ARISTOTE AMPA MAKAVU BABA LEVO/ANACHEZA SANA KAMARI/ATAMPIGIA MAGOTI FRED VUNJABEI/DIAMOND ATAMTIMUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 มี.ค. 2021
  • Tumepiga stori na Ariatote.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 314

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 3 ปีที่แล้ว +28

    Asante aristotee mzee wa vikao leo umempa chawa za uso

  • @swesschao3095
    @swesschao3095 3 ปีที่แล้ว +18

    Kamari sio nzuri kunao walio poteza job juu ya kamari kuiba pesa kwa kampuni na kucheza kamarii

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 ปีที่แล้ว

      Tena ukiingia huko,kutoka ni kaz mno mno..

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 3 ปีที่แล้ว +50

    Jamaa ameongea vizuri sana.baba levo anabwatuka sana

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 ปีที่แล้ว +18

    Aristoteeeeee 🙌😂😂😂😂😂😂😂umeongea kweli juu ya baba leo analopokwa sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว +21

    Hahaha daah yani leo ndo nme amini babalevo ni fala tuu 😂😂🤣🤣

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 ปีที่แล้ว +3

    B levo asipokuwa makini na maisha yake. Basi tutamsahau kama KONK OIL CHAFU. Vituko vyake aviendani na Umri wake. BANGI SIO CHAI.

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 ปีที่แล้ว +9

    Kamari mbaya kamari haramu jaman ona sasa baba levo kichaa wngu lkn wacha kamari khaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 ปีที่แล้ว +15

    Aristoteee basi bakisha mengine 🤣🤣 lakini bora maliza yote mana babalevo alikuja mjini kwa kishindo wacha apigwe nyundo atulie 🤣

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 ปีที่แล้ว +29

    Maisha haya Leo hii machawa yanagombana yenyewe kwA wenyewe.soon mtakwenda konde gang😁😁

    • @zaitonakondo4617
      @zaitonakondo4617 3 ปีที่แล้ว

      Konde gang kwio😏

    • @omaromar-eb6og
      @omaromar-eb6og 3 ปีที่แล้ว

      Wew chizi Ao kwani uyo konde yupo nanin

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa show zake za club, chawa gani aje mxiewww

    • @frankfrancis2195
      @frankfrancis2195 3 ปีที่แล้ว

      Machawa mapumbavu sana ww mwenyewe chawa

    • @hadija846
      @hadija846 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣👍

  • @mussamivache4986
    @mussamivache4986 3 ปีที่แล้ว +30

    Imeongea ukweli kuhusu uyu baba levo ila wajinga wataona unamaingizia hajielewi kabisa

    • @adamjafari791
      @adamjafari791 3 ปีที่แล้ว +1

      Nikokigoma. Obidi haji tambui atapata tabu

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว

      Ana tu aibisha sana baba levo.

  • @issajohn5766
    @issajohn5766 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali aristote sema #diamondplatnumz

  • @saidikanosi97
    @saidikanosi97 3 ปีที่แล้ว

    Akimtukana harmonizer mnafulahiyaga 😀😀😀😀😀😀

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila huyu vunja bei naona kaja gafla sana aangalie sana na hawa watu

  • @naimaali5638
    @naimaali5638 3 ปีที่แล้ว +5

    Aristotee kasema kweli

  • @annettecilus7350
    @annettecilus7350 3 ปีที่แล้ว +2

    Umeongea point mtu mkweli uwaga apindishagi maneno uko vizuri aristote baba levo hovyo kabisa mtu mzima ovyo kabisa

  • @anoldpotentin2446
    @anoldpotentin2446 3 ปีที่แล้ว +7

    Katika matajiri 100 bora wa Tanzania, diamond au vunjabei awamo sasa mnavyosema ni matajiri wa bongo, mnamaanisha nini. Labda matajiri wawambea

