Mashaallah wanajitahidi kujifananisha na sheikhe Othuman Maalim lkn hawajamfikia bado sheikhe Othuman Maalim Ila wameiga tu Allah awajaalie wazidi kujifananisha na sheikhe Othuman Maalim
Maa Shaa Allah kijana huyu ñimempenda kwa Ajili ya Allah Na Kwa Haraka haraka Huyu Ni Mwalimu/atakuwa Mdarasishaji Bora , Ajitahidi kuongeza Elimu na kutabahari zaidi Maana Fani ya Ufundishaji Akonayo Mia Filmia , Unaona hapo Hadi Kumgandisha Mtangazaji kwa Lugha katulia kama yupo Darasani, Hongera Kijana , nakupenda sana, Ama kwa upande Wa Sheikh Othmaan , Wallahi Ni Mzuri Kwenye maongezi na Mihadhara yake ila tatizo Sheikh anazitetea Sana Bid'a na Watu Wengi wameathirika naye kimakosa na visa vingine anavitoa Havikuthibiti , Nijambo la kumfikishia Huu Ujumbe Sheikh Othmaan ajue watu wengi wanaathirika naye aogope wasije potea
mashallah hawa ndio vijana tunaowataka na haya ndio ya kuigwa, Lakini hata ww mtangazaji mashallah umeathirika na mwenendo wa sheikh Othman maalim, kwani uzungumzaji wako ni wa upole na hata sauti inakwenda huko. Allah atupe mapenz zaidi ya kuwapenda maulamaa wetu. aaamin
Uko sahihi yuko vizuri ila kinacho leta shida ni bida,a Angeacha bidaa bas ni mtu fasaha mno Ila tusimkatie tamaa tumuombee dua Allah amuongoze kuacha bidaa wala kuisapoti
Shukran allah akuzidishie elim kijan wet allah atup watot kam haw
Alhamdulillah zanzibari yetu jitoleeni vijana mjifunze mjekutusomeshea watoto wetu insha allah
Mashaa Allah. Allah akuzidishie ilmu. Nampenda sana sheikh othman sana. Allah amjazie kheiri katika kila jambo. Amin.
Allah wajalie vijana wetu waige mfano kama huu wa kheri, Aamin
Maashaallah,huu ni urithi urithi wa jambo la kheir Allah atuepeshe na urithi wa mambo ya shari,Amin.
ALLAHUMA Aaaamin
Amiin
@@RiyadhTvOnlineZnz aamiin
MASHAA ALLAH tabarak Allah ..Allah akuzidishie elimu hekma na subra ...
MaashaaAllah jazaakum llahu khaira wa baraka llahu fiykum. Shukran
Masha Allah hata mm nampenda sana sana sheikh Othman maalim japo sjaweza kumuiga lkn insha Allah Allah atuwekee ampe maisha mazur yenye afya njema.
Ammiyna
امين يارب 🤲🤲
Mashallah uko vizurii.. Mungu akusimamie.. Aamiin
بارك الله فيك أخوي وسدد الله خطاك وخطانا، وأسأل الله العظيم رب العرش الكريم أن ينفعنا بما علمك الله .
الله يجزيكم خيرا قناة رياض .🙏🙏🙏
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Mashallah tuzidi kuwapenda mashekh wetu, huyu kijana ameonesha jinsi gani anampenda shekh wetu Othman maalim
Insha Allah
Osama Shakeeb uyo ndio fikra
Nimekuwa muathirika sana na shekh othman maalim
MaashaaAllah baraka llahu fiyka akhuwiy
Maachallah maachallah munguu awazidichie
Maa shaa Allah
Hongera sana kijana
Allah akuzidishie Elimu yenye manufaa
ماشاءالله.
بارك الله فيك.
جزاك الله خيراً يا أخي.
Mtangazaji naipenda saut yako mashaa Allah😊😊😊
Afwan
Mashaallah wanajitahidi kujifananisha na sheikhe Othuman Maalim lkn hawajamfikia bado sheikhe Othuman Maalim Ila wameiga tu Allah awajaalie wazidi kujifananisha na sheikhe Othuman Maalim
Amiin
Mashallah Allah atuongeze vijana wetu
Mashallah kijana Allah akuzidishie elimu na hekma Inshaallah
Mashaa allha tabarakallah hongera Sana kijana Allah akuhifadhi
Huyu mtoto ni muisilamu wa kweli
Amin Amin AminvYa Rabal Enlamin
Shukran Akhuiy Abuu fikra إجتهدت
Mashaallh jazakallahhaira natamani.tungepata.wakwekamahao
Utapata biidhnillah dua kwa wingi
Allah akusamie kwa kila la kheri inshallah
Maashaallah vjana tuamkeni inshaallah
Maa Shaa Allah kijana huyu ñimempenda kwa Ajili ya Allah Na Kwa Haraka haraka Huyu Ni Mwalimu/atakuwa Mdarasishaji Bora , Ajitahidi kuongeza Elimu na kutabahari zaidi Maana Fani ya Ufundishaji Akonayo Mia Filmia , Unaona hapo Hadi Kumgandisha Mtangazaji kwa Lugha katulia kama yupo Darasani, Hongera Kijana , nakupenda sana, Ama kwa upande Wa Sheikh Othmaan , Wallahi Ni Mzuri Kwenye maongezi na Mihadhara yake ila tatizo Sheikh anazitetea Sana Bid'a na Watu Wengi wameathirika naye kimakosa na visa vingine anavitoa Havikuthibiti , Nijambo la kumfikishia Huu Ujumbe Sheikh Othmaan ajue watu wengi wanaathirika naye aogope wasije potea
Abu A'ishaty Online Tv
Labbayka
Hata mm pia nimeathirika na Sheikh Othman...
