Tukiwa mwezi wa mwisho 2024, wote tunaokiri kuwa Mungu wetu hasaidiwi kufanya kwenye maisha yetu, Bali anatutendea kama apendavyo, Mungu akatupe kuingia 2025
Miamba Hawa apa anae kubali kilicho imbwa humu aje na like Ani ni bonge la wimbo Mungu huyo namuona kitini Ako pekeake Wala hasaidiwi jambo lo lote ❤❤❤
Whoever reading this, Mungu wako hasaidiwi kufanya ,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him, hufanya vile apendavyo na atafanya kwako in Jesus name Amen!
Tanzania gospel inakuwa sana quality yake ipo juu ila back vocal kwenye live RECORDING bado changamoto wakirudia studio inapoteza nguvu ya live performance but all in all Hongera kaka Kavishe nyimbo kali sana ❤❤❤
My goodness, what weight of revelation and the oil in this song is too intense. To say I am blessed is an understatement. Wacha tufanye replay wiki hii yote.
Yuko wapi mungu dagon Wako wapi manabii wa baal baal hana habari,au kalala,au ana shughuli nyingi au kasafiri ha ha haaaaaaa. Nguvu za Mungu hazihitaji kusaidiwa
No one can stand against El Shaddai, the Almighty God. The prophets of Baal tried it and we're still waiting for their fire to come down. Oh how I love God! The all sufficient one
At the name of Jesus Christ every knee shall bow of things in heaven of thing on earth of things under the earth and every tongue shall confess that Jesus Christ is Lord to the glory of God the Father. Phil 2: 10-11
Hakika kwa kweli Mungu ninayemtumikia hajawahi kusaidiwa ni Swala la Muda Hakika its being a miracle🙏maana hata kwa hili amefanya Being a blessed Song, above all Praise👏👏👏👏
Mungu so mwanadam hata ajute Wala sio kiziwi hata asikie Mungu wangu asaidiwi kufanya anatendaga mwenyewe🙌🙌🙌💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃Mungu awabariki na awainue zaidi
This song really blesses me till I repeatedly play it so many times in my phone and my mind and heart big bless my brothers in Christ let's maintain the pace in Jesus name 🙏🙏
Bigger up brothers. Congratulations nawapenda sana nyimbo zenu zinanibariki Sana'a. Paul Clement endelea kunyenyekea mbele za MUNGU kunakitu MUNGU ameweka ndani yako broo
Tukiwa mwezi wa mwisho 2024, wote tunaokiri kuwa Mungu wetu hasaidiwi kufanya kwenye maisha yetu, Bali anatutendea kama apendavyo, Mungu akatupe kuingia 2025
Miamba Hawa apa anae kubali kilicho imbwa humu aje na like Ani ni bonge la wimbo Mungu huyo namuona kitini Ako pekeake Wala hasaidiwi jambo lo lote ❤❤❤
Amina hakika Mungu hufanya apendavyo wala hasaidiwi kufanya, hufanya apendavyo.🙏🙏🙏🙏
Whoever reading this, Mungu wako hasaidiwi kufanya ,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him, hufanya vile apendavyo na atafanya kwako in Jesus name
Amen!
🇰🇪njooni tusifu Mungu wetu? Leave a ❤️
Where is fear!
Where is Dagon!
Where is Terror!!
Mungu wangu hasaidiwi!!!!!! 1 Sam 3.18. Haleluyaaaa!!
AMEN AMEN AMEN
MUNGU WANGU HASAIDIWI KUFANYA HALLELUJAH
Paul Clement unanibark sana shine kwak na kavishe mmbarikiwe na mungu
Tanzania gospel inakuwa sana quality yake ipo juu ila back vocal kwenye live RECORDING bado changamoto wakirudia studio inapoteza nguvu ya live performance but all in all Hongera kaka Kavishe nyimbo kali sana ❤❤❤
It's true
MUNGU wangu asaidiwi kutenda, atafanya
Kweli YESU KRISTO ndiye BWANA hasaidiwi
More Grace- Nyimbo ya Ushindi kwa wote wanaomwamini Yesu Kristo
Mimi nawapendaa tuuu hawa mabroo... hapo amekosekana zoravo tu..❤❤💪
Amen❤
My goodness, what weight of revelation and the oil in this song is too intense. To say I am blessed is an understatement. Wacha tufanye replay wiki hii yote.
