VIDEO: TAZAMA VARANGATI LILILOTOKEA KATIKATI YA MSIBA WA ALLY KIBAO, WATU WARUSHIANA MANENO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 238

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wasafi Media ahsanteni sana kwa kazi nzuri hii.🎉🎉

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani na Mimi nawaunga MKONO polisi wake ndio walikua anakija kutujoki Mimi MTOTOWANGU sio kiongozi aliuawa na POLISI wa KILWALOD MWEZI wanne mwaka huu nisawa KABISA kimfukiza

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 2 หลายเดือนก่อน +28

    Unajua Kama halijakukuta Kwene familia yako utasema Hawa wanaofanya fujo ni wahuni

    • @SalimAbdallah-mi1wc
      @SalimAbdallah-mi1wc 2 หลายเดือนก่อน

      @@kainimlowe9646 samahani naweza jua Dini yako?lalkin Haina haja waislam tumefundiswha kwenye kuzika kuongea tu Na kupija stry Ni dhambi Kwa upande Wa kikisrto pia Wana Sheria zao kwa hapa nishamaliza no comments

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 2 หลายเดือนก่อน

      Tisha

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa yaan

    • @fadhilikyandofadhilikyando5666
      @fadhilikyandofadhilikyando5666 2 หลายเดือนก่อน

      sanaaa inauma sanaa jamankii

    • @Mrbizzo_og
      @Mrbizzo_og 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa, ila inauma sana

  • @nourahismaily
    @nourahismaily 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hao wanaofanya dhulma km hiyo Huwa mwisho wao mbaya xana na malipo ni hapa hapa duniani mungu atawalipa kwa Kila utakalo mfanyia binadamu mwenzio huko siko kbx tuwe na hofu ya mungu na kujua Kuna kesho yetu xote

  • @GodfreyRichard-v4f
    @GodfreyRichard-v4f 2 หลายเดือนก่อน +8

    Jaman aibu kwa wazir

  • @mundisumka5868
    @mundisumka5868 2 หลายเดือนก่อน +12

    Siku akitekwa mkeo ndiyo utasema chama Cha wahuni,mjinga ipo siku yatakupata ww

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna siku moja Mungu atajibu.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน +9

    Wauaji nao ni marehemu watarajiwa wakati wowote aliye juu atawashusha chini maana damu ya ally kibao inamlilia Mungu Hadi Sasa kama damu ya habili katika mwanzo 4:7-15

    • @AmneAlRiyami-zp4ri
      @AmneAlRiyami-zp4ri 2 หลายเดือนก่อน +1

      KWELI KABISA UNAYOSEMA WAMEMDHULUMU NA FAMILIA YAKE KWA UWEZO WAKE ALLAH M/MUNGU ATAWALIPA KAMA WALIVWOMUUWA BASI MUNGU ATAWAUWA SISI TUNAMSHITAKIA MUNGU OGOPA MTU AKUSEMA MIMI NAMSHITAKIA MUNGU KILA ALIESHIRIKI MAUWAJI YA ALI KIBAO BASI DAM HAITOWAACHA KWA UWEZO WAKE ALLAH MANENO YA KWELI WATU WANATEKWA SANA HI NI TO MUCH

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 2 หลายเดือนก่อน +10

    Inauma sana tumefikia hali hii kwenye taifa letu kwelii?????

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 2 หลายเดือนก่อน

      Fanya kazi acha kuwa mvivu ka pumbu LA mwijaku boya ww

    • @valentineevarist
      @valentineevarist 2 หลายเดือนก่อน

      @@twalibulomy-cd4zd ona ulivyo na akili chache

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 2 หลายเดือนก่อน

    Innalilah kamanda Allah akujaalie Pepo milele,pia Poleni wafuwa na Poleni chadema,

  • @HamadiSembe
    @HamadiSembe 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nimesikitika sana

  • @SaidYusuphu
    @SaidYusuphu 2 หลายเดือนก่อน

    Ishara mbaya sanaa

  • @peteraleck6962
    @peteraleck6962 2 หลายเดือนก่อน +9

    Waziri alitakiwa kusema wapi wamefikia kuwakamata wauaji. Kuomba dua awaachie mashee. Wananchi wapo sahihi kumzomea

