Malimu Chaka: Tamko Alla- Nijina. Na tamko Ilahu ni sifa au cheo ( Yaani Mola, Mungu, Muabudiwa na mfano wake. Hatuwezi Kusema Chaka inatumika kumuashilia mwalimu yeyote wa dini ya kikristo. Sheikh Diwani Hapa kakosea kilugha;kiistilahi na hata kiimani. Alla amuongeze.
Huyu jamaa ni mtupu, mbumbumbu, lkn kwa sabbu kibri kinamsumbua anaumbuka, Wallah ni mtihani mkubwa huyu jamaa ni kichekesho/kituko. Na huyo kijana hapo kando ni mbumbumbu mara 100 zaidi
@@hilalkhalfan1452 mbona Naona aliyetetewa ni Yusuph diwan na tafsiri yake kuwa neno ALLAH maana yake Mungu yeyote. Acha chuki na watu wa sunna na kuwakumbatia watu wa Bidaa
Huyu Diwani hana elimu, lkn anahitaji kujulikana mitandaoni, bas tushamjua km mbumbumbu. Anapindisha mafhuum ya Ayah kwa ajili ya kutafuta kujulikana tu. Subhana Allah.
@ Kuweka comments kwenye mas-ala ya kielimu kama haya si kwamba unahitaji uwe na smartphone tu, bali uwe na akili timamu na elimu pia, sasa ww inaonekana ni umri mdogo(akili ndogo) na elimu huna. Kwa ivo…
القول في تأويل قوله تعالى : فَإِذَا رَكِبُوا فِي الْفُلْكِ دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ (65) يقول تعالى ذكره: فإذا ركب هؤلاء المشركون السفينة في البحر، فخافوا الغرق والهلاك فيه ( دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ ) يقول: أخلصوا لله عند الشدّة التي نـزلت بهم التوحيد، وأفردوا له الطاعة، وأذعنوا له بالعبودة، ولم يستغيثوا بآلهتهم وأندادهم، ولكن بالله الذي خلقهم ( فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ ) يقول: فلما خلصهم مما كانوا فيه وسلَّمهم، فصاروا إلى البرّ، إذا هم يجعلون مع الله شريكا في عبادتهم، ويدعون الآلهة والأوثان معه أربابا. حدثنا بشر، قال: ثنا يزيد، قال: ثنا سعيد، عن قَتادة، قوله: ( فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ ) فالخلق كلهم يقرّون لله أنه ربهم، ثم يشركون بعد ذلك.
ثم أخبر تعالى عن المشركين أنهم عند الاضطرار يدعونه وحده لا شريك له ، فهلا يكون هذا منهم دائما ، ( فإذا ركبوا في الفلك دعوا الله مخلصين له الدين ) كقوله ( وإذا مسكم الضر في البحر ضل من تدعون إلا إياه فلما نجاكم إلى البر أعرضتم ) [ الإسراء : : 67 ] . وقال هاهنا : ( فلما نجاهم إلى البر إذا هم يشركون ) . وقد ذكر محمد بن إسحاق ، عن عكرمة بن أبي جهل : أنه لما فتح رسول الله - صلى الله عليه وسلم - مكة ذهب فارا منها ، فلما ركب في البحر ليذهب إلى الحبشة ، اضطربت بهم السفينة ، فقال أهلها : يا قوم ، أخلصوا لربكم الدعاء ، فإنه لا ينجي هاهنا إلا هو . فقال عكرمة : والله إن كان لا ينجي في البحر غيره ، فإنه لا ينجي غيره في البر أيضا ، اللهم لك علي عهد لئن خرجت لأذهبن فلأضعن يدي في يد محمد فلأجدنه رءوفا رحيما ، وكان كذلك .
قوله تعالى : فإذا ركبوا في الفلك يعني السفن وخافوا الغرق دعوا الله مخلصين له الدين أي صادقين في نياتهم وتركوا عبادة الأصنام ودعاءها . فلما نجاهم إلى البر إذا هم يشركون أي يدعون معه غيره وما لم ينزل به سلطانا . وقيل : إشراكهم أن يقول قائلهم : لولا الله والرئيس أو الملاح لغرقنا . فيجعلون ما فعل الله لهم من النجاة قسمة بين الله وبين خلقه . HII NI TAFSIRI YA ALQURTUBI, SHEKH DIWAN HAPO UMECHEMKA SANA NA UMUOMBE ALLAH AKUSASAMEH KWA KUITAFSIR QUR'AN VIBAYA.
Tatizo ni kwamba,Diwani hajui tofauti ya Allah na iláhu. إله sio الله. Iláhu ni sifa ambayo anaweza kupewa yeyote na chochote kinacho Abudiwa. Lakini Allah ni jina ambalo hawezi kuitwa yeyote zaidi ya Allah wa mwenye haqqi ya kuabudiwa
Hao washirikina walio tolewa mfano kwa Quran. Kama mda wote huo walikua wanafanya ushirikima tu, baharini na nchi kavu, mbona sehem moja itajwe wanamuomba Mungu na kwengine isemwe Wanamshirikisha !
Hapa utagundua kwamba kuna anae ongelea ya Elimu na anae tukana na kutoa matusi. Yussuf Diwani sio sheikh bali ni FASIKI , Uislamu uko mbali sana na matusi, Uislamu haufundishi Matusi bali umekemea vikali sana. Hapa pako wazi kabisa Yussuf Diwani amefanya Kufru na atubie kwa Allah hakika ya neno Allah hakulitumia yyte kua n jina lake hata FIRAUNI hakusema kua yeye n Allah
Yesu kwenu cy Ndio Mungu wenu n je hakutoa video y M2 anazama akaita yesu yesu iman cy ndio Mungu wake wake je kw mujibu w uislam yesu N Mungu or Mtume w Mungu jielewe bc pastors
Jaman someni Qur'an mbona sisi atuja soma tunaelewa pale Mungu alivo sema kuhusu firauni alipo sema yey ni mungu mkubwa WA juuu kabisa Allah aliandikaje je jina la Allah alipo apo ???
