Wema Sepetu Akiwasili Mahakama ya Kisutu Sakata la Madawa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Wema Sepetu, msanii wa filamu za kibongo aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2016, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu kujibu tuhuma za kukutwa na madawa ya ku;evya aina ya bangi, nyumbani kwake.
    Akiwa mahakamani hapo, Wema alionekana kuwa kivutio cha wengi, watu kadhaa wakitaka kupata nafasi japo ya kumuona kwa karibu.
    Wema alikuwa miongoni mwa mastaa wakubwa Bongo, waliotajwa katika orodha ya awali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wakituhumiwa kuhusika na biashara au matumizi ya madawa ya kulevya ambapo wote waliotajwa, walitakiwa kwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi (Sentro).
    Baada ya kuripotisentro, Wema na wasanii wenzake walioitikia wito huo, waliwekwa mbaroni kwa siku kadhaa ambapo baadaye, wasanii wenzake waliachiwa lakini Wema aliendelea kushikiliwa.
    Baadaye alipelekwa kwa mkemia mkuu kupimwa kama anatumia madawa au la kabla ya kupandishwa kizimbani, akituhumiwa kukutwa na bangi nyumbani kwake.
    Baadaye, alichiwa kwa dhamana kwenye Mahakama ya Kisutu ambapo alitakiwa tena kuripoti Februari 22, 2017 ambapo kesi yake imetajwa tena.
    Katika video hii, Msanii wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu anaonekana akiwasili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu ambapo kesi yake imesikilizwa tena.Kwa habaru zaidi, endelea kuitazama Global TV Online.
    Wema Sepetu| Apandishwa Kisutu| Madawa ya Kulevya|

ความคิดเห็น • 74

  • @lucyhadwiger3164
    @lucyhadwiger3164 7 ปีที่แล้ว +4

    martin mungu akupe maisha marefu wewe ni zaidi ya ndugu..mtu akiwa na tatizo ukimfariji ni kitu kikubwa sana..mungu awafanyie wepesi.

  • @jamilamwenguvu8567
    @jamilamwenguvu8567 7 ปีที่แล้ว +2

    brother martin i love the way you support wema

  • @shamsaally5883
    @shamsaally5883 7 ปีที่แล้ว

    thanks brother martin kwa kumsimamia wema sepenga mungu awatangulie yatakwisha tu inshaallah

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 7 ปีที่แล้ว +4

    Yaani unyanyasaji mkubwa sana eti gulam moja ya bangi wangapi wanavuta bangi na kuuza bangi Tanzania hii kwa nini akamatwe Wema hapa kunajambo asanteni wote munao muombea Wema Sepetu kwa mazuri Nami nasema pamoja sana dear Wema Sepetu yataisha tu💋💝

  • @aminayasin2906
    @aminayasin2906 7 ปีที่แล้ว +1

    mungu akutangulie nakuona na kaka omy lyimo mungu ni mwaminifi atawashindia

  • @natamaniunigusehatamimimac4305
    @natamaniunigusehatamimimac4305 7 ปีที่แล้ว +2

    wema umependeza mdogo wangu nakupenda

  • @azizawaziry3440
    @azizawaziry3440 7 ปีที่แล้ว +2

    love wema...yataisha soon2

  • @aishaamy7954
    @aishaamy7954 7 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutangulie Wema

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 ปีที่แล้ว +1

    Da wema yatakwisha tu salama nawe upumuwe inshaallah maaa miin

  • @saidkhalfan1607
    @saidkhalfan1607 7 ปีที่แล้ว

    mungu akutangulie wema wetu akufanyie wepesi inshaallah yatakwisha maisha ni mitihani dadangu mungu yuko nawe

  • @nemnem7431
    @nemnem7431 7 ปีที่แล้ว

    Wema 😚

  • @gracekalinga5408
    @gracekalinga5408 7 ปีที่แล้ว

    Tzswthrt Mungu awe nawe .

  • @neydtz6826
    @neydtz6826 6 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo

  • @ahmedalshammari9372
    @ahmedalshammari9372 7 ปีที่แล้ว +1

    pendeza sana wema na martin

  • @suzymsani2781
    @suzymsani2781 7 ปีที่แล้ว

    nakupenda wema wangu yataisha tu

  • @neemahassan8786
    @neemahassan8786 7 ปีที่แล้ว +1

    Sakata la madawa???? 😏😏😏😏😏, wema mbona umependeza xaana 😀😀😀😀😘😘😘😘😘

  • @prettyajumy4227
    @prettyajumy4227 7 ปีที่แล้ว

    mungu yumwema akuepushe hili najengineee amiin

  • @anthoniakomba8738
    @anthoniakomba8738 7 ปีที่แล้ว

    MW/mungu akutangulie kipenz Wema wetu

  • @samaoman8081
    @samaoman8081 7 ปีที่แล้ว +1

    jaman wema mmepemdeza xn mmevaa sale na martin had raha mung atakusaidia yatakwisha nampendaga xn martin mm love you martin uck na mchana

    • @jikelalion9142
      @jikelalion9142 7 ปีที่แล้ว

      Sama Oman wtt wa mjini wanatafuta swaga Martin imani100% lakini kwengine amechimsha

    • @juliamaina3830
      @juliamaina3830 7 ปีที่แล้ว

      Sama Oman mungu yu naye wema kesi itaisha njuu ya mungu, Martin ni kipezi chake au kuuliza2 Kwa kiloho safi sama Oman plz,