  • @nestorygadiye8568
    @nestorygadiye8568 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh inasikitisha sana

  • @Rajabu.dobeye-qw7fq
    @Rajabu.dobeye-qw7fq 2 หลายเดือนก่อน +4

    Fukuza huyo,aondoke tu,nimeipenda sana hiyo

  • @h169_Jo
    @h169_Jo 2 หลายเดือนก่อน +13

    Naona watu mna comment Chama cha Wahuni but hamjui hisia walizo nazo watu walio fiwa na ambao wame kutwa au ndugu zao wame kubwa na janga hii hili la utekaji. Nyakati yaja Uvumilivu utafika mwisho hapo ndo tutaanza kuona Yale ya Kenya mara kiongozi kupigwa kuchomwa nyumba za viongozi na nk.. Hakuna Jambazi anaweza mteka mtu vile ile ni order toka juu.

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mshamba hajawahi kufiwa

    • @JAMALISHESHE-cf9gy
      @JAMALISHESHE-cf9gy 2 หลายเดือนก่อน

      Jamani jamani acheni ushabiki wa kisiasa swala la kuua hata kama uwe nani na kitendo tu Cha kushabikia uhalifu ujue na wewe ni motoni Mungu hajaumba waja wake ili damu imwagwe halafu binadamu unaleta ushabiki wakisiasa jamani hii ni laana

    • @onesmomwakasege5215
      @onesmomwakasege5215 2 หลายเดือนก่อน

      Wasafi duh! Apo mmetisha kinoma

    • @dittodaffa8417
      @dittodaffa8417 2 หลายเดือนก่อน

      wametisha nini

    • @barakachibwana3708
      @barakachibwana3708 2 หลายเดือนก่อน

      Nchi ni kubwa hiii

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 2 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha sana msiba umekua siasa yani mumesaha kama marehimu anahitaji duazenu subhanallah

  • @msukumaog4831
    @msukumaog4831 2 หลายเดือนก่อน +4

    Acha upuuzi watu wanakufa wanatekwA ww unaleta ujinga

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania nimeamini ni nchi ya amani

  • @SandiasaidSaid
    @SandiasaidSaid 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman nchi hiiii mmh

  • @pendomayunga1924
    @pendomayunga1924 2 หลายเดือนก่อน

    Unaesema wahuni nyuma ya kikao Kuna watu wanamtegemea inauma sana hiii😢😢

  • @HamimuKunoga
    @HamimuKunoga 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli siasa ni mchezo mchafu ,tunaona kwenye nchi za wenzetu waasi wanavamia vijini na kuua wanakijiji wote Ili serikali husika ionekane imeshindwa kuwalinda raia wake,hata kwenye hili utajiuliza kama ni mamlaka za serikali ndo zimehusika au chama tawala je kuna hofu Gani ya kumuua mtu ambaye hawezi kuzuia kutopata ushindi hata wakiwa mia..na mbona ni kipindi hiki Cha uchaguzi au ndo hiyo michezo michafu yanafanyika hay Ili kutengeneza taharuki Kwa watu Ili wakipanda majukwaani waseme SI mnaona na kusikia watua wanatekwa na kuuliwa.jamani tumepewa akili tuzitumie vema..

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa, mana najiuliza ccm wamuue ili wapate faida Gani? Hapa Hawa chadema mmmh wachunguzane, anaewamaliza wanakula nae na Wenda hata wanamuheshimu,, jaman Dunia mapito TU hii yote kutaka TU kiti??? Wenda baba wa watu kabla ya umauti hata aliuliza hata wewe ndio unaniua, eeeh MUNGU tusaidie, huyu mama ni wanamuonea kisa raisi mwanamke wanataka wamjazie mikosi aiseee sisi sio wajinga, sioni faida atakayopata kuua wapinzan wakati kupita anapita TU vizuri, familia kueni makini sana na hao wanaolia kwenye tv

    • @jimmydizonga1335
      @jimmydizonga1335 2 หลายเดือนก่อน

      Dah! 😂😂😂😂😂Pole Sana hivi kweli kwaakili yako ya kuvukia Barabara mtu wakawaida angefanya haya mauaji asinge gundulika? Hivi lisu alivyo pigwa risas upelelez umefikia wp?CCM ishukuru watanzania wengi wanamatizo ya afya yaakili wanawageuza geuza wanavyotaka.

