MAKALA YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR - MAENDELEO YA MKOA WA KASKAZINI PEMBA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @jumakheri1088
    @jumakheri1088 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah Makala nzuri sana hongera sana Mwandishi na waandaaji wa makala hii.

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani waarabu wote walikua na kazi enzi hizo

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani waliokua wakipiga watu ni waarabu au waswahili wenzenu

  • @VORTEXAF
    @VORTEXAF หลายเดือนก่อน

    Ok kote baadae kutakua kama ulaya Alhamdulilah

    • @VORTEXAF
      @VORTEXAF หลายเดือนก่อน

      Alhamdulilah nimefurahi kusikia wazee wanapewa elfu 50 Alla awazidishie

    • @VORTEXAF
      @VORTEXAF หลายเดือนก่อน

      CCM iendelee

  • @JohnCatherine-f1z
    @JohnCatherine-f1z 11 หลายเดือนก่อน

    Dah! Mzee alikua anaongea kwa hisia wao walikuwepo na walishuhudia hayo wanayo yasema et leo anatokea mtoto wa 90 anapinga najua halitakuwa kosa lake ni chuki alizopandikizwa juu ya mtu mweusi na wanaaminishwa wao sio waafrika nasikitishwa nao sana miaka ijayo wajukuu zao sijui watakuaje kwa kiwango kipi cha ujinga 😢

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 11 หลายเดือนก่อน

    Bandari mpk Leo munazitia midomoni tu ,kujengwa hatuzioni.

  • @KHAMISHAJI-yn8ht
    @KHAMISHAJI-yn8ht 8 หลายเดือนก่อน

    hakuna lolote maneno mengi2

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna lolote