Yawezekana mwandishi wa Quran hakuwa sahihi, kama alimaanisha kuwa wakiwa kwenye dhiruba wanauita Allah wa Quran, wakiokoka wanamuacha. Kama hakumaanisha hivyo basi wanaotafsiri hivyo ndiyo wanakosea. Lakini usahihi ni kwamba kila mtu humuomba Mungu wake, aidha kwa kutaja tu Mungu kama cheo au kwa kutaja jina la Mungu wake. Kwahiyo Mungu kama cheo hutumika kwa Miungu yote, Ila Miungu hao hutofautishwa kwa majina yao. Tatizo lipo kwa Mungu wa Waislamu hana jina. Pili, watu wengine huita hata mama zao tu, unamsikia kabisa anaita mamaaaaaa, sasa huyu unamuweka kwenye fungu lipi kwa Mujibu wa aya hiyo ya Quran? Ndiyo maana mwanzoni nilisema mwandishi wa Quran alikuwa na mtazamo finyu.
SIKIZA KAKA ANDIKO LIKO WAZI SANA NAAMINI UMELIELEWA SHIDA MOJA YA HAWA WATU WA MIJADALA YA BIBLIA SIO WASOMI WAZURI KATIKA DINI YA UISLAM MFANO MWALIMU WAO MAZINGE NI FUNDI SANA WA ELIMU YA HOJA LAKINI KATIKA ELIMU YA DINI YA USLAM HATA ELIMU YA MSINGI HAJAFIKIA NA SISEMI KANAKWAMBA NAMCHUKIA HAPANA NAMPENDA SANA. ALLAH NI MWENYEZI MUNGU YAANI NI MUNGU MWENYE ENZI MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA VYOTE VILIVYOMO NDANI YAKE ASIE NA MWANZO WALA MWISHO ASIE FIKWA NA UMAUTI KULALA KUCHOKA WALA KUSINZIA ANAEFISHA NA KUHUISHA ANAEJUA YA SASA YALIOPITA NA YAJAYO MUEZA WA KILA KITU NDIO MUNGU WA ADAM NUH IBRAHIM YAKOBO MUSA YESU YAANI YULE AMBAE YESU ALIEKUA ANAMUABUDU NA ALIE MTUMA HUYU NDIE ALLAH. SASA ANACHOKIFANYA HUYU MGANGA WA KIENYEJI DIWANI NA MWEZIE NI KULETA MALUMBANO YA HOJA AIJALISHI UMEONGEA UONGO WANACHOJALI NI KUSHINDA TU. UNAWEZA KUMUITA MUNGU YEYOTE MTAKAE ILA SIFA YA MWENYEZIMUNGU ITABAKI KWA ALLAH PEKEE HATA YESU UNAEMUITA MUNGU UWEZI KUSIKIA WAKIMUITA MWENYEZIMUNGU HIYO INABAKI KWA YULE MNAEMUITA BABA YEKE YESU. ALLAH AWAPE UFAHAMU.
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh diwani c mwanachuoni wa kiislamu yeye n wale tuuu waganga na hana ilm ya dini kazi madawa na kutapeli watu na usufi ni upotovu huo na wamepotea sababu anaongea kuhusu tawhid na angekua ameisoma hangefanya ushirikina anaofanya
Kwa kuwa Diwani ni wale miongoni wa washirikina muganga huyu mpiga ramli basi kwa kauli yake hii hamuabudu Allah anaabudiwa na waisilamu Asalam aleikum
Mchungaji usijisumbue kwa huyu diwan hanaelimu jina la Allah nila mungu moja 2 halisimami ktk miungu wengi huyo diwan ni mbishi na hua hakubali kushindwa
@Abuu-bakarHamzaAlawi yupo sawa kabisa kwani neno Allah kwa kiswahili unatafsiri vipi je waarabu makuffari wanamuitaje Mungu wao kwa kutumia neno Mungu je firauni hakujita yeye ndo rabbi tena wajuu na kutumia neno rabbuka naneno rabbi limetumika sana kwenye quran kujitambulisha kuwa Allah ndo rabbi
CHAKA NADIWANI WOTE NIWATU MSIO JIELEWA KTK ELIMU HATA CC WASIKILIZAJI TUNAONA CHEFU IKIWA JINA ALLAH NIMWENYEZI MUNGU WASHIRIKINAWAO WANA MIUNGU LAKINI WANAJIUA KUNA MUNGU MKUU KTK MIUNGU YAO AMABE NI HUYO MWENYEZI MUNGU SASA NENO LITA TUMIKA KULINGANA NA LUGA YAMTUMIAJI ILA KWAHAPO KTK QURAN ALIE KUSUDIWA NI MWENYEZI MUNGU WAWAISLAM KWA UFAHAM ULIO SAGIHI KWAMUJIBU WA TAFSIR ZILIVO FAFA NUA LAKINI CHAKA UKASEMA ETY KUMBE WASHIRIKINA WANA MUABUDU PIA ALLAH TUNA KUJIBU NDIO WAPO BAADHI YAO WANAO MUABUDU ALLAH MFANO WAHAO WALIO ONGELEWA KTK JAHAZI LAKINI WASHIKINA KAMA NYIE WACRISTO MKISEMA ALLAH KILUGA SIO ALLAH ANAE ABUDIWA NA WAISLAM HILO LINA WEZEKANA KWA MAANA YA MUNGU WENU MKUU KWAIYO HAPO WASHIRIKINA ITATEGEMEA NIKINA NANI HAO NIWALE KTK WAOMCHANGANYIA ALLAH NA MIZIMU YAO AU NIKAMA NYIE WACRISTO IKIWA NIWA KRISTO WASHIRIKINA HAO WAKISEMA ALLAH WATAKUSUDIA MUNGU WAO MKUU NAIYO ITAKUWA NILUGA TU WALIO TUMIA KWA AJILI YA MUNGU WAO MKUU NASIO ALLAH KWA MUJIBU WA USISLAM ... HUO NDO MTAZAMO WANGU. Kwahio hapo DIWANI YUPO SAHIHI LINAWEZA KUTUMIKA JINA ALLAH NAWALA ASIWE HUYU WAWA ISLAM LAKINI SIO KTK AYA HIO HAPO AMECHEMKA BACHU YUPO SAHIHI WALE NIWASHIRIKINA AMBAO WANA AMINI ALLAH LAKINI WANA NAMAMBO YAO MENGINE HAWA WEZI KUYA ACHA WAKIONA KWELY NDO WANA MPWEKESHA YEYE. WAKIPEWA NUSRA WNA RUDIA USHRIKINA WAO.
