NAPE NA MAKAMBA WANA GUNDU!! KUMBE SIO MARA YA KWANZA KUENGULIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Magufuli alishawahi kuwatumbua hawa, Mama Samia aliwarudisha, sasa naye amewatumbua dah!

ความคิดเห็น • 56

  • @mwajumaM
    @mwajumaM หลายเดือนก่อน +3

    Mama kuwa makini sana sio kila akuchekeae ana kupenda, swali sana omba mungu akuweke mbali na wabaya wako na akuonyeshe uwajuwe inshaallah,

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi mungu amejibu maobi ya wananchi Mwenyezi Mungu hajawai kushindwa jina la mwana riinuriwe

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 หลายเดือนก่อน

      Tena amejibu kwa wkati...🤣🤣🤣

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 หลายเดือนก่อน +5

    Hawafai kabisa kuwa kiongozi niwahuni

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน

    Hawa wąwili wamekula vya watanzania na kuwatapikia watanzania. Wameendekezwa sana kwa muda murefu na kuamini Tanzania ni mali ya wazazi wawo. Kuna watanzania wenye akiri za kuzaliwa na wasomi , kwakuwa wazazi wawo hawajulikani hawapati nafasi ya kuteuliwa. Wanawarecycle hawo hawo majangili kwa majina ya wazazi wawo.

  • @user-qq7eq2mm3y
    @user-qq7eq2mm3y หลายเดือนก่อน

    Viongozi hao Januari Makamba na Nape Nawei. Wanadhani nila wao CCM HAITAENDELEA WANAJIONA UHAI WA CCM MI WAO RAISI SAMIA AWE MAKINI NA VIONHOZI HAO NI VIGEUGEU NA KAULI ZA NAPE INAIDHALILISHA CCM KUWA USHINDI WA CCM NI WADHULUMA KUPITIA KAULI ZAKE TATA HONGERA RAISI SAMI KUWATUMBUA NA KUWATENGUA VIongozi hao.

  • @njilemayenga1231
    @njilemayenga1231 หลายเดือนก่อน +2

    sikuzote nitabaki kwenye kauri yangu kuwa, KUSOMA) SIYO KUONGEZA HAKIRI, hayo yanaonkana waz kwa NAPE. 😂😂😅😅

  • @NasriSuleiman-pj4tw
    @NasriSuleiman-pj4tw หลายเดือนก่อน

    Safi sana wamezidi

  • @MoshiBuhoyelo
    @MoshiBuhoyelo หลายเดือนก่อน +3

    Mimi naona rais yupo sawa.

    • @thomaslali705
      @thomaslali705 หลายเดือนก่อน

      Hawana ukomavu kiutu.

  • @DavidSekambi
    @DavidSekambi หลายเดือนก่อน +4

    Hawa watoto wa viongozi wastaafu wana ona nchi kama mali za wazazi wao

  • @SamsonWaite
    @SamsonWaite หลายเดือนก่อน +2

    Kacheze mnapochezaga mmekula sana mmetapika sasa

  • @RashidShinza
    @RashidShinza หลายเดือนก่อน +3

    Wanaogopwa hao sabaya makonda hao wanafaa kuwa kuwa mawazili

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt หลายเดือนก่อน

    Nape anashangaza Sana Kwa nafasi aliyonayo kama waziri wa habari na Kada wa CCM ,anataka watanzania wamuamini kua maneno aliyo sema ni utani alafu anaomba msamaha ni ajabu sana😅😅😅

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 หลายเดือนก่อน

    Nape ni mtoto wa marehemu Moses Nnauye

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e หลายเดือนก่อน +2

    Mama fedha!!!!

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน

    Nape na Makamba wanaona Tanzania ni Mali yawo. Wana dharau sana. Rais Samia kuwarudisha madarakani ni Kama kuwaunga mkono waliyomufanyia Haysti Magufuli yalikuwa sawa. Watanzania wengi hatukufurahia. Hawa watu tabia yawo ni mbaya. Wote wanatumia majina ya baba zawo na sio ujuzi wala elimu

  • @paulnachenga6302
    @paulnachenga6302 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni watu muhimu sana usiolijua ni kama usiku wa giza poleni sana mnaosikitika pia poleni mnaofurai ukistaajabu ya Musa yatakukuta ya firauni

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi หลายเดือนก่อน +1

    Nape anajiskia sana nawamekula sana

  • @HeenaNurelamin
    @HeenaNurelamin หลายเดือนก่อน

    Washenzi hawa , yani kuna group hawa ambao hata kikwete kawaogopa

  • @RashidShinza
    @RashidShinza หลายเดือนก่อน +1

    Nape na makamba hao ndio wenye nchi

  • @thomaslali705
    @thomaslali705 หลายเดือนก่อน +2

    Immatutity has no cure!