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa haya yanayoendelea Taifa litajaa chuki mungu tunusuru 😢

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee wa watu jamani. Ndio maana laana za ubakaji n kurawiti zimezidi.

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ataongea nini huyo?

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Awo wanasiasa wote wanajuana

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 2 หลายเดือนก่อน +3

    Siasa adi msibani?😢

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa watu mh Awana adabu hata kidogo ,kwann mnaenda kwenye micba kama hiyo waacheni wanyeewe

    • @felistagerrard2375
      @felistagerrard2375 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yakikukuta utajifunza

    • @RICHARDDOTTO-l8i
      @RICHARDDOTTO-l8i 2 หลายเดือนก่อน

      Ulishawah kufiwa hta na kuku itokee siku moja afe mama ako ndo utajua maumivu yapo aje?

    • @rashidgogo5558
      @rashidgogo5558 2 หลายเดือนก่อน +1

      Shida hujui kama hujui siku ukijuwa ndio utajuwa

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 2 หลายเดือนก่อน

      Hujakutwa na Jambo ila IPO siku MUNGU wa m inguni atakuonyeshea magumu yanawakuta wenzio ndio utajua

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmm nchi yetu aina amani

  • @SaidYusuphu
    @SaidYusuphu 2 หลายเดือนก่อน

    Duuu siasa ningumu jamaniii

  • @SarahEdithchambo
    @SarahEdithchambo 2 หลายเดือนก่อน

    Ulinzi sio serikali tu sote tu walinzi muhimu Dola ifanye kazi Kila mtu ameandikiwa kifo chake mungu amlaze mahali pema peponi

  • @FatumaMatanga
    @FatumaMatanga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Emng tunusuruuu

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 2 หลายเดือนก่อน

    Waziri angeondoka tu hapo msibani

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Aman ya Tanzania kupotea ccm ndo itakuwa chanzo imekuwa jama nchi ni yao

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @PhilipoLegeza
    @PhilipoLegeza 2 หลายเดือนก่อน

    Pigen makelele subilin kumchagua mama sawa

  • @ThomasKayungu
    @ThomasKayungu 2 หลายเดือนก่อน

    Nchii saizii kazi ipooo

  • @AllyRamadhan-cw8we
    @AllyRamadhan-cw8we 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi hii ndo nchi ya amani Tanzania au 😢😢😢😢?

  • @HamidaAhmad-jd5zi
    @HamidaAhmad-jd5zi 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh dunia iko mwisho sio kila mzee anabusara. Yaan huyo mzee badala ya kutumia busara kuamua hili yeye anaanza kuchukua video. Inalilah wainalilah lajiun

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 2 หลายเดือนก่อน

    Siku moja kuna viongozi watageuka nyama za buchani

  • @FatumaMatanga
    @FatumaMatanga 2 หลายเดือนก่อน +3

    So. Fujo inauma. Ebu ikufke naww. Achen waseme ukweliiii

    • @JosephMwasa-i1o
      @JosephMwasa-i1o 2 หลายเดือนก่อน

      Ngoja wa tekwe Baba zenu na mama zunu...ndio mtapata akili...mnachukulia laisi..pumbavu

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 2 หลายเดือนก่อน

    Piga hao washenzi wametumwa kuja kucheki

  • @mwamvuamagongo8163
    @mwamvuamagongo8163 2 หลายเดือนก่อน

    My Country TZ 😢

  • @LidyaSilaa
    @LidyaSilaa 2 หลายเดือนก่อน

    Pamesanuka lala salama baba

  • @VeronicaMakotha
    @VeronicaMakotha 2 หลายเดือนก่อน

    Inaumasan

  • @RachelAmir-j1s
    @RachelAmir-j1s หลายเดือนก่อน

    Mnawateka kisha mnapaniki nini sasa

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hapa ndio mnataka tufke jeshi la polisi