yusufu diwani aloitoa kitabu kinachoeleza hivo bachu Aya aloileta hakuna sehemu alla anasema wasirikina Wana tauhidi Aya aliyoisoma bachu m,munbu anathibitisha wasirikina husalinu amri panapotokea matatizo hajasema kua wanatauhidi hicho kipengele hatukioni kwenye hiyo Aya bwana mkubwa wewe Kuna mambo mawili huyafahamu kwanza ayatul,ahkami huzijui lapili yusufu diwani kathibitisha Kwa kitabu majmui albahraini kosa lake liko wapi bachu anapachikiza maneno kwenye Aya za m,mungu qur,ani mzima hapana Aya hata moja m,mungu anasema wasirikina Wana tauhidi bachu haya maneno anayapachika tu
bachu hajui ayatul ahkami na wewe bwana mkubwa halkadhalika wasirikina sio hukumu yao wanapomtaja alla ati washakua na tauhidi ziko Aya zilowahukumu hao na ndizo aloshikilia yusufu diwani na ndio akakisoma kitabu Cha majmauu albahraini Sasa nyinyi mawahabi wengine hamufahamu kitu kwenye milango ya hukumu munafikiri kutafsiri pahala ndio hukumu yenyewe ni ugonjwa umo vichani mwenu jaribuni kujua hukumu kwanza na Sheria ndio maana bachu mara nyingii hushindwa kwenye hukumu ya kitu yeye hukimbilia tafsiri tu na ungonjwa huu umejitikeza Kwa huyu bwana hebu tusomeni qur,ani kwanza tuijue vizuri tusitoe hukumu za ajabu kama hizi za akina bachu bachu alipoulizwa hukumu ya Hadith munkari alikimbia ni dhahiri kuonesha hafahamu kitu halkadhalika kwenye haya aloyazua tatizo hukumu hazijui enge soma kwanza
Sijuy wap tunakwama ...allah amezishuhudisha nafsi zetu kwanza ni kila nafsi inamjuy kwa hy kuna kpindi hata makafir wanamuomba allah ukiachana na vile wanavyoviabudu
CHAKA KWELI TU LAZIMA TU USHANGAE HAPO DIWANI KAPOYOYA NA NI MPUUZI SANA NA HUYO BACHU WOTE NI WAPUUZI WAWILI ACHANA NAO HAO SIJUI KAMA NI WAISLAM AU MASHIA TU HAO BACHU NA DIWANI SIJUI HIO FURSA YA KULINGANIA WAMEIPATA WAPI
Haki itabaki kuwa haki nandomana uyo yusuf diwani kaumbuka nakupotosha watu na uyo mwenzake kazi kuitikia itikia pasi nakuelewa chochote na ukiona mtu anaongea kwa matusi na jazba basi hana hoja
Nikwamba diwan hana elimu alafu anakurupuka.....ngoja nimfundishe kitu anaoneka hajui mshirikina ni nan ...maana yeye anajua mshirikina ni mkristo tu ndio mshirikina subuhanallah......ebu tumuulize swali huyu diwan hiv abuu jahali alikua mkristo au firihan alikua mkristo...au baba yake nabii ibrahim alikua mkristo....ebu jibu hilo swali bwana diwan kisha omba ufundishwe mshirikina ni nan....maana nitaanza na ww mwenyewe ni mshirikina sasa ww ni mkristo...
Usitafute madhaifu kupotosha watu yesu ni yesu tu.hajabu ya moyo was mtu unapo kuwa na ofu kubwa ndani ya 18 hapa sasa roho inatoka ujipata umtaja mwenyezi mungu inapo salimika inasaau muda ulipita nimemtaja mwenyezi mungu alie rekodi iyo vidéo ndiyo alie ita yesu mwenye vdio kachukulia nje je meli ilio zama wakiwa kwenye boti ingine 😂akili yakuelewa mali sana
Kwa kweli huyu Diwani ni kafiri kama makafri wengine ila anajiita shekh shekhe wa kweli hawezi kutukana huyu jamaa ni mvuta bangi kama wavuta bangi wengine
Si maneno ya msomi mwenye akili kumwita mwenziwe mwanaharam, anajua maanake Mzee Diwani alichokisema...? Halafu ao walosema YESU ni waliorekodi sio waliozama, hivi wengewezaje kujirekodi huku wakizama!!? Pia naona Mzee Diwani na mwenziwe wameeleza kwa mtazamo wa akili zao. Sijaona tafsiri walioitumia. Mwisho kabisa, ndugu Mchungaji... Uislam ni mwepesi sana na ni Dini Iliyokamilika. Tunakuusia na ww uwe muislam na ufuate msimamo sahihi ili ukifa uwe miongoni mwa waja wema.
Assalam aleykum. Maada: ni Ushurikina, sio Ukiristo. Suali: Je Allah kadangaanya kwa kuthibitisha katika Quran kuwa Allah ni mmoja tu. Na hana anayefanana nayeye..??? Ufahamu: Washikina, Wshirikina.... Wakiwa safarini wanamuomba Allah kwa zati kabisa. Lakini: Sasa wanapofanikiwa kufika safari zao. Basi waendelea kumshirikisha Allah.... on my understanding. Mfano: Kuna watu wanaswli sala ya ijumaa tu.. Hao ni wanafiki, washirikina, na ni makafiri pia.. Sio Waislumu Hao. Yesu: sio Allah... Allah ni Allah tu. Hana hoja ya msingi Diwani. Hoja Mezani: Mushrikina/ Munafikuna. Sio: Makafiri/ Wakirisito. Hakki ni Quran na sunna tu. Shekh: Muhammad Great Mashaallah.
Tuelewe kwanza kwanini Qur'an imewabainisha wale waarabu wa pale Makka kwa jina la WASHIRIKINA na watu wengine wasiomuamini Allah kuwa ni MAKAFIRI. Ni kwa sababu walikuwa wanamuamini ALLAH huku wanaitakidi na miungu wengine. MAKAFIRI wao walikuwa wanapinga kabisa kuwa hata Allah mwenyewe sio Mungu. Ndio maana wakawepo WASHIRIKINA na MAKAFIRI. Ukiangalia katika qur'an Mayahudi na Wakristo hawakuitwa ni WASHIRIKINA kwani wao hata ALLAH hawamuamini. Kwahiyo Diwani hapo amepotosha. Rejea vizuri historia ya Uislam pale Makka utaelewa haya.Rejea pia Qur'an Sura ya 98 isome yote na tafsiri yake utaelewa.
