SHK BACHU: QISA CHA AJABU SANA CHA MWANAMKE ALOOLEWA NA MZUNGU AMINI USIAMINI YAMETOKEA HAPA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akurehemu sheikh wetu
    Nassoro bacho. Ujumbe umefikisha

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 ปีที่แล้ว +9

    INNALILLAHY WAINNA ILLAYH RAJIUON,
    Allah akupe kauli thabit akulaze L Janna Yarrab

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 3 ปีที่แล้ว +12

    Daaah sheikh Nassor Allah akurehemu ajaalie kaburi lako liwe ni kiwanja cha peponi

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah akufanyie wepesi akulipe mema kwa rehma zake amminna

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuepushie adhabu ya kaburini

  • @mussakantumba824
    @mussakantumba824 3 ปีที่แล้ว +2

    Namuomba ALLAAHU amrahamu Shaykh wetu kipenzi A'arif billaah Wal Islaamu. Nassor Bacho.

  • @mohamedally6450
    @mohamedally6450 3 ปีที่แล้ว +12

    nakupenda san shekhe nasoro huko uliko allah akupe pepo

  • @mohammedsharksy2124
    @mohammedsharksy2124 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH AKUREHEMU SHEIKH WETU

  • @salehmuhammad-jk3fy
    @salehmuhammad-jk3fy ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi .

  • @apangomombasa9230
    @apangomombasa9230 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah Akurehemu Sheik Merehemu Nasoro Mbachu

  • @yahayab4u614
    @yahayab4u614 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuifadhi shehe

  • @binothman9284
    @binothman9284 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah akutilie nuru kaburi lako

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 2 ปีที่แล้ว +2

    يرحمك الله يا شيخنا ويسكنك الجنة آمين!

  • @maryambarayan7599
    @maryambarayan7599 3 ปีที่แล้ว +15

    Allah akurehemu wewe na waislam wrote nasi pia Allah atupe mwusho mwema. Wewe nikati ya masheikh ambao sichoki kuwasikiza na kunigusa

  • @fabssaleh7273
    @fabssaleh7273 3 ปีที่แล้ว +2

    SUB HAANA ALLAH

  • @ahmedosman2867
    @ahmedosman2867 3 ปีที่แล้ว +1

    الله يرحمه ويغفر له ويسكنه فسيح جناته

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @fadumoxassansanyare222
    @fadumoxassansanyare222 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallah

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 2 ปีที่แล้ว

    Allahumma Amin ya Rabb

  • @mohammedalnabahan.4127
    @mohammedalnabahan.4127 2 ปีที่แล้ว

    Almarohum Nassor Bachu ndo shekhe No1 hadi saivi japo kua ashakufa.

  • @swalehibrahim5608
    @swalehibrahim5608 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah mtihan sana

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k หลายเดือนก่อน

    Mm nilifikia kutaman km uwepo shekhe Nije nisome elim kwako

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 ปีที่แล้ว +1

    Duniani kwasasa utu na haya ni kama zimeisha.sasa watoto na wajukuu zetu sijui itakuwaje kwakweli ni mtihani.

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

    Jazaqallah

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

    Huyu bint hakuwa anajitambua kufanyiwa yote hayo ukizingatia alilelewa ktk maadili ya kiislam? Hakuwa na mtu hata wa kumuomba ushauri?🙄

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii story ni ya kweli na huyu mtu namjua insha Allah Allah amgeuzie, story ilikuwa huyu mzungu alikuwa mwalimu akamlaghai kisha akamuowa akamfanyia hivyo pia huyu mzungu alikuwa ndo kazi yake kuowa waafrica kisha akawafanyia hivyo mke wa mwanzo alikuwa mzimbabwe

    • @sarahhabib5902
      @sarahhabib5902 3 ปีที่แล้ว

      Pia namjuwa nilishanga sana kuona video

    • @talibsaid8081
      @talibsaid8081 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sarahhabib5902 Allah atusitiri na vizazi vyetu, kharusini tulialikwa ila huyu msichana alikuwa mdogo lkn mrefutu umbo limemponza huyu mzungu alikuwa mwalimu kwenye hio shule alokuwa huyu msichana akisoma

    • @sarahhabib5902
      @sarahhabib5902 3 ปีที่แล้ว

      Ok sikujuwa yote hayo Lkn kwa video zake zilienia sana uk hapa pia nilikuwa simujuwi vizuri

    • @yahayakhamis6008
      @yahayakhamis6008 2 ปีที่แล้ว

      @@sarahhabib5902 upo wapi sara

    • @sarahhabib5902
      @sarahhabib5902 2 ปีที่แล้ว

      @@yahayakhamis6008 niko uk