#Exclusive

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @FaridaSeif-yk3th
    @FaridaSeif-yk3th หลายเดือนก่อน +8

    Baba nimekupenda bure mungu akupe maisha marefu sana,,na tunafurai kaka etu kuwa na baba kama wewe..

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 หลายเดือนก่อน +12

    Pole sana baba yetu , ss mashabiki tu hatukulala kwako ww ni zaidi kuwa mpole tu. Haji hana shida na Ally amini hivyo

  • @FiniasBugobola
    @FiniasBugobola หลายเดือนก่อน +9

    Pole mzee kamwe ally yupo yanga usiofu

  • @KyllianWafula
    @KyllianWafula หลายเดือนก่อน +7

    Tumelia wengi kumbe...kwa Mzee kamwe,pole Sana ijapokuwa bado ako kazini

  • @user-th4ns4sw6h
    @user-th4ns4sw6h หลายเดือนก่อน +6

    Uchungu wa mwana aujuae mzazi 🙏

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q หลายเดือนก่อน +9

    Daa zee hauja umia pekeyako tunampenda sana Ali kamwe😢 💚💛💛💚🎉🎉

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu หลายเดือนก่อน +6

    Mzee kamwe hajalala kama mim pole sana bab hata sis tumeumia sana

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v หลายเดือนก่อน +8

    Ali KAMWE UWE UNAMUELEZA BABA KABLA YA KUWEKA MAANDIKO USIMSTUE BABA

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d หลายเดือนก่อน +3

    Pole baba mi mwenyew niliumia sana kujiuzulu kwa ally

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix หลายเดือนก่อน +5

    Watani kamwe abaki tu Manara kichwa kibovu

  • @BhutemiMapalala
    @BhutemiMapalala หลายเดือนก่อน +6

    Pole saana mzee lakini usiwaze kwahilo❤

  • @tatudando7518
    @tatudando7518 29 วันที่ผ่านมา

    Mwenye mazuri siku zote hupata mazuri,huwenda Mungu akamwandalia mazuri zaidi.Mwombee kwa Allah.

  • @user-yu6zj3bw1y
    @user-yu6zj3bw1y หลายเดือนก่อน +8

    Mambo mwengine sio mazuri kama ali anafanya masihra ya namna hii atamuua babayake

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l หลายเดือนก่อน +5

    POLE SANA MWANA SIMBA MWENZETU

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 หลายเดือนก่อน

    Pole kamq mzazi huwezi firahiyq mtoto kuacha kazi pole sana

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 หลายเดือนก่อน +12

    Kumbe mzee unaipenda familia yako. Waandishi ndio hawaelewi kuchunguza habari, wanarukia taarifa juu juu. Sasa huyu anayemuhoji mzee Kamwe naye hajitambui kabisa

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika mengine ni upenzi tu wa mpira lakini Damu ni mzito kuliko maji na itabaki kuwa hivyo.

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 หลายเดือนก่อน +1

    Ali kamwe hebu mpigie cm Mzee ajifariji kidogo sio vzr kumliza baba Mimi nakuomba sana mfariji baba .

  • @maimunaathumani9121
    @maimunaathumani9121 หลายเดือนก่อน +6

    Rizki mtihani

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 หลายเดือนก่อน +5

    Uyo muandishi Una Akiri Ww

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +5

    We mwandishi hayo maswali sio ya kumuuliza mzazi. Hujui mzazi ana uchungu kiasi gani?? Ni mwanae yule. msipende kuumiza wazazi. Unauliza maswali ambayo majibu unayajua??

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 หลายเดือนก่อน +4

    Baba leo nimekuona unaamaana sn japo upande uliopoo daaah

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mtoto ana mambo mengi

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d หลายเดือนก่อน +3

    ili uwe muandilshi mzuri zingatia lafudhi

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d หลายเดือนก่อน +6

    Huyo mwanao angeuliwa na manara msukure ndo maana hakuna msemaji aliwai kukaa na manara yule ni jini baba mwanao muache TU na hata yanga hawana msimamo wangemkataa manara wakabaki na kamwe

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je หลายเดือนก่อน +6

    Kwani huyu ali toka ametoka south hajaenda msalimia baba ake?

