Maneno Magumu ya Lema Msibani kwa Ali Kibao: 'Nimeshakufa Jana, Mke Wangu, Watoto Wanalia'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 159

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 4 หลายเดือนก่อน +26

    Mheshimiwa Lema big up, you are very smart and understanding,umejitoa sadaka kwa kusema ukwel

  • @alfanmohamed2750
    @alfanmohamed2750 4 หลายเดือนก่อน +37

    Maneno mazito sana hayo mh lema mungu hakulinde na watu wanao taka kukuumiza mungu hakupe maisha marefu wewe ni mtetezi na msemaji wa hii nchi mungu hakulinde kiongozi ata kaye jaribu wakati ana kufata hapate pigo hakiwa njiani kukufata

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tunawatia upofu wasimuone

    • @danielmgomo717
      @danielmgomo717 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kiswahili kigumu sana badala ya kupongeza unageuza kinyume chake eg HAKULINDE.

  • @reginas1832
    @reginas1832 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde kaka yangu katika Jina la Yesu Kristo.

  • @FrancisJosephathi
    @FrancisJosephathi 4 หลายเดือนก่อน +9

    Neno la mwisho la lema hii dunia ukipewa kila kitu ipo siku utayaachaa😢😢😢😢maneno mazito sanaaa😢😢

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 4 หลายเดือนก่อน +25

    Asante sana mh. Lema ukweli utakuweka huru, niko pamoja nawewe mh. Lema.

  • @vitalismarunda6760
    @vitalismarunda6760 4 หลายเดือนก่อน

    Daah Maneno yanauma aiseee Lema Big Up Hicho kichwa sio cha dunia hii

  • @kilianjulius9882
    @kilianjulius9882 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nimesikiliza kwa makini maneno ya lema yanaliza sana Mungu ingilia kati mwafaka upatikane

  • @sheilalolila2233
    @sheilalolila2233 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia tunapita jamani nimeumia sana innallilah wainnallilah rajuun yarab Allah nijalie mwisho mwema amin

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu Baba Mwenyezi mpumzishe Salama. Damu ya mtumishi hainde bure. Mungu Anahuzunika tunapodharau uimbaji Wake.

  • @muhsinyusuph6456
    @muhsinyusuph6456 4 หลายเดือนก่อน +17

    M/Mungu akulindeni kwa kusema bila woga.ipo ck ya Majibu tu.

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 4 หลายเดือนก่อน +7

    Lema hautakufa usikubali kukiri kifo simama na Neno la Mungu watakuja Kwa njia Moja lkn atawatawanya Kwa njia Saba wageukiane lema Ile timu ya maombi hebu ishike zamu maombi yamekulinda miaka Yako yote ktk siasa usirudi nyuma Mungu wetu Yu hai atakulinda lema usiogope Yuko Mungu.

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 4 หลายเดือนก่อน +12

    Napendafa sana mtu anasema ukweli bila kuogapa
    Lema ww mungu amekuleta kwa kusudi maalum na hakuna wa kuweza kukutoa uhai wako bila kusudi la mungu
    Sema ukweli kaka tanzania ipone

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu awalinde sana Viongozi wa chadema

  • @kolumanialoyce4623
    @kolumanialoyce4623 4 หลายเดือนก่อน +6

    MUNGU akulinde

  • @amoskijangwa936
    @amoskijangwa936 4 หลายเดือนก่อน +7

    God bless 🙏 lema

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ni maisha ya watanzania wote. Mungu mkuu atulinde sote. Amen.

  • @marycelestine6748
    @marycelestine6748 4 หลายเดือนก่อน

    Lema, smartest leader. Big up

  • @patnakituma4244
    @patnakituma4244 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tu, ndiye atatyifuita Machoz na kisasi Ni Cha Mungu,

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 4 หลายเดือนก่อน

    Lema you're the best 🙏🙏👍

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mwenye masikio na asikie

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 4 หลายเดือนก่อน +8

    Lema umenena ukweli, inauma sana tabia ya kuupuuza utu wa watu, kisa sifa, vyeo, laana hii italipwa tu..😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @jescarwegoshola1754
      @jescarwegoshola1754 4 หลายเดือนก่อน

      Watavuna,nasema watavuna walicho panda hii mpaka vitukuu wasijidai wapo salama ogopa damu ya mtu.

