Wamwiduka Band - Moyo (Official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @MarionNafula-o8p
    @MarionNafula-o8p หลายเดือนก่อน +3

    From TikTok weka like hapa ❤❤❤❤ wimbo mzuri sana

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mkamateni uyu producer anajua sana vyombo vina sikika vyote sauti pia Bizzo one anajua sana

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 ปีที่แล้ว +3

    Wamwidukaa yaani huh wimbo, mere wa morogoro ,na nenda kilingeni nazipenda sanaaaà ila Kuna mwamba mmoja sijamuona halo alikuwa anapenda kuvaa miwani

  • @gordonoluoch1895
    @gordonoluoch1895 หลายเดือนก่อน

    From tiktok ❤.....much love your sister from Kenya ❤❤❤

  • @kennykeshi7680
    @kennykeshi7680 ปีที่แล้ว +2

    You've just earned yourself another follower..

  • @SelegioAnthony
    @SelegioAnthony หลายเดือนก่อน

    Kupitia dogo wa vibuyu nagundua kuna vipaji vimepotea kwasababu ya vinanda vya wazungu

  • @Mzeewainfo
    @Mzeewainfo ปีที่แล้ว +13

    Kwenye huu Wimbo Ile Sound Halisia Imo. Good, Kasoro ni Tempo (Speed imekuwa Ndogo Tofauti na asili yetu kwenye kuucheza huu wimbo😃😃😃😃) hapahapa youtube ingia Settings weka playback speed +1.25 usikie unavyo sound vizuri na unavochezeka, sasa tunaweza kuiongeza hata +1.05:All ni All good work kwenye vifaa vyetu asili kuhusu babaton

  • @ibrahimmachona8022
    @ibrahimmachona8022 ปีที่แล้ว +3

    Afrika daima, hongera kwa wimbo mzuri

  • @kaiganaxabystc4136
    @kaiganaxabystc4136 ปีที่แล้ว +4

    Nice music there! I have no clue about the language. But in my language Moyo means heart, so im fitting my own lyrics.

  • @Nnamdi11
    @Nnamdi11 ปีที่แล้ว +3

    I love you guys 🇳🇬🇳🇬

  • @IssaAdamu-jz3ng
    @IssaAdamu-jz3ng 8 หลายเดือนก่อน +1

    Moyo ninoma sana mkeo akiwa na mchapuko moyo unauma rakini ww ukiwa na mke wa mtu moyo aumi moyo uwo

  • @JamesMsuya-xp5gm
    @JamesMsuya-xp5gm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mjomba Mrisho Mpoto angalia vijana hao tafadhali

  • @elimuvisioncenter
    @elimuvisioncenter ปีที่แล้ว +1

    ongezeni tempo muone mziki unavyokaa vzr

  • @AshaMngindo
    @AshaMngindo หลายเดือนก่อน

    Moyoo naupenda sana jamani

  • @JumaShimende
    @JumaShimende ปีที่แล้ว +2

    Mapema wamwiduka wanatuakilisha vyema Tanzania na afrika Kwa ujumla hongereni sana.wizara ya utamaduni na serekali Kwa ujumla muwape saport vijana Hawa mungu awabariki.nyimbo zao zinasikilizika na Rika zote utunzu mzuri hongereni sana

  • @stellaphili9976
    @stellaphili9976 ปีที่แล้ว +2

    wimbomuzuri sana

  • @asibestonanga9623
    @asibestonanga9623 ปีที่แล้ว +2

    Saanaaaa

  • @ÖthmanWåsega
    @ÖthmanWåsega ปีที่แล้ว +2

    Wamwiduka band na wakubali Sana ❤

  • @piusporiot38
    @piusporiot38 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma ya "Salome dada mbona unanitukana" nitaipata aje coz I love it

  • @NaomiMgaya-h9p
    @NaomiMgaya-h9p หลายเดือนก่อน

    Moyooo🙌🙌 home boys you nailed it

  • @irenelucy6349
    @irenelucy6349 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda kaka zangu edereni na kusheza goma zuri

  • @mbishiwatown7929
    @mbishiwatown7929 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana produce bizo one moyo noma Sana

  • @SalimHassan-d4s
    @SalimHassan-d4s 7 หลายเดือนก่อน +2

    Awilo chukuwa maua yako.

  • @subikandonga2168
    @subikandonga2168 หลายเดือนก่อน

    jamaa anajuwa sana hongera kwa kipaji kikubwa

  • @fathyy436
    @fathyy436 ปีที่แล้ว +1

    Educating and entertaining as well big up brothers wamwiduka band love from Tanzania🤎🤎🤎🤎🤎

  • @mgcinincube8122
    @mgcinincube8122 ปีที่แล้ว +3

    My favourite band,wishing you guys all the best in music.