    • @joycemmassi5046
      @joycemmassi5046 หลายเดือนก่อน

      Yaan Ally Kamwe tu sio kwenda kumwona baba tu hata KUMPIGIA SIMU TU baba niko Tanzania NIMERUDI,

  • @GibsonJoshua-o1v
    @GibsonJoshua-o1v หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa unaongea sana

  • @LuqmanIddi-cb8me
    @LuqmanIddi-cb8me หลายเดือนก่อน +1

    Mzee anaongea kwa hisia kali Sana.

  • @emmylightbrian2497
    @emmylightbrian2497 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi hujui kutofautisha Kati ya L na R Poor poor poor professionalism

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 หลายเดือนก่อน

    Aisee huyu mtangazaji msenge sana hana maswali ya msingi

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d หลายเดือนก่อน +3

    Pilamid

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 หลายเดือนก่อน

    Yanga ni timu kubwa sana,Ali kamwe ni mtoto mdogo sana halingani na heshima ya timu ndio maana anakufa mtovu wa nidhamu kwa ajili hajui thamani ya yanga na hajui thamani yake kwenye club anayoifanyia kazi.

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali Ally usifanye Maamuzi hayo tena unaweza kuleta madhara kwa Wazazi pia!!! Mimi ni mshauri mzuri sana ukiwa na shida tu ongea na watu kwanza au pata namba yangu IKUSAIDIE KWA CANCELLING!!

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr หลายเดือนก่อน

    HUYU MZEE KAMWE ANA UPENDO SANA SANA NA WATOTO WAKE..MUNGU AMPE AFYA NA AMKINGE NA SHARI ZOTE

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul หลายเดือนก่อน

    Wacheni ushamba nyny wtngnyika mnapenda xana dunia muko tyr kuuwana mwambie akae pembeni kama untk auliwe bc sbr nyny hamna dini mbwa mtauwana

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 หลายเดือนก่อน

    Huyo ni mtu mzima miaka 18 wewe ni mshauri TU huna nafasi mzee hujui yanayomsibu

  • @FaustinaMkama
    @FaustinaMkama หลายเดือนก่อน

    Ally uwe unaongea na baba kabla ya utani wa kwenye mtandao. Usimshutue baba

  • @sofiagao6396
    @sofiagao6396 28 วันที่ผ่านมา

    Wandishi.niwanafki.mnagombanisha.familia

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j หลายเดือนก่อน +3

    Wandishi wabovu hata kuhoji hamjui kazi mmekalia umbea wasenge nyinyi sifungui tena chanel yenu

  • @tishomaryomary-ps2xv
    @tishomaryomary-ps2xv หลายเดือนก่อน

    Cc tu mashabiki hatukulala sembuse ww mzee wake

  • @FiniasBugobola
    @FiniasBugobola หลายเดือนก่อน +4

    Ujaumia peke ako

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 หลายเดือนก่อน

    Mzee kaona maisha yanaenda kuwamagumu chezea wewe

  • @cottyadam
    @cottyadam หลายเดือนก่อน

    Hata mm sikulala kabisa

  • @user-id5oc7hm4n
    @user-id5oc7hm4n หลายเดือนก่อน +4

    We Mzee umpendi mwanao,,, ujui kwamba jini kaingia mtaaani? ,,

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme หลายเดือนก่อน +1

      Huyo mwanaume si mwanamke hawezi kumwogopa jini

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 หลายเดือนก่อน +2

    Manara hawezi kukaa na mtu ni mgomvi sugu. Kila siku anagombana na mtu na yeye anajiona hana makosa wenzake ndio wanamakosa.
    Akina Bumbuli, Nugaz, Babra, Jemedari wote aligombana nao