MAKALA: NGUZO ZA UMEME ZA ZEGE NJIA MBADALA YA KUOKOA MITI NA KUONDOA HASARA KWA TANESCO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Shirika la ugavi wa umeme nchini (TANESCO) limeshauriwa kutumia nguzo mbadala za zege badala ya nguzo za miti ili kuokoa fedha nyingi na kuongeza tija katika utoaji huduma kwa wananchi.
    Je nguzo hizi zitakuwa mwarobaini wa changamoto ya kukatika umeme kutokana na ubovu wa nguzo?
    Ungana na Faraja Sendegeya.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 29

  • @alfinmbilinyi1326
    @alfinmbilinyi1326 3 ปีที่แล้ว +1

    Waziri mchapa kazi mungu akubariki Sana kalimani.Huyu Ni waziri mzalendo kabisa.hongera Sana waziri.

  • @rashidsalum1214
    @rashidsalum1214 3 ปีที่แล้ว +6

    Wakat wakurejeshea udongo baada ya kusimika nguzo nashauri muwe mnatumia tamping road ili kushindilia kwa uimara zaid na si vipande vya miti.

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 3 ปีที่แล้ว

    Weeeeee nakuona Eng Mrema hongera sana

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimefanya research hizo machine zinapatikana nyingi sana alibaba na bei sio mbaya sana, kama kweli TANESCO wanahitaji hizo nguzo basi hii ni fursa kubwa sana kwa watanzania, search concrete electric poles making machine utaziona

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 3 ปีที่แล้ว +4

    Hayo wazalendo wapewe glove ya kufanya kazi

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ปีที่แล้ว

    Kazi Ziendelee

  • @MARK-nh4hx
    @MARK-nh4hx 3 ปีที่แล้ว +1

    5:50 Kennedy harun ana accent ya kijaluo kumbe wajaka wanawakilisha..lol

  • @ezekielndaraba7221
    @ezekielndaraba7221 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii ni kazi nzuri Sana hongera waziri

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni mwanzo wa ubunifu. Shida masoko ya bidhaa za nje hunyanyasa kazi za wabunifu wetu na badala yake wafanyabiashara wenye kuitawala serikali huleta vya kwa tozo ndogo za kodi ama bila hata kodi. swali je, ubunifu na miradi au huu mradi utakuwa ni wa kuendelea ili mazingira yetu yapone ama ndio mwanzo wa mwisho?

  • @TUTAKUFRAHISHA
    @TUTAKUFRAHISHA 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hili nawapa hongera Tanesco

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 4 หลายเดือนก่อน

    Kiwanda hiki kinaweza kutengeneza nguo za watu binafsi kwa order maalumu?

  • @phillipmatola6964
    @phillipmatola6964 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh huyu jamaa ni mjaluo nini?? Mbona anabaatisha kuongea kiswahili

    • @MARK-nh4hx
      @MARK-nh4hx 3 ปีที่แล้ว

      Kenya mpaka tuwakilishe...

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana waziri wa nishati Kalimani huyo ndio marubani wa nguzo za miti hiyo ndio Tanzania mpya nchi nzima na miti itatumika kwa mahitaji mengine kujenga nyumba 🏡

  • @Derevamkongwe6864
    @Derevamkongwe6864 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatutouwana kweli na hizo nguzo zenu jinsi munazozifukia, Kwanini mungekuwa hamuzifukii na zege tu moja kwa moja kama kweli zinadumu kwa muda wa miaka 60?

  • @erasmioisso1083
    @erasmioisso1083 3 ปีที่แล้ว

    Tanesico hapa mkojuu

  • @alfinmbilinyi1326
    @alfinmbilinyi1326 3 ปีที่แล้ว

    Haya ndiyo tunayo yataka Tanzania sio huyu kaiba billion kiasi Fulani tunataka maendeleo ya nchi umeme kila mtaa lami kila kitongoji na maji kila kona.si kazi iendelee harafu wengine pesa wanajengea swimming pools hiyo Ni hatari kwa taifa.

  • @edwinitamba6637
    @edwinitamba6637 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana, huku Korea ya Kusini ndizo wanazotumia na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 ปีที่แล้ว

    Wee Harun hiyo kiswahili yako nimechoka

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 3 ปีที่แล้ว

    Hizo nguzo za zege ni bora zile za moto zinaoza haraka, big up

  • @alihu3752
    @alihu3752 3 ปีที่แล้ว

    Hawa mabwa mipango yao sio ya u hapa kazi wao wanasubili vifungu wamezoea

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 3 ปีที่แล้ว

    Mtanikumbuka kwa mazuri=Magufuli Maisha mabovu kwa kila mtanzania=...........naomba ndugu zangu wazalendo mnisaidie kujaza jibu lake hapo mimi naogopa na inaumaga hiyo mwee🤣

    • @kshdbzjnxksksw6567
      @kshdbzjnxksksw6567 3 ปีที่แล้ว

      Sasa hayupo maisha yashakua mazuri kwakweli wabongo wizi washukran nahamna utu wakumuangalia mtu kwamazuri yake mnaona mapungufu tu

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma 3 ปีที่แล้ว

    Nice good work

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว

    Nguzo hamshindilii na zege mnategemea nin

    • @saimonmanyerezi7169
      @saimonmanyerezi7169 3 ปีที่แล้ว

      Haina shida sijawahi ona nguzo zinaanguka hadi zikagusa udongo.Kwakuwa zinakuwa zimeshikana pamoja ikitokea moja inahitilafu zile zilizo pembeni yake huishika isiendi chini

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 3 ปีที่แล้ว

    Safiii sanaaa

  • @alihu3752
    @alihu3752 3 ปีที่แล้ว

    Kazi ipigwe ilikubadili mfumo wa nguza miti ni nguzo zinazokaa miaka mia

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 3 ปีที่แล้ว

    Ongeleni kwa kazi nzuri