Wafanyakazi wa KBC watoa risala zao kufuatia kifo cha Mambo Mbotela
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Shirika la utangazaji la Kenya na tasnia ya uanahabari kwa jumla inaomboleza kifo cha mtangazaji nguli Leonard Mambo Mbotela ambaye alihudumia shirika hili kwa zaidi ya miaka 60. Mbotela aliyefariki leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 85 ametajwa na wafanyakazi wenzake na washirika wake wa karibu kuwa mshauri na mtu ambaye alikuwa mcheshi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Rest in peace mambo ulitulea tangia tukiwa wadogo.we ll forever miss you❤❤❤❤