Mungu wetu kwa uhakika hasaidiwi kufanya. hufanya vile atakavyo na apendavyo.
Jesus This band, Keifar and Jo. Oh meets ni hatary. Humu hii band ni kama Madrid yan kikosi ni kipana. kuna MDs wanne humu ndani lazima miziki ilie
This is too much. I have a trust in You my Lord you always know your responsibility. Mungu wangu hasaidiwi kutenda.
Halleluya hufanya kile apendavyo
Yuko wapi mungu dagon
Wako wapi manabii wa baal baal hana habari,au kalala,au ana shughuli nyingi au kasafiri ha ha haaaaaaa. Nguvu za Mungu hazihitaji kusaidiwa
Ni tamu zaidi... bwana apewe Sifa
No one can stand against El Shaddai, the Almighty God. The prophets of Baal tried it and we're still waiting for their fire to come down. Oh how I love God! The all sufficient one
Mungu wangu asaidiwi kutenda ❤❤❤❤❤ from Nairobi Kenya getting blessed 🎉🎉🎉
Wimbo wa majigambo huu!! Glory Glory, Proud of my God 🙌
What a sweet song more grace beloved ones hakika mungu hsaidiwi kuffanya chochote🙏🙏
At the name of Jesus Christ every knee shall bow of things in heaven of thing on earth of things under the earth and every tongue shall confess that Jesus Christ is Lord to the glory of God the Father. Phil 2: 10-11
Me napenda pale “amevunjika” It’s giving 😊😊 HASAIDIWI
One of my favorite. On repeat mode.
Mungu si mwanadamu. Mungu wangu hasaidiwi kufanya.
Mungu Wangu hasaidiwi kufanya,
Mungu hasaidiwi kutenda,
Hufanya vile apendavyo
Hufanya vile atakavyo
Powerful writing✍️🙌🎤🗣️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu wetu hufanya vile atakavyo
Upepo wa injili umehamia Tanzania tunzeni utakatifu fanyeni kama kwa Bwana atawainua sana zaidi...
Mungu wangu hasaidiwi kufanya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika kwa kweli Mungu ninayemtumikia hajawahi kusaidiwa ni Swala la Muda Hakika its being a miracle🙏maana hata kwa hili amefanya Being a blessed Song, above all Praise👏👏👏👏
Mungu so mwanadam hata ajute Wala sio kiziwi hata asikie Mungu wangu asaidiwi kufanya anatendaga mwenyewe🙌🙌🙌💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃Mungu awabariki na awainue zaidi
WE GLORIFY YOU OUR HEAVENLY FATHER, YAHWEH 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
AMINA
Mungu akuzekipaji chako kwaviwango vikubwa
Designer wako Broh 🙌🙌🙌 nimjue hata jina 🙏🙌🙌💪
Kama sio moto basi sijui ni nini..... Utukufu kwa Huyu Mungu wetu
The God of Elijah who responds with fire 🔥🔥🔥
Waooo , naamini kabisa Mungu hasaidiwi hufanya vile atakavo , tunakupenda MUNGU ❤❤❤❤❤
Mungu yule Jana hata milelw
Mbarikiwe Mungu hasaidiwi kutenda anafanya anavyotaka yeye mwenyewe yeye sio mtu ajute au mwanadamu asema uongo glory glory to Jesus
Hakika MUNGU WANGU hasaidiwi kufanya,,, hufanya vile apendavyo... POWERFUL SONG BE BLESSED
Wow i was just reading a book na nikakutana na hili neno Mungu asaidiwi🙌
Means muachie Mungu afanye
Hakika mungu wetu hasaidiwi🎉🎉🎉❤
Mmetisha
Mungu wetu ni mtoshelevu hasaidiwiii ...
