NI BAJETI YA WATAWALA NA WADAI WAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Vipaumbele vya serikali havijali mwananchi

ความคิดเห็น • 75

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 3 หลายเดือนก่อน +6

    Siku hizi nimeacha kusoma magazeti ya Tz kabisa.Hayako critical kabisa!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      Sio Magazeti tu kimsingi hakuna Waandishi wala vyombo vya habari hata social media sio "critical" hakuna "balancing" ya story zinaishia tu kupenda penda au kuchukia chukia Serikali.

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bigup🇹🇿❤📿✌💪💪💪💪💪💪💪💪👊👊

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 หลายเดือนก่อน

    What is the budget for, kama kila kitu ni neema toka kwa mama

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 3 หลายเดือนก่อน

    Ngurumo hua unachambua na hujawai kukosea ,yaan unachambua kwa mfumo wa ukwel kiuhalisia ,yaan asieelewa ujue ,anaugnjwa wa akil au na yy ni fisad

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tumeshaona waandishi na watangazaji wengi Tanzania wanateuliwa na Rais wa Nchi kuwa Wakuu wa Wilaya hiyo ni strategy ya kuwafanya MACHAWA wa Serikali.Katiba mpya ni muhimu kupunguza mamlaka ya Rais ya uteuzi.

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 หลายเดือนก่อน +4

    Budget Ya Viongozi,, Mafisadi na Wanyonyaji. Sisi Wananchi Walishajua Hatujielewi Wala Hatujui Kuhoji na Kupinga Kwahiyo Wanaamua Wanavyojiskia Maana Wananchi TUMELALA Sana "

  • @eezybugeraha7169
    @eezybugeraha7169 3 หลายเดือนก่อน +11

    Hongera kwa uchambuzi mzuri ila Kuhusu ukubwa wa Kenya si kweli, Kenya ina 582,644km² na sio 225,000km², Uganda ina 241,038 km² hivyo Kenya ni kubwa ki eneo kuliko Uganda mara mbili zaidi. Lakini pia ukijumlisha eneo la Kenya, Uganda Burundi na Rwanda unapata jumla 877,850 km² ambazo ni karibu 91% ya Tanzania na sio 55% kama ilivyoainishwa. Ahsante

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  3 หลายเดือนก่อน +2

      Asante kwa sahihisho

    • @eezybugeraha7169
      @eezybugeraha7169 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@AnsbertNgurumo Ninafatilia na kupendezwa mno na uchambuzi wako. Endelea kutuelimisha.

    • @neliusgosbertbaguma8693
      @neliusgosbertbaguma8693 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ila ndugu yangu uko vizuri kwelikweli, unatusaidia kutafakati, nchi yetu inapoelekea, ni muhimu uanzishe mjadala pia mjadala wa ukombozi wa nchi yetu, Mpina kafuatilia mambo muhimu sana, wanataka kumpiga rungu, tunahitaji Revolution

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 3 หลายเดือนก่อน

      Bravo comment

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@eezybugeraha7169nami pia, unaofaa kuendelea kujifunza zaidi ili baadae uwe kati ya hazina kubwa za uchambuzi chanya kama Ansbert Bugeraha, bravo to your great reseach

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uçhambuzi mzuri saña Ansbert,Wananchi tunahisi ni kawaida vyombo vya habari kupelekewa ujumbe wa aina mbili waamue kusuka,au kunyoa hawana namna panga linawahusu!. Jumbe hizo ni: 1.vitisho,na 2.Bahasha. Hiyo ndio kazi iliyotukuka ya Waziri wa habari maelezo-Tanzania.

  • @wasengaswillah
    @wasengaswillah 3 หลายเดือนก่อน +3

    vigazeti vya tz kwa sasa vinafaa kufungia vitumbua tu sokoni, kwa mtu mwenye utimamu wa akili hawezi hawezi kupata kitu sahihi humo, chawa wengi mno kwa sasa!😭😭🇹🇿

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani chawa ni wengi kuliko nywele. Ni hatari!

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 3 หลายเดือนก่อน +4

    Waziri jipu

  • @arafatyhussein
    @arafatyhussein 2 หลายเดือนก่อน +1

    8:26 "Ujinga ujinga, Uchawa, kujikomba vinatuhusu hata sisi wenyewe ambao ulitarajia tuwe jicho la jamii tuwe mdomo wa jamii tuwasemee wasio weza kusema."
    ~Ansbert Ngurumo.

  • @AvenusiMponji
    @AvenusiMponji 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ila wewe mzee noma Sana unasaidia Sana wengine kuelewa mambo

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 3 หลายเดือนก่อน +3

    Duh! Uchambuzi makini Sana. Hongera sana

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 3 หลายเดือนก่อน +3

    Haya mafisiemu yatatuua

  • @butungo1
    @butungo1 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ahsante kwa uchambuzi. Clip iliyosambazwa, imeonesha Uganda ni kubwa kuliko Kenya..si kweli. Kenya ina eneo kubwa la kijiografia kuliko Uganda

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 หลายเดือนก่อน +2

    MWIGULU NI MLEMAVU WA AKILI, NI JAMBAZI TU!

