Yesu sio mtoto wa mungu wala sio mungu . Ni mtoto wa Maryam . Maan huyo Maryam ana mungu wake . Ukskilza hyo hadithi inaeleza kua ni mtoto ila mwsho kuna mungu wake huyo mtto . Maana mtoto pia katahiriwa so sio mungu
Ole wako wewe mpinga kristo maana utavikwa jiwe kubwa na utafungwa shingon na uKatupwe ukafie kwenye kilindi Cha bahati ole Inakuja kwako wewe usikubali na kumpokea masihi mkombozi wa ulimwengu na mfalme wa dunia
Kwanza hii picha uliotuwekea hapa siyo yesu huyu ni acter maana kipindi cha yesu hakukua na technology ya picha watu wanawekahii picha majumbani mwao nakuamini huyu ndio yesu wakristo msidanganyane nakufundishana uongo na yesu sio neana wamungu maana mama yake maliamu hajawahi kuwaambia watu kwamba huyu mtoto nilieza nimwana wa mungu bali alikua mwana wa maliamu na yesu nikiumbe chamungu kama viumbe wengine na alikua mtumetu kwa Wana waisraeli na ilikua niahadi ya mungu kama alivyo wahiidi wa Israel na mungu akawatizia ahadi aliyo waahidi
Soma biblia ndugu utoke kwenye giza,soma unabii kabla yesu ajazaliwa kwenye kitabu cha Isaya 7:14 alitabiriwa ataitwa Emanuel maana yake mungu pamoja nasi au kwa luga nyingie mwana wa mungu,lakn ukiitaji msaada zaidi wa Bible nipo tayr kukupatia
Asanteni
Sasa wewe unasema ujuz uwo aukuwepo sawa je wewe Yesu unamfikiria yupoje
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yesu sio mtoto wa mungu wala sio mungu . Ni mtoto wa Maryam . Maan huyo Maryam ana mungu wake . Ukskilza hyo hadithi inaeleza kua ni mtoto ila mwsho kuna mungu wake huyo mtto . Maana mtoto pia katahiriwa so sio mungu
Ole wako wewe mpinga kristo maana utavikwa jiwe kubwa na utafungwa shingon na uKatupwe ukafie kwenye kilindi Cha bahati ole Inakuja kwako wewe usikubali na kumpokea masihi mkombozi wa ulimwengu na mfalme wa dunia
Ok hayoyote.yann.wewe.unasemaje
Kwanza hii picha uliotuwekea hapa siyo yesu huyu ni acter maana kipindi cha yesu hakukua na technology ya picha watu wanawekahii picha majumbani mwao nakuamini huyu ndio yesu wakristo msidanganyane nakufundishana uongo na yesu sio neana wamungu maana mama yake maliamu hajawahi kuwaambia watu kwamba huyu mtoto nilieza nimwana wa mungu bali alikua mwana wa maliamu na yesu nikiumbe chamungu kama viumbe wengine na alikua mtumetu kwa Wana waisraeli na ilikua niahadi ya mungu kama alivyo wahiidi wa Israel na mungu akawatizia ahadi aliyo waahidi
Soma biblia ndugu utoke kwenye giza,soma unabii kabla yesu ajazaliwa kwenye kitabu cha Isaya 7:14 alitabiriwa ataitwa Emanuel maana yake mungu pamoja nasi au kwa luga nyingie mwana wa mungu,lakn ukiitaji msaada zaidi wa Bible nipo tayr kukupatia
Uwongo mtupu wewe uwe na mtoto na Mungu awe na mtoto eahima itakuwepo? Wakosa adabu makafiri