  • @AmaniKwanza
    @AmaniKwanza 4 หลายเดือนก่อน +11

    Maneno mazito sana haya poleni Watanzania dah moyo wangu umeumia sana

  • @ElphasGodson-cm9up
    @ElphasGodson-cm9up 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana umesema kwel ujumbe umefika

  • @SaidonKanyita
    @SaidonKanyita 4 หลายเดือนก่อน +2

    Msidhan mungu hawaon yeye ni mwingi wa subra asila yake itakapo waka ndipo mtajua yeye ni mungu unauwa mwenzio kisa hizi pesa au madalaka mbona wote tutakufa kwanini ubebe Zambi za mwenzio huwez kuishi milele ila mungu atajibu na nyinyi mtakufa tu tazamen pua zenu zimeangaria wap mtapata majibu 😢😢😢

  • @KingIbrahimHaule-t7f
    @KingIbrahimHaule-t7f 4 หลายเดือนก่อน +10

    Tanzania inaenda wapi tumuombe mungu sana

  • @prophetsgalvin5727
    @prophetsgalvin5727 4 หลายเดือนก่อน +8

    Damu ya haki inanena

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana kk Lema 😢 maneno mazito sana

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 4 หลายเดือนก่อน +19

    Mh Waziri, Usiende tena kwenye msiba wa Mtu aliyetekwa...

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 4 หลายเดือนก่อน +3

    Today Lema you said hard words than ever they must resign since yesterday because the government they did it

  • @KatambiBassu
    @KatambiBassu 4 หลายเดือนก่อน

    Asante lema kwakuongea ukweli

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ibariki tanzania

  • @hassanimngetege2904
    @hassanimngetege2904 4 หลายเดือนก่อน

    Tumewalewa poleni sana

  • @richard111-p2o
    @richard111-p2o 4 หลายเดือนก่อน +2

    "Hii dunia hata ukipewa kila kila kitu, siku moja utapita" kwa nini tuwaangamize wenzetu kwa ajili ya mali, madaraka, umaarufu au kwa kitu chochote kile ili hali sisi wenyewe hatujui siku wala saa yetu😥😥😥

  • @TaypCake
    @TaypCake 4 หลายเดือนก่อน +13

    Lema umenifanya nilie kwa kweli inauma sana

  • @DeogratiusMelchior
    @DeogratiusMelchior 4 หลายเดือนก่อน

    EQUAL RIGHTS & JUSTICE, by Peter Touch, the stepping RAZOR

  • @kulwakulwa111
    @kulwakulwa111 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sawa kiongoz wet mungu awtie nguvu

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 4 หลายเดือนก่อน

    Amina baba huo ndoukwel

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 4 หลายเดือนก่อน

    ile kauli ile, iliyosema ukinigusa chawa wangu watakushughulikia sasa chawa wakavuka mipaka wanaamua kuua kbs

  • @venchavena1741
    @venchavena1741 4 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏

  • @CHINAINDARMARKET
    @CHINAINDARMARKET 4 หลายเดือนก่อน +2

    Genuinely

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 4 หลายเดือนก่อน +6

    Dah nchi hii ilipofikia😢😢😢😢😢

  • @jennifergodwin3205
    @jennifergodwin3205 4 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah Lema sote tuna maskio na uelewa kwakweli kama Hawaskii na kushupaza shingo zao basi lolote kubwa na baya liwakute.
    Natamani kuskia benders Nusu mlingoti kabla ya week kuisha. Wazee wa Tanga fanyen jambooo!

  • @abednegosamson3622
    @abednegosamson3622 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu atanenena mda si mrefu, damu inanena

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 4 หลายเดือนก่อน

    Big up bro

  • @violetcarroll4930
    @violetcarroll4930 4 หลายเดือนก่อน

    Tanzania Tanzania my motherland 😔

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 4 หลายเดือนก่อน

    Nazima waziri anawajua,nawanajuana wotee,kuanzia Juuu

  • @gkanyanda1173
    @gkanyanda1173 4 หลายเดือนก่อน

    Polenii sana.