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว

      Mamilionea wamenyamaza kimyaaa

    • @belak999
      @belak999 3 ปีที่แล้ว

      Mbona wewe una makorodani tu, ulitaka utajwe wewe? tafuta hela acha wivu

  • @omaryshaban2016
    @omaryshaban2016 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye Hekima huona aibu na kujificha bali mpumbavu hupita mbele na kuthibitisha wewe Aristote hujielewi Harmonize anaingiaje hapo nilitegemea kwa umri ulio nao swali linao muhusu Harmonize usinge jibu wewe nae ni wale wale huna tofauti

  • @heriethkusigwa8469
    @heriethkusigwa8469 3 ปีที่แล้ว +1

    Msema ukweli huyu hataki dhambi 😘🔥🔥Aristote 💉

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +4

    Baba levo atarudi sugua masufuria kwa Shishi food very soon 😂😂😂 alingia mjini kwa pupa mjini pana masharti watu tuna m zoom tu kamali ni ugonjwa mbaya sana hauna tofauti na mla unga.

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 ปีที่แล้ว +5

    kweli kamali mbaya

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo tatizo lako waongea kupitiliza na cvzr mtoto WA kiume kuongea tu preeeeeee

  • @__iizu7677
    @__iizu7677 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwanaume anaye cheza kamari hapa hana maendereo kabisaa

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo anabwatuka Sana daa baba Zima anapenda vya buree

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +3

    Laana za kumtukana Uchebe hizo na bado atarudi kwa Shilole jikoni akagombee ukoko kama zamani.

  • @geofreybigambo244
    @geofreybigambo244 3 ปีที่แล้ว +6

    😂🤣🤣✨ katisha sana uko mwisho...ulimwengu wakutofautisha

  • @ramadhaniluoga5491
    @ramadhaniluoga5491 3 ปีที่แล้ว

    Baba umetisha nimekukubali sanaaaa

  • @happinesskipoya2921
    @happinesskipoya2921 3 ปีที่แล้ว +13

    Ila kweli kamari ni kitu kibaya mno asikwambie mtu

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 ปีที่แล้ว +1

    Mammmmmm 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️❤❤

  • @dicksonchobanka1922
    @dicksonchobanka1922 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kwenye kamali Baba Levo kapuyanga Sana. Awaulize kina Wayne Rooney na Adrian Mtu. Kamali zimetunyoosha wengi

    • @eliamakere3089
      @eliamakere3089 3 ปีที่แล้ว

      ni kweli jamaa yangu kamari sio issue kabisa, mm mwenyewe imenifanya kitu mbaya ila ukiiacha unafaulu

  • @starcostantine1795
    @starcostantine1795 3 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe baba levo bureee hivyo ila ni lianza kumsemea muda sana kabla yaa kuwa hana issue ni kubwatuka 😂😂😂😂

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 ปีที่แล้ว +6

    machawa ndani ya kiki😀😀😀😀

    • @elk9189
      @elk9189 3 ปีที่แล้ว

      Mimi hawa siwataki maibwa

  • @maryannqueen7356
    @maryannqueen7356 3 ปีที่แล้ว +3

    Umesahau alikua kwa Shishi 😂😂😂 chakula cha bure

  • @winfridapeter969
    @winfridapeter969 3 ปีที่แล้ว

    Kamali mchezo mbaya sana,unakuua kisaikolojia baba levo kaishiwa saiv kwahyo akinyimwa na mtu anayejua atapata bassiii chawa mashetani yatapanda,atafute helaaa si ampigie boss wake mond,atuachie vunjabei wetu

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 3 ปีที่แล้ว +8

    Bwege ww unamsifia mwanaume mwenzio kwa kuwagonga wanawake 😂😂

  • @monicaisaya6143
    @monicaisaya6143 3 ปีที่แล้ว

    Duh Yani mama levo we kumbe ni fala tu

  • @musaguga
    @musaguga 3 ปีที่แล้ว +13

    Broo, sio WCB ni WASAFI MEDIA, unachanganya mada

    • @ericklucas4010
      @ericklucas4010 3 ปีที่แล้ว +1

      Logo ya wasafi media niipi

  • @samwatv7533
    @samwatv7533 3 ปีที่แล้ว

    Hao wote matapeli ali tapeli baba levo mwijaku wote matapeli sana wote kiki hawana maisha kazi yao kulopoko kama wanawake