  • @victoreleonardmdee9158
    @victoreleonardmdee9158 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mipango Sio Matumizi

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 3 หลายเดือนก่อน +4

    Enough respect Ansbert your the really hero 🎉

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 3 หลายเดือนก่อน

      Good comment Shabanadam, Ansbert is one of our few positive icons towards national transformation...live longer hon.Ngurumo A

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tumeliwa

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mjomba Asante unajua sana

  • @lupefiascojr.1896
    @lupefiascojr.1896 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubali sana uchambuzi ukiongozwa na wimbo murua

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 3 หลายเดือนก่อน +2

    AHSANTE SANA BROTHER....TANZAGIZA KUNA GIZA KWELI...MATUMIZI YASIYO NA TIJA NI HAWA WATAWALA

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ngurumo tuna tatizo. Ukiona huyo kujifanya mzalendo kwa kuwa na tai ya bendera ya taifa na bendera pembeni, licha ya kuwa ushamba, unashangaa. Huu uzalendo uchwara ni kichaka cha kuficha uovu na ufisadi wa kunuka kama alivyofichuliwa juzi na George Mwenisongole. Mwingulu, Makamba, Bashe na Dotto Biteko hawafai. Biteko alifinyangiwa cheo kupata kura za mwendazake kinyume cha sheria. Naongopa hata kutumia udaktari wangu kutokana na viumbe kama hawa na wale wanaotumia honoris causa kujiita madaktari.

    • @MjuniLaulian
      @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

      Tupe Somo mzee tatizo ni sisi watanzania asante

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wanawo sifia wanawekwa na wajinga wenzao kuwa wewe kaseme hiki kuwa bajeti .nzuri wenye kutowa mwelekeo wa bujeti hii ni wahasibu wenye kuwa shahada ya CPA niwabunge wangapi wenye CPA. Wakina msukuma wengi wabunge wana tu BA labda .na to muster watatu hivi asilimia 90 wabunge ni wapiga meza mimi ndiyo sina hata mda wa kusikia huwa natapika bahati fani yangu mimi ni mhasibu nimefanya kazi hadi kusitafu bira tatizo

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mtu anayependa kusifiasifia kila kitu ikiwemo kusifia mambo ya kijinga NI ishara ya uwezo mdogo WA kufikiri

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la Watanzania ni kutaka kila mtu awe mtaalam wa kila kitu. Ni vyema sana bajeti kuchambuliwa lakini iwe na Wachumi sio kila mtu.
    Sio sahihi bajeti kulinganisha kwa ukubwa wa eneo achilia mbali Kenya ambayo ipo juu kiuchumi kuliko Tanzania ambayo pia ina madeni makubwa kuliko Tanzania, Utasemaje kwa nchi zilizoendelea kama UK ambayo ni ndogo mara 4 kuliko Tanzania.
    Tatizo kubwa kabisa la Tanzania ni UFISADI ambao kwa kweli bila kutangazwa hadharani kunyonga Mafisadi kama ilivyofanya China tutachelewa sana. Lakini hata aliyejipanga kupambana na Mafisadi Dr. Magufuli nae alisemwa vibaya kwa uongozi wake. Hii imenipa hofu sana kwamba nadhani waliopo madarakani wamepata tu nafasi lakini wabaya zaidi ni hawa waliopo nje. Watanzania tupo tabuni sana, ni zaidi ya msitu wa wanyama pori ni kutafunana tu!

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 3 หลายเดือนก่อน +2

    Big up ndugu yetu, wenye masikio na wasikie, watalaam kama wewe ni adimu na mnahitajika sana👏🏽

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 3 หลายเดือนก่อน +3

    Haya ndio madhara ya kukopa itafika wakati watashindwa kulipa wafanya kazi hapo ndio kila mtanzania alielala usingizi ataamka, kuhusu afya sioni ajabu maana mwananchi hana thamani yoyote kinachothaminiwa ni kodi yake, mwananchi kwa serikali hii ya ccm ni takakata, kuhusu elimu serikali inajua ikiboresha elimu itawaamusha watanzania walio lala kesho watashindwa kuwatawala. Sioni utofauti wa pacheti hii na zote zilizopita tangu uhuru maana mimi naona maisha yanazidi kuwa magumu na wananchi kufa kwa njaa kila siku

    • @MmbagaMmbaga
      @MmbagaMmbaga 3 หลายเดือนก่อน

      WatuvWanangamia, kwakukosa marfa hijawahi kukosea nakuelewa sana🎉🎉🎉

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tumeingizwa chaka mkuu naendelea kukufuatilia

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uchambuzi mzuri sana

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaongozwa na Waziri bwege, waziri wa fedha asiyejielewa bali akijielewa yeye na wanaomlisha