  • @atikombogolo2356
    @atikombogolo2356 4 หลายเดือนก่อน

    Saizi Millard na Glibal TV wanashindana kupiga viewers tuu😢😢😢😢

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 4 หลายเดือนก่อน

    Lema poleni sana umewambiye ukweli

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mchane

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 4 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa mh lema umeongea ukweli eemungu tusaidiye

  • @KhamisSalum-wz8cy
    @KhamisSalum-wz8cy 4 หลายเดือนก่อน

    Sema mzee lema hao si watu hao

  • @wachimbavisima
    @wachimbavisima 4 หลายเดือนก่อน

    kila nafsi itaonja umauti ,na katika dhambi kubwa sana mbele ya mungu ni dhambi ya kupora uhai wa mtu, maana uhai ni zawadi pekee ambayo huwezi pewa na mtu yoyote zaidi ya mungu pekee, sasa sidhani kama wanaofanya haya wana fikra pevu au wanapanda mbegu gani ambayo itaota na kuvuna na kupata faida miongoni mwao. 😭😭

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ni kweli inaumiza sana

  • @SelemanChande-bv5ne
    @SelemanChande-bv5ne 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda lema anasifa ya uongozi

  • @magrethemmanuel3022
    @magrethemmanuel3022 4 หลายเดือนก่อน

    Duh maneno magumu sn

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 4 หลายเดือนก่อน

    Lema cjawah kukuckiliza lakn leo nmekujua una uchungu sana xema unashindwa kufunguka xema hata hayo uliyoyasema lazma samia ayapate na wakekaji wake!! Wa2 wansema kibao hakitekwa na majambaz inamana serekali mnahusika moja kwa moja!!

  • @irenengairo8225
    @irenengairo8225 4 หลายเดือนก่อน

    Safiiiiiiii

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 4 หลายเดือนก่อน

    Lema upo sawa kaka

  • @Rajabu.dobeye-qw7fq
    @Rajabu.dobeye-qw7fq 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awajalie viongozi wangu msikate tamaa,mungu yupo atawasaidia,hii inch niyakijinga sana hata mm naomba ajiuzur.

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mtuue wote mbaki wenyewe kwenye nchi yenu

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 4 หลายเดือนก่อน +7

    Upelelezi ufanyike vizurii lakini polisi waache kupiga watu wanapo chukua video za ishahidi kipindi wanapo ena kukamata.

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 4 หลายเดือนก่อน +6

    Who is next hatuko salama

  • @SamsunGalaxy-e5k
    @SamsunGalaxy-e5k 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu atakulinda

  • @LudovickMselle
    @LudovickMselle 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tuombe mungu Atupe mwisho mwema inauma sana

  • @salumomar-ph8ht
    @salumomar-ph8ht 4 หลายเดือนก่อน

    Hao ndio watekaji wakubwa lakini mungu atalipa tu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน +2

    Duh lema

  • @veronicamuhasa9427
    @veronicamuhasa9427 4 หลายเดือนก่อน

    Utekaj umezid sana jmn

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 4 หลายเดือนก่อน

    Haya maneno ni mazito na yamejaa karma. Mungu huyu anaona kila kitu, dah damu za watu 😢😢😢😢

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ATUSAIDIE SANA HALI NI MBAYA MNO TZ

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 4 หลายเดือนก่อน

    So pain

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢❤❤❤

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman mm naumia

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo waziri ilimpasa aonje joto kidogo

  • @marynjau2068
    @marynjau2068 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kabisaa damu huwa inalia...