Mungu wangu asaidiwi🙌
Kaka Laul, John na Zoravo Mungu awabariki mnoooooooooooo,,, niseme hivo tu kwa kifupi
This song really blesses me till I repeatedly play it so many times in my phone and my mind and heart big bless my brothers in Christ let's maintain the pace in Jesus name 🙏🙏
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mbarikiwe mno
We can brag about Our GOD as well 🥰💃❤️
My people ❤️
Wow hii NI Kali sanaaa Mungu wetu hasaidiwi kufanya matendo yake aaaah amen 🙌 baraka zaidi watumishi much love from KENYA 🇰🇪🕊️
Kweli Mungu wangu asaidiwi 🙌🙌🙌
Hallelujah mapenzi yake kwangu ni makuu... Such a wonderful full of inspiration and motivation..Stay blessed brothers
Napenda sana verse ya kwanza apo ,,yuko wapi mungu dagoni🎉❤
I have been playing this song on repeat for days. It's 🔥🔥🔥
Mungu wangu hasaidiwi kufanya
Mungu wangu hasaidiwi kufanya
eeeeei I love this song❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu wetu anafurahi saaaaana mbarikiwe brothers
Mungu wangu hasaidiwi Kamwe
Amen Mungu wetu hasaidiwi kutenda
His time is the best...AT HIS OWN TIME maana yenye ni Mungu
A melody is💥💥💥💥💥
Why do i feel like praise lives in Tanzania, after listening to this song , nimevua kofia, nimekubali
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Bigger up brothers. Congratulations nawapenda sana nyimbo zenu zinanibariki Sana'a. Paul Clement endelea kunyenyekea mbele za MUNGU kunakitu MUNGU ameweka ndani yako broo
Wooooow 🥰
Penda sana hii nyimbo
Yuko wapi Mungu dagoni 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Acha wamuite mungu wao...sisi tunamuita wetu
Mungu hana msaidizi anafanya vile anataka. 🙌Mungu azidi kuwa tumia vile atakavyo
Mungu wangu hazaidiwi
Mungu ni mwema
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ameeen
asili ya Mungu ni yeye mwenyewe
AMINNNNNNNNNNNNAAAAAAAA.hii imenibariki
mungu ni mwema
Wapi rafiki yangu kepha mndeme mungu ameweka talanta kubwa sana kwenye mikono yako
MUNGU hufanya vile apendavyo
Mungu wangu hasaidiwi kufanya. Hallelujah!
🔥🔥🔥
Amina Mungu wetu hasaidiwi kabisa mmenibaliki sana ndabakunda cane
Utukufu kwa Mungu!
Amen amen amen Mungu hasaidiwi kufanya anafanya atakavyo
mungu hawezi kusaidiwa kufanya
All-wise the best❤🎉
Asante Yesu 🙏🏾
Yaani kando na power behind the message, hao instrumentalist waliua ❤❤love everything here... Majirani hawalalii...play and replay kasongeee
It's the yoh yoh yoh at 0:55 for me😂
I keep rewinding hadi nitosheke😅
2:01🎉🎉🎉🎉
3:40😢😢😢
Well well well done 🎉🎉🎉🎉
Hakika Kama aishivyo hufanya Kama awazavyo
🙌🙌
Yupo wapi Mungu wa dagoni, asimame mbele ya sanduku la agano
Barikiweni sanaa
Sovereign God 🙏,hasaidiwi kamwe.
Baraka❤
❤❤❤
Bigger up by brothers. Congratulations you made it more than perfect
🙏🙏🙏🙏🙏
❤️❤️Ujumbe mzuri saaaaanaa..... Powerful message to all believers 💪💪💪💪
Mafundi wamekutana,utukufu wa yesu.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