HISTORIA FUPI YA UIMBAJI YA MWALIMU JOSIAH PAULO SAGATTI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Mwalimu Sagatti kama ambavyo alizoelewa kuitwa alizaliwa 01 Januari, 1930 na alifariki 04 Machi, 2008. Amekuwa muasisi wa Kwaya ya Kirumba (KAC) toka mwaka 1968 - 2008 alipofariki dunia.
    Walimu wengi wa Kwaya nyingi wamepita mikononi mwake baadhi yao ni Agnes Wanjara, Raphael Kondi, Lazaro Kabuche, Patroba Maginga, Ahadi J. Sagatti na Darlington Onditi.
    Ijapokuwa amelala kazi zake bado zinaishi na zitaendelea kuishi.

ความคิดเห็น • 1