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d หลายเดือนก่อน

    January mwizi qa mitambo ta uchanguzi

  • @paulnachenga6302
    @paulnachenga6302 หลายเดือนก่อน

    Mpango maalumu huu akuna alietumbuliwa hapo

  • @AnnoyedChefHat-rs9md
    @AnnoyedChefHat-rs9md หลายเดือนก่อน +2

    Jimbo lake labumbuli inamtafuna balabala mbovu hadi aibu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna bahati mbaya kwene siasa wanaandaliwa kwenda kwene kazi yao kubwa ya kuwaweka watawala

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 หลายเดือนก่อน +1

    Hawana gundu bali ni wezi na wanafiki sana ni ndumia kuwili

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna gundu Wala nn, vjana wlijisahau Sana na kudhani be nch hii ni Yao ,ndo mana wamelamba asali mpk kupitiliza, Mheshimiwa Raisi Tunaomba usiwarudishe tena wana kuchafua ww na Serikali yetu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Hao hawana gundu midomo yao iliponzakichwa na Mama asiwarudishe kabisa na 2025 wakose Ubunge warudi mutaani kama sisi

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน

    Wanawatoa wametuibia Sana hawa jamaa,bado mwigulu, bashe na mbawala

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 หลายเดือนก่อน +1

    Kurudi tena hawa sidhani, wacha tuone.

  • @irenebarakeli
    @irenebarakeli หลายเดือนก่อน +2

    Gundi au nuksi ipo

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v หลายเดือนก่อน

    Siasa ni kitu cha hatari ni usinene ukamara.Kesho utawaona hawahawa wamepiga tukio Wamerudi kwa nguvu kushinda mwanzoni

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน

    Hawafai kuwa ata mjumbe wa nyumba 10😊

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana Makufuli alishindwa kufanya nao kazi

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n หลายเดือนก่อน

    Hawa magufuli alishawaacha.

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m หลายเดือนก่อน +1

    Mlisha waxhindwa hao mtawaludixha tu

  • @user-qe5cb7vy6o
    @user-qe5cb7vy6o หลายเดือนก่อน

    BADO MWIGULU NA BASHE WATUMBULIWE HARAKA MH.RAIS UNAVYOWAACHA WANAKUHARIBIA CV ZAKO KABISA KWANINI UNAWALEA WEZI ?

  • @RashidShinza
    @RashidShinza หลายเดือนก่อน +1

    Hawawezi kufukunzwa wanatuzugat

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Mtu akitaka urais mnawafukuza

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 หลายเดือนก่อน

    Tena wanagundu kwel

  • @magdalenanicholaus5459
    @magdalenanicholaus5459 หลายเดือนก่อน

    Sio gundu kazi hawezi wanataka madaraka

  • @magdalenanicholaus5459
    @magdalenanicholaus5459 หลายเดือนก่อน

    Mdomo uliponza kichwa kikabondwa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Hawana Gundu ila kazi hawawezi kazi unafiki laana lawatembelea ya Magufuli waishie Ubunge tu nyodo zimezidi hao watoto wanageuza Ccm mali yao mfukoni

  • @sabinahobe3478
    @sabinahobe3478 หลายเดือนก่อน

    Samahani naomba kuuliza je Nape naye baba yake alikuwa kiongozi wa nchi hii au wa ccm?

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 หลายเดือนก่อน

      Baba yake aliitwa Moses Mnauye alishika nyadhifa kubwa kubwa ndani ya SISIEMU akawa naibu Katibu mkuu na Katibu Mwenezi.

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp หลายเดือนก่อน

      Mbona ulemavu huu upo Sana nchi hii wengi tu WABOVU wanaoogelea kwenye majina ya Baba zao na Wana harinu, usipo wakuta kwenye uwaziri watafute kwenye ubalozi,ukuu WA mikoa au wilaya basi tu ndio utamaduni, sija sikia marekani mtoto wa Gerald Ford, Nixon Wala Jimmy carter niku heshimiana au kuoneana aibu? Mungu atusaidie na Amani yetu idumu

  • @stevensosipita
    @stevensosipita หลายเดือนก่อน +1

    YAANI MAMA SAMIA SIJUI UNAFELI WAPI JPM KAWATUMBUA WEWE UNAWARUDISHA KUNANINI NYUMA YA PAZIA?

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 หลายเดือนก่อน

    Jeuri ubabe wanafikiri walizaliwa Toka matumbo matakatifu ; Wazuri hawafi, wanaokufa ni wabaya tu??????????