Uraibu ni Adui mjanja Sana wa maisha brother ☝️ utegemezi wa hatari na ulazima wa kufanya hata usichotaka na kustahili kufanya rest in soul peace Ngwea
Msuli tembo matokeo sungura anamaanisha unafanya kazi kubwa sana compared to ukubwa wa tembo and matokeo ya kazi uliofanya yanakua ni madogo compared to sungura
Fidy we mwenyewe upo lever za mangaribi mzee baba kuna tofauti gani na unavyoviongea zaidi ya imani ya mungu
Fid Q: msanii bora kuwahi kutokea. Jamaa yupo vizuri sana.
Ngosha the Don saruti
NGWEA ni tupac wa Tanzania uyo
Ushasema mkuu 🇰🇪🇰🇪
Upo vizuri sana mzee baba
Uraibu ni Adui mjanja Sana wa maisha brother ☝️ utegemezi wa hatari na ulazima wa kufanya hata usichotaka na kustahili kufanya rest in soul peace Ngwea
ALWAYS....APPRICIET...TO U BRO..🙏🙏🙏🎧🎤🔥🔥🔥🔥🔥...EQ....KUBWA..CHANGE GAME BRO..TENA....BIG MAN....🔥🔥🔥🔥👌🎧 ON THE MAP 🔥🔥🔥🔥
Napenda interview ziko conscious kama hii.Sio kufocus tu kwa fake lifestyle halafu tunakosa kuangalia real issues
fid we no noma speech ya ki profesa
Rest in peace Albert magwair
Ukweli kabisa🔥✅
Wajob hataki kabisa kukubali
Hiyo ya msuli tembo matako ya sungura ....... Naipitia 😇😂😇😂😇
Msuli tembo matokeo sungura anamaanisha unafanya kazi kubwa sana compared to ukubwa wa tembo and matokeo ya kazi uliofanya yanakua ni madogo compared to sungura
Sout ipo chini kidogo 🙏
Respect May brother
stor haina unafiki yan izi nyumbu za sk iz kumsfia mwenzie
Msodoki anamuanaje fid
Fid q ile Ngoma ya I'm profeshino ile beat projuza gani alinyonga
DUKE
The don fid q
Wakazi hana lolote hawezi kumfikia ngwer hata kidogo wakazi mlopokaji tu
Nasubiri tu kuona collaboration Yako mbuzi na kijana wako dizasta
Tena Chorus tunamupa Mr bleue
Daaaaaaaaaaaa huyu jamaa Ana akili gan duuuuuuu jiniaz
Kubwa sana hii
Oyy Jr eeh! Fid ni story teller ujue !😂😂
Nakubali Fid
#bigman
fid Q HATARIII
Vyima vimekutana
Ngosha the Don hauna aja na tuzo zao tumesha kupa tuzo mtaani
R.I.P Albert Mangwear
Mzee mbuzi umeua
❤❤❤
Mimi binafs huyu mtuu natambua alicho nachoooo
Fid q mi ukianzisha dini nakua muumini wako
Ana converce Power huyu jmaa kkkkk
Ila huyu jamaa