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 4 หลายเดือนก่อน +2

    Very sad news ! I don’t believe this country Tanzania any more

  • @HAWAMBARUKU-t5d
    @HAWAMBARUKU-t5d 4 หลายเดือนก่อน

    Ki unwell inaumiza, hebu fikiri kama ww ni mpenda haki na unayethamini utu leo kesho unakutana na mtu yani hawazi kabisa na meno nje eti anashangilia na kufurahia mfumo huu wa maisha ya kitanzania ki unwell nahofia kusema ila tunapoelekea tutachukiana na kuanza kuchinjana kama wanyama

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 4 หลายเดือนก่อน +6

    Imeniuma hadi machozi,risala fupi ila ni mzito.Ewe mungu tuhifadhi waja wako

    • @Rajabu.dobeye-qw7fq
      @Rajabu.dobeye-qw7fq 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yani hata mm nasikitika mda wote hii serikali ya ccm haifai ipo siku hata sisi watoa comment tutatekwa ndo nachokiona ila ipo siku nawao watapata maumivu wanayopitia hawa mahusika.

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 4 หลายเดือนก่อน

      @@Rajabu.dobeye-qw7fq ndio kama alivyosema lema kama bunge na mahakama vimeshindwa kututendea haki na sisi hatupo salama.Ila tumuombe mungu atulinde

  • @DavidSoka-b7h
    @DavidSoka-b7h 4 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 4 หลายเดือนก่อน +2

    Inaumiza saana, daah kikatili saana

  • @OmarySamata
    @OmarySamata 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢

  • @BeatusBaltazary
    @BeatusBaltazary 4 หลายเดือนก่อน

    😂kila jambo linamwisho one day yes

  • @edyboyChamilion
    @edyboyChamilion 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh hapo Kuna mtu kaingia kikaangoni😂😂😂

  • @BabaFarzan-ml4er
    @BabaFarzan-ml4er 4 หลายเดือนก่อน

    Sio hao viongozi wasini waseme ..
    Wawafukuze kama kweli ni nyumba za wanaziongoza
    Maana kulea wanafki ni dhambi 😢

  • @YusuphRajabu-hz3pv
    @YusuphRajabu-hz3pv 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa huyu ndio ameongea kwakweli jamani hata mungepewa hii dunia muitawale nyie mnao teka watu namkaishi kwamiaka.10000 bado mtaicha tu hongera sana kiongozi umeongea poity kubwa sana na nawalengwa msj imewafikia

  • @hapatv2991
    @hapatv2991 4 หลายเดือนก่อน

    Wasanii acheni kusifia serikali

  • @PrinceByarugaba
    @PrinceByarugaba 4 หลายเดือนก่อน

    Kwel

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 หลายเดือนก่อน

    Lema alizoongea ni point japo yupo ktk siasa ni hodari wakufikisha ujumbe fasaha sana

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 4 หลายเดือนก่อน

    Tunamwomba sana mh rais atengue hawa watu, hawatosh ktk serikal yake

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba namkibali

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 4 หลายเดือนก่อน +6

    Lema umeongea kwauchungu hata Sisi hatujui skuyetu yakesho itakuwaje

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw 4 หลายเดือนก่อน

    Nimemsikuliza mala 10 bado sijalidhika nakesho nitaendelea kumsikiliza inaumiza sana

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 4 หลายเดือนก่อน

    Oooooh wamerudi

  • @mwanakhamisimwinyimatano1185
    @mwanakhamisimwinyimatano1185 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @AminaGumbo-c4w
    @AminaGumbo-c4w 4 หลายเดือนก่อน +1

    saf

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 4 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa hivi anayekukamata ni kupiga naye picha tu ndio upngoke naye

    • @frankmlalila1705
      @frankmlalila1705 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂dah mbk nimecheka

  • @jonnygabriel9648
    @jonnygabriel9648 4 หลายเดือนก่อน

    Lema alitabiri na jana bony walitaka kumteka

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 4 หลายเดือนก่อน

    Hii dunia ata ukipewa kilakitu sikumoja utapita tu

  • @HawaDaudi-x7l
    @HawaDaudi-x7l 4 หลายเดือนก่อน

    jembe la arusha

  • @prophetsgalvin5727
    @prophetsgalvin5727 4 หลายเดือนก่อน

    DAMU HIIIZI ZITAONGEA NA ZITANENA SANA KWA HAYA MNAYOTENDA WATU WENYE HAKI