lazima wapate shida,Nb.Wananchi tuwa makini

    • @MaulidiMkima-f2f
      @MaulidiMkima-f2f 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa Tanzania utawala hauhitaji kipaji wala neema yoyote. Kinachohitajika ni kujipendekeza ili uwe sehemu ya mafisadi.Tajataja “mama,mama,mama, mama “ kwa wingi wakikusikia wapambe wakakuunganisha umeula

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 3 หลายเดือนก่อน +9

    Tanzania ccm walishajimilikisha Taifa nakuona wengine hamnazo

    • @MaulidiMkima-f2f
      @MaulidiMkima-f2f 3 หลายเดือนก่อน

      Tmejitoa uzuzu wenyewe kwa kuruhusu kikundi kidogo cha mafisadi wajimilikishe na kufanya watakavyo kwa jina la ccm ambayo ilishajifia na Nyerere kule London!!

  • @arafatyhussein
    @arafatyhussein 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa kwa joto analopitia ruto, nashawishika kusema kuwa kiti cha urais ni chamoto ✍️

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wakenya pamoja na changamoto kidogo ya ukabila bado ninyi watu na viongozi wenu ni watu waelewa sana , maandamo ya vijana wetu yametoa elimu kwa kubwa kwa wananchi wa Afrika,! Hongera vijana wa Kenya na hongera kwa wananchi wa Bukinafaso Afrika inawategemea kuleta mabadiliko ya Kiuchumi" Keep it up ! ❤ salute!

  • @MasterPetro-oj1fd
    @MasterPetro-oj1fd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi binafsi nimejifunza na kujiona mwenye hatia kwa kushindwa kusimama na kukemea maovu mauaji na ufisadi unaoendelea hoku TANZANIA 🇹🇿

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakenya ni wana ume .

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kwamba ipo siku wananchi wakichoka hadaa za serikal wataenda nje barabaran kw shari na ndipo hawawez tena kudhibitiwa kwa mabavu tena. Viongoz tuwasklze wananchi kabla nchi haijafikia hiyo hatua

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hao wanajitambua si Tz

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kujifunza ni ngumu sababu kuna watu nadhani wakiwa viongozi wamekuwa miungu na manabii .Tena wanadhani wanaongoza misukule mabubu na vipofu ila wamesahau hata bubu akizidiwa hutaka kuongea. Mfano ni wafanyabiashara wanalia na kodi ila wanaambiwa hazitapungua tena ni majibu ya kibabe na anaejibu anaona yeye yupo peponi kuvimba na kulewa madaraka Mungu atajaalia vilio vya watanzania ili ukombozi uje na tukomboke kifikra na kiakili

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 หลายเดือนก่อน

      Wakumbuke kishindo cha Wakoma na hatima yao pale Mungu alipokuwa upande wao wakayashinda majaribu!

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania viongozi wanatuzarau sna ila 2025 kura yangu ntailinda mpaka ihesabiwe wakijarbu kuhamisha box vita itaanza

  • @hamisially-c4x
    @hamisially-c4x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii inakuja Tanzania siku sinyingi watu wanavumilia wanachoka ikifikia liwalo naliwe itaandikwa historia haijawahi kutokea

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 หลายเดือนก่อน +1

    NILICHOJIFUNZA KW MAJIRAN ZETU NI KWAMBA Huwezi Kupata Haki Kwa Uwoga Bila Kuipigania Haki Yako UTAENDELEA KUONEWA,, KUDHARAULIWA na KUNYANYASIKA"

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 หลายเดือนก่อน +1

    HAKI UKIITAFUTA KWA NJIA YA MAZUNGUMZO IKASHINDIKANA HUWA UNAITAFUTA KWA NJIA YA SHARI IKIWEMO Maandamano,, Migogoro na Vita. HAKI NI LAZIMA KUIPATA KW MAANA NI HAKI YAKO KUIPATA NI LAZIMA"

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 หลายเดือนก่อน +2

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 3 หลายเดือนก่อน

    Kama Tukichagua viongozi kwa kupokea rushwa Hiyo Fedha waliyo Tupatia Wata iridisha nafaida yake Hapo lazima Tuta limia meno kurdisha Tulicho kula

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 3 หลายเดือนก่อน +2

    Alitakiwa ku reject bill kabla ya vifo . Bill haikuwa ya maana kuliko vifo 22 vya hao vijana .Viongozi wawe serious na si business as usual.
    Ulitaka kupambana na wajari wako wamekuweka hapo ,deployed military yann uliongea .

