MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: MAGOMENI YOUTH CHOIR | KAZALIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • KIJIWE CHETU ni Kipindi ambacho kiliongeza Ladha na rangi kwenye vipindi vya nyimbo wakati wa Jioni. Kipindi Kilikuwa kina Jumuisha Kwaya na vikundi vyote vilivyokuwa vikihudumu kwenye Mikutano ya Makambi. Kirumba SDA Choir - Mwanza, Kagoro SDA Choir - Kenya, Light Bearers UDSM, Uaminifu Gospel Singers - Ukonga DSM, Magomeni Church Choir - DSM, Magomeni Youth Choir - DSM, Gospel Flames - Magomeni DSM, Wabeba Nuru - DSM, Together in Christ - DSM. Muongozaji wa Kipindi ni Ezekiel Mukundi

ความคิดเห็น • 4

  • @YOMYSTUDIOS
    @YOMYSTUDIOS 2 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana wimbo mzuri sana .nimebarikiwa sana

  • @stephanomagembe4140
    @stephanomagembe4140 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nzuri lakini ingerekodiwa kabisa na ikamixiwa vizuri ingekuwa bomba

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 2 หลายเดือนก่อน

    Imetulia sana

  • @calebabuya4908
    @calebabuya4908 2 หลายเดือนก่อน

    ❤🙏