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 หลายเดือนก่อน

    HAPA N MSIBAN ACHEN UPUUZ KWAN MASAUN NDO KAUWA

  • @josephmatinde5051
    @josephmatinde5051 2 หลายเดือนก่อน

    Ajiuzulu

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa chadema mwaharibu mazishi mpaka nimskie.mwenyekiti wenu ndo muache Fujo alafu huyo bonge Wa chadema anamfokea mpaka ndugu Wa marehemu anajiona ye Nani?hivi hapo Kuna mwenye sauti chadema Zaid ya mboye?naona wale wapambe wamekazania tu kupija kelele kaka Wa marehemu anawasiii wache fujo wao wakazana kuimba wajua wako kwenye fiesta aibu Sana pole mwenyekiti kazi unayo Kwa Hao vijana wako wamekuangusha sana😢

    • @FrankNzombo-k3j
      @FrankNzombo-k3j 2 หลายเดือนก่อน

      Mbowe ni sauti ya watanzania

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 หลายเดือนก่อน

    Taqibiir

  • @BeatusBaltazary
    @BeatusBaltazary 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ujafiwa utaona kawaida ila kama ni baba Yako utatamani uuee mtu

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl 2 หลายเดือนก่อน +5

    Endeleeni kuwaona wahuni siku yakikufika akili utakuja sawasawa

  • @deusurio9056
    @deusurio9056 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi tunakokwenda sio salama,

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 2 หลายเดือนก่อน

    Munge mpa makofi huyo mboe hao wengine mawe na mapanga ili nawao wakazike nahayo maneno yakijinga wayaongelee huko kwao

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo damu itakula juu ya ccm

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 2 หลายเดือนก่อน

    Mbowe umekosea ulitakiwa uwaache wananchi wadai haki Yao ya kikatiba ya kulindwa huu upole upole wako unarudisha juhudi za kutafuta haki nyuma huku unasema watu wa mfumo ndio wameua Sasa tena uchunguzi ufanyike na watu Hao Hao Kuna haki itatendeka kweli? Ungeacha waondole bila kuongea kitu ili wakajitafakari wajiuzulu

    • @KasalamaAlly
      @KasalamaAlly 2 หลายเดือนก่อน

      Inauma sana kifo kipo kweli lakini si Cha kikatili hivyo wallahi Allah atalipa hapa hapa duniani na akhera kesho majuto

  • @abdallahmakumbato6688
    @abdallahmakumbato6688 2 หลายเดือนก่อน +6

    aibu sana msibani mnaleta mambo ya kipuuzi kabisa

    • @barakamwantolwa4336
      @barakamwantolwa4336 2 หลายเดือนก่อน +1

      mpuuzi kwr ww...unaona hiyo shida..huo msiba umetokeaje....

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 2 หลายเดือนก่อน +3

      Chizi wewe

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 2 หลายเดือนก่อน +3

      Aibu na upuuzi wa kuua watu huoni unaona huo wa msibani paka wee

    • @sabirutiginga6890
      @sabirutiginga6890 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna upuuzi hapo

    • @HamisiForogo
      @HamisiForogo 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mfyuu

  • @aretemajid658
    @aretemajid658 2 หลายเดือนก่อน

    Masoud mambo hakomiii😂

  • @mengindegeya2780
    @mengindegeya2780 2 หลายเดือนก่อน

    Unaya coment upuuzi unaweza kujiteka mwenyewe

  • @ezekielgwamaka9998
    @ezekielgwamaka9998 2 หลายเดือนก่อน

    Mhhh ndo ile tz au nyingine

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 2 หลายเดือนก่อน

    Pigen albadri hapo ndio itakua mwisho na mwanzo mkipiga moja tu wenyewe watanyooka

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Masauni anapaswa kujiuzulu na IGP

    • @SalimAbdallah-mi1wc
      @SalimAbdallah-mi1wc 2 หลายเดือนก่อน

      Kwaio hiyo ndo sluhu ya watekaji Sio wakae Chini serekali Na vyama vya siasa Na mashekh Na mapadri watafute suluhu wewe wakazania Waziri Na Igp wajiuzuri hapo ndo Akili yako ilipo ishia ?