    • @nkwazigatsha
      @nkwazigatsha 3 หลายเดือนก่อน

      Angekuwa bwege afadhali. Huyu ni chizi tena fisadi

  • @abdallahngoe
    @abdallahngoe 3 หลายเดือนก่อน +1

    1.Eneo la ardhi na idadi ya watu sio kigezo no 1 kwenye bajet sababu, singapore ni ndogo na inawatu wachache kuliko TZ ila bajet yao ni kubwa kuliko sisi hivo issue ya uchumi wa nchi lazima iwe considered kenya katuzidi uchumi
    2.Hata kenya na uganda wametuzidi kwa bajet lakini sio kwamba hizo pesa zote wanazo nyingine watakopa tena kwa masharti magumu yenye kuwaumiza mfumuko wa bei kenya ni mkubwa kuliko tz na wanadeni kubwa la serikali kuliko tz
    3.Naungana na wewe kwa 100% hasa unapozungumzia kasoro ya bajet yetu kwa matumizi yetu binafsi bila kulinganishwa na za nchi nyingine.. ni kweli vyombo vya habari uchawa mwingi, pesa ya miradi haitoshi na watawala wamejitazama wao zaid kuliko wananchi wake
    4.licha ya bajet kuwa ndogo kwenye miradi ya maendeleo bado pia haitafika yote kwa sababu ya ufisadi wa watawala

    • @neliusgosbertbaguma8693
      @neliusgosbertbaguma8693 3 หลายเดือนก่อน

      Hapana wachumi wenyewe ndio wamefeli, factor ya ukubwa wa nchi na idadi ya watu ni muhimu sana, hizo nchi zenye watu wachache, huduma zitakuwa bora zaidi

    • @abdallahngoe
      @abdallahngoe 3 หลายเดือนก่อน

      @@neliusgosbertbaguma8693 ni kweli ni factor muhimu kwa taifa ila hisilinganishwe na taifa jingine. Urusi ni kubwa kwa ardhi na idadi ya watu kuliko marekan ila bajet yao ndogo kuliko ya america... umeona kenya maandamo ya mfumuko wa bei. Ni kwel bajet yao kubwa ila hzo pesa zote hawana nyingne ni lazma wakope kwa mashart magum yenye kuathir uchumi wao baadae. Bajet utengenezwa kulingana na uchumi wa nchi husika kulingana na mahitaji ya wananchi wake... kama haitoshi iongezwe lakini sio kulinganishwa kwanini fulani katuzidi wakati sisi tuko hivi na wao wako vile

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani tumsamee waziri kwani atujui alifikaje pale mambo ya feza ni magumu sana yanaitaji mtu makini na mwenye akili na weledi wa ali yajuu alafu sio kila msomi ni msomi kwani ninani alie fika chuo kikuu akaludi eti kaferi labda nae chuoni ilikua tia maji tia maji mengine ni ngekewa

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sijawahi kuona comment kuhusu huyu mtaalam ya dhihaka. Nakupongeza mkuu

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 3 หลายเดือนก่อน

    bunge la chama kimoja hakuna wakilishi hapo

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ww umesoma shule gani ..? Unachambua Ile mbaya

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duh! Uchambuzi makini Sana. Hongera sana

  • @WilliamKileta
    @WilliamKileta 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uchambuzi umeshiba Mr Ngurumo

  • @erasmusaloyce4398
    @erasmusaloyce4398 3 หลายเดือนก่อน

    Pamoja na yote umenidanganya Kenya ni kubwa kuliko Uganda.

    • @arafatyhussein
      @arafatyhussein 2 หลายเดือนก่อน

      Haja danganya ukubwa wakenya alio utaja ni wa square miles wakati hizo zingine zote kazitaja kwa square kilometres.

  • @ParimeloNgarim
    @ParimeloNgarim 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizur san mzee

  • @akilimali8726
    @akilimali8726 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uchambuzi mzuri ila mara nyingine onesha asilimia ya utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha uliopita, iwapo vipaumbele vinashabihiana ili tupate uhalisia zaidi.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa. Hilo litafanyiia pia

    • @Lubango-gj3ud
      @Lubango-gj3ud 3 หลายเดือนก่อน

      Bajet zetu tz kuna baadhi ya mawazili hutoa hongo kwa wabunge ili bajet zao(za kipigaji) zitipishwe

  • @rastheunique
    @rastheunique 3 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 หลายเดือนก่อน

    Serikali hii nii KANDAMIZI KWELI KWELI!!

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 3 หลายเดือนก่อน +1

  • @FocusKaniki
    @FocusKaniki 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee MUNGU AKUTUNZE

  • @knight6757
    @knight6757 3 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿😭

  • @MatoWatanda-on6pu
    @MatoWatanda-on6pu 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi ni ngumu sana,bila kujitegemea na kuangalia namna ya kuiepuka dollar,tutakopeshwa kwa riba kubwa na mwisho ni kubaki watumwa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa dollar utaiepuka vp? Mbona korea kusini iko juu kiuchumi na bado wanaitumia dollar?kutumia dollar sio kigezo cha kuwa maskini au kutoinuka kiuchumi.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน

    👍👊✌️.

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 3 หลายเดือนก่อน

    Sure 😂

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa ni hatari sana, huwa anafikiria watu wengine hawajui chochote, sikia hiyo soma yake ni hadaa tupu!

  • @willykomba8376
    @willykomba8376 3 หลายเดือนก่อน

    😮😮Sio kufungia vitumbua tu Bali kuzolea uchafu