Kama ujawai kufanyiwa fitna unaweza usielewe lakin mzee wangu lowassa ulifanyiwa kila hila sana mbaya zaid na watu ulio wasaidia ndo dunia mzee wangu pumzka kwa amani 😭😭😭
Mara chache sana ukutane na kiongozi Mkuu katka dola ambaye yupo tayar kuajibika. Kuajibika kwa Lowassa umemjengea heshima kwa watanzania wengi, na ndo maana alipohamia Chadema aliipa nguvu sana chama hicho, nadhani hata aliporudi nyumban CCM aliimarisha chama kwa kuwa kuna watu wengi ambao ni wafuasi wake walirudi CCM . Ndg Watanzania wenzangu ni muhimu kumpa heshima inayostahili mheshimiwa Edward Lowassa. Hakika hatasahaulika hapa hata ktk karne zijazo.

Kwaheri mungu akubariki sana ukuongose mbele ya haki
Mara chache sana ukutane na kiongozi Mkuu katka dola ambaye yupo tayar kuajibika. Kuajibika kwa Lowassa umemjengea heshima kwa watanzania wengi, na ndo maana alipohamia Chadema aliipa nguvu sana chama hicho, nadhani hata aliporudi nyumban CCM aliimarisha chama kwa kuwa kuna watu wengi ambao ni wafuasi wake walirudi CCM . Ndg Watanzania wenzangu ni muhimu kumpa heshima inayostahili mheshimiwa Edward Lowassa. Hakika hatasahaulika hapa hata ktk karne zijazo.
Pumzika salama baba yetu wa monduli bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana limiliwe
Mimi nakupenda sana ila mungu nakupenda saidi
An hero
R.I.P 🙏
Alikuwa kiongozi mwajibikaji na mtendaji ndo maana watanzania wengi wanampenda
RIP
❤
polen kwa msiba mzito
R.i.p lowassa
RIP Kamanda
Rest in peace to the late Lowassa
Nenda baba nyuma yako tupo
Lala salama kamanda
RIP