Ali kamwe walikosea!!! Huyu ndiye mkuu wa wasemaji Afrika nzima.Injinia mrudisheni bugat jamaaaaannnn🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ love you bugat ila naomba uniwezeshe mtaji nitangaze brand Yako babaaaaaaaaa
Kaka manara oyeee let's saying all wananchi oyeee asante kakaa manara wewe wetuuu na wewe ndio mweeenyewe tunnnakupenda tenaaa sannaaa. Thank you very much kaka manara you are very much appreciated man please 🙏 bring it on always inside our The Giant CLUB in Africans. Youngs Africans 🇹🇿
@@richardogara8258 hoyeeee hoyeeee hoyeeee sanatu,Mashaallah Mashaallah Haji manara hongera hongera Sana Allah akulinde inshaallah, God will bless you inshaallah yarabi..
@@Zivago12 Haji manara yeye pia ni msemaji wa yanga na Ali kamwe wote hawana baya ,nituwaombe maelewano mema wote washikane pamoja ,chuki hazisaidi kitu kabisa ,mie napenda Haji manara mushikane wewe na Ali Kamwe, kazi iendele muwawache mahasidi wenu midomo wazi mshikane inshaallah kwa uwezo wa Allah inshaallah .usiku mwema mashabiki wa yangaaaaa na wachezaji wetu wote .twawaombea matokeo mema kesho inshaallah panapo majaliwa ya Allah inshaallah
Ally kamwee hana mvutoo bhnaaa engr hersi tutaanza kuwa na doubt na ww na huyoo mtoto wakoo ALLY KAMWEE HANA mvutoo mrudisheni buggat sehemu yakee tunatoa helaa sisi msitupelekee sasa
Kile cheo Cha uhamasishaji uapande wa wanachama alichopewa kindoki binafsi wangempa huyu jamaa ndo kingenfaa zaidi huyu manara,,to be honest kwenye kuhamasisha hata ally kamwe hamfikii huyu manara,,Aly kamwe awe msemaji wa timu alafu manara awe muhamasishajii wa mashabiki na hata mashabiki wataongezeka ....manara apewe cheo Cha upande wa usajili wa mashabiki na uhamasishaji
Pokeeni maelekezo ya uchawi msimkatae jamani mmesahau wema aliyowatemdea kufanya uchawi na ufisadi kuwaletea chama na hao. Wengine mipango anatanya yeye kuonyesha yeye mtoto wa mjini, mtajijua
Huyu ni
Zaidi ya msemaji, jamaa anaweza❤❤❤
Ali kamwe walikosea!!! Huyu ndiye mkuu wa wasemaji Afrika nzima.Injinia mrudisheni bugat jamaaaaannnn🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ love you bugat ila naomba uniwezeshe mtaji nitangaze brand Yako babaaaaaaaaa
Kama unaamini Manara ndiye msemaji wa Yanga na ameshikilia ushindi wao gonga like hapa😀😀
Inshaallah Allah Abariki mdomo wako uwe wa kheri Hajj manara nakupenda Sana Sana wallahi hajj tupo pamoja Inshaallah yarabi
Bugatti Big up......
Haji manara Allah akulinde na mahasidi, wenye husdah zao na wanafik akuepuche nao inshaallah yarabi mauwa yako hajj manara 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pokea...
Manara hana baya
Nakupenda bugati mungu akulinde
Nakukubali mwamba
Sisi tumesawazisha mwishoni😅😊😊😊unajua kuwala boga
❤Big up
Yaani mmi nishasema Yanga hii ni ya Bugatti Sasa Yanga wao wanang'ang'ania yule mtoto Ali kamwe mmi sipendi kwel yan
Swadacta kabisa
Ulitaka umpende iliiweje? Kolo Hana nafasi yakuipangia yanga Chakufanya .
Akuna anae mkataa haji ila umri unaenda lazima awe mbadala wake ndio ally kamwe.heshima ya haji aifutiki
Toa umaskini wako hapa
Kaka manara oyeee let's saying all wananchi oyeee asante kakaa manara wewe wetuuu na wewe ndio mweeenyewe tunnnakupenda tenaaa sannaaa. Thank you very much kaka manara you are very much appreciated man please 🙏 bring it on always inside our The Giant CLUB in Africans. Youngs Africans 🇹🇿
Yani Bugati unachambua mpira mpaka naona kama Yanga ishashinda na unanikonga nyoyo mpaka basi.Bugati hoyeeeeeeeee
@@richardogara8258 hoyeeee hoyeeee hoyeeee sanatu,Mashaallah Mashaallah Haji manara hongera hongera Sana Allah akulinde inshaallah, God will bless you inshaallah yarabi..