Maashaallah
@@allybadru416 Tabaraka Ar Rahman 🤗
Mashaallah
Kijana kila anavyoambiwa atupe Ladha ... anatoka nje ya swali, Illa hongera sana Allah awawafikishe!!!
😁
sadaktaa
Mm nimeathirika sana na al'marhuum sheikh Suleiman Gorogos
Allah amrehem inshaallah
Mashaallah. Hata mimi ni mpenzi wa Sheikh Othman
mashallah.Allah azidi kukupa elimu
MashaAllah Allah akuhifadhi
Mashallah manshallah allah. Awajariye kila lakheri
Mashallah broo Allah akuzidishie
Ma Sha Allah.Nimependa sana hii.
shukran akhui abuu fkra.
Man'sha Allah khayri
الله يبارك فيك 👍🌷
Inshallah ameen Allah akubariìk
kwakweli mimi pia namfatilia sana nami nimerithi kiasi kwake shekhe Othman maalim ukitulia katika CD zake hakika hutaenda kwamtu kusoma
Ila umuhimu wa kwenda kusoma kwengine upo maana kupitia cd hatosomesha kila kitu
Mashallah jazaka llahulkheir
Mashallah mashallah bahati yake uyo kijana mashallah
Mashaa Allah
Mashaallah Allah akuzidishie
Mimi nimeathirika na sheikh Mselem Ali kwa kufasiri kwake Quran hata kama umzito wa kuelewa utaelewa.
Mola amfanyie wepesi atoke gerezani.
Aaaamin
Ameeen Yaa Raab
aaaammiin
Kher Inshaa Allah
❤❤❤❤Mashallah
Mm nimeathirika na Sheikh Nyundo
Uweis Mohammed hhhhhhh
😂maa shaa Allah
Mashaallah
Mi piya nawapenda wote shekhe nyundo na othumani
Mwenyenzi awaweke inshaAllah Aaaaaamin
Uko vizuri tatizo porojo nying umeambiwa utupe kionjo ladha ya Othman maalim unaelekeza mengine
Shekh mwenzimgu akuhifadhi
mashallah hawa ndio vijana tunaowataka na haya ndio ya kuigwa, Lakini hata ww mtangazaji mashallah umeathirika na mwenendo wa sheikh Othman maalim, kwani uzungumzaji wako ni wa upole na hata sauti inakwenda huko. Allah atupe mapenz zaidi ya kuwapenda maulamaa wetu. aaamin
ALLAHU AKBAR, ALLAHUMA AAAAMIN
Allah atujaalie pepo
Masha Allah
ما شاء الله 🌹
Mashaallah Allah akuifadhi
MASHAALLAH
Fatabaaraka llah ahsanan khaaliqiin
Nami ni mpenzi mkubwa wa Othuman Maalim
Tabbaraka Allah
MashaAllah jadha ka Allah kheir
MASHALLAH
Masha Allah
Mashallah shukuran
Mashallah kijana rajeshi
Mashallah
ماشاءاللہ
Mashaallah
Nice mashaallah
MashaAllah
Mashaalla sheghe sumani maalim akitoa mawaidha hatakama unausingizi huwezikusinzia kwasababu anaongea kwa lugha iliobora sikiswahili kingereza wala kialabu vyote vinalizisha nafsi ninaelewa kwahalaka nakuzingatia mungu kuweka akupe umlimlefu
Ishaallah
Nyundo kaniathiri hata kutembea natembea km yeye na mapozi km yake
Sijawahi kumpenda othman maalim kwa bidaa zake
Uko sahihi yuko vizuri ila kinacho leta shida ni bida,a
Angeacha bidaa bas ni mtu fasaha mno
Ila tusimkatie tamaa tumuombee dua Allah amuongoze kuacha bidaa wala kuisapoti
Mashaallah habuby
Riyaadh tv Znz na sh Salim Alliy anaesoma nasheed hana tofauti na sh Othman maalim anajificha tu pata siku ufanye nae kipindi ndio utakuja kuniambia
Insha ALLAH ngoja tumtafute
@Salma Saleh natumai umemuona Salim Ally?
@@RiyadhTvOnlineZnz nimemuona Hamdulillah
Dah! inabidi vijana tupambane
Wallah namm nampend shegheo
Wallah na mm nampend shekh.othoman mwenyezimung ampeumr mref inshaallah.tuwez kujifunz zaid nazaid kutok kwake inshaallah wabilah tawfiq
Barak llah fiq ya akhiy
Othmanعلم toka Lin kaandika kitabu gani musighike jaman wala musidanganyike
kwani kasema wapi kuwa kaandika kitabu?
Challenge ni sifa ya uhasidi
swadkta Fatma
Mashaallah
Mashaallah tabaraka
Mashaa Allah
MASHAALLAH
Maa shaa llah
Masha Allah
Mashallah
Manshaallah
Mashaallah
Mashallah
Mashaa Allah
Mashallah
Mashaallah