Familia ya mfungwa yadai haki
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Familia moja katika eneo la Ngomongo kata ndogo ya Korogocho inalilia haki kufuatia kifo tatanishi cha jamaa wao aliyekuwa amefungwa miaka mitano katika gereza la Industrial Area. Charles Omondi alifariki mnamo Jumamosi katika hospitali ya Mbagathi. Familia hiyo inadai kuwa ilipokea taarifa za kifo chake kilichotokana na shambulizi la walinzi wa gereza. Uchunguzi wa mwili umebaini kuwa Charles alifariki baada ya kupigwa na kifaa butu kichwani
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Very painful
So sad