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว +1

    BABA LEVO SIKUNA INTERVIEW ALISEMA GARI ALILIUZA ANATAKA KUJENGA NYUMBA BABA LEVO JIKE

  • @henriettenkuba7078
    @henriettenkuba7078 3 ปีที่แล้ว +2

    Umejuwa kunichangamsha leo Aristotee nine injoy na interview

  • @najmanidengo4466
    @najmanidengo4466 3 ปีที่แล้ว +14

    Wangapi waliona ile movie ya kihindi (apna time ) ndio hii ya baba levo . Mwisho ata mtoa bbi yake bondi

  • @gbonetz2120
    @gbonetz2120 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba Levo Hanna Akilii Ya Kuwaza Kutoboa... Mwiliii Mkubwa lakiniii bado anawaza Mambo Ya Kitoto..

  • @danieljoseph7120
    @danieljoseph7120 3 ปีที่แล้ว +3

    WEEEEEUUUUUWEEEEEEEE, LEO UMENIKOSHA

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🔥🔥🔥

  • @rahimmohamed802
    @rahimmohamed802 3 ปีที่แล้ว

    hawa jmaa wote ni machawa hkn wa kumcheka mwenzie harafu aipendez mtoto wa kiume ambae unaitwa baba harafu maisha YAKO yanaegemea KWA mwanaume mwenzio sio vizuri HATA kidogo,ukiacha yote baba levo ni mtu wa ajabu sana uwez kumsema vby mtu ambae anakujua vzr sana kwa kukusaidia kafeli kwa ilo

  • @jervinbronze9240
    @jervinbronze9240 3 ปีที่แล้ว +5

    Wote chawa tu

  • @charlesmentod7314
    @charlesmentod7314 3 ปีที่แล้ว

    Aristote Mtaalam sana

  • @starcostantine1795
    @starcostantine1795 3 ปีที่แล้ว +7

    Aristote eee weeee hahahaaaa😂😂😂😂

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 2 ปีที่แล้ว

    Wanaumee aibu jamani mbona unahalisha uchawa inasikitisha sana wake zenu wana kazi kubwa sana

  • @ashanzeyimana1063
    @ashanzeyimana1063 3 ปีที่แล้ว +4

    Saw saw

  • @charlesmentod7314
    @charlesmentod7314 3 ปีที่แล้ว +7

    Nyie ndo mmetrendishwa na Harmonize
    WCB mmefeli

    • @tatutatu1570
      @tatutatu1570 3 ปีที่แล้ว

      kweli kabsa arafu wanajikosha🤣🤣🤣

  • @nasorokazimoto3625
    @nasorokazimoto3625 3 ปีที่แล้ว

    Mnakimbia wenyewe

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 3 ปีที่แล้ว +5

    Duu makubw baba levo umeumbuka wamsema konde boy kumbe boya tuu

    • @omaromar-eb6og
      @omaromar-eb6og 3 ปีที่แล้ว +2

      Yani2 baba levo hana akili mtu mzima hovyo

  • @el-magoatv4599
    @el-magoatv4599 3 ปีที่แล้ว

    Tunatrendishaaaa😃😃😃😃

  • @billionairef897
    @billionairef897 3 ปีที่แล้ว +5

    Miungu mngu na jogoo la pasaka,nani mkali???

  • @maryannqueen7356
    @maryannqueen7356 3 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna kaukweli.. Atashusha BRAND da WCB

  • @frankgibson1419
    @frankgibson1419 3 ปีที่แล้ว +9

    Ila hicho kicheko aristotee😂😂😂😂

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa kamali sio jamani

  • @el-magoatv4599
    @el-magoatv4599 3 ปีที่แล้ว

    Me naagiza gari japani broooo😃😃😃😃

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว

    Namuelewa Sana listote

  • @fidelbarutwanayo4068
    @fidelbarutwanayo4068 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe jinga duh