@@MshihirDguyya Kabla ya Qur'an, Waarabu walikuwa wanafuata Muongozo wa Nabii Ibrahim pamoja na Nabii Ismail ambao waliishi pale Makka na walihubiri Uislam ambayo ni dini ya Allah. Baada ya kipindi kirefu kupita wakaanza kumshirikisha na Miungu mengine waliyoiweka pale kwenye Alqaaba. Ndipo Qur'an ilipokuja na Muhammad ikawakataza wasimshirikishe na miungu yao. Kwa hiyo sio kuwa Allah hakuwepo kabla ya Qur'an.
Hao Walio zama hawa kumuomba allah Wame muomba yesu Tuna taka umwambie yusufu diwani Alete kitabu cha wana wavyuoni wa kiislamu kinacho bainisha Tamko Allah Kuwa hutumika kwa Allah ya waisimu Na hilolo tamko Allah wana litumia wasio kuwa waisilamu
Njoo kwa yesu kristo
Mungu aliye karibu na watu wake ❤❤❤
Bachu ni msomi❤❤❤ sana
Bachu ni mtu wa porojo sio msomi
Malimu Chaka: Tamko Alla- Nijina. Na tamko Ilahu ni sifa au cheo ( Yaani Mola, Mungu, Muabudiwa na mfano wake. Hatuwezi Kusema Chaka inatumika kumuashilia mwalimu yeyote wa dini ya kikristo. Sheikh Diwani Hapa kakosea kilugha;kiistilahi na hata kiimani. Alla amuongeze.
Ama kweli Diwani Anatia Aibu
Anajitahidi kujiweka juu Lakini ALLAH Anamshusha na kumueka Anapostahili
Allah haitumiki kwa mwengine ispikuwa ni hiyo hiyo Allah
Tamko Allah haliwezi kutumika kwa asiye kuwa Mungu wa haki uyo yussuf diwani ni mnafik tu hataki kuwa mkweli
Wewe na duwani atikadi moja ..Allah ni mmoja tu huezi kuita miungu mentioned Allah..Allah ni mmoja hana mfano wake
Ukiona Mtu/Watu hutowa Matusi, Kejeli nk yasofaa basi huyo/hao ni Mufirisi wa Hoja.🙌
Hoja hujibiwa Kwa Hoja zenye Mashiko, Hoja haipigwi Rungu.
Innalinllah wainna ilayhi raajiuni shekh diwani anaumbuka
Ashachanganyikiwa uyu jamaa hana elimu zaidi ya mihemko, Bachu ameifasiri kw usahihi kabisa
Huyu jamaa ni mtupu, mbumbumbu, lkn kwa sabbu kibri kinamsumbua anaumbuka, Wallah ni mtihani mkubwa huyu jamaa ni kichekesho/kituko. Na huyo kijana hapo kando ni mbumbumbu mara 100 zaidi
YAANI MAKAFIRI NA MAWAHABI LAO MOJA😂, WANATETEANA MUNGU WAO WA KANISANI
@@hilalkhalfan1452 we ni sufi hujielewi
@@hilalkhalfan1452 mbona Naona aliyetetewa ni Yusuph diwan na tafsiri yake kuwa neno ALLAH maana yake Mungu yeyote.
Acha chuki na watu wa sunna na kuwakumbatia watu wa Bidaa
Huyu Diwani hana elimu, lkn anahitaji kujulikana mitandaoni, bas tushamjua km mbumbumbu. Anapindisha mafhuum ya Ayah kwa ajili ya kutafuta kujulikana tu. Subhana Allah.
Unaona sasa, 😂 Mungu wa WAKIRISTO ndio huyu huyu wa mawahabi 😂.
@ Kuweka comments kwenye mas-ala ya kielimu kama haya si kwamba unahitaji uwe na smartphone tu, bali uwe na akili timamu na elimu pia, sasa ww inaonekana ni umri mdogo(akili ndogo) na elimu huna. Kwa ivo…
Yussuf diwan ni mganga niongon mwa hao washirikina
Ushirikina wake hapo nini acha uzwazwa
@@sahabatwalbu9586diwan anatumia vitab?
Anaporoja tu porijo la kikafiri
Diwan hajifahan hata kidog wallah
Mm namuunga mkono Mohd Macho
Diwan anachokijua uganga na matus t
DIWANI. HANA. ELIMU NI JAZBA TU
Diwani kakosea Sana apa kweli jazba haifai
Sheikh yusufu diwani hajakosea
Bachu yuko sawa Diwani ni mbwa mpotoshaji
Diwani hana lolote ni mpuuzi tu halafu ni tapeli Sana jiongo lile
القول في تأويل قوله تعالى : فَإِذَا رَكِبُوا فِي الْفُلْكِ دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ (65)
يقول تعالى ذكره: فإذا ركب هؤلاء المشركون السفينة في البحر، فخافوا الغرق والهلاك فيه ( دَعَوُا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ ) يقول: أخلصوا لله عند الشدّة التي نـزلت بهم التوحيد، وأفردوا له الطاعة، وأذعنوا له بالعبودة، ولم يستغيثوا بآلهتهم وأندادهم، ولكن بالله الذي خلقهم ( فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ ) يقول: فلما خلصهم مما كانوا فيه وسلَّمهم، فصاروا إلى البرّ، إذا هم يجعلون مع الله شريكا في عبادتهم، ويدعون الآلهة والأوثان معه أربابا.
حدثنا بشر، قال: ثنا يزيد، قال: ثنا سعيد، عن قَتادة، قوله: ( فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ ) فالخلق كلهم يقرّون لله أنه ربهم، ثم يشركون بعد ذلك.
Sheikh Bachu yupo sahihi Shekh DIWAN SOMA TAFSIRI YA QURAN TWABARY,
ثم أخبر تعالى عن المشركين أنهم عند الاضطرار يدعونه وحده لا شريك له ، فهلا يكون هذا منهم دائما ، ( فإذا ركبوا في الفلك دعوا الله مخلصين له الدين ) كقوله ( وإذا مسكم الضر في البحر ضل من تدعون إلا إياه فلما نجاكم إلى البر أعرضتم ) [ الإسراء : : 67 ] . وقال هاهنا : ( فلما نجاهم إلى البر إذا هم يشركون ) .
