Hatari kutaka utajiri ambao mungu hajakujalia mwisho wake maumivu ulikuwa mbwa lkn pia hukujifunza bado ukataka kuendelea kuuwa na kutaka utajiri zaidi
Ila kweli sai matajiri wengi hawana amani wa moyo na wengi wao wanaishi kumezq tuh dawa😒Mungu atuondolee tamaa na ushawishi,atupe hela na situme tukawa na kijeri na tukamsahau Mungu 🙏asante Anko j🤝🤝🤝hizi zifikie Beatrice
@@priscillahsirya6544 kweli yaani juu ukiagalia most of time humeza tuh madawa yaani shida juu ya shida tunastahili kulidhika na hicho kidogo mungu hutupa,tena pesa nyingi za nn wakati hujui kesho yko?
Ukweli ama ni hadithi tu sielewi kaka kunazo siri fiche mbona uliambiwa usije ukamwambia yeyote yule mbali watusimulia siri za kwako zote? Upotoshaji mkubwa.
Tamaa ni mbaya sana tumombe Mungu atatupa vyote tunavyo vihitaji
Ama kweli utajiri ni siri kubwa San daah hizi tamaa Allah atuepushe nazo🤲
Allahuma amiin yarabil alamin. matajiri wengi hawana salama. Ila MMUNGU atusaidie na atunusuru nayo amiin
Simulizi nzuri sana una sauti ya usimuliaji lakini tatizo moja unanyamaza sana
Mtegemee m,mwenyezi mungu
Acha tamaa jitume mwenyewe fanya kazi kwa bidii, jiwekee malengo na kuridhika unachokipata
Nice ❤ anko j
Dah tamaa hiz mungu atu epushe 🙏🙏 asante kwa kutu fikishia ujumbe
Nakupenda sana anko j
Nimecheka wallah huku mwisho Adelina 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Duuh chizi tena😂😂😂
Dah simuliz znanimalizia band aisee
Ndio kawa demu😂😂😂
Upo vzr lakini boresha kidogo usimuliaji unakaa kimya Sana ndio unaendelea
💖💖
Asante studio
Nakubali anko j kongole
😀😀😀😀😀😀😀😀et ndugu zangu walinigeuza mbwa😃😃😃😃😃😃
😲😲 pole sana ulikua naroho asante msimulizi
Unasauti nzureee sana tatizo una stak stak
Khaa 😂😂😂😂 ndungu tena kukubadilisha mbwa
Kwaiyo saiv unaitwa dada adelina shetani shkamoo😂😂😂pole sana kaka acha tu dunia hii
AMAZING ANKO!!ANKO.🔥🔥🔥👏👏👏VERY SAD THOUGH..SO SAD.
Adelina tena😂😂😂😂😂😂😂duuh pole sana🥺
Ndio ukome
dah sina usemi but nilipenda
KWAKWELI TAMAA MBAYA 😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaingiza ushetani na mungu
Nashanga mana huu jama anamoyo mgumu
Welcome back anko j
Eeeh Ankojay hii imeenda😁😁😁
Nawafutia kupitia abudi fm na tandi
AFADHALI MANA UMASIKINI SI POA... NILITAKA KWENDA KWA MGANGA ZIDI NIPATE MALI LAKINI SIMULIZI HII IMENIFUNZA SANA MUNGU AKUBARIKI
😂😂😂😂Nendaaaa TU
Naikubali usimuliaji huu💖💖🙏🙏
Mmmmh Kali maiti eti ufanye naye mapenzi,
Seems to be more fire ndonaanza kuiskiza
Pamoja simulizi mix
Upo vizury,ila unakaa kimya mdaa
Asante sana kwa simlizi nzur
Hatari kutaka utajiri ambao mungu hajakujalia mwisho wake maumivu ulikuwa mbwa lkn pia hukujifunza bado ukataka kuendelea kuuwa na kutaka utajiri zaidi
Ndo wenye pesa wana roho mbaya kumbe ni mtihani mpaka kulala na maiti
Inahuzunisha Ila nifunzo hakuna utajiri wa mganga usio Kosa kafara
Ndio ukome
Maana ukichamba sana mwisho umeshika mavi
Tatizo la waganga ni hilotu,kila siku lazima urudi kupewa masharti Mapya
Duhh pole san kaka adelina anco j unasimlia vizur ila jaribun kuek mzk kidg itazid kunoga
❤
So sad anko jay
Anko j hii story 🔥🔥🔥 nakukubal sana
Asante simulizi mix
Amakweli tamaa mbele mauti nyuma
Story tamu sanaaaa
Ahsnte sana ximulizi mix na muximuliaji anko jay
Du tamaa izi jaman
Njoo taratibu
Lo unatisha
Like kama zote kwa ANKO JAY wetuuuuuuuuu❤️❤️❤️❤️
Daah utajiri huu
Kuna mahali una kimya sana...unanyamza sana hadi ina sinya...uko na sauti ya kusimulia na ushawishi wa kusikiza
Yani vitu vingine daaah
Ghaiii majabu haya .watu wa mungu tusiache kuomba😢
Ila adelina jamani eti nikifikiria naenda kuwa mama nakuzaa natamani kujiuwa 😂😂😂 kwahiyo sisi wanawake tufanyeje 😂😂
Watanzania wengi wameingia kutaka utajihiri uso kuwa wa halali
Kweli kabisa
duh.nzuri lakini.tamaa mpaka.kumaliza familia.
Bora maisha ya umaskini yenye furaha,kuliko maisha ya utajiri yenye hofu kila siku.
Simuliz hii Leo nimecheka sanaa,,,hani anko j wacha 2,,,hani aja 2 ,,,,
@@bettywayera8501r
Ila kweli sai matajiri wengi hawana amani wa moyo na wengi wao wanaishi kumezq tuh dawa😒Mungu atuondolee tamaa na ushawishi,atupe hela na situme tukawa na kijeri na tukamsahau Mungu 🙏asante Anko j🤝🤝🤝hizi zifikie Beatrice
Nikweli matajiri wengi hawana amani nishida tupu
Bora uwe maskini ila uwe naimani yamoyo
@@priscillahsirya6544 umeona eeh
@@vero756 yah hiyosisiri tena wanapesa ila shidazimezidi
Aaah bora umaskini unaamani ya moyo
@@priscillahsirya6544 kweli yaani juu ukiagalia most of time humeza tuh madawa yaani shida juu ya shida tunastahili kulidhika na hicho kidogo mungu hutupa,tena pesa nyingi za nn wakati hujui kesho yko?
@@vero756 niivo achatushkuru kwakile tulicho nacho tamaa mbaya
Shukuran kaka
Ukimaliza ndugu na jamaa hizo mali utakazo pata utatumia nana?
Nimechek lkn inauma aise
😂😂😂
Asate sana simlizi fupi ako j
🙏👌💥💥💥
Kaka tengeneza group whartsarp
Mdogake alikuwa na akili sana anataka kuwa rubani,angeacha utajiri wa uchawi Ili wadogo zake waje wamsaidie b'dae
jamani
Ahahaaa
Yani mimi shabiki wenu mama samia natamani nipate namba yenu ya meseji
Ukweli ama ni hadithi tu sielewi kaka kunazo siri fiche mbona uliambiwa usije ukamwambia yeyote yule mbali watusimulia siri za kwako zote? Upotoshaji mkubwa.
+974