  • @geofreyjerus9882
    @geofreyjerus9882 3 ปีที่แล้ว

    Daaah kuanzia leo ww ni chawa PRO MAX sio @babalevo

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 ปีที่แล้ว +1

    Ilikuwa wanaume wamekata viuno wamekuwa mashoga sahivi wana chambana nawa shushuwana wanatoa nasiri hizi nikaz zakike sahivi zimerudi kwawanaume MWANAUME MWENYEAKILI ZAKO NAFAMILIA HUWEZI KUMCHAMBA MWANAUME MWENZIO HIVO MFATE UMWAMBIE NDOTUNAVOJUA WANAUME

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +11

    Nani kaskia baba levo mwizi wa koti🧥🧥👔👣

  • @salmamalit9333
    @salmamalit9333 3 ปีที่แล้ว

    Huyo anautani but ni mtu mwenye akili sana big up bro

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว

    Alstote nakugawa bure😄😀😀

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 ปีที่แล้ว +1

    Aristoteee

  • @Wamikogo
    @Wamikogo 3 ปีที่แล้ว +1

    Kijamaa hiki sikielewii

  • @galaxykahalid3172
    @galaxykahalid3172 3 ปีที่แล้ว +1

    Bora ajirikibish huy baba anaropoka jmn

  • @clintonjoas9020
    @clintonjoas9020 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo kumbe jingaaaa saana,,,,,umefeli wewe kipua! Sasa utakuja jutia haya maisha wewe.

  • @frankfrancis2195
    @frankfrancis2195 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ww kaka pumbavu sana unapenda sana ngono kwaiyo unapenda uyo boss wako kuwa vuaguwo dada zetu pumbavu sana

  • @josephkalamazoo7979
    @josephkalamazoo7979 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani anaongea kma alikua amelala na vunja bei kitanda kimoja 😂😂🤣🤣🤣machawa mna haha

  • @mr_kajomba_og43
    @mr_kajomba_og43 3 ปีที่แล้ว +2

    Chawa kama chawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣#Babalevo

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +1

    Astaghfirullahul aadhwimu mmhu Baba levo mmhu nisicomment maana nisije kukufuru 🙇🙇🙇🙇

  • @shijacs23
    @shijacs23 3 ปีที่แล้ว

    Umenena ya kweli aristote!

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo Mbwa Kichaa (babalevo) akitimuliwa WCB, Konde Gang msimkubali...ni mtu wa hovyo kabisa

    • @hadija846
      @hadija846 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo haitowezekana H. Baba atamuadhibu mpaka hajute

  • @rukhaiyamohamed5152
    @rukhaiyamohamed5152 3 ปีที่แล้ว

    Mi silipendi libaba levo

  • @saidikanosi97
    @saidikanosi97 3 ปีที่แล้ว

    Wcb unatupiana vijembe wenyew

  • @maireshsaid1628
    @maireshsaid1628 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba Levo kamari itamuumiza maana aliwahi kukiri kwa zamaradi kwamba anacheza sana kamari hadi akatumia ela za mume wa zama

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 3 ปีที่แล้ว

    Yani watoto wa kiume kama wanawake yani kwa mimi nahisi wengine mashoga

  • @cuteme4870
    @cuteme4870 3 ปีที่แล้ว +1

    Utamsudujiaje binadamu mwenzio lkn mbn mnajishusha ivo kisa hela

  • @jemusshukuru37
    @jemusshukuru37 3 ปีที่แล้ว

    Dah inauma Sana nilimpenda baba levo lakini kwa ili ,atanisamehe 😫👩‍🎓🚵🚵🚵🚵🚵🚵

  • @billnassnenga6926
    @billnassnenga6926 2 ปีที่แล้ว

    👍👍👍👍

  • @danielnjoroge7493
    @danielnjoroge7493 3 ปีที่แล้ว +1

    mimi hata baba levo kienyewe sikipendangi.. ukweli bro anamdomo sana nkt

  • @mosimba467
    @mosimba467 3 ปีที่แล้ว

    Dah! Pesa bana hili jamaa eti limwita Mondi nyange buroo my buroo Mondi,

  • @frankdaniel2513
    @frankdaniel2513 3 ปีที่แล้ว

    Kwan we ulilala naw mpaka unajua kuwa alimpigia simu saa saba

  • @kasimmarko5513
    @kasimmarko5513 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini uombe pesa kwa mwanaume na ulazimishe tafuta za kwako uwe na maamuzi yako binafsi kwenye pesa zako.hata benk ukiweka pesa zako kuna utaratibu wa kuchukua