Manara nakuonea huruma sana unajitahid sana use karibu na time lkn wenzio hawakupendi manara
Yeye anaifanya hiyari ya upenzi tu
Yanga mrejesheni mzungu wenu. Ali Kamwe hana mvuto. Kitoto bado
@@Zivago12 Haji manara yeye pia ni msemaji wa yanga na Ali kamwe wote hawana baya ,nituwaombe maelewano mema wote washikane pamoja ,chuki hazisaidi kitu kabisa ,mie napenda Haji manara mushikane wewe na Ali Kamwe, kazi iendele muwawache mahasidi wenu midomo wazi mshikane inshaallah kwa uwezo wa Allah inshaallah .usiku mwema mashabiki wa yangaaaaa na wachezaji wetu wote .twawaombea matokeo mema kesho inshaallah panapo majaliwa ya Allah inshaallah
❤❤❤❤❤bugaaaaa
*Manara akisimama tuu yanga huwa anasumbua sana sasa mabosi wamestuka washa yaweka mambo sawa nigusa achia twende kwao kipigo jamaa anabahati sana*
Bugati bhan wew ni mtu kamili unajua adi unakera
Kwa Yanga hii wakijaa wanaweza kufungwa pia ikawa aibu. Twendeni uwanjani, tujaze uwanja, tune pia Mazembe naye kapania.
Manara waeleze ukweli
Ally kamwee hana mvutoo bhnaaa engr hersi tutaanza kuwa na doubt na ww na huyoo mtoto wakoo ALLY KAMWEE HANA mvutoo mrudisheni buggat sehemu yakee tunatoa helaa sisi msitupelekee sasa
Sawa mkuu ila cha kukumbushia tu tusiwaache mabeki kulinda pekee ikishambuliwa timu irudi kusaidia
hongera mwamba
bishana na manala usibishane na kipaji Cha uyu mwamba
100 100 miaka yakobe broo
Kile cheo Cha uhamasishaji uapande wa wanachama alichopewa kindoki binafsi wangempa huyu jamaa ndo kingenfaa zaidi huyu manara,,to be honest kwenye kuhamasisha hata ally kamwe hamfikii huyu manara,,Aly kamwe awe msemaji wa timu alafu manara awe muhamasishajii wa mashabiki na hata mashabiki wataongezeka ....manara apewe cheo Cha upande wa usajili wa mashabiki na uhamasishaji
Pokeeni maelekezo ya uchawi msimkatae jamani mmesahau wema aliyowatemdea kufanya uchawi na ufisadi kuwaletea chama na hao. Wengine mipango anatanya yeye kuonyesha yeye mtoto wa mjini, mtajijua
Oyooooooooooh manara huyo
❤❤❤
Waambie Haji hao wanajifanya wamesahau
Tunataka buggat arudii kwenyee usemajii bhnaaa engr hersi sikia hilii tafadhalii huyuu jamaaa ana baraka zakee tuuu bhnaaa
Kuna watu wanateseka sana
Inshaallah
*kangelikuwa kale kasichana kembamba kasha tukana*
Pikeni supu watakuja wengi waone mnavyo pigwa kwenu yanga mbovuu
GSM unamuona huyo?
Xx huyu anatafuta nn kwenye yanga
Kaka manara nakukubali wewe ni mtoto wa mjini
UMECHELEWA
Supu cf
Kwani msemaji wa club ni Kamwe au Manara?
Anatumia nguvu kubwa kuwaaminisha Yanga yy ni mwenzao😮😅😅😅😅
Huyu ndiye msemaji wa ukweli
Manara we ni shabiki au msemaji wa yanga?
Nakweliii tumefanyaaa mauajii
Makolo wanaumia
Manara zailisa mjamzito nin mbona hamfatani kama zamani? manara huko yanga huna mvuto wew ni simba tu
Hamna uwezo wa washabiki hata elf 10 2:47
KOLO 1 ..YANGA 5
th-cam.com/video/5-AEakvB6js/w-d-xo.html
Nyie nendeni na matokeo uwanjani mkashangazwe
Kafie mbele
Kwendraaaa tupishege
Toa wivu apa
Hiloooooo
𝑾𝒆 𝒌𝒖𝒎𝒂 𝒏𝒏 𝒌𝒐𝒍𝒐 𝒘𝒘