وقد ذكر محمد بن إسحاق ، عن عكرمة بن أبي جهل : أنه لما فتح رسول الله - صلى الله عليه وسلم - مكة ذهب فارا منها ، فلما ركب في البحر ليذهب إلى الحبشة ، اضطربت بهم السفينة ، فقال أهلها : يا قوم ، أخلصوا لربكم الدعاء ، فإنه لا ينجي هاهنا إلا هو . فقال عكرمة : والله إن كان لا ينجي في البحر غيره ، فإنه لا ينجي غيره في البر أيضا ، اللهم لك علي عهد لئن خرجت لأذهبن فلأضعن يدي في يد محمد فلأجدنه رءوفا رحيما ، وكان كذلك .
Hiyo TASFSIR YA IBN KATHIR NAYO IPO SAWA NA YA BACHU
قوله تعالى : فإذا ركبوا في الفلك يعني السفن وخافوا الغرق دعوا الله مخلصين له الدين أي صادقين في نياتهم وتركوا عبادة الأصنام ودعاءها . فلما نجاهم إلى البر إذا هم يشركون أي يدعون معه غيره وما لم ينزل به سلطانا . وقيل : إشراكهم أن يقول قائلهم : لولا الله والرئيس أو الملاح لغرقنا . فيجعلون ما فعل الله لهم من النجاة قسمة بين الله وبين خلقه . HII NI TAFSIRI YA ALQURTUBI,
SHEKH DIWAN HAPO UMECHEMKA SANA NA UMUOMBE ALLAH AKUSASAMEH KWA KUITAFSIR QUR'AN VIBAYA.
Tatizo ni kwamba,Diwani hajui tofauti ya Allah na iláhu. إله sio الله. Iláhu ni sifa ambayo anaweza kupewa yeyote na chochote kinacho Abudiwa. Lakini Allah ni jina ambalo hawezi kuitwa yeyote zaidi ya Allah wa mwenye haqqi ya kuabudiwa
Akili huna weww
She wachakutoa kichwanimwako tunukulievitabu hatuhitaji ufahamuwako tunataka maelezo yawanawachuoni Allah atuongoze amin
Tafuta kazi ufanye
Diwani kibri cha umaarufu kinazidi kumpoteza.
Hao washirikina walio tolewa mfano kwa Quran. Kama mda wote huo walikua wanafanya ushirikima tu, baharini na nchi kavu, mbona sehem moja itajwe wanamuomba Mungu na kwengine isemwe Wanamshirikisha !
Hapa utagundua kwamba kuna anae ongelea ya Elimu na anae tukana na kutoa matusi.
Yussuf Diwani sio sheikh bali ni FASIKI , Uislamu uko mbali sana na matusi, Uislamu haufundishi Matusi bali umekemea vikali sana.
Hapa pako wazi kabisa Yussuf Diwani amefanya Kufru na atubie kwa Allah hakika ya neno Allah hakulitumia yyte kua n jina lake hata FIRAUNI hakusema kua yeye n Allah
Yesu kwenu cy Ndio Mungu wenu n je hakutoa video y M2 anazama akaita yesu yesu iman cy ndio Mungu wake wake je kw mujibu w uislam yesu N Mungu or Mtume w Mungu jielewe bc pastors
Sisi waislamu hatuamini ivo yussuf diwani hajui dini kahifadhi vipnde tu.
KWASABABU KAFIRI MWENZIO SI NDIO HUYO ANAKUSAPOTI😂, SAWA TU
wanaabudu wanaomba sikiliza vizuri
Diwani sio sheykh nidude tu uelewa wake nimudogo
Hapo msomi bachu t pekeake
Sasa ya nn kutukana "shenzi " ? Yaonyshe kasoro kubwa
Wewe endelea kuabudu yesu ukimwita mungu achana na usomi wa kisilamu basi
Wenda atapata kitu Cha kumuokoa
Jaman someni Qur'an mbona sisi atuja soma tunaelewa pale Mungu alivo sema kuhusu firauni alipo sema yey ni mungu mkubwa WA juuu kabisa Allah aliandikaje je jina la Allah alipo apo ???
Diwan ni mganga wakishirikina ...ktk dini hana elimu ndiomana anaropokwa
Dowani ni mnafiki ,musitukue elimu kutoka kwake.
Wachukue Kwa Nan?
Bachu ndie ako kwenye haki
Acheni kufanya Istihizai katika Dini.
TAMKO LA MJINGA MMOJA LISIKUPE NGUVU YA KUHUKUM WAISLAM WOTE ULIMWENGUNI
Diwani hapo umetuingiza chaka, mmechupa mipaka
Yussuf Diwani dishi limeyumba anaongea kw mihemko tu na sio kw elimu, Bachu yupo sahihi kwenye hio fasiri
Yusufu diwani kaleta mambo yanayo fanana na yakwenu nyinyi wakiristo mlio potea
shekh Diwali kachemka ALLAH ni jina la mwenzimungu pekee halitumiki kwa yoyote ,
diwan muongo ww
Ustadh Bachu na ww pia Mwalimu mumenukuu tafsiri ya wana vyuoni katika Quran. Je hio tafsiri ya Diwani ameitoa wapi? Amemnukuu nani ?