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 2 หลายเดือนก่อน

    Nendeni Mkazike wacheni Siasa

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 หลายเดือนก่อน

    Inaumiza sana... Sasa yeye masauni anajua kabisa chedema wengi hawajulikani wako wapi mpaka sasa... Halafu yeye anakwenda hapo kufanya nn! Boya kweli masauni

  • @RobertBartazary
    @RobertBartazary 2 หลายเดือนก่อน

    Anauesema ni chama Cha wahun hajitambui kabisa coz swala la Dua angewaachia mashekhe,na yeye kama wazir wa mambo ya ndan alipasw kutoa kaul ya serikal

  • @ModestaMduda-n9s
    @ModestaMduda-n9s 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli inashangaza sana

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari ndomjue watu wakisha choka

  • @ambakisyeevaristo
    @ambakisyeevaristo 2 หลายเดือนก่อน

    Chama Cha wahuni mubwa mkubwawe angekufa babako ungesema maneno hayo?

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 2 หลายเดือนก่อน

    Amani inatoweka sasa kidogo kidogo

  • @DAVDChalse-db6tz
    @DAVDChalse-db6tz 2 หลายเดือนก่อน

    Shetan Mkubwa huyo alaaniwe na kizaz Chake watakufa Vibaya hawa

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 2 หลายเดือนก่อน

    Fukuza huyo

  • @pescokassa9549
    @pescokassa9549 2 หลายเดือนก่อน

    Anayesema ni wapuuzi hayakukuta

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umemuona muhuni Namba Moja jacobo ,ndio wananchi watakupeni nchi kweli?

    • @jenifamgogo7057
      @jenifamgogo7057 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wee jamaaa ungekuwa karibu yangu wallah ningekuzaba bonge kibao

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 2 หลายเดือนก่อน

      Ukifiwaaa wew kwa style hiii ndo utajua Jacob ni mhunii au laaaah 🤐

  • @athumanbalozi9748
    @athumanbalozi9748 2 หลายเดือนก่อน

    Chadema genge lawahuni

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 2 หลายเดือนก่อน

    Usiombe likukute kwa familia yako

  • @AswilaSeif
    @AswilaSeif 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nichama chawahuu watupu hakuna hata majozi niujiga hapa

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 2 หลายเดือนก่อน +1

      Subilia majonzi kwenye msiba wa baba yako atakaekufa vizuri mbwa wewe

    • @ElvisMulenga-j5w
      @ElvisMulenga-j5w 2 หลายเดือนก่อน +1

      Heshimuni huo msiba jamani Acheni uhuni haufai

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 2 หลายเดือนก่อน

    Kama hujawahi kufiwa utawaona hawajamaa wahuni

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaoteka watu na kuawa ndio WAHUNI WAKUBWA WASIO NA AIBU HATA KIDOGO.Watu wana maumimivu mnawambia WAHUNI kweli!.WAHUNI ni watu ambao wanaofanya jambo bilakuelewa wanaumizaje wananchi wao.

  • @salmaramadhan2725
    @salmaramadhan2725 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna siku kitanuka nchini nyie fanyeni mzaha

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mauaji ya ccm yamefata Nini hao hapo

  • @mtabevilaini6527
    @mtabevilaini6527 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nachoamini damu ya mtu haiendi bure waliofanya hayo yatawakuta zaidi ya hayo

  • @ngumbemtoyomba-nq3nf
    @ngumbemtoyomba-nq3nf 2 หลายเดือนก่อน

    Chama cha wahuni hiki😂😂

    • @far_hard1301
      @far_hard1301 2 หลายเดือนก่อน

      Ww utakuwa wale wavulana wanaevaa vikaptura vifupiii unaongea upumbavu na hujitambui bora ukae🤫

  • @DanielazariaDaniel
    @DanielazariaDaniel 2 หลายเดือนก่อน

    Waulimieni jamani

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 2 หลายเดือนก่อน +6

    Aibu tupu kufanya fujo kwenye msiba mkajikusanya wote ili muonekane ña kufanya vurugu

    • @mlebesitv2628
      @mlebesitv2628 2 หลายเดือนก่อน

      ww ni pimbi

    • @TwahaShehe
      @TwahaShehe 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nazan halija kukuta una hak yakusema hayo

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน

      @@mlebesitv2628 pimbi ni wewe na hao wenzio wanafiki eti wameva kanzu chui kava ngozi ya kondo ipo siku mtaumbuka

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho 2 หลายเดือนก่อน

      We ni maiti kabisa

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน

      @@IssacNtacho maiti mama yako na wewe mwenye

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tuwe na utu hata kidogo msiba na uheshimiwe mnafanya fujo msibani kwel tunaelekea wapi mnaiumiza familia

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +2

    Moment kwenda mosoba isiyowahusu. Ona sasa mungepigwa jee

  • @alexsuleiman3795
    @alexsuleiman3795 2 หลายเดือนก่อน

    kuma ww

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni wahuni tu yaani mm nakuomba mh rais hata akifa nani msiemde kabisa kwenye mambo ya chama akuna udugu

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน

      Hata asipoenda kwan yy nan si mtu tu km ww hata asipoenda aliyekufa atazikwa kaa kimya kenge ww

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 2 หลายเดือนก่อน

    CHadema Wahuni.