    • @hanadialabed8635
      @hanadialabed8635 7 ปีที่แล้ว +1

      Julia maina yea ni kipenzi chake her best friend na ni menager wake pia

    • @juliamaina3830
      @juliamaina3830 7 ปีที่แล้ว

      sam Oman thanks 2reply , I'm wishing all the best wema and Martin , I'm watching from saundia,me from 254

  • @zanzibarmallonline
    @zanzibarmallonline 7 ปีที่แล้ว

    Mungu atakusaidia wema ila huache na ww kuvuta bangi

  • @saomobonsela9772
    @saomobonsela9772 7 ปีที่แล้ว

    mmm wema bona mwambedezana wewe na matin muko poa bwanaaa ukweli usemwe tu muko sawa mola akupe subra inshaa Allah kila kitu kitakua poa

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว +1

    Vitisho tu za serikari hii sakata itaisha haraka Kama harufu

  • @charlessomba4369
    @charlessomba4369 7 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnaweka video record fupi

  • @tupeukwelinamasogangebwana7611
    @tupeukwelinamasogangebwana7611 7 ปีที่แล้ว

    kaaa jaman mbona wanasumbuliwa kilasiku

  • @saidkhalfan1607
    @saidkhalfan1607 7 ปีที่แล้ว

    mashaallah wema uliumbwa ukaumbika kama tausi

    • @jikelalion9142
      @jikelalion9142 7 ปีที่แล้ว

      Said Khalfan ndio manake mvunjie vidole vyote ishirini vya miguuni Na mkononi😂😂😂

    • @saidkhalfan1607
      @saidkhalfan1607 7 ปีที่แล้ว

      Zeinab Omar wallahi naweza nampenda kufa😃😃

    • @jikelalion9142
      @jikelalion9142 7 ปีที่แล้ว

      Said Khalfan usife muombe mungu akulete

    • @saidkhalfan1607
      @saidkhalfan1607 7 ปีที่แล้ว

      Zeinab Omar hahahaa👍👍👍👍

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni nani ameshika Wema

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 7 ปีที่แล้ว

    Wengine wako wapi

  • @cwrybeautylicious8545
    @cwrybeautylicious8545 7 ปีที่แล้ว

    wemasepetu

    • @amadsabimbona2553
      @amadsabimbona2553 7 ปีที่แล้ว

      wema tunakupenda sana mungu hatakusadiya

    • @zahrahassan1351
      @zahrahassan1351 7 ปีที่แล้ว

      Amad Sabimbona Amiin yarab

    • @ktkt8078
      @ktkt8078 7 ปีที่แล้ว

      Munguyupamoja nawewema

  • @ashamlosi1899
    @ashamlosi1899 7 ปีที่แล้ว

    hamna kesi apo

  • @ahmedalshammari9372
    @ahmedalshammari9372 7 ปีที่แล้ว +1

    wema mungu yupo pamoja nawe 😂😂na kunajamaa et ywasema ni mateja hawa

  • @salmasaid7254
    @salmasaid7254 7 ปีที่แล้ว

    hayajeshs?

  • @mallychimba8112
    @mallychimba8112 7 ปีที่แล้ว

    mola akufanyie wepesi wema

  • @jahkeythomas6043
    @jahkeythomas6043 7 ปีที่แล้ว +3

    😃😃😃sakata la madawa

    • @faithezekiel4083
      @faithezekiel4083 7 ปีที่แล้ว

      Jahkey thomas newakorirwo celeb

    • @ktkt8078
      @ktkt8078 7 ปีที่แล้ว

      tunakupendawema

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว

      Jahkey thomas eneeeee haaha

  • @Chris-cb2dj
    @Chris-cb2dj 7 ปีที่แล้ว

    naona mamako wema amekufuata mahakama

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 ปีที่แล้ว

    hivi bado haikuisha😡😡😒😒😒pole madam

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว

    zainabu omar.hahahaaaa

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว

    kashikwa mkono kama anapelekwa kwa mumewe

    • @jikelalion9142
      @jikelalion9142 7 ปีที่แล้ว

      Shakila Masoud 😂😂😂 ina huu

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 7 ปีที่แล้ว

    Aisee wema kweli hatari anakwenda mahakamani na boyfriend wake kama vile wanaenda kifunga ndoa kanisani na sare zao za ndoa😁😁😁😁😁😁😁

  • @shufaaa.4766
    @shufaaa.4766 7 ปีที่แล้ว

    wakwapi wale wala denda nae hahahaaaaa

  • @twoten2547
    @twoten2547 7 ปีที่แล้ว

    Hivi?? wanasemanga nitakuwa na wewe wakati wa raha na shida mmmh,...yuko wapi mumeo Idris Sultan??? naulizia dadake nduguye shemeji wa mama ya jirani yangu?? kiulizio tu yaani.

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว

    nonsense 1gm wcha kusumbuwa yy

    • @salimmoine1424
      @salimmoine1424 7 ปีที่แล้ว

      azh zha yassin sexy bby plz give me your number

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว

      Salim Moine mmmmmh

  • @brendaokumu8518
    @brendaokumu8518 7 ปีที่แล้ว +1

    mamako anapata shida kweli na wewe

  • @noutraakimana6237
    @noutraakimana6237 7 ปีที่แล้ว

    nafikir wema nimungu watanzia kirakitu wema wma hamuchoki nyiye

    • @jikelalion9142
      @jikelalion9142 7 ปีที่แล้ว

      noutra akimana nyota yake hatari

    • @kingsdaughter2040
      @kingsdaughter2040 7 ปีที่แล้ว

      noutra akimana miungu mungu ni mmoja tu aliye mbinguni