NJIA RAHISI YA KUGUNDUA PASSION YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.พ. 2021
  • Kugundua passion katika maisha kwa wengi ni zoezi gumu sana kulifikia kirahisi. Lakini hii huenda inachangiwa na utaratibu au mfumo wa maisha yetu ambao hautupi fursa ya kutosha kujitambua labda kwa juhudi binafsi.
    Sasa moja ya juhudi binafsi zinaweza kuchangiwa na kusoma sana vitabu na ukaribu zaidi wa hili ni kupitia nukuu hizi mbili za kingereza:
    (1) "When you read a good book for the second or third time, it's not that you'll see something in it that you didn't see before but you'll find something within yourself that was never before"
    .
    "Unaposoma kitabu kizuri kwa mara ya pili au ya tatu, sio kwamba utaona kitu ambacho hukukiona mwanzo lakini utagundua kitu ndani yako ambacho hakikuwepo mwanzo.
    .
    (2) "Sometimes someone else can take you to a journey within yourself that you can never go by yourself"
    .
    "Wakati mwingine kwenye maisha mtu mwingine anaweza kukupeleka katika safari ndani yako ambayo wewe huwezi kwenda mwenyewe"
    .
    Fuatilia zaidi somo hili na usiache kutuandikia katika comments ulichojifunza au kile ambacho kinakutatiza.
    .
    Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
    .
    Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
    Click hapa: / channel
    .
    .
    TUFUATE INSTAGRAM:
    SPN CHANNEL: / successpath_network
    EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
    .
    BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
    EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
    WHATSAPP : (+255)759191076
    .
    TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
    ⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE
    ⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMA...
    ⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HI...
    ⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamas...
    ⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4...
    ⚫️ AFYA: • Njia Salama za Kutoa S...
    #Gundua #Passion #Yako

ความคิดเห็น • 40

  • @swaibajafari4427
    @swaibajafari4427 3 ปีที่แล้ว +3

    Tupo pamoja brother Ezden

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @jackobkanyala4239
    @jackobkanyala4239 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana bro kazi zuri.

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 ปีที่แล้ว +3

    Great brother

  • @ibrahimamida4023
    @ibrahimamida4023 3 ปีที่แล้ว +3

    nimejifunza kitu kaka asante sana

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว

    Upo sawa mkuu

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 3 ปีที่แล้ว +2

    Each One teach One 👏👏👏Proud of you Big up from Mombasa 🇰🇪

  • @omarimadiva5352
    @omarimadiva5352 3 ปีที่แล้ว +7

    Tabia ya kudharau watu imewafanya watu wengi kukosa mambo mazuri yenye manufaa,hakika somo lako tukilifanyia kaz tutafanikiwa.

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

    • @hughfox3978
      @hughfox3978 3 ปีที่แล้ว

      I guess Im kinda off topic but does anybody know of a good site to watch newly released series online?

    • @rockynasir3859
      @rockynasir3859 3 ปีที่แล้ว

      @Hugh Fox lately I have been using FlixZone. Just google for it =)

  • @mabeleyele2937
    @mabeleyele2937 3 ปีที่แล้ว +4

    👊🤙

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @macvoicenation5898
    @macvoicenation5898 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimeelewa somo 😍

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @goalhall
    @goalhall 3 ปีที่แล้ว +2

    Aisee ahsante sana mkuu.

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @bensonjohn5400
    @bensonjohn5400 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani

  • @mussadismass9306
    @mussadismass9306 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza kitu kwasomo lako ubalikiwe ezden

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @goalhall
    @goalhall 3 ปีที่แล้ว +3

    Umefundisha jambo kubwa sana. Kwamba kipo cha kujifunza kwa kula mtu. Ahsante sana

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 ปีที่แล้ว

    Hakika broo ww ni kioo cha jamii

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 3 ปีที่แล้ว +2

    That true kabisa kutumia hella kila mahali sio kitu kizuri siku ambayo utakosa hiyo hela Basi nawe utakosa kuthaminika nashukuru🙏kwa bonge la funzo

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

    • @mbaruksaid5775
      @mbaruksaid5775 3 ปีที่แล้ว

      @@moseskashangaki8953 asante sana dugu yangu kwa ufahamisho

  • @nashirjumanne851
    @nashirjumanne851 3 ปีที่แล้ว

    Shukran zaidi

  • @Master_antidote_official
    @Master_antidote_official 3 ปีที่แล้ว +3

    Good advice ideed....i wanna aim as you do

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @stevenkossam6849
    @stevenkossam6849 3 ปีที่แล้ว +2

    Umesema ukweli brother nimejifunza kitu kutoka kwako

    • @moseskashangaki8953
      @moseskashangaki8953 3 ปีที่แล้ว

      Haya yalikuwa mafunzo tuliyoyapata katika Genius Talk show tarehe 26/02/2021 siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita . Karibu Sana Genius Talk Show ya mwezi wa Tatu ambapo haya masomo ya Kaka yetu Ezden utayapata live kabisaa . Fwatilia Page Yetu Instagram Genius Talk show kujua show inayokuja itakuwa lini na wapi .Karibu Sana Ndugu.

  • @jacksonkalogi318
    @jacksonkalogi318 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @rajabumsumi6140
    @rajabumsumi6140 3 ปีที่แล้ว

    Hakika sijutii bando langu kaka

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza ukasoma vitabu ukafikiri kama utayafata Yale Yale yaliyoandikwa, unasoma utafanya tofaut sana. Yaan utajitambua

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana Vedasto Keya kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!

  • @fadhilmilambo3773
    @fadhilmilambo3773 3 ปีที่แล้ว +2

    Am first give me likess

  • @livingmushi4861
    @livingmushi4861 3 ปีที่แล้ว

    0755557129 WhatsApp niunge mwalimu