AFYA NDIO UTAJIRI WA KWANZA, SIKILIZA HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Karibu nikutambulishe kitabu kilichoandikwa na daktari juu ya magonjwa 16 yasiyoambukiza lakini yamekuwa yakisumbua sana watu siku hizi.
    Kitabu hiki kitakufanya uweze kulinda afya yako vizuri na kujiepusha kuwa katika kundi la wale kupata madhara ya kiafya kwa sababu za kula vibaya.
    .
    KUNUNUA KITABU HIKI MPIGIE DR. LENNY KOMBA
    Simu: 0767 443 887 | 0683 805 377 | 0623 574 687
    .
    GROUP LANGU LA VITABU (WHATSAPP):
    (SPN BOOK CLUB):
    Karibu ujiunge ikiwa wewe:
    - Unapenda kupata faida toka kwenye vitabu
    - Ni mvivu kusoma na ungependelea kusikiliza (Audio) zaidi.
    - Unataka kufahamu/ kupata vitabu vizuri vya mafanikio.
    Utapata AUDIO CLIPS kwenye simu yako zilizosomwa kwa ufasaha na hazichoshi kusikiliza.
    Ili kujiunga tuma ujumbe "whatsapp" andika: SPN BOOK CLUB kwenda namba 0759191076
    .
    ADA NI SHILINGI 2,000/= TU KWA WIKI
    .
    SUBSCRIBE - COMMENTS - LIKE - SHARE
    .
    UNGANA NAMI MITANDAONI:
    INSTAGRAM (SPN): / successpath. .
    INSTAGRAM : / ezdenjumanne
    FACEBOOK : / ezdenjumanne
    TWITTER : / ezdenjumanne
    LINKEDIN : / ezdenjumanne
    TH-cam : / ezdenjumanne
    .
    SUBSCRIBE CHANNEL YA HAMASA YA LEO HAPA:
    / hamasayaleo
    .
    .
    #Kitabu #Magonjwa #Afya

ความคิดเห็น • 18

  • @yemk2105
    @yemk2105 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakipataje icho kitabu Nina tatizo la mifupa limenisumbua kweli

  • @yemk2105
    @yemk2105 3 ปีที่แล้ว +1

    Nizaidi ya elimu tunayopata mko vizuri

  • @ezden_voiceover
    @ezden_voiceover 4 หลายเดือนก่อน +1

    Health is the first wealth.... for real

  • @mohdsalehe3540
    @mohdsalehe3540 3 ปีที่แล้ว +2

    Vitabu tunapataje brother

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 ปีที่แล้ว

    My Brother Ezden kitabu naweza kukipata kwa soft copy assist please?

  • @patkentz
    @patkentz 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kaka.
    Nakipataje?? Kitabu

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  3 ปีที่แล้ว

      ILI KUPATA VITABU Patken 6 tv
      Tuma Ujumbe wenye neno “KITABU” kwenda
      Namba yangu ya 0759 191 076
      .
      VITABU VILIVYOPO:
      1. Elimu ya msingi ya Fedha - (Tshs. 20,000)
      2. Elimu ya msingi ya Biashara - (Tshs. 20,000)
      3. Biashara ndani ya ajira - (Tshs. 20,000)
      4. Una nguvu ya kutenda miujiza - (Tshs. 20,000)
      5. Epuka Utumwa wa kidigitali - (Tshs. 20,000)
      6. Mfundishe Mtoto wako Kuishi - (Tshs. 30,000)
      7. Mambo 100 ya Mwanafunzi wa Kiafrika (Tshs. 15,000)

  • @frankbryton5200
    @frankbryton5200 2 ปีที่แล้ว

    Asante brother kwa elimu nzur

  • @simnihaji1884
    @simnihaji1884 3 ปีที่แล้ว +1

    A.alaykum.NAKUPENDA ezden kwa ajili ya Allah

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  3 ปีที่แล้ว +1

      Waaleykum salaam. Nashukuru sana... nami pia wa ajili ya Allah. Stay blessed

  • @charlesshikoye5545
    @charlesshikoye5545 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Kaka kwa somo zuri Mungu akubariki Sana

  • @nasrajuma7047
    @nasrajuma7047 3 ปีที่แล้ว

    👍

  • @elijahanthony7667
    @elijahanthony7667 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa mafundisho mazuri brother edzen hii inatudaidia Sana sisi tuliopo nje ya Tanzania lakin tunawezaje kupata vitabu huku tulipo

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  3 ปีที่แล้ว +2

      Nashukuru sana kwa kufuatilia. Sass njia pekee ni kuvituma tu ila kwa baadhi ya vitabu kama hiki na softcopy ipo pia.

    • @elijahanthony7667
      @elijahanthony7667 3 ปีที่แล้ว

      @@successpathnetwork okay ahsante Sana lakin njia pekee bora tunayo weza kuwasiliana ni whatsap lakin ntaipataje??

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante Brother kwa Elimu hii 🙏

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 3 ปีที่แล้ว +1

    👍