  • @mwakalikuhossana3942
    @mwakalikuhossana3942 3 หลายเดือนก่อน +1

    Walichofanya hakiko mbali kutokea. Tanzania serikali hinafanya kwa kiburi kwa mfano, wa kuuzwa bandari, katiba mpya, ugumu wa maisha ukiangalia ccm wamelithika sana na hali ya kukanyaga haki na kuporapora chagusi zetu wakithani watanzania watutawala tu hata kama hatuwataki mwisho nawambia ccm na serikali yake ya Kenya yanakuja Tanzania

  • @jumaahagu4764
    @jumaahagu4764 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo ni elimu na historia na wasomi wengi kuikimbia siasa na wasio wasomi kuwa wengi ktk siasa au wasiosoma ni wengi wanaongoza wasomi na wasiosoma

  • @KapondaZenaida-g3z
    @KapondaZenaida-g3z 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto ruto ruto ruto 😢😢😢

  • @killiankingDr
    @killiankingDr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wenzetu wako vizuri. Ila viongozi wetu wasidhani wako salama kwa kuwa watu wetu wamejifunza kutoka kwa majirani zetu namna ya kuwaadabusha watawala. Watanzania wanganui hilo bandari zetu, ngorongoro,loliondo, serengeti wala KIA zisingetolewa kwa hao waarabu namna hiyo

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 3 หลายเดือนก่อน

    Na hiyo ndiyo Demokrasia lakini Huku kwetu Tanzania hawezi kufanya hivyo wanategemeya porice

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 3 หลายเดือนก่อน

    Amakweli kenya wako juu sana kielimu mpaka mtoto mdogo anajuwa siasa ? Na anajuwa kuuchambuwa uchumi ,tanzania watoto wadogo wanafundishwa kukata viuno na kushangliwa na watu wazima na watu wazima kazi yao ni yanga na simba tu,,hongera kenya kwasababu muko juu sana kielimu na munajuwa haki zenu tafauti na watanzania

  • @kenedyrocky4641
    @kenedyrocky4641 3 หลายเดือนก่อน

    NILICHO JIFUNZA NI KIPIGO WALICHO KIPATA WATESI WA WANANCHI WA KENYA.
    HIVYO IKITOKEA KIMEUMANA HAPA, KUNA BAADHI YA MAWAZIRI WATAIMBA ALELUYA KUU YA MTUNZI HANDELI ILIYOTUNGWA MIAKA 15000 ILIYO, PITA BILA KUIFUNDISHWA.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli nape nawiye janwary lidhiwani chalamila makala nchimbi kinani taisoni wasila tunaomba mungu mwigulu spika mwitawaitara mungu awaponye naomba waachi dhalau watanzania vijiwe vya kata shule zakata tumishindwa tusoma mitandaoni tutaelemika

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania unaweza pata kiongozi ambaye hana akili

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kw mfano kama sisi, hatujui mishahara ya mawazir wetu na posho zao wakat wanalipwa kw kodi za wananchi😅. Ni aibu na ni hatar kw siku za usoni😢. Nachoogopa mie ni siku raia wameamka, maisha yatakuwa hayana maana kbs ck hiyo. Serikal iweke mikakat mahsusi y kusiklza kero na kuzitatua lasvyo ipo ck ttalaumiana kama rwanda ya miaka y 1994. Please viongoz tujifunze kw klchotokea kenya.

    • @jacobletema3681
      @jacobletema3681 3 หลายเดือนก่อน +4

      Time will tell

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 หลายเดือนก่อน +3

      Na wake wa Maraisi kulipwa pamoja na kwamba wanatunzwa na Serekali katika maisha yao yote na kujengewa majumba ya kifahari hii ni kali mno na aibu kwa unyanganyi huu😢

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 หลายเดือนก่อน

    Huku ni mahali salama pa kuishi

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 3 หลายเดือนก่อน

    Kenyata lakini wanakuelewa hao jirani zako

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 3 หลายเดือนก่อน

    Madaraka ni ulevi hasa madaraka makubwa.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 3 หลายเดือนก่อน

    Marekani nini amenifunza Africa?

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 3 หลายเดือนก่อน

    Vyura wetu.

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

    Marais wawili wa kenya na tanzania rais wa tanzania alimwambia rais wa kenya kuwa Anaongoza wagonjwa na rais wa kenya akamjibu akasema wewe unaongoza maiti kumbe wagonjwa wanaponyeshwa na madakitali yani binadamu aliesomea afya sasa wakenya walisha pona ni wazima kwa tanzania maiti tunasubili ufufuo wa wafu abao ni kazi ya mungu sio mwamposa wala binadamu kazi ipo

    • @YassinRajabu
      @YassinRajabu 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @maryamsaid1307
      @maryamsaid1307 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