  • @valentineevarist
    @valentineevarist 2 หลายเดือนก่อน

    yani mtu mnafki uta mjua tuu ina sikitisha sana

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 2 หลายเดือนก่อน

    Du

  • @samweljames8060
    @samweljames8060 2 หลายเดือนก่อน +6

    Msibani kama kwenye banda la mpila,. Chama cha wahuni yaan uhuni uhuni tu, pia huenda mnajiteka wenyewe mnasingizia ccm

    • @HanziKalitus-df3wn
      @HanziKalitus-df3wn 2 หลายเดือนก่อน

      Ww nikuma kama kuma wengine, yaan uwezo wako wakufikilia ndio umeishia hapo?

    • @msukumaog4831
      @msukumaog4831 2 หลายเดือนก่อน

      @@samweljames8060 wewe inaonekana umekulia gesti huna wazazi ovyo

    • @msukumaog4831
      @msukumaog4831 2 หลายเดือนก่อน

      @@HanziKalitus-df3wn kalale mbwa ww

    • @HanziKalitus-df3wn
      @HanziKalitus-df3wn 2 หลายเดือนก่อน

      @@msukumaog4831 hujui chochot kuma ww, unashangilia ujinga afu unalala njaa ng'ombe

    • @HanziKalitus-df3wn
      @HanziKalitus-df3wn 2 หลายเดือนก่อน

      Subiri atekwe mama ako ndo utajua kumanina zako

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน +3

    Chama cha wahuni hata kwenye msiba mnashindwa kunyamaza

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 2 หลายเดือนก่อน +2

      Chama cha wahuni ?
      Including yourself....
      Hujui kitu kinaitwa anger?
      Ulitaka wamlambe na kumbusu?
      We fala nini?

    • @msukumaog4831
      @msukumaog4831 2 หลายเดือนก่อน

      @@aliyageorge6794 kama huna cha kucoment kula ulale

    • @msukumaog4831
      @msukumaog4831 2 หลายเดือนก่อน

      @@aliyageorge6794 mbwa mbwa mbwa MTU kafa ww unaleta ujinga

    • @DENNISGAMUYA
      @DENNISGAMUYA 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mhuni. Lisu kapigwa, mpaka Leo wanatuketea uhuni na waziti yupo. Hata msiba HUU hawatawapata maana ni hao hao

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน

      @@DENNISGAMUYA wahuni endeleni kufanya drama zenu ipo siku mungu atawaumbua shenzi zenu

  • @AswilaSeif
    @AswilaSeif 2 หลายเดือนก่อน +16

    Niwapuuzi chama cha wahuni haohao ndiyo wanajiteka halafu wanasingiziya ccm

    • @timothymapunda5030
      @timothymapunda5030 2 หลายเดือนก่อน +4

      Wangekuwa wamejiteka wenyewe,mara moja wangeshakamatwa,ila sio ustaharabu kwa kiongozi mkubwa hivyo kuvunjiwa heshima,kuna njia nyingi za kufikisha hisia kali.

    • @saidkanji9882
      @saidkanji9882 2 หลายเดือนก่อน +9

      Ujui machungu wewe ngoja ikutokee

    • @msukumaog4831
      @msukumaog4831 2 หลายเดือนก่อน +5

      Mbwa wewe

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 2 หลายเดือนก่อน +8

      Akitekwa baba yako utajua kama.kajiteka au kajitekenya

    • @ThedonThedon-bo7xm
      @ThedonThedon-bo7xm 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kuwa makini na maongezi yako man hili jambo siyo tu la mtumoja hata ww lawez kukuta kwaiyo tukemee yaxijiludie