Kabisa kabisa kaka... hapa ndo nilitaka kujua, Mzee Diwani hii tafsiri katoa wapi, halafu hawa waliosema YESU ni waliozama au waliokuwa wanarekodi?😂
Muongo bachu wakiristo hawamuombi Allah (mungu wa waislam)
Muogope Allah Hemed sio bachu kasema ni Allah mwenyewe ndie aliesema
Mzee Hemed skia... Uislam hujauleta ww, usipingane na Allah kwa kumtetea Diwani. Ao masufi wenyewe sidhani kama wamemuelewa Diwani
MIMI siungi mkono lkn anachosema diwani Ila nimezidi gundua pepo ya alla ni kazi Sana kuipata kwa sababu ya kuongea kwingi
Bachu anaelim lakini hana ufaham
Yawezekana mwandishi wa Quran hakuwa sahihi, kama alimaanisha kuwa wakiwa kwenye dhiruba wanauita Allah wa Quran, wakiokoka wanamuacha. Kama hakumaanisha hivyo basi wanaotafsiri hivyo ndiyo wanakosea. Lakini usahihi ni kwamba kila mtu humuomba Mungu wake, aidha kwa kutaja tu Mungu kama cheo au kwa kutaja jina la Mungu wake. Kwahiyo Mungu kama cheo hutumika kwa Miungu yote, Ila Miungu hao hutofautishwa kwa majina yao. Tatizo lipo kwa Mungu wa Waislamu hana jina. Pili, watu wengine huita hata mama zao tu, unamsikia kabisa anaita mamaaaaaa, sasa huyu unamuweka kwenye fungu lipi kwa Mujibu wa aya hiyo ya Quran? Ndiyo maana mwanzoni nilisema mwandishi wa Quran alikuwa na mtazamo finyu.
Hamna diwani ndo amekosea sanaa Allah siyo tafsiri ya M/mungu halitafsiriki hivyo huyo mwehu
Huo niukosefu waelim kaka Wacha matusi
Haowana potoshawatu wanahitaji fito
SIKIZA KAKA ANDIKO LIKO WAZI SANA NAAMINI UMELIELEWA SHIDA MOJA YA HAWA WATU WA MIJADALA YA BIBLIA SIO WASOMI WAZURI KATIKA DINI YA UISLAM MFANO MWALIMU WAO MAZINGE NI FUNDI SANA WA ELIMU YA HOJA LAKINI KATIKA ELIMU YA DINI YA USLAM HATA ELIMU YA MSINGI HAJAFIKIA NA SISEMI KANAKWAMBA NAMCHUKIA HAPANA NAMPENDA SANA.
ALLAH NI MWENYEZI MUNGU YAANI NI MUNGU MWENYE ENZI MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA VYOTE VILIVYOMO NDANI YAKE ASIE NA MWANZO WALA MWISHO ASIE FIKWA NA UMAUTI KULALA KUCHOKA WALA KUSINZIA ANAEFISHA NA KUHUISHA ANAEJUA YA SASA YALIOPITA NA YAJAYO MUEZA WA KILA KITU NDIO MUNGU WA ADAM NUH IBRAHIM YAKOBO MUSA YESU YAANI YULE AMBAE YESU ALIEKUA ANAMUABUDU NA ALIE MTUMA HUYU NDIE ALLAH. SASA ANACHOKIFANYA HUYU MGANGA WA KIENYEJI DIWANI NA MWEZIE NI KULETA MALUMBANO YA HOJA AIJALISHI UMEONGEA UONGO WANACHOJALI NI KUSHINDA TU. UNAWEZA KUMUITA MUNGU YEYOTE MTAKAE ILA SIFA YA MWENYEZIMUNGU ITABAKI KWA ALLAH PEKEE HATA YESU UNAEMUITA MUNGU UWEZI KUSIKIA WAKIMUITA MWENYEZIMUNGU HIYO INABAKI KWA YULE MNAEMUITA BABA YEKE YESU. ALLAH AWAPE UFAHAMU.
Muhammad Bachu hakusema washirikina wanamuabudu ALLAH na wewe mbona kama una matatizo ya kuelewa
Alafu hiyo aya mbona ipowaz
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh diwani c mwanachuoni wa kiislamu yeye n wale tuuu waganga na hana ilm ya dini kazi madawa na kutapeli watu na usufi ni upotovu huo na wamepotea sababu anaongea kuhusu tawhid na angekua ameisoma hangefanya ushirikina anaofanya
MADHARA YA KUTETEA BATILI INASABABISHA MAKAFIRI KUPATA PWENTI
Uelewa wk hamn ki2 acha wenye jambo lao hamna ulichoelewa apo
Kwa kuwa Diwani ni wale miongoni wa washirikina muganga huyu mpiga ramli basi kwa kauli yake hii hamuabudu Allah anaabudiwa na waisilamu Asalam aleikum
Hawa matusi ya nini???
wanaosema yesu wako sehemu ya mpiga picha , sio katika meli hiyo.
Huyu diwani elimu yake ni ndogo sana
yussuf diwani aje zanzibar tumfundishe hajii kitu anachojua ni matusi tu
Mm sio msomi ila kwa nnavoona nahisi Sheh diwani umekurupuka siwezi kusema bangi inakusumbuwa ila kusema umekurupuka naweza
Mchungaji usijisumbue kwa huyu diwan hanaelimu jina la Allah nila mungu moja 2 halisimami ktk miungu wengi huyo diwan ni mbishi na hua hakubali kushindwa
Utapata comenti nyingi za mawahabi kwasababu wanapenda kukumenti kwakumsapoti Muhammad Bachu aonekane nimjuzi sana kumbe nidebe tubu tu
Wewe unasemaje kuhusiana na hili, unaona Diwani yuko sawa?
@Abuu-bakarHamzaAlawi yupo sawa kabisa kwani neno Allah kwa kiswahili unatafsiri vipi je waarabu makuffari wanamuitaje Mungu wao kwa kutumia neno Mungu je firauni hakujita yeye ndo rabbi tena wajuu na kutumia neno rabbuka naneno rabbi limetumika sana kwenye quran kujitambulisha kuwa Allah ndo rabbi
@Abuu-bakarHamzaAlawi na tangia lini kafiri akaamini kuwa Allah ndo Mungu wakweli ?
