Muungano ya makanisa yafanya maombolezi kuwakumbuka wote waliofariki katika maandamano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • Katika siku hii ya kuadhimisha siku ya Saba Saba, baadhi ya vijana walikutana katika makanisa ya Holy Family Basilica pamoja na All Saints Cathedral, kuwakumbuka wote waliofariki katika maandamano ya hivi maajuzi dhidi ya serikali na mswada wa fedha wa 2024.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น •