MITIMINGI # 1139 HATA KATIKA MATATIZO ULIYONAYO BADO UNAWEZA KUFANIKIWA (JOEL NANAUKA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @joshuamollel6993
    @joshuamollel6993 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen Kaka joel hakika wew NI umetumwa kwajili ya kutuweka sawa Kwa namna moja au nyingine mungu akupe uwezo na nguvu ili kutuongoza katka maono ya kimaisha na kiroho...

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 4 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN Ahsante sana kaka Joel Mungu akubatiki

  • @yohanasimtenda748
    @yohanasimtenda748 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa kaka

  • @emmanueldaniel2599
    @emmanueldaniel2599 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kaka

  • @allyshabaani1244
    @allyshabaani1244 4 ปีที่แล้ว +1

    Unanipa nguvu za ajabu Sana Kaka,hapa nilipo sasa ninakazi ya kusambaza bidhaa Fulani nahitaji kama million 5,unajuwa nashingapi kwenye akaunt ninalaki mbili lakini nitapeleka hizo bidha naweza

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 ปีที่แล้ว

    Joel Nanauka anatakiwa awe mshauri mkuu wa serikali yetu,, huyu jamaa tukimpa nafasi ataliweka taifa sehemu mzuri

  • @barikikimario2573
    @barikikimario2573 2 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @florianmalle6038
    @florianmalle6038 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Joel nazidi kukuwa kiuchumi na kupata nguvu ya kupambana zaidi kila ninapotazama na kusikiliza video zako.

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 4 ปีที่แล้ว

    Una mvuto ktk uongeaji wako