Hujui lolote kuhus uislam hotoujua uislam au qur ani kwa kukaa ukasoma tafsir ukajua
CHAKA NADIWANI WOTE NIWATU MSIO JIELEWA KTK ELIMU HATA CC
WASIKILIZAJI TUNAONA CHEFU
IKIWA JINA ALLAH NIMWENYEZI MUNGU
WASHIRIKINAWAO WANA MIUNGU LAKINI WANAJIUA KUNA MUNGU MKUU KTK MIUNGU YAO AMABE NI HUYO MWENYEZI MUNGU SASA NENO LITA TUMIKA KULINGANA NA LUGA YAMTUMIAJI
ILA KWAHAPO KTK QURAN ALIE KUSUDIWA NI MWENYEZI MUNGU WAWAISLAM KWA UFAHAM ULIO SAGIHI KWAMUJIBU WA TAFSIR ZILIVO FAFA NUA LAKINI CHAKA UKASEMA ETY KUMBE WASHIRIKINA WANA MUABUDU PIA
ALLAH TUNA KUJIBU NDIO WAPO BAADHI YAO WANAO MUABUDU ALLAH MFANO WAHAO WALIO ONGELEWA KTK JAHAZI LAKINI WASHIKINA KAMA NYIE WACRISTO MKISEMA ALLAH KILUGA SIO ALLAH ANAE ABUDIWA NA WAISLAM HILO LINA WEZEKANA KWA MAANA YA MUNGU WENU MKUU KWAIYO HAPO WASHIRIKINA ITATEGEMEA NIKINA NANI HAO NIWALE KTK WAOMCHANGANYIA ALLAH NA MIZIMU YAO AU NIKAMA NYIE WACRISTO IKIWA NIWA KRISTO WASHIRIKINA HAO WAKISEMA ALLAH WATAKUSUDIA MUNGU WAO MKUU NAIYO ITAKUWA NILUGA TU WALIO TUMIA KWA AJILI YA MUNGU WAO MKUU NASIO ALLAH KWA MUJIBU WA USISLAM ... HUO NDO MTAZAMO WANGU. Kwahio hapo DIWANI YUPO SAHIHI LINAWEZA KUTUMIKA JINA ALLAH NAWALA ASIWE HUYU WAWA ISLAM LAKINI SIO KTK AYA HIO HAPO AMECHEMKA BACHU YUPO SAHIHI WALE NIWASHIRIKINA AMBAO WANA AMINI ALLAH LAKINI WANA NAMAMBO YAO MENGINE HAWA WEZI KUYA ACHA WAKIONA KWELY NDO WANA MPWEKESHA YEYE.
WAKIPEWA NUSRA WNA RUDIA USHRIKINA WAO.
Sasa sisi Wakristo tumeingiaje hapo ..kwahyo hawez kujadili bila kuwataja Wakristo...😮
Mimi simshangaidiwani mana yeye hatetei dini ila anatetea kundi maalum!
Half Wanatukanana Tena 😅
We nae hujui chochote nitakuwa kafiri hujui chochote na huelewi chochote hicho ni kiarabu kuwa makini ni lugha ambayo kama hujasoma huwez
wanasema yesu watu wanazama, sio yesu tuna zama. isikilize vizuri hiyo.
yusufu diwani aloitoa kitabu kinachoeleza hivo bachu Aya aloileta hakuna sehemu alla anasema wasirikina Wana tauhidi Aya aliyoisoma bachu m,munbu anathibitisha wasirikina husalinu amri panapotokea matatizo hajasema kua wanatauhidi hicho kipengele hatukioni kwenye hiyo Aya bwana mkubwa wewe Kuna mambo mawili huyafahamu kwanza ayatul,ahkami huzijui lapili yusufu diwani kathibitisha Kwa kitabu majmui albahraini kosa lake liko wapi bachu anapachikiza maneno kwenye Aya za m,mungu qur,ani mzima hapana Aya hata moja m,mungu anasema wasirikina Wana tauhidi bachu haya maneno anayapachika tu
bachu hajui ayatul ahkami na wewe bwana mkubwa halkadhalika wasirikina sio hukumu yao wanapomtaja alla ati washakua na tauhidi ziko Aya zilowahukumu hao na ndizo aloshikilia yusufu diwani na ndio akakisoma kitabu Cha majmauu albahraini Sasa nyinyi mawahabi wengine hamufahamu kitu kwenye milango ya hukumu munafikiri kutafsiri pahala ndio hukumu yenyewe ni ugonjwa umo vichani mwenu jaribuni kujua hukumu kwanza na Sheria ndio maana bachu mara nyingii hushindwa kwenye hukumu ya kitu yeye hukimbilia tafsiri tu na ungonjwa huu umejitikeza Kwa huyu bwana hebu tusomeni qur,ani kwanza tuijue vizuri tusitoe hukumu za ajabu kama hizi za akina bachu bachu alipoulizwa hukumu ya Hadith munkari alikimbia ni dhahiri kuonesha hafahamu kitu halkadhalika kwenye haya aloyazua tatizo hukumu hazijui enge soma kwanza
Sijaamini huyu Diwani mjina mtupu
Halafu Diwani hii kelele za nini??
Fanya debate na ustaz shafii,tuone uwezo wako,sio unakaa nyumbani kwako unajifanya unakosoa mambo 😂
Huyu diwani hana elimu ya dini anakurupuka na anakibri sio miongoni mwa wasomi ni miongoni mwa washirikina wenyewe
Ndiyo maana mimi huwaambia Allah Waislamu ni Allah wa mji wa Makka Allah wa Muhammad ambaye siyo Mwenyezi Mungu muumba Mbingu na Ardhi
Kwa hio alie tairiwa ndio muumba mbingu na ardhi soma tutajua ukweli sio kusomewa wanakupoteza Allah ndio muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo
Umemjibu Uzuri sana Mashaallah 🤝@@AllyNassor-de6ck
kwan hayo majini yalijiumba yenyewe??
Amma kweli diwani ni mjinga wakutupwa😂😂😂😂
Kwa hiyo mnaabudu vilivyoumbwa su mnaabudu muumba
Hiyo ndiye mwalim wabachu
ni mshirikina lazima bas apindishe maandiko ili awatetee famila yake
Huyo katumwa nibachu na ndiyemwinzake
@@RayaAli-y9j
Diwani mekuchuma
Sijuy wap tunakwama ...allah amezishuhudisha nafsi zetu kwanza ni kila nafsi inamjuy kwa hy kuna kpindi hata makafir wanamuomba allah ukiachana na vile wanavyoviabudu
CHAKA KWELI TU LAZIMA TU USHANGAE HAPO DIWANI KAPOYOYA NA NI MPUUZI SANA NA HUYO BACHU WOTE NI WAPUUZI WAWILI ACHANA NAO HAO SIJUI KAMA NI WAISLAM AU MASHIA TU HAO BACHU NA DIWANI SIJUI HIO FURSA YA KULINGANIA WAMEIPATA WAPI
Haki itabaki kuwa haki nandomana uyo yusuf diwani kaumbuka nakupotosha watu na uyo mwenzake kazi kuitikia itikia pasi nakuelewa chochote na ukiona mtu anaongea kwa matusi na jazba basi hana hoja
Huyu yusufu diwani ,nahisi anavuta bangi na huyo mdogowake . Manake hizi sio akili za mtu mwenye elimu
Nikwamba diwan hana elimu alafu anakurupuka.....ngoja nimfundishe kitu anaoneka hajui mshirikina ni nan ...maana yeye anajua mshirikina ni mkristo tu ndio mshirikina subuhanallah......ebu tumuulize swali huyu diwan hiv abuu jahali alikua mkristo au firihan alikua mkristo...au baba yake nabii ibrahim alikua mkristo....ebu jibu hilo swali bwana diwan kisha omba ufundishwe mshirikina ni nan....maana nitaanza na ww mwenyewe ni mshirikina sasa ww ni mkristo...