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 3 ปีที่แล้ว +9

    Hauna jeuri ya kununua gari mpya wewe mpya ni zero kilometer bei yake huwez ww zinazotoka huko japan zote used zinazo uzwa ktk showroom za mitaani

    • @hatbtalveson6581
      @hatbtalveson6581 3 ปีที่แล้ว

      ama kweli akili huna,ujinga umekuzidi mtt wa kiumekwan gari zero km sh ngap kma si asilimia 20% ya gari unalolinunua? kama huna hela kaa pemben...nenda kwa madalali w kinondoni na showtoom za mbagala

    • @seifmohamedseif9467
      @seifmohamedseif9467 3 ปีที่แล้ว

      @@hatbtalveson6581 bwege ww hujui unacho ongea ww wale wale used mnaita mpya zero kilometer zina wanunuz wake sio chawa matajiri zao pia hao chawa hawanunui zero kilometer

    • @belak999
      @belak999 3 ปีที่แล้ว

      Wachamba wima mna wivu sn, ndio maana kazi zenu ni za ajabu km kuvua samaki, ulinzi, fundi viatu, nk katafute hela ujue magari ni vipi

    • @seifmohamedseif9467
      @seifmohamedseif9467 3 ปีที่แล้ว

      @@belak999 acha kukariri fala ww

  • @kuchimnyama2046
    @kuchimnyama2046 3 ปีที่แล้ว

    We nimnafki fala wew

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 3 ปีที่แล้ว

      Acha amchane baba levo kitendo cha kusema hamisa na fred watazaa mbwa sio kizuri

  • @papaamasauti357
    @papaamasauti357 2 ปีที่แล้ว

    Hata mm naweza kua chawa kwa stail hii

  • @khasimgange4213
    @khasimgange4213 3 ปีที่แล้ว

    Kweli bro. Huna income

  • @theresiakalendero2806
    @theresiakalendero2806 3 ปีที่แล้ว +2

    Bebero sio jogoo la pasaka

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaongea points kichiz...huwez miliki gari kama huna income

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 3 ปีที่แล้ว

    Wewe sijui stote unaongea upumbavu kila mtu anaishi apendavyo sasa unaweza kumwambia jitu lizima kumtangazia eti wasafi wamuangalie sana babalevo. Wacha wivu wa maendeleo babalevo kapata bahati tatizo wapi kazi na game .,cha muhimu anafanyakazi vizuri basi inatosha..diamond sio mjinga bwana

  • @aiysharamdhan899
    @aiysharamdhan899 3 ปีที่แล้ว

    Umeongea pwenty Sana Leo nimekukubali ndio mjue kukaa namachizi

  • @nadegehakizimana2146
    @nadegehakizimana2146 3 ปีที่แล้ว

    Uyo baba levo nilofa sana kiderenge🇧🇮😂😂

  • @udaku..travel8506
    @udaku..travel8506 3 ปีที่แล้ว +1

    Anakufira mond

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว

    ki ukweli baba levo ninamjua vizuri sana anacheza sana kamari na hicho kimeshakuwa kilevi chake na hawezi kuacha.

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 3 ปีที่แล้ว +5

    Baba levo inabidi ubadilike

  • @hadija846
    @hadija846 3 ปีที่แล้ว

    Aristoteee🤣🤣🤣👍

  • @Donrugi
    @Donrugi 3 ปีที่แล้ว

    Kamali sio nzuri lkn naamini kisa kamali au kubet baba levo amepata deal la BIKO BET 😂

  • @francisabraham133
    @francisabraham133 3 ปีที่แล้ว

    Hawa machawa ata kugongwa watakuwa wapigika sanaaa.