Mgomo Kariakoo. Kwa nini Serikali Inahitaji Uthubutu Kufanya Mageuzi ya Kikodi | Mtazamo Wa Pili
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
- Leo Juni 24,2024, wafanyabiashara kariakoo walifunga maduka yao kwa sababu mbalimbali walizozitaja ikiwemo usumbufu wa kikodi na masuala mengine. Sakata hili limeishia na serikali na wafanyabiashara hao kufikia muafaka katika mambo sita.
Fuatilia uchambuzi huu unaongalia kwa nini serikali inaweza kwenda mbali zaidi.
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
SHIDA SIO KULIPA KODI IMMAGINE NAPAMBANA USIKU NA MCHANA KUHAHIKISHA NAPIGA ATUA PAMOJA NA NCHI KUPIGA HATUA MARA UNASIKIA BILION IMEPIGWA NA HAKUNA SHERIA INAYOWASHIKILIA HAWA VIONGOZI KESI INAISHIA JUU KWA JUU, HAWA WATU WAPIGWE RISASI KAMA TUNATAKA NCHI IKAE SAWA ISHAKUWA TATIZO
..Dialogue with govt is just a waste of time. there is no political will at this time to resolve the challenges on hand.
So we just give up then, i’m really moved with what kenya is doing
@@UncleBigi it is way overdue that is the path we need to take to bring real change in Tz.
Huyu chalamila alitudanganya ameongea na Magufuli wakati skies tiari amekufa tunamshangaa kwenye uongozi leo.. Mama India huu ujinga
uchumi WA nchi utaparalyse plz government sct urgently on this
Wachina wanauziwa mji huo. Watanzania wamewashtukia.
Tusing'ate maneno; mfumo wa kodi wa serikali ni kandamizi, kuna multiple taxation
Tuingie barabarani 😂
@@UncleBigitangulia wewe uonyeshe mfano kuliko kupiga umbea mtandaoni
Sehemu za wazawa ni za serikalini... kwenye biashara mtu kama documents zake zimekamilika kwanini asifanye biashara
Miongoni mwa makala ninazozielewa zaidi
Safisana Tony
mgomo unaenea nch I mzima mbona mku WA nchi uko kimya?
Mnataka mlete ya south africa ukiulizwa wageni wanachukua kazi zenu wakati flame zingine ziko wazi
Xenophobia 😂 kibongo kibongo i don’t think so
Hamakwambia TENGENEZA TATIZO KISHA TATUA TATIZO watu watakupenda sana😅tutaasahau10ten?
HAPA KAMSEMA MO DIRECT
Ww unatumika