قاتلك الله يا يوسف ديوان فقد نطقت بلسان الشيطان ..
Usitafute madhaifu kupotosha watu yesu ni yesu tu.hajabu ya moyo was mtu unapo kuwa na ofu kubwa ndani ya 18 hapa sasa roho inatoka ujipata umtaja mwenyezi mungu inapo salimika inasaau muda ulipita nimemtaja mwenyezi mungu alie rekodi iyo vidéo ndiyo alie ita yesu mwenye vdio kachukulia nje je meli ilio zama wakiwa kwenye boti ingine 😂akili yakuelewa mali sana
Chaka huna ujuzi juu ya uislam hizi ni hoja za kielimi juu ya waislamu. Wenye elimu hizi sio levo zako kacheze unapochezaga
Kwa kweli huyu Diwani ni kafiri kama makafri wengine ila anajiita shekh shekhe wa kweli hawezi kutukana huyu jamaa ni mvuta bangi kama wavuta bangi wengine
Ulishamuona akizivuta hizo bangi? Kuwa makini na maneno yako,jua.kwamba yanaandikwa😮.
Si maneno ya msomi mwenye akili kumwita mwenziwe mwanaharam, anajua maanake Mzee Diwani alichokisema...?
Halafu ao walosema YESU ni waliorekodi sio waliozama, hivi wengewezaje kujirekodi huku wakizama!!?
Pia naona Mzee Diwani na mwenziwe wameeleza kwa mtazamo wa akili zao. Sijaona tafsiri walioitumia.
Mwisho kabisa, ndugu Mchungaji... Uislam ni mwepesi sana na ni Dini Iliyokamilika. Tunakuusia na ww uwe muislam na ufuate msimamo sahihi ili ukifa uwe miongoni mwa waja wema.
Assalam aleykum.
Maada: ni Ushurikina, sio Ukiristo.
Suali: Je Allah kadangaanya kwa kuthibitisha katika Quran kuwa Allah ni mmoja tu. Na hana anayefanana nayeye..???
Ufahamu:
Washikina, Wshirikina....
Wakiwa safarini wanamuomba Allah kwa zati kabisa.
Lakini: Sasa
wanapofanikiwa kufika safari zao. Basi waendelea kumshirikisha Allah.... on my understanding.
Mfano:
Kuna watu wanaswli sala ya ijumaa tu..
Hao ni wanafiki, washirikina, na ni makafiri pia.. Sio Waislumu Hao.
Yesu: sio Allah... Allah ni Allah tu.
Hana hoja ya msingi Diwani.
Hoja Mezani:
Mushrikina/ Munafikuna.
Sio: Makafiri/ Wakirisito.
Hakki ni Quran na sunna tu.
Shekh: Muhammad Great Mashaallah.
Mshenzi ni wewe diwani
Wewe unatumwa na makafiri tena wewe ni mnafiki.
Uislamu haukuhusu achana nao utaporomoka vibaya.
Acha porojo zako.
Sasa huyu diwani ni muislam kweli
hukumu utakayo mpa kama siyo itakurudia mwenyewe kwamujibu wa hadithi ya mtume s.a.w.punguza mihemko
Waarabu wanapiganaga wenyewe Kwa wenyewe huku Kila mtu akisema Allah wakabar lakini wapi bana
unamamisha nini
@@darajanida jiulize mwenyewewe
Mi ninachokushauri mchungaji,we fuata mambo ya dini yako,usiingile maswala haya ya waislaam.
إنّ قفاك لتشهد أنك كاذب
Tuelewe kwanza kwanini Qur'an imewabainisha wale waarabu wa pale Makka kwa jina la WASHIRIKINA na watu wengine wasiomuamini Allah kuwa ni MAKAFIRI. Ni kwa sababu walikuwa wanamuamini ALLAH huku wanaitakidi na miungu wengine. MAKAFIRI wao walikuwa wanapinga kabisa kuwa hata Allah mwenyewe sio Mungu. Ndio maana wakawepo WASHIRIKINA na MAKAFIRI. Ukiangalia katika qur'an Mayahudi na Wakristo hawakuitwa ni WASHIRIKINA kwani wao hata ALLAH hawamuamini. Kwahiyo Diwani hapo amepotosha. Rejea vizuri historia ya Uislam pale Makka utaelewa haya.Rejea pia Qur'an Sura ya 98 isome yote na tafsiri yake utaelewa.
Ndug Jafar hivi abdallah lilikuwepo kabla yakur,aani he ilimaanisha nani
@@MshihirDguyya Kabla ya Qur'an, Waarabu walikuwa wanafuata Muongozo wa Nabii Ibrahim pamoja na Nabii Ismail ambao waliishi pale Makka na walihubiri Uislam ambayo ni dini ya Allah. Baada ya kipindi kirefu kupita wakaanza kumshirikisha na Miungu mengine waliyoiweka pale kwenye Alqaaba. Ndipo Qur'an ilipokuja na Muhammad ikawakataza wasimshirikishe na miungu yao. Kwa hiyo sio kuwa Allah hakuwepo kabla ya Qur'an.
Hao Walio zama hawa kumuomba allah
Wame muomba yesu
Tuna taka umwambie yusufu diwani
Alete kitabu cha wana wavyuoni wa kiislamu kinacho bainisha Tamko Allah
Kuwa hutumika kwa Allah ya waisimu
Na hilolo tamko Allah wana litumia wasio kuwa waisilamu
Tafuta kazi ufanye