  • @dominickndomba4474
    @dominickndomba4474 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana wajomba ujumbe mzuri saaaaana

  • @victorabedi1859
    @victorabedi1859 ปีที่แล้ว +3

    Good vibes of cultural heritage

  • @MichaelDanieli-r4o
    @MichaelDanieli-r4o หลายเดือนก่อน

    Good songs 🎉🎉

  • @alphoncepatrick4059
    @alphoncepatrick4059 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 5 หลายเดือนก่อน

    1love brothers ❤

  • @AbrahamMwakyosi-rx4uy
    @AbrahamMwakyosi-rx4uy ปีที่แล้ว +2

    nice tune 🔥🔥

  • @FabianMukuka-h4r
    @FabianMukuka-h4r 10 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuli sana wakali

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 ปีที่แล้ว

    Moyo song imefanya nikakimbia from tiktok ,nawapenda zaidi

  • @MuundaShatimwene
    @MuundaShatimwene 3 หลายเดือนก่อน

    Much love from namibia

  • @sidetalent7725
    @sidetalent7725 ปีที่แล้ว

    Mpo vizur sana ma braza👏👏👏

  • @ClementinaSola
    @ClementinaSola 11 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo bora sana

  • @jeremiahmussa2178
    @jeremiahmussa2178 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzur

  • @tonoboymwatonokaaa2862
    @tonoboymwatonokaaa2862 ปีที่แล้ว

    Mmetisha sana

  • @agustinoghambi8453
    @agustinoghambi8453 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤Very good song

  • @edgamwakyoma1649
    @edgamwakyoma1649 3 หลายเดือนก่อน

    Moyooo

  • @sylivanusbernard3325
    @sylivanusbernard3325 11 หลายเดือนก่อน

    Hatari kamili hili lidude

  • @lucienferre2717
    @lucienferre2717 ปีที่แล้ว +2

    Those beats are fire!!!!

  • @nessmictam8683
    @nessmictam8683 6 หลายเดือนก่อน

    Nguvu moja ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @PatrickOdero-r2g
    @PatrickOdero-r2g 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo kali

  • @BarakaMwajanaga
    @BarakaMwajanaga 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika moyo unatamani

  • @RashidiMkalla
    @RashidiMkalla 11 หลายเดือนก่อน

    Am appreciate this song

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho หลายเดือนก่อน

    Kizazi watamaduni wetu by Buguruni chama hapa

  • @odangajoel7605
    @odangajoel7605 11 หลายเดือนก่อน

    Here to enjoy😂

  • @veronicambanga7862
    @veronicambanga7862 ปีที่แล้ว +2

    Usaiwaje sana dogo ila ungeimba kisafwa too ingependeza

  • @ibrahimpeter2929
    @ibrahimpeter2929 4 หลายเดือนก่อน

    Ongezeni malimba itanoga zaid

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 6 หลายเดือนก่อน

    Dudee

  • @leonardpeter9827
    @leonardpeter9827 ปีที่แล้ว

    Wonderful song 🎵 ❤

  • @Deston_tz
    @Deston_tz 9 หลายเดือนก่อน

    Saw good song

  • @godfreymhagama5725
    @godfreymhagama5725 ปีที่แล้ว

    Waooo❤❤❤

  • @PhilemonRonoh-gb8ii
    @PhilemonRonoh-gb8ii ปีที่แล้ว

    Excellent

  • @tonoboymwatonokaaa2862
    @tonoboymwatonokaaa2862 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👍🔥🔥

  • @mahenamwandele9727
    @mahenamwandele9727 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bestkigodi7318
    @bestkigodi7318 7 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @imanmlelwa3470
    @imanmlelwa3470 ปีที่แล้ว

    Home boys

  • @KalebyHennry-ux7fj
    @KalebyHennry-ux7fj 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yani wamekuja ofsn kwangu nkawapa miatano wakaimba huu wimbo mpaka umeisha ningejua ningewatia laki

  • @MoshiBenjamin-f6z
    @MoshiBenjamin-f6z ปีที่แล้ว

    mwiduka.beka.bendi

  • @AchileKaizar
    @AchileKaizar หลายเดือนก่อน

    Natamani kujiunga na hili kundi la sidhani kama naweza pata nafas

  • @mcdanta6239
    @mcdanta6239 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo hamuwe kagi tuki danlod sehemu kama Google

  • @arafi611
    @arafi611 ปีที่แล้ว

    Is that swahili? From kenya or tanzania?

  • @09121970ful
    @09121970ful ปีที่แล้ว

    Good music I like the purity of instruments used.